Рет қаралды 4,934
Kaimu SHEIKH WA MKOA WA DSM SHEIKH WALID IBN SHEIKH ALHAD OMAR akiwaomba Wapenzi wa Mtume Mohammed (s.a.w) kuacha mazoea ya kuwaalika msharif kwenye Hadhara za Mtume (s.a.w) kwa kuwapa kufanya dua na fatiha na kuondoka bila kusema chochote na kuridhika