WASWAHILI WENGI HABARI HUTEGEMEA IDHAA ZA KISWAHILI . SASA HABARI ISIPO RIPOTIWA NA IDHAA YA KISWAHILI WEWE UKARIPOTI ANASHANGAA NA HAAMINI.MFANO NIMESEMA COCAINE ILIKUTWA KATIKA VIWANJA VYA IKULU YA MAREKANI MTU HAAMINI KWA SABABU BBC SWAHILI, DW SWAHILI,VOA SWAHILI HAWA KURIPOTI.NIMEMJIBU HALAFU AMEFUTA COMMENT YENYEWE . VIDEO HII APA NDUGU YANGU kzbin.info/www/bejne/gnyzlmyIhamrgc0
@enocksitta635016 күн бұрын
Bro! Katika shabiki wako no 1 ni mm huko vzr sana safi sana kwa ufafanuzi wa taarifa mbalimbali hasa za kimataifa
@yaronaWilliam17 күн бұрын
Uko sahihi Sana mchambuzi!
@agnessfrank-x9v14 күн бұрын
Hongera sana trab
@godmbise-gj9ug13 күн бұрын
Safi sana Mwalimu
@TawfiqKatakweba15 күн бұрын
Uko vizuri kk
@salimfaraj550917 күн бұрын
Brother upo vizuri sana
@drsamsonkibona37115 күн бұрын
Safi kwa maelezo mazuri
@Mariejo123-g2x16 күн бұрын
Umeongea vizuri sana, Trump akiwa madarakani mambo yanakuwa mazuri sana, yupo up- to date na dunia inavyoenda. Hapendi vita nasaidia sana wananchi kwa kutoa STIMULUS CHECKs. Nilijua atashinda tu, kingine kilichomfanya ashinde ni evangelicals issue.
@SarhaSaid17 күн бұрын
Nakuelewa sana brother 🎉🎉🎉
@ramadhanihudhaifani437614 күн бұрын
Well said,clear points! Big up,big bro. Tuko pa1 sana!
@erickmgaya391416 күн бұрын
Bonge la mchambuzi big up bro
@AbdulBakari-i4u14 күн бұрын
Nnawasiwasi trampo anaweza kuuwawa
@deusmauka827014 күн бұрын
Acha maneno mengi, Rais ni Trump imeisha hiyo.
@euphronnduwimana-k5y14 күн бұрын
Wew U.S.A ni super power wew!!
@jerryndondole196515 күн бұрын
Patrick bet David Mwamba sana huyu
@imanuelnguya927717 күн бұрын
Mjomba mm nakukubali sana nakufuatilia sana kipindi ila sasa unakuja utusalimii wadau utukalibishi unaongea hapo ukiwa wapi au sio unaondoka utuagi utuambii jina lako ushauri tu sio Kwa ubaya
@BakariImran-q6l19 сағат бұрын
😂👆🏻
@jacksonmsendo347817 күн бұрын
Umeleezea vizuri sana
@CarlMagi15 күн бұрын
Chambua na siasa za nyumbani Tanzania basi - muungano, mifumo ya uchaguzi, haki za binadamu, nk
@KamardinTebe16 күн бұрын
Trump ni mzalendo wa kweli nampenda kwa sera zake America kwanza
@MawazoAmily16 күн бұрын
Nimekuelewa mzee baba
@JumaMkiji13 күн бұрын
Wenzetu awajawai kutawaliwa na lais mwanamke kwa sababu wanafaamu udhaifu wa kiongozi mwanamke
@mussakimaro558815 күн бұрын
Niko hapa mwanao
@mudigames547916 күн бұрын
Bro unajua 🙌
@kichenjewillian572017 күн бұрын
Concarer
@DaudiMalema14 күн бұрын
Unajua
@mndambokilavo250217 күн бұрын
Nasubiria kile elon musk anachosema "clean up"
@IDDABDALLAH-ds5vw16 күн бұрын
nice I caught u👏
@EdiltrudesMbonde17 күн бұрын
Trump ameshinda kwa sababu MUNGU anataka kumtumia katika KAZI zake kwenye maeneo magumu ambayo hata huyo Kamala asingeweza,maeneo mengine yanahitaji busara Sana,MAARIFA mkubwa na maneo mengine yanahitaji ukatili wa Hali ya juu Sana,Trump anaweza.❤🙏✝️
@innocentlethisia41617 күн бұрын
Wanaimiliki USA lakini wamelifikisha taifa lao
@DavidNdungu-n2f17 күн бұрын
Wewe Sii ulisema uchaguzi utakua nautata mwingi tenautaubia nini sasa
@nordbrowntz16656 күн бұрын
Je Mwalimu Google Tv mchakato wa Brics nikuipindua Nato kiuchumi na kijeshi?
@mukovomassivestarsdannyboy845517 күн бұрын
Akili ya KiTanzania ikichanganua siasa za Marekani😂
@NemayaAbedi-lk9lo17 күн бұрын
😅😅😂😂
@katemachanda703517 күн бұрын
Kwani haiwezekani??? Pale unapojiona una akili kumbe ndio mpuuzi...
@LeahMgunda-l8c15 күн бұрын
Wabongo kwa mambo ya jirani tuko vizuri. Ya kwetu hatuyajuui .
@katemachanda703515 күн бұрын
@LeahMgunda-l8c Sio kweli. Labda kama hapa Bongo unaishi ndani ya chupa.
