Wallahi huyu chalii anakuja ku conquer hii market ya comedy imagine akifika 20 years atakuwa famous sana patia yeye likes mingi
@lobayawilliam19793 жыл бұрын
Hes so amazing jaman
@ttcomedian3 жыл бұрын
Asante sana keep on supporting
@Moneymind20503 жыл бұрын
Anaturn 5 next month
@ezekiahchidowu39813 жыл бұрын
Great Tt. Sijawah omba hapa watu waonyeshe like, wale tunamwelewa Tt, ebu dondosha like. 🇹🇿
@rozaliajoseph42763 жыл бұрын
"Nothing can save you isipokua pesa"..dawa ya Deni NI kukopa Tena🤣🤣..much love from 🇹🇿,,never disappoint TT❤️
@lewisgitonga34043 жыл бұрын
Wow! This boy is on another level. Much love from UK( United Kenya)🇰🇪🇰🇪
@ttcomedian3 жыл бұрын
Hahahaha thank you,keep on supporting
@LydiahWanjala7 ай бұрын
🇲🇼lnbedera ni ya TT
@josphinewagesi98763 жыл бұрын
Mungu wa vipawa yupo .napenda Sana venye mungu amembariki tt na kipawa ,apewe like kaa zote
@njugunathomas55263 жыл бұрын
Team doha qatar still following n supporting this young talent 👏👏👏🔥🔥🔥
@KINARA-0473 жыл бұрын
Kabisa 👊👊
@comedianlawrent38553 жыл бұрын
Aiseee naombeni likes from tz za tt
@mmadiausiy98103 жыл бұрын
Dawa ya kukopa urudi ukope tena! Hahahah good boy good job mwache zulpha abaki na sura ngumu!!
@shabaniselemani52073 жыл бұрын
Daaah mm ni miongoni mwa wafatiaji wa hii acc Asee Jah bless sana chalii namuona mbali sana kwa hii industry
@taifakubwa42993 жыл бұрын
followers wa TT COMEDIAN EAST AFRICA tujuane
@kevinngetich18973 жыл бұрын
Don't i love this boy!!?. Eti kuna time unapata tupesa twako unaandika list............. ni heri ukule tu hio pesa.🤣🤣🤣🤣💯💯💥
@mcchatrika42213 жыл бұрын
Ahahaha tt comedian Ako funny 🤣🤣 eti unataka uniue mmh, hii mende ni fresh na haijaiva n nyama 😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣
@reginakaloki65903 жыл бұрын
Tt you are one in a million. Have also learned that pweza ni octopus in english. Big up TT
@SteveLutherKingJr3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂TT we thank God for giving you this talent.. keep it up 👍
@bigboss11923 жыл бұрын
Daah huyu mama mm nampenda dana wallah ♥ mavazi yake ya heshma sijawahi kumuona amevaa nguo za kijinga wooow mama siku nikija Africa nitakutafta mama saloooot. Jaman mjukuu tumekumisss
@kiri58073 жыл бұрын
anajua dress code kutokana na position yake yeye ni bibi hawezi kuvaa sawa na mjukuu .
@hamidaalhabsi85683 жыл бұрын
Maashallah maashallah TT kweli kabisa waafirica nikunawa mikono jamani na kulipa hutaki TT nawapenda wote sana💕💕💕
@Kenyanewsalertstv3 жыл бұрын
1000 likes za tt ziko wapi
@Allygibison3 жыл бұрын
Just love this ka boy TT
@juliuschacha63263 жыл бұрын
I would like to join the boy
@juliuschacha63263 жыл бұрын
I love him
@okothvicton46583 жыл бұрын
S
@phoneshopkenya24053 жыл бұрын
77383the same but I think 87u4
@fridahnyamu69063 жыл бұрын
Nothing can save you isipokua pesa,,kweli kabisa,I like this
@titosalali20873 жыл бұрын
Hahahahah TT bwana dawa ya kukopa ukope tena duu 🇹🇿🔥🔥🔥🔥
@ttcomedian3 жыл бұрын
Hahahaha habari ndio hiyo
@evangelistannah19123 жыл бұрын
😂😂😂
@erickthegreat18873 жыл бұрын
Atleast kenya has got a real kid comedian, we luck those things in Tanzania, ours are not as funny as Titi is, the accent kills me 😂😂, best of luck titi
@evanskalama76363 жыл бұрын
Si mko na dogo sele
@erickthegreat18873 жыл бұрын
@@evanskalama7636 dogo sele hayuko real kama TT, TT has got everything, you know TT ata akitembea tu bas ni so funny, you lucky guys Kenya
@ttcomedian3 жыл бұрын
Wow thank you,keep on supporting
@MabawaVocal3 жыл бұрын
Thanks
@rebeccahjonah8403 жыл бұрын
Dogo sele jamani
@dorcasruth50883 жыл бұрын
Tembea na OCS watu wamjue TT,tunangoja kuona mwenye hurudia makosa yako! Nway uko juu tu Sana, keep it up
@foinacakes3 жыл бұрын
Zulpha ameamua kutumia kichwa kama kifuniko ya maji😂😂😂😂😂😂😂
@israelkodiagaderrickbambatta3 жыл бұрын
This Boy is simply a gem. He reminds me of Gary Coleman( Arnold) of different strokes. Let's all support this unique talent .
