Trump achimba mkwara Mateka wa Israel wasipoachiwa Jumamosi patachimbika Gaza

  Рет қаралды 11,871

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tufuate kwenye Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza link hii - / simulizinasauti

Пікірлер: 310
@alisalum5845
@alisalum5845 6 сағат бұрын
Hasbiyyallahu Waneemal Wakeel
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 39 минут бұрын
Hamasi oyeeeeeee ❤❤❤
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 сағат бұрын
Hasbiyallahu wanaimal wakiil walaaniwe hawa mazayuni inshallah kabla ya jumaamosi waione kadar ya Mungu juu yao kama wamekufa nyinyi mumeuwa wangapi
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 4 сағат бұрын
Dua za Kuku
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 3 сағат бұрын
Walaaniwe KABISA
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 3 сағат бұрын
​@@smallscaleminingsupplies9670mnawaabudu Kwa sababu walimuua mungu wako,yesu...sasa wao ndo miungu wenu
@AishaHaruni-g4c
@AishaHaruni-g4c 3 сағат бұрын
Kwa kutoa laaana TU hamjambo 😂😂
@MaulidAbdullah-nw9wu
@MaulidAbdullah-nw9wu 7 сағат бұрын
Wanaume tumesema hatuachi mbwawenu wakizayuni mpaka mfate masharti tulokubaliana amuweni lolote mnalotaka sisi tupo tayari kwa mapigano 💪💪💪
@jumakassim8718
@jumakassim8718 6 сағат бұрын
Kabisa ,makafiri wanapenda kuishi waumini wanapenda kufa
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 6 сағат бұрын
😂😂😂😂 uko wap na mapimbi yako mawili
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd 6 сағат бұрын
​@@africanQueeny-u7oichi kibibi kina mashaka wallah
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 5 сағат бұрын
​@africanQueeny-u7o kwa mama yako hapa ameyapakata
@raymrash
@raymrash 4 сағат бұрын
@@MaulidAbdullah-nw9wu mpumbavu wewe kwa nini usiende uwanja wa vita... kazi kuvimba kwenye keyboard ya simu 🤣🤣🤣🤣
@nassoromfumya7319
@nassoromfumya7319 7 сағат бұрын
Acha aendelee kubweka anajiona yeye ndo mwenye huu ulimwengu Aendelee kubweka na watu watamzoea hana jipya
@moestate9982
@moestate9982 7 сағат бұрын
Mnapenda sana kusikia habari zinazokandamiza palestina lakini kila jambo linamwisho wake mungu atawalinda palestina
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 6 сағат бұрын
Wewe husikii? Subiri jumamosi
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd 6 сағат бұрын
Hakika
@alicejumaa89
@alicejumaa89 5 сағат бұрын
Ni kazi anafanya usichukie😂😂
@petrowashale1891
@petrowashale1891 5 сағат бұрын
😂​@@kuchimillionaire6683
@raymrash
@raymrash 4 сағат бұрын
@@moestate9982 rudisha mateka
@zaitunibakari6632
@zaitunibakari6632 7 сағат бұрын
Afadhali ile risasi ingempata ya ubongo
@AGM19697
@AGM19697 4 сағат бұрын
Aijampata ili akamilishe kazi aliyotumwa kuifanya
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 4 сағат бұрын
Allah kumuacha ili awe funzo kwa makafiri wote wanaopitukia mipaka yake
@choggysly3541
@choggysly3541 7 сағат бұрын
Wameua watoto wanawake wamevunja maghorofa majumba leo wanalalamika kuhusu mateka ambao hawafiki hata mia mbili
@ccu13
@ccu13 4 сағат бұрын
afu anaita ndio janga la kibinadamu
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 7 сағат бұрын
Wameshikilia wapalestine kibao mbona wao hawawachilili wapalestine humbwa hawa
@SelemanOmary-y7c
@SelemanOmary-y7c 29 минут бұрын
Hasbunallahu waneemalwakil
@saidiyusufumuhode3159
@saidiyusufumuhode3159 6 сағат бұрын
Yaani hawa mabwege wakifanyia watu vibaya hawasemi sasa wakifanyiwa wao
@SumuuKijoka
@SumuuKijoka 7 сағат бұрын
amerika ya sasa imeporomoka sana
@RashidHemed-z4e
@RashidHemed-z4e 6 сағат бұрын
Mwanakharam huyu allah natka amchukuwe uyu mja kabla ya kufika jumams
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 6 сағат бұрын
Uyo Allan wenu ambae awasaidii ni wawapi 😅😅😅
@AfzalShah-gp5oj
@AfzalShah-gp5oj 6 сағат бұрын
Ndio yule yule aliofanya waisrael wakashindwa kuwapata mateka wao Kwa miezi 15​@@africanQueeny-u7o
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd 6 сағат бұрын
​@@africanQueeny-u7oJaribu kumtafuta Allah kabla hujakata pumzi
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd 6 сағат бұрын
Ammyn na mm namuomba Allah ambadilishe maamuz yake Au ampe kifo
@aaa64sa13
@aaa64sa13 6 сағат бұрын
​@@africanQueeny-u7o We naona hata dini huna. Kuwa na heshma na unacho kiongea.
