MINI-POWER TILLER YA PETROL 8HP INALIMA HEKARI 4 KWA SIKU | POWER TILLER NDOGO KWA BEI NAFUU

  Рет қаралды 15,610

ECO-AFRICANA TV

ECO-AFRICANA TV

Күн бұрын

MINI-POWER TILLER YA PETROL 8HP INALIMA HEKARI 4 KWA SIKU | POWER TILLER NDOGO KWA BEI NAFUU
bei sh 2,500,000
full sh 3,200,000
#powertiller #kubota #minipowertiller #powertillerzakisasa #kilimo #vifaranga #brooder #kilimobora #kilimochabiashara #kilimoajira #kilimotz

Пікірлер: 39
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 11 ай бұрын
Kiswahili bhana shidaa sana,eti unaweza kudumbukiza ndani sana au unadumbukiza kidogo. Duuu!!! Si mchezo.
@ECO-AFRICANATV
@ECO-AFRICANATV 10 ай бұрын
Kabisa
@aliali-ng4de
@aliali-ng4de 11 ай бұрын
POWER TILLER YA PETROL 8HP INALIMA HEKARI 4 KWA SIKU | POWER TILLER NDOGO KWA BEI NAFUU bei sh 2,500,000 full sh 3,200,000
@ECO-AFRICANATV
@ECO-AFRICANATV 10 ай бұрын
Karibu boss wangu
@jeromejovin8315
@jeromejovin8315 Ай бұрын
Je kwenye miinuko yani milimani inalima bila shida?
@abdullatifhassan9399
@abdullatifhassan9399 2 ай бұрын
Je inalima kwenye matope?
@nophelysanga4526
@nophelysanga4526 Ай бұрын
Mimi nilitaka nijue je Shamba kama linamawe pawatla inaweza Lima?
@PeterMulimuka
@PeterMulimuka 6 ай бұрын
Kweli ni nzur
@zondomartine
@zondomartine 11 ай бұрын
Mkombozi wa Mkulima mdogo amepatikana Ntawatafuta
@ECO-AFRICANATV
@ECO-AFRICANATV 10 ай бұрын
Call 0687990118
@JafaryMatiasi
@JafaryMatiasi 2 ай бұрын
Bei gani iyo pawa tila Boss
@gatsonmatiko8000
@gatsonmatiko8000 8 ай бұрын
Sfi sana
@ErickikimokaKimoka
@ErickikimokaKimoka 11 ай бұрын
Zishingapi mashine
@ECO-AFRICANATV
@ECO-AFRICANATV 10 ай бұрын
Sh 3.2milion
@PauloMasala
@PauloMasala Ай бұрын
Nahitaji pawatila Kubota 150 ipo nainauzwaje
@raphaelvenance3671
@raphaelvenance3671 11 ай бұрын
Kwenye tope hii inalima?
@ECO-AFRICANATV
@ECO-AFRICANATV 10 ай бұрын
Hailimi
@marckmasaidia7997
@marckmasaidia7997 8 ай бұрын
Inalima kwenye Majaruba ya mpunga ?
@Golanh4786
@Golanh4786 4 күн бұрын
MKO SEHEHMU GANI
@MaryMsese
@MaryMsese 8 ай бұрын
Hii mashine inaweza kulima shamba wakati wa kiangazi au ni udongo uwe umeloana
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Жыл бұрын
Hiyo yakuotesha inaotesha mistari mingapi mingapi
@ECO-AFRICANATV
@ECO-AFRICANATV Жыл бұрын
Mstari mmoja na mbolea
@PrinceKelvin-ht2hm
@PrinceKelvin-ht2hm 7 ай бұрын
Namimii naombeni mnipe namba zenu nani shingapi hiyo mashine
@gracechalagwa9745
@gracechalagwa9745 Жыл бұрын
Mbona Gubota inalima eka 10 kwa siku mimi nimelimia mwaka huu
@ECO-AFRICANATV
@ECO-AFRICANATV Жыл бұрын
HII ni mini power tiller
@Robert-ev5hp
@Robert-ev5hp 7 ай бұрын
Heka 10 unazifahamu vizuri?
@The_mediator255
@The_mediator255 Жыл бұрын
Kakipiga eka 4 kwa siku kanakufa siku hio hio😂😂😂😂
@ECO-AFRICANATV
@ECO-AFRICANATV Жыл бұрын
Shukran kwa maoni yako
@The_mediator255
@The_mediator255 Жыл бұрын
@@ECO-AFRICANATV uongo tu
@Robert-ev5hp
@Robert-ev5hp 7 ай бұрын
Hekari 4 siyo utani. Tractor ya Hp 45 inahema.
@josephludovick6010
@josephludovick6010 4 ай бұрын
Jembe pekee la kupandia mbegu Bei gan
@BarakaDaud-v2t
@BarakaDaud-v2t 4 ай бұрын
Mnapatikana wap
@MaombiMikamba
@MaombiMikamba 6 ай бұрын
nivizir kama mkitangaza bidhaa mtutajie bei ya bidhaa HUSIKA ili tuifaham naomba KUWASILISHA pia naomba mlifanyie kazi kama hamto jali WAKUU wangu
@abdallahjuma5475
@abdallahjuma5475 10 күн бұрын
Bei mbona amesma mkuu sikiliza vizuri
@Zanabissa
@Zanabissa 9 ай бұрын
Tunaombeni namba za wasapu
@FabianoMaganga
@FabianoMaganga 10 ай бұрын
Mnapatikana wap
@pastoreliwkimaroni8332
@pastoreliwkimaroni8332 10 ай бұрын
Naitaji
@frankjacob8495
@frankjacob8495 Жыл бұрын
Tuoneshe ikiwa inalima tuone ufanisi wake
@ECO-AFRICANATV
@ECO-AFRICANATV 11 ай бұрын
Tazama video zetu zipo nyingi sana zikionyesha zinalima
"NILINUNUA MAGARI KWA MAVUNO YA KWANZA YA MPUNGA" SHUHUDA
39:38
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 5 М.
Homemade Gas Powered Plow 200cc
14:35
Workshop From Scratch
Рет қаралды 4,1 МЛН
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
Chạy thử máy cày bánh xích dầu R180
4:21
Điện Máy Tuấn Anh
Рет қаралды 13 М.
Power tiller gearbox full fittings.|Gear box repair.
44:15
KSEW Tec
Рет қаралды 2,1 МЛН
Homemade Amazing Agricultural Vehicle
22:26
Fawa Bros
Рет қаралды 28 МЛН