TRUMP KUUAWA NA IRAN
18:18
Күн бұрын
CHINA ANAITAWALA MAREKANI.
7:38
2 күн бұрын
URUSI USIOIJUA NI HII HAPA
10:52
2 күн бұрын
TRUMP AMESHINDA , KWA SABABU...
11:50
TUNDU LISSU: TANZANIA SIO NCHI SALAMA
10:44
TANZANIA ENGLISH
1:30
Ай бұрын
Пікірлер
@godshanthomas3297
@godshanthomas3297 22 сағат бұрын
Nakusikiliza kwa makini sana kenya watu ni maskini sana
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 23 сағат бұрын
Hivi ndio inatakiwa huyu bwana yupo nje ya nchi lakini anaupenda sana nchi yake Tanzania..sio kupinga nchi Yako uliyodhaliwa ukadhani ndio maendeleo
@manchalijob9600
@manchalijob9600 23 сағат бұрын
Kweli
@FredyVincent951753852456
@FredyVincent951753852456 23 сағат бұрын
Wakenya ,Watanzania na Waganda nadhani umefika wakati wa kuachana na hii biashara ya nani mwenye uchumi Imara. Hii hali ipo hadi kwa viongozi wetu. Mwalimu Nyerere alikua anautazama ukanda huu kwa namna tofauti kabisa. Ukubwa wetu na uchumi na kua dola yenye nguvu ni endapo nchi zetu zitaungana. Tuondokane na fikra za utengano kwa kua "Umoja ni nguvu na Utengano ni udhaifu"🇹🇿 ,🇰🇪🇺🇬
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 23 сағат бұрын
Safi sana kaka 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏💯
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 23 сағат бұрын
Hatutaki democracy TZ
@MnyongeMuganza
@MnyongeMuganza 23 сағат бұрын
wewe nimwalimu wakweli.
@yarmfayce167
@yarmfayce167 23 сағат бұрын
You're very correctly brother. #MwalimuGoogle All African people must be carefully about getting/searching information or to dill with those Westearn Medea, or they're news platforms. It's very DANGEROUS. Indeed,,,Fully DANGEROUS all meadea frome western.
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 23 сағат бұрын
Simba 🦁🦁 na yanga 💛💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕💯
@RamadhanMbwana-o1j
@RamadhanMbwana-o1j 23 сағат бұрын
Na mziki pia ulisaidia sana kuuwa ukabila karibu kila Mkoa kuli kuwa na band ya mziki...
@BrianOngattah
@BrianOngattah Күн бұрын
National sport ya kenya ni athletics😂😂munapenda michezo na hamna any medal
@BrianOngattah
@BrianOngattah Күн бұрын
Sasa huyu anasema nini😅😅
@salehsuleiman9407
@salehsuleiman9407 Күн бұрын
Je sarafu ipi yenye thamani hamuoni kuwa Tz imelala na watu wanajinufaisha ?
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 Күн бұрын
Kaka nakufuatilia sana uko vizuri mungu akupe maisha marefu.
@AyoubHajj
@AyoubHajj Күн бұрын
Kka, me naomba uwe unatuleteya uchambuzi wa matukiyo kwa series Especial geopolitics
@Pwaguzi
@Pwaguzi Күн бұрын
Democracy has not killed Kenya but Corruption..
@francismichael1258
@francismichael1258 Күн бұрын
Waambie hao
@valerianrwebandiza754
@valerianrwebandiza754 Күн бұрын
Kenya kuna demokrasia kuliko Tanzania???? I don't think so. Mpaka uwe Mkikuyu, Mkaleinjini au Mluo ndo uwe Rais wa Kenya! Kenya ina makabila zaidi ya 40. Hiyo ndio demokrasia???? Nonsense.
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb Күн бұрын
Demokrasia haina umuim wowote kwenye maendereo ndio maana wakenya hawa pigi hatua kimaendereo huumfomo sio wa kiafrica ni kwaajili ya magharibi kupandikiza vibaraka wao..!
@damasiliduke6649
@damasiliduke6649 Күн бұрын
Unajichanganya sana brother
@KigodaHamis
@KigodaHamis Күн бұрын
Huyu jamaa anajichanganya sana MIMI mwenyewe si mwelewi . Nahisi 😂😂😂
@mustafakimalio9129
@mustafakimalio9129 Күн бұрын
Siasa ni malumbano tuuu​@@KigodaHamis
@Niika870
@Niika870 Күн бұрын
Tena wakome hatutaki ujinga wao Huko wa Demoncrss sisi tunataka Majivijijini,barabala, umeme tosha
@jumaothman5019
@jumaothman5019 Күн бұрын
Mm pia sipend democracy
@jumaothman5019
@jumaothman5019 Күн бұрын
Kaka fungua group
@RonnieBertin
@RonnieBertin Күн бұрын
Kuna wabongo wamesahau. Mandela aliishi bongo na alikuwa na passport ya bongo wakati alikuwa anagombania uhuru
@salumomar5234
@salumomar5234 Күн бұрын
Halafu wanataka kupigana na mrusi
@erickmgaya3914
@erickmgaya3914 Күн бұрын
Huyu jamaa anaongea pointi sana🎉🎉
@SaidKondo-i2t
@SaidKondo-i2t Күн бұрын
Sawa kaka,twende pamoja,watatuelewa tu
@richardjuma1623
@richardjuma1623 Күн бұрын
Wa kwanza ku comment naomba like
@zakazakazi-fn6zy
@zakazakazi-fn6zy Күн бұрын
Kaka wewe ni genios hilo halina mpinzani akili mingi sana madini yamejaaa big up broooo
@amanipeace6642
@amanipeace6642 Күн бұрын
We jaamaa inaonekana huko marekani we ni mke wa mtu,ndio maana umechanganyikiwa unaongea upuuzi
@MgishaBoaz
@MgishaBoaz Күн бұрын
😢😢😮
@HenryHumphrey-mj9jw
@HenryHumphrey-mj9jw Күн бұрын
Mungu hana dini acheni kudanganyana dini ni njia za wanadamu katika kumtafuta Mungu
@JohnArobogast
@JohnArobogast Күн бұрын
Hebu Sasa tusikie kutoka kwako dini ya Mungu Ni ipi?
@erickngatunga2359
@erickngatunga2359 Күн бұрын
Huyu jamaa anasumbuliwa na ujinga, ukristo ni Dini hatari kwa sababu imekataza kuoa wake wengi?! Vp kuhusu makundi ya Dini yanayonyonga watu kwa sababu siyo wa imani yao? Vp kuhusu boko Haram,algaeda,is nk Vp Dini ambayo inahukumu kuua watu,kupiga watu mawe mpaka kufa,vp kuhusu kukata watu mikono Mafundisho ya ukristo ni samehe saba mara sabini,mpende adui yako na umuombee,mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako,Hv kuna mambo anayohitaji mambo zaidi ya haya?! Yaani tuache ukristo ambao unasema ni hatari tufuate imani ambayo inafundisha watu kulipiza kisasi,inayofundisha kuua na kuchukia wengine?!
@khamisshabani691
@khamisshabani691 Күн бұрын
mpumbavu mkundu wa mama yako na baba yako kuma la mkeo unataka kufirwa paka wee
@KigodaHamis
@KigodaHamis Күн бұрын
Napenda MiKUNDU sana na naamini MKUNDU WAKO ni mtamu sana mitumie number Yako au account Yako ya benki Nikutumie 300,000 Sasa hivi. Achana na hizi video. SHABANI KHAMISI na kufahamu sana kaka na sifa zako ziko hapa maskani wewe ni NTA na maanisha mnato
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 Күн бұрын
Pole sana ila soma kwanza ujilidhishe
@maulidmusa8902
@maulidmusa8902 Күн бұрын
Anachisena hakuwezejani Bongo Kwa Tume Na wahusika. Labda iwe tume huru Na si hii ya Rais ambaye naye mgombea wa CCM huku mihimili ya Dola wakiwasaidia
@jesuspower2390
@jesuspower2390 Күн бұрын
wakenya wengi mko kama mazuzu mko busy TICKTOK mnaota kama mtapewa Lion za bure mmezoea vitu vya kupewa pewa kujiongeza maarifa hamuwezi ndio maana wengi wenu watumwa wa waarabu GULF COUNTRIES. mnasugua sugua tu mavi za Waarabu...
@SalehSaidAhmed
@SalehSaidAhmed Күн бұрын
Yesu hajafariki alipaa kwenda mbinguni
@MbwanaIzaa
@MbwanaIzaa Күн бұрын
Ukovizuri
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Күн бұрын
Wazungu wamefanikiwa
@KhamisMcha-u3z
@KhamisMcha-u3z Күн бұрын
Urusi hawana mambo ya hovyo ila hao manyangau eee waonevu ona afrika kitumbaya walizofanya putin mmwamba wanyoeshe manyangauwaonevu cna
@konciikonsi5230
@konciikonsi5230 Күн бұрын
How can you compare kenya and tanzania enda uoge wewe
@abdulrahmankafuku3449
@abdulrahmankafuku3449 Күн бұрын
Duuh ❤
@RonnieBertin
@RonnieBertin Күн бұрын
The funny things ni mweusi anatuaibisha msenge
@Hadiharoun-w1w
@Hadiharoun-w1w Күн бұрын
Wew ni kutoka Rwanda?
@HawaBakari-u6q
@HawaBakari-u6q Күн бұрын
Kweli kaka uko sahihi sana
@JomoKilawe
@JomoKilawe Күн бұрын
👍👍
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx Күн бұрын
Kama ndiyo hivi basi namim ngoja nisilimu niwe muislam
@uwimana6533
@uwimana6533 23 сағат бұрын
Uwenamsimao wadini tu mkusilimu
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Күн бұрын
Inawezekana kuna ukweli kwa upande wa Roman Catholic. Wao ni watawala. Wana nchi yao. Lakini elewa kwamba walioazisha Ukristo siyo warumi kama unavyosema bali ni Wanafunzi wa Yesu ambao Yesu aliwaacha. Walieneza imani ya Kiristo mpaka Roma wengi wao wakauawa huko. Mfalme Constantino ndiye aliyeruhusu dini hiyo iwepo Roma baada ya yeye kuamini na kuanza kuweka taratibu zao za kidini zilizochanganyika na utawala tofauti na ukristo halisi. Ndiyo maana akina Ruther King na wengine waliasi wakaanzisha Rutheran na baadae Waingereza wakaanzisha Anglican. Huwa hakuna dini ya Mungu isipokuwa ni mfumo wa kumwamini Mungu. Lakini kumbuka Yesu alimwambiaje Petro; alisema juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa na Milango ya kuzimu haitaliweza. Kwahiyo Dini ya Kikristo iianzishwa na Yesu Mwenyewe.
@ibrahimayoub8972
@ibrahimayoub8972 Күн бұрын
Umesema kweli kaka. Hongera sana
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu Күн бұрын
Aisee, wapotevu ni wengi sana,, we endelea kutafuta wajinga wenzako.