@PaschalJohn-e4l
@PaschalJohn-e4l 6 сағат бұрын
Islaeli oyeeeeeeeeeeeeeee
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 сағат бұрын
Si muwatowe hao mateka tu ili tuwajuwe
@fatumahamisi-m1e
@fatumahamisi-m1e Сағат бұрын
@@PaschalJohn-e4l mashoga wanawashwaaaaa!
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 3 сағат бұрын
Laahaula walaakuwwata illa bi llah ....
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs 3 сағат бұрын
Hasbunallahu waneemal wakiiil
@hamadsobo304
@hamadsobo304 7 сағат бұрын
Ukiona mbwa anabweka bweka juwa si mkali mateka hawaachiwi na huna la kufanya mdomo tu ndio wako wanaume wamesema hawawaachi amua sasa.
@omondiowino7875
@omondiowino7875 7 сағат бұрын
Wakipigwa mnapiga mayowe mitandaoni 😂😂😂😂
@hamadsobo304
@hamadsobo304 7 сағат бұрын
@omondiowino7875 Apigwe nani boss
@omondiowino7875
@omondiowino7875 7 сағат бұрын
@@hamadsobo304 umesahau Hamas walikuwa kwenye mahandaki Simba akitamba Gaza
@hamadsobo304
@hamadsobo304 7 сағат бұрын
@omondiowino7875 wewe ya hamassi yanakuumiza ila yako kushayatatua nakuona unapenda mitandao kujibu tafuta pesa kwanza.
@shabansaid2323
@shabansaid2323 7 сағат бұрын
Kilicho wafanya kundoka gaza nini? Kama sio kipigo cha hamas
@AhmedMsomoka
@AhmedMsomoka 6 сағат бұрын
DUNIA HII BHNA KWAN MATEKA WA KIPALESTINA WAO SIO WATU NA HAWANA HAKI YA KUACHILIWA ILA WENU NDIO WAACHILIWE ALFU WAZEE WA MUNGU MTU WANASHABIKIA , ALLAH YUPO NA YATAISHA TU
@raymrash
@raymrash 4 сағат бұрын
@@AhmedMsomoka sio mateka niwafungwa wa makosa ya ugaidi
@AGM19697
@AGM19697 4 сағат бұрын
Hakuna mateka wa kipalestina bali kuna wafungwa waliowauwa raia wa kiyahudi na wameachiwa. Sasa hao wanaowazuia inawezekana sana wameshawaua sasa wanataka visingizio au walishawatoboa macho sasa wanajiuliza wanawaachiaje na dunia nzima itawajua. Wameshauwasha moto tena wasubiri matikea
@dorambaga2667
@dorambaga2667 5 сағат бұрын
Vizuri Donald Trump
@aminaali792
@aminaali792 5 сағат бұрын
He makes me SICK AS IF ISRAEL HAS BEEN KEEPING THAT CEASEFIRE AS A PROMISED 😡🤬🤬🤬🤬MAY ALLAH GRANT THE PALESTINIANS VICTORY ALLAH IS AL’HAKEEM🤲🏽🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 7 сағат бұрын
Ilikua bora kuwa amulisha wazayuni kuchia mateka maguezani uko tal vivo.ila trumpo chizi poa mkwara wa mbuzi.
