Trump atia saini Amri ya kuondoa Wanariadha waliobadili jinsia kwenye Michezo ya Wanawake

  Рет қаралды 21,703

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tufuate kwenye Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza link hii - / simulizinasauti

Пікірлер: 184
@alexbahindolwa3921
@alexbahindolwa3921 5 күн бұрын
Hapa ndo ninapomkubali huyu mzee 💪💪..jpt
@YassirSharif-h5i
@YassirSharif-h5i 4 күн бұрын
Uhakika mbor
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 5 күн бұрын
Huyu mzee Mungu ambariki
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 5 күн бұрын
Kwenye hili co la gaza😢
@eliadaniel216
@eliadaniel216 5 күн бұрын
Safii kaz nzuri
@JacklineChales-n6h
@JacklineChales-n6h 5 күн бұрын
Good leader
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 5 күн бұрын
Inaitwa operations ondoa "Ugomora na Usodoma' hapo sawa🔥🔥🔥🏹💪
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 5 күн бұрын
Safi sana yani wakome kumkosoa Mungu 😢
@EstarMichael
@EstarMichael 5 күн бұрын
@@ashurajengela3926 Yani hatakama wazungu hawatupendi lakini kwahili Trump nimekuelewa sana..No Sodoma na Gomora..good 👍❤️
@fatumaomary9635
@fatumaomary9635 4 күн бұрын
Yuko sahihi sana apo..walio mkosoa Allah ao ..
@OligahmwakabokoKilale
@OligahmwakabokoKilale 5 күн бұрын
huyu ndiye raisi
@bellacaramella2196
@bellacaramella2196 5 күн бұрын
Safi sana👏
@kanukanute2722
@kanukanute2722 5 күн бұрын
Safii sqn Trump
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 5 күн бұрын
Yani hapo mwamba Trup ndipo unapo nikosha kabisa yani napenda unavyo shenyeta awo washenzi wakinjinsia ❤❤❤
@vibetz9991
@vibetz9991 5 күн бұрын
Safi,,,,ilikua sio fair
@elishaelishaedward9454
@elishaelishaedward9454 5 күн бұрын
Kaziiendeleee
@abisairobert4864
@abisairobert4864 5 күн бұрын
Mungu mkubwa, Asante Mungu.
@rahjah5882
@rahjah5882 5 күн бұрын
Bravo 👏🏽
@mussaisaac
@mussaisaac 4 күн бұрын
Safi sana mzee Trump
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 4 күн бұрын
Safi
@successuncovered
@successuncovered 5 күн бұрын
Namkubali sana
@doubletapkama3901
@doubletapkama3901 5 күн бұрын
tunafurahia sana
@lentclassic4669
@lentclassic4669 4 күн бұрын
Kwnye hili namkubali wauwawe kbs
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 5 күн бұрын
Asante makonda
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 4 күн бұрын
🙌 my president 👏👏👏👏
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 5 күн бұрын
Super
@weezomnyamwezi
@weezomnyamwezi 4 күн бұрын
Ankoo nakukubali
@Yness-vh4yy
@Yness-vh4yy 5 күн бұрын
Good!
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 5 күн бұрын
Noma sana
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 күн бұрын
MZEE WA KUKATA FOLENI , NA KUREKEBISHA AKILI NA TABIA ..
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 5 күн бұрын
Hataki watoto waendelee kuhalibika
@dn.n4983
@dn.n4983 5 күн бұрын
This is good am with him 100 percent this one I will give him reward for sure Thanks Mr Trump
@marthageorge5043
@marthageorge5043 5 күн бұрын
Trump 👏👏🔥🔥❤
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx 4 күн бұрын
Hapa trump mitano Tena
@vanessagrace771
@vanessagrace771 5 күн бұрын
SAFI SAAANA
@wadantz123
@wadantz123 4 күн бұрын
Ikiwezekana wachapwe ata bakola 😂😂
@Worldwide96-06
@Worldwide96-06 5 күн бұрын
Kwa hili yupo sawa
@victorcharlesmwakikoti7764
@victorcharlesmwakikoti7764 5 күн бұрын
Unakata uume nakuweka uke ,kwa hiyo wanaona wenye uke wanafaidi?😢
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 5 күн бұрын
Kazi wanayo😂😂😂
@LidiaArmiya
@LidiaArmiya 4 күн бұрын
Wow 🎚️🙏❤️❤️❤️
@Samwelianaseti
@Samwelianaseti 5 күн бұрын
Jamaa anagusa kila kona
@mscantraah8210
@mscantraah8210 5 күн бұрын
Very good super 💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 5 күн бұрын
Mtu anae mpiga Trump lazima ana mwinekano wa kishoga
@DanielMalundi
@DanielMalundi 5 күн бұрын
Hapo namkubali ntrampo
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 күн бұрын
Safiii🎉🎉
@abdallahkhalfan3966
@abdallahkhalfan3966 5 күн бұрын
Huyu jamaa kama panya anatafuna na kupuliza huyu jamaa anawachukiya sana watu wa Gaza na Palestine.???
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 5 күн бұрын
Ana ng'ata na kupuliza vipi!! Trump ni mmarekani, na ana wapenda wamarekani tu!!
@Lastbornecadet
@Lastbornecadet 5 күн бұрын
Vimeingilianaje na gaza
@Drsilo-v5k
@Drsilo-v5k 5 күн бұрын
Shetan hili
@nassoroc
@nassoroc 5 күн бұрын
Yeye ANAUMA TU, watu wasiomwelewa ndo wanadhani anauma na kupulizia! Huku Afrika amepata mashavu sana kwa sababu WENGI wanashindwa kutofautisha kati ya hoja yake ya Kutambua JINSIA MBILI TU na Suala la Mashoga! Wengi mnadhani anaposema anatambua Jinsia Mbili TU maana yake anapiga Marufuku Ushoga kumbe ni vitu viwili TOFAUTI!
@adiaygo8546
@adiaygo8546 5 күн бұрын
​@@lexq-sm6lqacha ushoga kama anawapenda wamarekani mbona kuna maandamano ya kumpinga😮
@Georgebush-g3r
@Georgebush-g3r 5 күн бұрын
Next atasain amri ya kuwanyonga kabsa wote walio badiri jinsia😂 baba ana heka heka huyu🙌
@wemakalama6458
@wemakalama6458 5 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣haha
@bernadethamlundebartlett387
@bernadethamlundebartlett387 5 күн бұрын
😅😅😅😅lol...
@nassoroc
@nassoroc 5 күн бұрын
Kwanini asingeanza na tamko la Kupiga Marufuku USHOGA?! Au na wewe unadhani suala la kubadili jinsia na ushoga ndo kitu kile kile?!
@Georgebush-g3r
@Georgebush-g3r 5 күн бұрын
@@nassoroc unampangia Cha kufanya? Duuh Sasa wewe unafikiri mtu ataanza kubadiri jinsia bila kuwa na itikadi za upinde? Kama unawaza hivyo bila shaka ww ni mgonjwa🤔
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@hanifa9153
@hanifa9153 5 күн бұрын
Apo kwenye ushoga na masago tu ndo me humuunga mkono but kwenye umwagaji dam hapana aende peke yake na dua mbaya ntamuombea😂😂
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h 4 күн бұрын
Kabisa
@Peaceman-S
@Peaceman-S 5 күн бұрын
VIVA TRUMP VIVA MUNGU ATAKUPIGANIA PIGA KAZI MY PRESIDENT 👏👏👏👏🫡🫡🫡🫡🫡
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 5 күн бұрын
Viva viva😂😂
@surusuru1994
@surusuru1994 5 күн бұрын
😂hapa 100👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥✌️
@AmaniMathod
@AmaniMathod 5 күн бұрын
TRUMP HAO MATAJILI WOTE WA MAREKANI NI MASHOGA INAHITAJI NGUVU YA ZIADA.... MAREKANI INA LAANA YA USHOGA....WATU WA MAHAKAM WOTE MASHOGA...
@aysherkabby5937
@aysherkabby5937 5 күн бұрын
Now ur talking!!! 😂😂✍🙌
@ellymaz2187
@ellymaz2187 5 күн бұрын
Amri hii siyo tata. Ni uhalisia
@danielamosi2970
@danielamosi2970 5 күн бұрын
Trump 🤝
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 5 күн бұрын
Angelikuwepo mzee Baba JPM combination yake, Trump,Putin na H.Traore pangechimbika 😆🤣
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 5 күн бұрын
Anamazuri mengi kuliko mabaya alinikera zaidi tu aliposema wa palestine waame gaza kwakweli kwenye hilo kakosea sana amefwata matakwa ya shetani netapaka
@Uesilamsiodiniyakweli
@Uesilamsiodiniyakweli 5 күн бұрын
Shetani babahako mzazi wewe mbwa
@nassoroc
@nassoroc 5 күн бұрын
Na ataendelea kukukera tu kwa sababu hata hili anakufurahisha kwa sababu wengi mnadhani suala hili lina uhusiano na mashoga kumbe hakuna uhusiano wowote na mashoga- na mashoga kama mashoga wanaendelea kutatuana marinda kama kawaida na hajatoa tamko lolote la kupinga ushoga hata kama watu mnadhani suala la kutambuliwa jinsia mbili tafsiri yake ni kutotambua ushoga!! Taifa Laanifu kama Marekani KATU haliwezi kupiga marufuku ushoga!!
@Drsilo-v5k
@Drsilo-v5k 5 күн бұрын
Ww hujui km ana mazur mtaon tu hili shetan tuu km mashetan
@Happy-n5i5x
@Happy-n5i5x 5 күн бұрын
anakulisha huyo trup matako watu weusi baana shobo tu unatukana watu utafikir baba yako ​@@Uesilamsiodiniyakweli
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 күн бұрын
Pole Netanyailu sio shetani
@Youngruler_999
@Youngruler_999 5 күн бұрын
Okay ✅
@MatendoMenganyi-xq8lx
@MatendoMenganyi-xq8lx 5 күн бұрын
Heeello Mr.president, Trump the great
@RajabuHemedy-f1n
@RajabuHemedy-f1n 5 күн бұрын
Atafukuza adii watu weusii😂😂
@Safi0701
@Safi0701 5 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@mr.erickmwacha8575
@mr.erickmwacha8575 5 күн бұрын
Secret service do you worry about them?? that will be a big problem
@kisalaTV
@kisalaTV 5 күн бұрын
Maji wataita mma mwaka huu😂
@fundirobbi
@fundirobbi 5 күн бұрын
Awafungie na madoctor wanazo Fanya hizo kazi za kubadili hayo maumaumbile na hizo hospital
@MfiriNasawe
@MfiriNasawe 4 күн бұрын
Trampo ni myahud
@Chw_Kdmn83
@Chw_Kdmn83 4 күн бұрын
Utata uko wapi hapo?!
@adiaygo8546
@adiaygo8546 5 күн бұрын
Hapo kwenye hiyo video hakuna muamerika mweusi hata mmoja😊
@SalimMohamedFaraj
@SalimMohamedFaraj 5 күн бұрын
Hata mimi nimetazama sikumuona black naona wazungu tu, hata mmoja huyu jamaa kweli nimbaguzi
@khloevibe7569
@khloevibe7569 5 күн бұрын
hv unajua ao wamarekani weusi hawanaga shobo na waafrica... wanatudharau kinoma we angalia interview zao kwahyo acha na wenyewe wabaguliwe
@Precious-dear
@Precious-dear 5 күн бұрын
Yaani hao wa America weusu wanatudharau sisi Africa vibaya sana@@khloevibe7569
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 5 күн бұрын
Mbona Jana Dodoma hakukuwa na Mzungu hata mmoja wao hawalalamiki kila mtu apende ndugu zake"
@bulasaleheramadan3737
@bulasaleheramadan3737 5 күн бұрын
True kk ​@@khloevibe7569
@SalimMohamedFaraj
@SalimMohamedFaraj 5 күн бұрын
Hata mimi nimetazama sikumuona black naona wazungu tu, hata mmoja huyu jamaa kweli nimbaguzi
@ROBERTMAPIKAH
@ROBERTMAPIKAH 5 күн бұрын
Kwa hiyo mzee unasapoti ushoga:jamaa yupo vizuri sana huko marekani ni kwa wazungu kwa hiyo Hao weusi unaowataka wawepo hapo Haina maana mzee
@Peaceman-S
@Peaceman-S 5 күн бұрын
Tanzania mashoga n wengi sana tunawajua kwenye COMMENTS huwezi kuwa unaakili timamu umetoa macho kuangalia watu weusi kwenye vitu vy msingi Pumbavu kabisa
@Williamstozzo
@Williamstozzo 5 күн бұрын
Black kwenu Africa
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu 5 күн бұрын
Watanzania mnapenda sana kutafsiri kila kitu, sasa kama hakuna ambae yupo kwenye ilo shindano kosa la trump apo no lipi!? Na je mmeona watu wote ?? Acheni kuchochea sumu
@MichaelEustach
@MichaelEustach 5 күн бұрын
Hapa kaz tu
@simontemba1851
@simontemba1851 5 күн бұрын
Jinsia mseto shenzii kbsa
@laurentshedrack4256
@laurentshedrack4256 5 күн бұрын
Trump🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@OmegaJustine
@OmegaJustine 5 күн бұрын
Trump #Leader and not Manager
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 5 күн бұрын
Kizuri utapongezwa na kibaya pia tutakupinga
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 5 күн бұрын
Kabisa toa mabwabwa yote
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 5 күн бұрын
Apambane na nchi yake kishoga maana nchi yake imeoza kwa ushoga kila sekta mashoga anakazi kweli kweli
@JustusNteghay
@JustusNteghay 4 күн бұрын
Nchi zote zimeoza kwa ushoga na usagaji.Kwa siri au wazi.Nchi za kiaarabu mbona hamzigusi?Mbona nao wanapandana sana! Fuatilia
@mainaimma1114
@mainaimma1114 5 күн бұрын
MSISASAHAU APENDI WATU WEUSI😂
@aceofspades3728
@aceofspades3728 5 күн бұрын
Nenda kule ...acha propaganda kama huelewi nyamaza he is the white president with the history of having a lot of black rappers as friends..tuliiiiiia
@Patrick-w1j
@Patrick-w1j 5 күн бұрын
Tunajidharaulisha wenyewe kwa kupenda misaada ambayo inaishia kwenye matumbo ya wanasiasa na watu wachache..
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 5 күн бұрын
Anaempinga tlumpu ni shetani na wafuasi wake
@mr.erickmwacha8575
@mr.erickmwacha8575 5 күн бұрын
Bora asee Yan USA n wahovyo mnooo. mwanaume unajibadili af unaend kushindana na wanawake kweli??
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 5 күн бұрын
Trump Hana haja ya maahoga wala wasagaji!!!!! Yaani hapo trump mtamuua lakini hata iweje
@Patrick-w1j
@Patrick-w1j 5 күн бұрын
Safisha UOZO mwamba ndicho uliahidi wamarekani😅
@GMNGroup-g7v
@GMNGroup-g7v 4 күн бұрын
Sijaona mtoto mweusi hapo 😂
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 5 күн бұрын
Democratic inangeendelea kupitia kwa rais kamala haris. Dunia ingeisha😢😢 uyu. Ndo mwamba ss
@KitangariGenerations
@KitangariGenerations 2 күн бұрын
Chuma hicho
@gideonmusyoki5115
@gideonmusyoki5115 5 күн бұрын
Trump is not a pretender he is very truthfull unlike others that don't keep their word
@SaidiUchebe
@SaidiUchebe 5 күн бұрын
Tatizo na yy nae sio Muslim kwaiyo iyo ni kazi buree tuu angekua muislam alafu angefanya ayo mamb angepata faida sanaa
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 5 күн бұрын
Safisana. Hii ni nafuu na itadhibiti Kasi ya wajinga kubadili jinsia kisa kutimkia US
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 күн бұрын
🙌🙌🙌🙌❤️‍🩹❤️‍🩹❤️‍🩹Amen
@BabuuMarealle
@BabuuMarealle 5 күн бұрын
Trump sema jambo kuhusu tanzania hasa sekta yà madini
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 5 күн бұрын
Inamuhusu nn
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 күн бұрын
Khaaaa
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 5 күн бұрын
Ingekuwa Enzi ya Jiwe angesema ila saiz aseme nini wakati kampuni Yao Ya Barrick inamiliki Karibu migodi yote Tz
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 4 күн бұрын
Mwamba huyu hapo
@kimthreestevie3966
@kimthreestevie3966 4 күн бұрын
Sijaona mtu mweusi
@KHAMISRASHEED1796
@KHAMISRASHEED1796 5 күн бұрын
❤✊🏼🫡
It's the natural ones that are the most beautiful#Harley Quinn #joker
01:00
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 19 МЛН
SHE CAME BACK LIKE NOTHING HAPPENED! 🤣 #shorts
00:21
Joe Albanese
Рет қаралды 19 МЛН
String Competition for iPhone! 😱
00:37
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 29 МЛН
Who is that baby | CHANG DORY | ometv
00:24
Chang Dory
Рет қаралды 35 МЛН
Young Lionel Messi Was Actually INSANE
14:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 467 М.
Palestinian Gen Z: What solution do you prefer for the conflict?
12:01
Corey Gil-Shuster
Рет қаралды 334 М.
#LIVENAGEE: USIOE MOMBASA BILA KUJUA HAYA.
25:22
madinidotcom
Рет қаралды 23 М.
We Moved to Armenia!
6:29
American in Armenia
Рет қаралды 21 М.
It's the natural ones that are the most beautiful#Harley Quinn #joker
01:00
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 19 МЛН