@NeemaElisante-zd2dt16 күн бұрын
Trum ameshinda sababu Mungu anaenda kumtumia kufuta ushoga na usagaji na sheriapotofu zinazohalalisha ushoga na kukiponya kizazi kichajo I knew that he would win ..
@saiddgsmg14 күн бұрын
WEjamaa kama nakufahamu vile,vp hujawahi kuchezacheza masaki dsm,kwenye maisha tafazari nijulishe,kwasababu inawezekana ikawa wewe au nimekufananisha.
@gayanimwansasu17 күн бұрын
Kaka umeongea kweli kabisa
@christinainnocent318417 күн бұрын
Wewe bwana tuko America wote hayo unayosema sio kweli acha kuwajaza ujinga ndugu zetu walio nje ya America.
@riosteven240617 күн бұрын
Kwani ukiwa america ndo nini his talking only fact and the whole world we witness what is going on
@athmanimkangara929015 күн бұрын
Tupe Ukweli
@sabatoongara876311 күн бұрын
Kama uko America mbona ww haujatueleza namna ambavyo huyo jamaa anasema
@elicktilia443017 күн бұрын
Unaelewaka kwa waelewa🎉🎉🎉🎉
@ezekielmichael943117 күн бұрын
Oooh
@patrinraura139714 күн бұрын
American VOTED HON TRUMP to reforms economical power to the benefit to all majority Congratulation His excellence
@NtamamiloGibson16 күн бұрын
Muongo sijawahi kuona. Eti hawezi kupewa uraus. Republican na Democratic ni vyama vyenye Nguvu sio mtu mmoja.
@YohanaMasebo Wanaondena huwa wanatembea pamoja kwa maana ya uelewa wa mamboo
@Kachelo9616 күн бұрын
Uyu jamahaa nimuongo sn
@innocentlethisia41617 күн бұрын
USA Imetengeneza matrilionea 800 yaani wamerekani hao Yaaani unamchambua elon mask
@gabrielnjiapanda371017 күн бұрын
Huyu naye ni muongo muongo tu.
@OthmanMustafa-li6sy13 күн бұрын
NA SISI TUWE WAZALENDO TUTUMIE LUGHA YETU YA KISWAHILI KWA KUWA WASIKILIZAJI WETU NI WA AFRIKA WA KISWAHILI SAWA
@mwalimugoogletv373813 күн бұрын
Nashukuru nimekuelewa Ndugu yangu. Shukrani
@vinny.morales3 күн бұрын
Huijui Marekani wewe, hizo ni conspiracies tu!
@innocentlethisia41617 күн бұрын
Sasa ww kama USA ina shida ya miundombini na walala nje je inakuwa je super power?daah pole saana kaka USA haijengi barabara ya miaka mitano mkuu inajenga barabata ya miaka 100+ daaah
@uwimana653317 күн бұрын
Watu wanalalanje sana wengiwao huko maisha magumu sana usiadaike na jina kubwa 😂😂😂
@afropanorama473017 күн бұрын
ila kwa biden nakubali yule mzee teja ata tembea yake haiko sawa miguu kama haishiki
@donaldmgunda497013 күн бұрын
Hata Russia kuna watu wanaitwaa,oligach system ndoo wenye kuamua juu ya Russian yako,
@mwalimugoogletv373813 күн бұрын
Oligarch nawajua Ndugu yangu hawana levo ya unyonyaji wa western lifestyle
@mwalimugoogletv373813 күн бұрын
Naomba uliza mtu yoyote anajua Russian politics atakwambia Russian government is powerful than any individual
@sundawnsmedia665916 күн бұрын
Rockid family
@OmmyJames-xn7ji16 күн бұрын
He’s worse for. PALESTINE 🇵🇸
@peninahmuthoka866716 күн бұрын
Anachukia Africans
@PhilipoMwita-b2x17 күн бұрын
Haka nako sijui kanajifanya kachambuzi
@uwimana653317 күн бұрын
Tangaza zakwako watu wakufatilie mbwaa wewe kichwa kimevurugika nini 😂😂😂😂
@PhilipoMwita-b2x17 күн бұрын
@uwimana6533 lkn mm sijakutukana eti mbona wanitukana
@JomoKilawe16 күн бұрын
@@PhilipoMwita-b2xUnateseka Ukiwa Mtaa Gan Tukufate?😂😂😂
@deusbarnabas906016 күн бұрын
Ni kweli America siyo Taifa kubwa tena!
@peninahmuthoka866717 күн бұрын
He is a blackmailing man
@George-jz3jg17 күн бұрын
Pumbavu na ongo sana wewe unawaza watu uongo na upumbavu wako
@MtanganyikaTanganyika17 күн бұрын
Shoga wewe kaa kmya
@KigodaHamis17 күн бұрын
Joe Biden anaKUFIRA MKUNDU ndio maana umechukia
@SarhaSaid17 күн бұрын
Yani mashoga wana asila😂😂
@DatiusExavely17 күн бұрын
Hayo ni mawazo mazuri yawezekana kwako sababu hakuna anayejua mbona sababu hizo hazitolewa kabla Ushindi. Kila midia sababu ya kushinda Trump mara sababu za kushindwa Kamala .wachambuzi.Bwana Trump kushinda kwake ni kama muujiza Ulimwengu umepigwa Butwaa jamaa kushinda .Ndio maana midia Asilimia kubwa walikuwa wanatoa sifa zinazoonekan mbaya ,Wakifika kwa Kamala utafikili yeye ni kondoo hana shida.
@DickSmith-x8h17 күн бұрын
Very nice. I'm a Tanzanian, been here over 30 yrs and I voted for Trump 2016 and 2024