@ezekielpraise2025
@ezekielpraise2025 3 сағат бұрын
Kitu watu hawajui ni kwamba DUNIA ndo Trump,Tunaendeshwa na mifumo bila sisi binadamu kujua,too sad 😮
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs 3 сағат бұрын
Allah anatutosha kabisa na hatuna wasiwasi
@Paulo-c9z
@Paulo-c9z 5 сағат бұрын
Nawaonea huruma hamasi wawarudishe tu mateka araka sana iwezekanavyo
@raymrash
@raymrash 4 сағат бұрын
@@Paulo-c9z Kinakwenda kuwaramba...maana makubaliano ni kwamba wawatoe mateka lakini inaonekana wameshawaua
@AGM19697
@AGM19697 4 сағат бұрын
Itakuwa kuna sababu kubwa sana wanashindwa kuwatoa. Labda wana hali mbaya sana. Waliwatoa wale wanawake wakiwa na hali nzuri sana, sasa inaelekea hao wapo vibaya sana
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 6 сағат бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 7 сағат бұрын
Kaona hawata achiliwa, hivyoo hiyoo ni mbinu chafu ya kwenda kuwaua na kuwahamisha kwa nguvu😢, ila Vurugu kubwa itatokea
@HAMISICHURI
@HAMISICHURI 2 сағат бұрын
Shukuru mungu kuwa mimi si kiongoz wa hamas ungejuta kuzungumza ivo
@hassanabazar9411
@hassanabazar9411 8 сағат бұрын
Mbwa wa kizungu ana bweka
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc 7 сағат бұрын
Subiria uwone kama ana bweka
@mudighurayra
@mudighurayra 7 сағат бұрын
​@@janesuma-is4wcwatu sio waoga kama nyie kenge ukubali tupelekeshwa kisa mtu ana nguvu wamevuka watu iyo stage
@FranceYohana-eg5zd
@FranceYohana-eg5zd 3 сағат бұрын
Nan? atabisha big nation kaongea subir uone​@@mudighurayra
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 3 сағат бұрын
Israel wamepata sababu ya kupamalizia Gaza ile marekani ianze ujenzi wa mji wake 😂😂
@kadirkadirsage6991
@kadirkadirsage6991 6 сағат бұрын
Palestine wako Mungu
@RashidHemed-z4e
@RashidHemed-z4e 6 сағат бұрын
Huyu ni mbwa 2 ubooo wababae shenzi ili
@timothybanda3219
@timothybanda3219 5 сағат бұрын
Janga kubwa kuuawa mateka wasiozidi 50 ila kwa wapalestina zaidi ya 60,000 is okay
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 6 сағат бұрын
Hile jahannam ulioihaidi utaipeleka gaza Allah akaileta uko unakoishi uliimalizaje? Subiri ma Israel wakukujie maana hukujua mkataba huo utakugharimu
@HabibuHoseni-sv8hd
@HabibuHoseni-sv8hd 5 сағат бұрын
Nataman ao mateka wasiachiwe alafu tuone iyo jumamos what will happen uyu trump bhna yan anazan dunia inamuogopa shame on u trump
@SeifMassoud
@SeifMassoud 4 сағат бұрын
We mbwa wacha kubweka sana, mlitaka ceasefire kwasbb mashoga wako wa Israhell walishindwa kuwatoa mateka mkaomba na mmekiuka makubaliano mnataka watu wawaabudu shenz
@mobutu3884
@mobutu3884 3 сағат бұрын
Sasa ndio mtajua kuwa ile ya kwanza ilikuwa kwa ajili ya kuwaokoa mateka au kuharibu mji na kuacha magofu, episode inayofata ni kuwaondoa tu someni alama za nyakati mtajua kuwa hii ni series.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 22 минут бұрын
shida huyu kichaa wa kizungu anajiona yeye ndiye mungu mkuu wa dunia hii!!! Anaitisha dunia nzima!kwani yeye ni nani??
@AminaMtatuu
@AminaMtatuu 5 сағат бұрын
HAWATAFURAHI WALE WASIOKUWA KATIKA NYINYI MPAKA MFATE MILA ZAO HII KAULI WANAIELEWA WATU HUSIKA!! DUNIA NZIMA MNAHANGAIKIA KIPANDE KIDOGO CHA ARDHI SINCE 1948 MMMH
@LoneWolf-ng8yg
@LoneWolf-ng8yg 5 сағат бұрын
Ivi wanaichukuliaje hamas 😂😂 mateka wa Israeli ndo anaumuhimu sana kuliko wa Palestine.
