CHIEF GODLOVE NA MPENZI WAKE WATEMBELEA KABURI LA MTOTO WAO "GREYSON" ALIYE ULIWA KIKATILI

  Рет қаралды 25,260

Denis Asumani

Denis Asumani

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@sarahminja7255
@sarahminja7255 2 күн бұрын
Mimi ninavyohisi ila Mungu ndiye mwenye kujuwa siri hiyo .huenda huyu Dada mwenye mtoto anamahusiano na chief God love na kwakuwa ni mfanyabiashara huenda kesha jiunga na miungu ya chief god love sasa moja ya sharti ndiyo katimiza kumuondoa mwanae duniani akaliwe na mashetani ili tu spate hizo utajari. Ila tumuachieni Mungu
@kubwalao4936
@kubwalao4936 Күн бұрын
Simnasemaga hamna kumwaga damu endeleeni kudanganyika.tangu lini I shetani akashiba damu
@dadyAbdall-f7z
@dadyAbdall-f7z 4 күн бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi pia mungu amtangulie katka safari yake ya mbinguni amen
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 3 күн бұрын
Kwahio hayo maji ni special au ya kawaida! 😂😂 Ila nyie watu msikute nyie ndio wauwaji
@Nairathy
@Nairathy 2 күн бұрын
Godlove mwenyewe hana familia
@kadegeasilitv-zt9bv
@kadegeasilitv-zt9bv Күн бұрын
Wanawezaje kumuachia mtu halafu anasemaga jicho la 3 hebu tuacha yapite ...Ila mmmm mi simo
@fatimahants1526
@fatimahants1526 3 күн бұрын
Mungu awape subra kwa nyakati ngumu.....poleni sana
@Naema-x7p
@Naema-x7p 4 күн бұрын
Kuna kitu sio bure yan mama ulimueka tumboni mtoto wako miez 9 nakumzaa kwa uchungu na kumlea kwa tabu leo hii ata majonzi huna unapanga mauwa vizuri tuu dahaaa sina mengi ila mungu ndo anajua zaid rip mtoto 😢😢😢😢
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 3 күн бұрын
Sasa we ulitaka akupange wewe?
@Naema-x7p
@Naema-x7p 3 күн бұрын
@MagrethMallya-we8ui ungepangiwa ww naona ingekua vyema xna ila sio uyu mtoto
@emmycharles8463
@emmycharles8463 3 күн бұрын
Ni rahic kuxema xababu lipo kwa mwenzio,,, ulitaka awe chiz ndo ujue ana maumivu
@Naema-x7p
@Naema-x7p 3 күн бұрын
@@emmycharles8463 uchungu wa mtoto anaujua mzazi ss yy juzi tu leo kuenda kupanga mashada way iyo ni hali kila nafsi itaonja umauti lkn nilazima uzuni uwepo nishasema kuna kitu akipo sawa. Aya niuweni
@EvelyneMsaki
@EvelyneMsaki 3 күн бұрын
Bolionea wa nguo nyeupe ajayee hajui kuw hawa ndiyo akina.kiboko ya wachawi
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 2 күн бұрын
#hili Jambo lakufiwa na mtoto au mtu wako wa karbu liskie kwa MWINGINE tu pmj na uzembe wa kumuacha mtoto kiholela hayo ni makosa ya kila binadam kwa kuwa hakuwa namawazo ya kuwa kitatokea hiki Ila pole Sana kwa Mama mazazi hiii iskie tu kwa mwenzako😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel 2 күн бұрын
Mwenyezi Mungu alituonya kwamba Shetani ni Adui yetu mkubwa. Tamaa ya Duniani ni mbaya sana, starehe ya Dunia ni ndogo sana. Sasa kama huyo mwanamke alimwacha mwanae na kwenda kustarehe na kidume kingine, huyo Godlove haijamuuma hiyo.Wanaonekana wote wapo sawa. " Ajabu "
@Naema-x7p
@Naema-x7p Күн бұрын
@@ShukurkollAngel sema ww ndugu yangu mm nimesema nikashushuliwa ila walivyofanya sio haki
@salmatuleteesehem71jmnmahm59
@salmatuleteesehem71jmnmahm59 2 күн бұрын
Ila wakrsto jmn kwhy hayo maua huwa ya nini au marehem anasikia harufu yake ila nyie Alhamdulillah kwa kuwa muislam
@JuliusMichael-k8n
@JuliusMichael-k8n 3 күн бұрын
Nendeni mkale bata sasa, hapo mpo free. Unamuacha mtoto na bodaboda?