@ttcomedian3 жыл бұрын
Thank you so much.. we will always work hard towards that
@israelkodiagaderrickbambatta3 жыл бұрын
We're ready and fully prepared to nurture this very unique talent by all means. I see him in the league of Immanuela and Brigid Bemba.
@nurafedrick3783 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣hatari mtoto we mwafrica nikunwa mikono 🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️hehehe mende naumemaliza msosi@@@@eti mende nimbichii
@ttcomedian3 жыл бұрын
Hahahaha
@hajjikasujja823 жыл бұрын
TT MY BEST COMEDIAN ati mbuzi za wasomali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭🤣🤣 Ati supu ya pweza 🤣🤣🤣 Dawa ya kukopa ,rudi kopa tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭🤣🤣🤣😭😭😭😭🤣🤣🤣
@uwimanauwimana76923 жыл бұрын
Huyu sio mtt ni mtumzima 🤣🤣🤣👌
@hajjikasujja823 жыл бұрын
@@uwimanauwimana7692 ati supu ya pweza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jennyharris65923 жыл бұрын
Zulpha babe wacha na TT kabisa 😃😃🤣🤣
@ttcomedian3 жыл бұрын
Hahahhaha mwambie askie
@jennyharris65923 жыл бұрын
@@ttcomedian yaani ndo akuachie amani yako 🤣
@MCHUMIA3 жыл бұрын
Tt natafuta Churchill akuhost kwa show yake . I love your comedy
@michaelgitongawanjira60133 жыл бұрын
Simply the best comedian globally. There is God in heaven.
Kijana ako top...the future is bright for the young man.
@alexandrucarmen31853 жыл бұрын
Nilivyosikia tu waiter..... nimecheka kama fala❤❤❤🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fntv40093 жыл бұрын
Hao wachawi wa dislike mungu anawaona.. U want to kill tt after kununua plot kiambu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥tunawaona kwa umbali😜😜😜😜
@uu37993 жыл бұрын
طكم
@mathiaslyamunda25263 жыл бұрын
Hahahaha nimecheka sana hiyo statement..
@naomimaosa50613 жыл бұрын
TT alipe bill ya hoteli this is baaaad ...am annoyed with TT nitamshtaki kwa OCS
@edwarduhinda69893 жыл бұрын
TT☝️🌎🔥🔥🔥🔥🔥🔥love from Rwanda 🇷🇼
@ttcomedian3 жыл бұрын
Wow thank you,keep on supporting
@edwarduhinda69893 жыл бұрын
@@ttcomedian sana 🔥🔥I have to do ✌️and you continue to make us happy 😂😂
@LegendsOfArt_production3 жыл бұрын
Hata mie nitaanza kutembea na Komba mwiko kama TT ndio Nikule Minofu Sawia na zake 😂😂😂
@tiffanyjenner8833 жыл бұрын
Am sure Tt. Is going to impress us with his talent 🥰🥰🥰💃💃💃💃
@simbasilvervibes86493 жыл бұрын
Yes
@vidoke92873 жыл бұрын
He's doing well
@rankyrank53913 жыл бұрын
Money= Food poisoning Msoto= Tumbo kuuma 🤣🤣🤣🤣🤣
@ttcomedian3 жыл бұрын
Hahahaha
@bethuellimo71553 жыл бұрын
@@ttcomedian wau
@sheillamigare31843 жыл бұрын
How Amazing is this boy😍😍😍😍Titi 10yrs to come you will be a billionaire,, Congratulations
@ahmedabdikadir66723 жыл бұрын
TT is our upcoming talent we r here to support u💪💪💪💪💪💪
@ajghtv3 жыл бұрын
am happy waiting for you to like my comment😀😀😀
@amoskorir11363 жыл бұрын
Halafu kuna hawa mashetani wanadislike,Good work for TT
@neemasamwel95453 жыл бұрын
Washenzi watupisheeee
@gachanjajosephat41873 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 TT, u kill. At Zulpha anatumia kichwa kama nini?? Today TT u are on another level.... Lot of love from me toto... Kumbe matajiri hawaumwi na tumbo, food poisoning.... Love it....