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 6 сағат бұрын
Trump unatafuta support Jordan mbwa wewe
@popiya2368
@popiya2368 4 сағат бұрын
Hivi Trump anaona binadamu ni waisrael tu? Anamtishia nani kwa mfano je aliona mateka wa kipalestina wanavyoteswa au macho.yake inaona upande mmoja tu. Aache kujitoa ufahamu. Na ubaguzi usio na tija
@KhalidiBoaz
@KhalidiBoaz 2 сағат бұрын
Ngoja tuone nani mkubwa kati ya HAMAS VERSUS USA,kwa upande wa TRUMP siku hiyo ya Jmosi saa 6:00mchana
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 7 минут бұрын
Trump anajiona nani sijui kwa mikwala sidhani kama hamas wataielewa hio mikwala
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs 3 сағат бұрын
Dunia ina mwenyewe wala sioTrampo ole wake
@zainulabidiendhulfikar7398
@zainulabidiendhulfikar7398 3 сағат бұрын
Hahahhahahaa jiran kwetu pia wapo wanabweka lkn sionwakali
@WadySaidi
@WadySaidi 6 сағат бұрын
Ameshindwa mbwaa mwenzako ndio uweze wew mwehu alafu trump kwa Sasa kachanganyikiwa ivyoivyo ndio ulikuwa unasema kwa mkorea pale mbona ulimshindwa
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 7 сағат бұрын
kama nchi za Africa zingekuw na wabishi fc kama HAMASI tusingekuwa tunatishwa na vikwazo vya kijinga na Hawa mashetani
@omondiowino7875
@omondiowino7875 7 сағат бұрын
Africa ingekuwa kama Gaza
@CANIVATZ
@CANIVATZ 7 сағат бұрын
Wewe jamaa hujielw kabsa na unacho andika nahic ata akili yako haina akil​@@omondiowino7875
@mudighurayra
@mudighurayra 7 сағат бұрын
​@@omondiowino7875shida ya makafiri ni waoga sana 😂😂😂
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 7 сағат бұрын
​@@mudighurayrakabisa makafiri waoga kuliko magaidi
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 7 сағат бұрын
Magaidi hata wakindwa wao siyo waoga
@nassoroshakiru7094
@nassoroshakiru7094 6 сағат бұрын
So yeye anaona hao wachache kama ukatili wa kibinadam lakin Israel kuwaweka magerezani na kuwapiga shoti watu kwa kuwaua na kuwafunga maelfu ya Palestinians sio kosa wala uhalifu this is double standard huyu mpuuzi hajielewi kabisa asee
@AGM19697
@AGM19697 4 сағат бұрын
Sasa ulitegemea moalestina auwe wayahudi alafu apelekwe five star hotel😂kupumzika?
@petrowashale1891
@petrowashale1891 5 сағат бұрын
Naumia kwann hamas walifanya ule uvamiz maana madhara yaliotokea n makubwa mno kwa watu wasio na hatia
@abdallahkhalfan3966
@abdallahkhalfan3966 3 сағат бұрын
Haina haja ya kuongea kama Wana malengo ya kuisambaratisha Gaza au Kumaliza kizazi cha Gaza waende mikwala ya nn
@josephpeter8511
@josephpeter8511 4 сағат бұрын
Ndugu Zangu Hamasi!! Angalia Hasara Mliopata Mmeawachiwa Vifusi!! Kwanini Kushida na Mwenyenguvu Zaidi Yako?? Naomba Achilia Mateka hao please Vita viseje rena Vikaanza!!
@AsiaAsi-s3u
@AsiaAsi-s3u 6 сағат бұрын
Hamas wanaume ,watakukata kichwa chako hicho ,kwani wewe ndoo netanyahu? Unajifanya Mungu mtu pumbaf ,marahii hamas wataanza na wewe
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 4 сағат бұрын
Anapoteza mda wapalestina walikuwepo kabla ya cc kuja duniani watakuwepo mpk dunia inakwisha mpk sasa miaka 77.jamaa wamekomaa
@AmaniMathod
@AmaniMathod 5 сағат бұрын
TRUMP HAYA WEWE NA WAIMBAJI TAARABU SAWA SAWA
@williamkisinga3618
@williamkisinga3618 8 сағат бұрын
Kila pande inatakiwa kutekeleza walichoahd kwenye makubaliano.