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 2 күн бұрын
Kama ni baba kwanini mtoto azikwe kwenye public kwanini asinge mzika nyumbani kwa baba yake
@marundimahugija8168
@marundimahugija8168 3 күн бұрын
Ukweli utajulikana waombaji tuendelee kuomba,hivi kweli 😢😢😢
@AdelinajescaOswald
@AdelinajescaOswald 3 күн бұрын
Mmmmmmm😂! Changa la macho! mashirikina yote mawili😂! Eti yanamwaga maji kwenye kaburi! Wakati mtoto mwenyewe hayu wamemuweka msikule! Na wala hajafa! Hivyo vya bodaboda vyote ni viini macho hamna kitu hapo! Mimi Mtoto wa Gwajima nafahamu!
@mamamwajei8789
@mamamwajei8789 2 күн бұрын
MUNGU anawaona🙌🙌
@CarenMkoma
@CarenMkoma 3 күн бұрын
Mungu ambariki sana Chief kwa kuweza😂 kumfariji mama wa mtoto. Omba Mungu unapopata tatizo upate mtu wa kukutia moyo na kuumia nawewe. RIP mtoto mzuri
@saidishafii-mj9oj
@saidishafii-mj9oj 2 күн бұрын
Sasa hayo mauwa ndo yatasaidia nini na ndo mshatoa kafara
@abdulmsuya8542
@abdulmsuya8542 4 күн бұрын
Daaa!! Pesa hzi jamani😢😢😢
@johnmworia1062
@johnmworia1062 2 күн бұрын
Kama kweli walienda kustaree na huyo bwana hadi asbh, basi naomba police waanze na hao wazazi.haiwezekani mtoto wako umwachie mtu asiye ndugu yako ukastaree jamani.Eee Mungu.Dunia hii! Daa
@ShukuruMzigua
@ShukuruMzigua 3 күн бұрын
Police Kanata chef na huyo demu wote wanausika
@MfiriNasawe
@MfiriNasawe 4 күн бұрын
Jamani harudi tena tujikitezaidi kumwomba national kumshukuru mungu maana nudie anaeweza kuponya covu largo national kuhuisha tena
@fahadrashid9754
@fahadrashid9754 2 күн бұрын
Alilia mashetan yke..kama anadhalilika ha npenzy wala mtoto akaambiwa tafuta mwanamke mwenye mtoto af amue mtoto huyo ndo atakua mpenz wko 😅...kuna siku alisemaga bongo hakuna mwanamke wa kudate nae kitu kama iko😢
@nainahlaizer3956
@nainahlaizer3956 3 күн бұрын
Walivyobusy kumwagilia hapo Moroni wanasema pesa hizi jamn
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 3 күн бұрын
Kuna msemo wana sema KUNA MASKINI na MASKINI NGOMBE KABISA😂😂 tumwagilie bustani pesaa zi.jaee. Dada kashakuwa tajiri waa DODOMA RIP Graysoni. 😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔
@Mudyneymudyney
@Mudyneymudyney 3 күн бұрын
Mnajizima data baba feki anajituma
@EvelyneMsaki
@EvelyneMsaki 3 күн бұрын
Baba halali ni yule aliyeko na mungu amini utakuja sema kopi huyu pepo ndiyo chanzo kujikabidhi mtoto na kujirokodo kashfa kibao sasa jamaa walivyouja Luna mtu wa watu kumsomesha huyu mwamba wanafanya Bora redhead kuliko lawama ila yule jamaa atakuja kutoka huyo na hawara yake watakuja husikaaa hapa.kuna dhuluma ya.kusalitianahaka kabinti hakanaaa hata uchungu unaenda na bwana peke yako kumwagilia kaburiiii amenikera maana nimeumia mimi kuliko yeye mwenye mwanae
@akidajulius8397
@akidajulius8397 8 сағат бұрын
Kwani huyu jamaa sio baba wa huyo mtoto, mbona hii mbona sijaelewa
@AdelinajescaOswald
@AdelinajescaOswald 3 күн бұрын
Mtoto hayumo! Wamemfanya msikule!