@ashaomina80943 жыл бұрын
Hapo sawa kabisa kijana wetu good job thank you
@ayoublupande39873 жыл бұрын
Huyu mtoto kaleta mapinduzi makubwa sana kwenye comedy aisee mai zumo kapata mpinzani wa kweli nampenda huyu dogo aisee mungu ambariki san
@everlyneachieng39723 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 TT you have nailed it dawa ya kukopa ni ukope tena
@vincentonyango98013 жыл бұрын
Eti bazenga kama mm,haki TT.....keep the fire burning
@mariamnekesa71863 жыл бұрын
Wooow that boy is going higher and higher 💃💃💃💃👍👍👍👍👍👍
@ttcomedian3 жыл бұрын
Thank you,keep on supporting
@gashayijahumberto36713 жыл бұрын
@@ttcomedian I like TT comedian
@jacobchaga3 жыл бұрын
Ni pesa umaliza shida ama ni shida umaliza pesa Mbuzi za Somalia 🤣🤣🤣🤣
@ttcomedian3 жыл бұрын
Hahahaha keep it locked
@fellymulumba93863 жыл бұрын
TT Formidable toujour excellent bravo l'artist 👌
@watumnjangu83123 жыл бұрын
TT can always settle the issue . Be like our president 😁😁😁🤔
@peterkaruga88473 жыл бұрын
TT unaenda mbali..I like the way u walk
@ttcomedian3 жыл бұрын
Hahahaha thank you,keep on supporting
@emmaculatejohn1283 жыл бұрын
Eti mbuzi za Somalia zenye hupanda miti, 😂😂😂😂😂aaaaagh wewe TT, I WILL BE DE SUPER STAR WETUUU✌️✌️✌️✌️HONGERA
@tashankermsoo17753 жыл бұрын
Dogo Lao 👊 Siku mbavu zangu utavunja ,moja kwa moja tupatane Diani police station. Penda wewe bure💋💋💋💋💯
@abdallakithi63943 жыл бұрын
😂😂😂😂
@henryomare48383 жыл бұрын
TT uko tu mbele sana kwa maamzi yako. Keep up.
@hurumameshack90913 жыл бұрын
Nakupenda sana tt....im watching from 🇹🇿
@محمدالقايد-د6ب3 жыл бұрын
Also me I'm watching from 🇹🇿
@catemelody38353 жыл бұрын
Churchill ama jalas should invite this small guy in their show
@lonnykivuti83423 жыл бұрын
Sure
@faithmusembi72373 жыл бұрын
Yaeh
@henryopwaka19063 жыл бұрын
I'm sure It'll be lit 🔥
@janekavere3 жыл бұрын
Dogo mkali sana
@chelilimkirwa58033 жыл бұрын
Yeah sure
@mosesmogaka17043 жыл бұрын
Aki TT comedian uwezi Kula chakula iko na mende😂😂 😂 uko na akili mingi wewe kazi nzuri
@farhiyajamaa77173 жыл бұрын
TT thanks from Somalia 🇸🇴 🇸🇴 🇸🇴 🇸🇴
@ttcomedian3 жыл бұрын
Wow thank you,keep on supporting
@sharmaarkehussein743 жыл бұрын
TT thanks too from somalia 😍❣️👊👊👊
@FelynTishi3 жыл бұрын
I also miss mzee wa kofia 😌
@calvinhartofficial3 жыл бұрын
Yah💯 churchill should give this talented kid a chance @ his show🙏
@advent_films3 жыл бұрын
I don't think so, He's doing better on his own
@winyrose85313 жыл бұрын
TT nimekuona unacheza vizur sana hii game naimefuta Sana mtoto wangu anatamani Sana kucheza na ww na n mtoto ako na kipaji ya kuingiza dhafatali naomba umujukue from Kenya thika na nitakutumia kitu kwa mpesa
@evederrick67433 жыл бұрын
😂😂😂Eiiish tt eti Dawa ya kukopa rudi Uko tena adi shosh Ame cheka
@sethronexke.3 жыл бұрын
🤣🤣🤣it's going to be 🔥🔥🔥
@hanashhanash5353 жыл бұрын
Zulfa na TT nawapenda Sanaa alafu unavyo mpenda TT wanikumbusha shosh wangu
@ramakamole1003 жыл бұрын
Hii menu si rafiki kabisaaaa na mfuko😃😃😃😃
@ttcomedian3 жыл бұрын
Hahahaha
@tatumluv60543 жыл бұрын
TT alimuchanua lkn hakuelewa bado akaleta food
@mahmudyahya61403 жыл бұрын
TT labda nı ufupı ako nao lkn sı mtoto......endelea baba tuko na wewe 💓
@maishjunior46513 жыл бұрын
Ni mdogo, you can see how he speaks English
@kelvinruyembe50203 жыл бұрын
Huyu dogo anazingua sana 😂😂😂 ana maneno sijui anatoa wapi na umri wake.
@ttcomedian3 жыл бұрын
Hahahaha
@jimmymumo52693 жыл бұрын
Ni script
@kelvinruyembe50203 жыл бұрын
Hata kama ni script, ana deliver vizuri sana na anaonesha uhalisia zaidi He is talented
@kelvinruyembe50203 жыл бұрын
Hata kama ni script, ana deliver vizuri sana na anaonesha uhalisia zaidi He is talented
@Robation263 жыл бұрын
TT's talent must be natured and protected. Great work!