@mozamoza3960
@mozamoza3960 5 сағат бұрын
Hapa kabisa wakiuwa na wao wauwe watu wa esrael
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 7 сағат бұрын
MBWA hyuuuuu
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 6 сағат бұрын
Hamas hawalali pazuri kama wewe Hamas hawa achii mateka wanaume HAMAS
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc 33 минут бұрын
Yani nguruwe ni nguruwe tu awe wakiswahili awe wa kizungu tabia zile zile tu.
@elishamfinanga9483
@elishamfinanga9483 4 сағат бұрын
Amosi 1:6-7 [6]Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu; [7]lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 5 сағат бұрын
Dj sma Bibis swahili wamekubali huko china ndio inaongoza kwa uchumi😂😂😂 kwani s walikuwa wanakataa njoo utuchambulie
@YamuremyeYarodi
@YamuremyeYarodi 6 сағат бұрын
Ili libwana lilikua likimsema biden njo mgonjwa waakili ila naon utafauti wake nayey hamna kbsa.sheria nilidhani alipopiga vita ushoga iko saw ila hamna
@adiaygo8546
@adiaygo8546 6 сағат бұрын
Kasi kwake?
@bagalucha
@bagalucha 6 сағат бұрын
Hii ni mipango ya siku nyingi,kusudia lao ni Israel kubwa na uvamizi wa nchi zingine zilizoizunguka.
@kassimbayuu
@kassimbayuu 6 сағат бұрын
Mzee kuna watu walikuwa na nguvu kabla yako, ila wameshadai na wewe utadai mzee
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 8 сағат бұрын
Hakuna jipyaa lbda apige nyukilia zaid yahpo hakuna kipya amabcho watu wagaza hawajaexperience 😂
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 7 сағат бұрын
TUANZIE HAPA YAHAYA UNAISHI WAPII UNAEISEMA AMERCA😊😊😊😢😢
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 6 сағат бұрын
@gilliardgodfriend5745 jifunze kuandika kiswahili fasaha kwanza 😆
@Georgebush-g3r
@Georgebush-g3r 5 сағат бұрын
Siyo mkwara huyu nikichaa kweri gazha patageuzwa kuzimu😢 afanalekh🙆
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 4 сағат бұрын
Sawa.hakuna wakuishi milele.
@Georgebush-g3r
@Georgebush-g3r 4 сағат бұрын
@fauzishabani2622 Imani haba
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 20 минут бұрын
munawaibia watu mali zao kila mahali duniani!!lakini bado umasikini unawasumbua !!sasa tajiri wa dunia si jambazi USA!!tajiri ni CHINA!!!
@official_6ixer_
@official_6ixer_ 15 минут бұрын
Hamna vitisho vyovyote;😅😅😅😅
@raymrash
@raymrash 5 сағат бұрын
Hao watu wa Gaza wahamishwe wote hilo eneo... maana wanaleta ugaidi na wameshindwa kujitawala.
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 39 минут бұрын
Haogopewi tena anaonekana kama vijibwa vya kufungwa minyororo trampo na jamaa yake nyetanyahu
@hallymahmohamed3516
@hallymahmohamed3516 4 сағат бұрын
Huyu ameingilia pasipoko kuwa na pakutokea
@makameomar5075
@makameomar5075 38 минут бұрын
Yani huyu jamaa aliekosa kumua kipindi kile alikosea sana
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 7 сағат бұрын
Uyu nguruwe mweupe anasemaje anadhania wanaume wanatishiwa nyau wanaume hawana cha kupoteza tena uyu trampa alitakiwa akazime moto na madumu kule anakazi gani au ni mropokaji kma mwanamke
@alihassan3648
@alihassan3648 6 сағат бұрын
Hahaha huyu mbwa hawajuwi hamas
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 3 сағат бұрын
Bado hajajifunza
@ramadhanmkandas5733
@ramadhanmkandas5733 Сағат бұрын
Ahhh Trump wacha kutisha wanaume wenzia
@WadySaidi
@WadySaidi 5 сағат бұрын
Sio marekani muungane na nato yenu kama mulivuozoea ila mateka hamuwapati mbwaa nyie wakristo
@HajiAmbali-jq9dr
@HajiAmbali-jq9dr 5 сағат бұрын
Naenda Gaza ukaliwe nyoka
@ZainaBu-zs6wc
@ZainaBu-zs6wc 4 сағат бұрын
Kwani wewe ni nani hapa dunianii
@MaishanaDavid-ej1ic
@MaishanaDavid-ej1ic 18 минут бұрын
❤Trump
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 5 сағат бұрын
Ili dingi libichwa kubwa ila ndani mifupa tuu ya fuvu 😡
@SalmanFarhad-j2h
@SalmanFarhad-j2h 7 сағат бұрын
WHO'S TRUMP
@KambaMbovu
@KambaMbovu 5 сағат бұрын
Hamasi ni wakubwa sana kwenye vita kapigana na mataifa 2 kakubwa na seem ndogo sana lakini mataka anao na yuko apo apa gaza
@Uesilamsiodiniyakweli
@Uesilamsiodiniyakweli 3 сағат бұрын
😂😂😂😂 ndo mnajidanganya hiviyo, meshinda wapi na lini, nyie hamasi mkianza kupigwa ma bomu mnavua gwanda mlizo vaa na mnakua wananchi ili mjifiche nyuma ya wananchi, piganeni kama wanaume😂😂 na kama hujui, mpango niivi baazi ya mateka warudi tu, IDF watarudi kazizini this time awataacha hata nyumba moja 😂😂
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 5 сағат бұрын
Vita isikie tuuu yaan wanaopata shida ni wasio husika kabisaa watoto , wajawazito. Na wazeee hao ndo wanateseka zaidi sasa kuna faida gani kubaki na mateka 30 au 50 huku wewe raia unao wapigania aridhi yao wanauaawa hivyo . Mataifa ya kiarabu yange washauri hao hamasi watoe mateka tuu afu muafaka uguate jamani😢😢😢😢😢
@AGM19697
@AGM19697 4 сағат бұрын
Hamas wa Tanzania wamejibanza huku wanashabikia tu badala ya kwenda gaza wakutane na mkono wa Netanyahu
@SharonOguda-u7b
@SharonOguda-u7b 7 сағат бұрын
Kwa namna ya maandiko yanavyosema wagaza wataondolewa na taifa la kigeni. Na vita itatokea😮kubwa baina ya wayahudi na nchi za kiarabu hataivo Israel itashinda vita. Na aya ni ndani ya mwaka huu 2025
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 7 сағат бұрын
unapo wapa watu ujumbe mzito ni vema ukaweka na andiko mtumishi maana wengi hawajui.
@AhmadyAthmani
@AhmadyAthmani 7 сағат бұрын
Kitabu gani maneno hayo yanapatikana ?
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 6 сағат бұрын
​@@AhmadyAthmani😂😂😂😂😂😂😂,ameona kua hii ndio sehemu yakuropoka nakutunga uongo wa haina yoyote
@AhmadyAthmani
@AhmadyAthmani 6 сағат бұрын
@@fatumamwalimu5765 nasisi maandiko twayatambuwa tena paende zote mbili yeye achaguwe kitabu kipi atakitolea ushaidi kwamaneno hayo
@AmbreenNaufal
@AmbreenNaufal 5 сағат бұрын
Alichokitunga yey aliposhiba ugali na mlenda alikuwa Hana Kaz ya kufanya​@@AhmadyAthmani
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 2 сағат бұрын
Amewekwa na waisrael lazima awafanyie kazi.. Na ndoo maana anaongea mambo ambayo hadi watu wanamshanga..
@fxmarkettz
@fxmarkettz 6 сағат бұрын
Haka kazee kana mbwembwe. Anajiona yeye ndio kaka mkuu wa dunia sio
@daslamonline4665
@daslamonline4665 5 сағат бұрын
Mtabomboa nini na majengo mmemaliza na wajuba wana magari Hadi mapya yalipo wekwa hayajulikani nendeni mkaishe
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 5 сағат бұрын
Kwakweli kuwasifia hata si vizuri kwakua. Hao mateka wachache walio washikilia wamesababisha maelf ya wapalestana wamekufa watoto wasio na hatia wanateseka . Makazi ya mabeomolewa miji imeharibiwa kwaajiri ya uchokozi mdogo tuu wa kuteka hao wayahudi wachache 😢😢😢😢😢 sasa si bora waachie ili sasa amani na mazungumzo vipatikane
@rambostalon2888
@rambostalon2888 5 сағат бұрын
Saini imedondoshwa
@saidkhatib9146
@saidkhatib9146 7 сағат бұрын
Allah atatenda jambo insha Allah kabla ya huo mda
@Mwachuomo
@Mwachuomo 7 сағат бұрын
Jambo gn
@Clever-l8v
@Clever-l8v 7 сағат бұрын
Usiwe na shaka ahadi ya Allah walinzi wa baitul maqdisi watakuwepo hadi
@MohamedOmari-y1t
@MohamedOmari-y1t 7 сағат бұрын
​@@Mwachuomounataka uje
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 7 сағат бұрын
​@@MwachuomoNenda ukamulize
@khalidmohammed3396
@khalidmohammed3396 6 сағат бұрын
Moto kashindwa kuzima mpaka leo ndo ataiweza gaza​@@Mwachuomo
@EvaPeter-u1i
@EvaPeter-u1i 8 сағат бұрын
Wapalestina sio watu mbona mmewaua sana mungu atawashughulikia
@Mumewangu
@Mumewangu 7 сағат бұрын
Hamas hawatishiki kwa vitisho ivyo? Manake wanao uliwa wapalestina hamuongei. Kumamazenu.
@MagariUsed
@MagariUsed 6 сағат бұрын
Kichwa cha habari kimekosewa na kubadilisha maudhui kabisa
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 2 сағат бұрын
Shame on you
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 5 сағат бұрын
Hunaua shda ya waislam wanajua kama hamas ni watu wema amas wario wateka sio wayaudi tu wamewateka watu wa mataifa mbari mbari ata ndugu zetu watanzania wameuwawa na hamas
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 3 сағат бұрын
Uongo nipe link uthibitishe
@StoneLiyanga
@StoneLiyanga 7 сағат бұрын
Hii mipango ya tramp ya kuwataka mateka waludi wote mara moja ananiaya kuwaua waparestina wote ili adhulumu ardhi yao
@hassanabdallah3202
@hassanabdallah3202 7 сағат бұрын
Kiswahili kigumu. Kwamba mkarwa na sio mkwara 😅😅😅😅😅
@NahimanaAisatah
@NahimanaAisatah 7 сағат бұрын
Kwanin awa makafiri wanatak kututawala insha Allah izonjama wanazo zipanga ziwaangamizi wao wenyewe
@CharlesGideon-r3t
@CharlesGideon-r3t 7 сағат бұрын
Unajua maana ya kafiri au unaongea tu!
@MohamedOmari-y1t
@MohamedOmari-y1t 7 сағат бұрын
Elezea maana yake nn​@@CharlesGideon-r3t
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 7 сағат бұрын
Makafiri + Magsidi
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 7 сағат бұрын
Makafiri + Magaidi nani zaidi ngoja tuone
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 7 сағат бұрын
​@@CharlesGideon-r3tebu tuambie manaake ni nn mana kwakua nyie ni wasomi sana
@RashidHemed-z4e
@RashidHemed-z4e 6 сағат бұрын
Ushalaaniw ww mbwa ww
@technicalgearboxenginebysc1360
@technicalgearboxenginebysc1360 5 сағат бұрын
Wakristo wengi wana asili ya upumbavu.angaria comment zao utajua akili zao zipoje
@Liberatus-k2c
@Liberatus-k2c 3 сағат бұрын
Tulie mpenda Trump 😂😂😂❤❤❤❤❤
@shabantelack5716
@shabantelack5716 3 сағат бұрын
😂😂
Кровавый лидер #сталин #китай #мао
00:55
Послезавтра
Рет қаралды 3,5 МЛН
The perfect snowball 😳❄️ (via @vidough/TT)
00:31
SportsNation
Рет қаралды 77 МЛН
Версия без цензуры в 🛒 МИРАКЛЯНДИЯ
00:47
Were Israel’s Actions in the Gaza War Justified? Eylon Levy vs. Mehdi Hasan
1:06:50
What message did Russia give to Israel?
16:50
GZT
Рет қаралды 302 М.
Young Lionel Messi Was Actually INSANE
14:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 467 М.
Кровавый лидер #сталин #китай #мао
00:55
Послезавтра
Рет қаралды 3,5 МЛН