@CatherineJohn-u1q
@CatherineJohn-u1q 3 күн бұрын
Mungu hatawacha salama
@josephmturi6936
@josephmturi6936 3 күн бұрын
Kafara zitawamalizia ndg
@Nailaty564
@Nailaty564 2 күн бұрын
Tunasuburi aje aseme ametumia million 100 maji ya kumwagilia kaburi
@HoseaKosam34
@HoseaKosam34 2 күн бұрын
Poreeen
@emmanicko1535
@emmanicko1535 2 күн бұрын
NAWAZA MENGI SANA 😭
@Afsa-z3g
@Afsa-z3g 3 күн бұрын
Huyu bint ana Moyo mgumu kweli baba mzazi wa mtoto Yuko wapi😢😢😢😢
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 3 күн бұрын
Waulize waliotelekezwa na mimba zao watakwambia😢omba sana yasikukute
@ThadayoGroly
@ThadayoGroly 2 күн бұрын
Humuon apo
@bonicurtius8108
@bonicurtius8108 2 күн бұрын
Pole sana
@AkimuWaziri-u9b
@AkimuWaziri-u9b 3 күн бұрын
Muangaliage na pesa jaman. Siunaona mke yukohulu kabisaa. Anapatawap ujasili wakupanga maua?
@RachelMaeda-cq3mo
@RachelMaeda-cq3mo 3 күн бұрын
Mnafurahia kuremba kaburi au jamani hadi mnaweka mtandaoni du makubwa
@BellaNathalie-xt5gm
@BellaNathalie-xt5gm 4 күн бұрын
Mungu akuponye maumivu
@RehemaAbasi-h8i
@RehemaAbasi-h8i 3 күн бұрын
Mbona kama biashalah namatangazo kwahuyo mtoto sio vzuri nahekima busalah pia muwe nauchungu mbona mmekuwa namoyo mgumu sana kufa haya mambo nyee watu
@IbrahimHassan-jb7xd
@IbrahimHassan-jb7xd 3 күн бұрын
Kuna kitu hapa sio bure huyo ndio mama mzazi kwel kbsaaa
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 3 күн бұрын
Uyu Dada yupo huru!😳
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 күн бұрын
Poleni sana watumishi wa sheta kibalua mnacho hiyo bata mnakula kwa jasho la pua mmm kweli kumtumikia sheta kibalua kigumu kama kutafuna kokoto mm poleni sana
@JaziraMussa-nx9fp
@JaziraMussa-nx9fp 3 күн бұрын
Kaah we mama huna huruma mbona sura kavuu
@AgnessTarimo-y8i
@AgnessTarimo-y8i 2 күн бұрын
Mmhh dada anamoyo
@Chazitembo
@Chazitembo 3 күн бұрын
Chifu ujamtoa sadaka mtoto kwa sababu ata mama😮 yake uzuni ana
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani 2 күн бұрын
Utasikia jamaa kapiga pesa hatari🤔
@JacklineMwaleleka
@JacklineMwaleleka 2 күн бұрын
Yani dunia ina mengi ya kutusha na ya ajabu
@caesar7745
@caesar7745 2 күн бұрын
mko busy na ya dunia mpaka mtoto kaaga dunia. endeleeni kutafuta content. nadhani itakuwa fundisho tosha kwa wengine, yaani story yenu ya kuunga unga, hela zote hata dada wa kazi kulea mtoto hamkua nae sasa maana gani kuna na pesa huwezi kutumia wa wapendwa wako. au ulitoa kafara. hainiingia hakilini kabisa kifo cha huyo mtoto
@AllyKija
@AllyKija 3 күн бұрын
Huyu bint pumbavu kbs
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y 3 күн бұрын
Sasa hayo maji yanadaidia nn? Ukiipenda dunia uwez kumpenda MUNGU.MUNGU anawaona.
@EvelyneMsaki
@EvelyneMsaki 3 күн бұрын
Jamaa alikiri alimpolea binti dom hana ndugu yeyote sasa inaonekana mwenye mtoto alizimwaa mke na mtoto najaribu kuangalia mtuhumiwa wa pili kama anamfanania mtoto sana
@AsnathMtamila
@AsnathMtamila 3 күн бұрын
Hawa ndyo wauwaji halafu wanajuzima data na nyie pia mtakufa kifo kibaya sana
@frolamwaikamila4172
@frolamwaikamila4172 2 күн бұрын
Upo huru Sasa kwa kudanga
@BahatiMayombo-k7m
@BahatiMayombo-k7m 3 күн бұрын
Nkiwaambiaga huyu jamaa mshetani mnakuja juu et acha wivu . Hapa wajinga bado hawataelewa
@KasalamaAlly
@KasalamaAlly 3 күн бұрын
Mungu amuhifadhi mtoto huyu asiyekuwa na hatia
@WitinessJoseph
@WitinessJoseph 3 күн бұрын
Mungu akutie nguvu
@JoakimuOmpeshi
@JoakimuOmpeshi 3 күн бұрын
Zitajaa kwenye chupa
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
HII NDIO SABABU CHIEF HANA MKE INATISHA SANA TIZAMA HII
5:08
Chief_Godlove
Рет қаралды 132 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН