Safi sana wapendwa,mm nawafutilia KUTOKA PAROKIA ya familia TAKATIFU HAI MJINI KWAYA MT.CESILIA
@marineusmutongore8 ай бұрын
1:36 huyu mwimbaji ameonesha kula na kunywa kwa vitendo wakati anacheza stail na kuimba - brilliant !!!! Super !!! Kaweza sana !!! 🎉🎉🎉🎉🎉 conglaturation !!!
@stevenkalenzo6457 Жыл бұрын
Safiiii mnoo sauti nzuri mnoo wimbo mzuri mnoooo huyu mwl anajua kuchagua nyimbo,,,, Wanakwaya mbarikiwe mnoo kwa kulitangaza jina la MUNGU
@victoriamwangulube9151 Жыл бұрын
Namuona mdogo wangu Jackline Haule 🥰🥰🥰👏👏👏👏
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Mbarikiwe.na.Bwana.yesu♥️
@calvintarimo4019 Жыл бұрын
Hongereni Sana tunabarikiwa Sana nanyi
@lukakunambi9604 Жыл бұрын
Nakuona broh patrick kaz nzurii
@ernestusogeda7793 Жыл бұрын
Aisee! hatari sana hii kitu
@innocentmlingi4066 Жыл бұрын
Hongera kwa mtunzi na Wana kwaya Kazi nzuri sana
@YohanaMkenda-mt3pg Жыл бұрын
Hakika kumtumikia Mungu ni kushinda.
@MerryGidion-vc7sc Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana 🙏🙏🙏
@tempochoir2 ай бұрын
Namkubali sana huyu mtunzi, mmeutendea haki mmeimba kwa utulivu vizuri 👏👏👏
@stellajerome-kw4rg Жыл бұрын
❤Kuimba rahaaa,nawapenda waimbaj wenzangu
@PASTEURMURHULA Жыл бұрын
Mubarikiwe sana kwa uimbaji bora
@glorygermini2824 Жыл бұрын
Hongereni sauti nzuri Sana🙏❤️
@KelvnRevoo-dn5mp Жыл бұрын
Hongereni sana watumishi wa Mungu
@filbertmnganya5666 Жыл бұрын
Kitu kitamu sana,Mungu azidi kuwakuza katika utume wa uinjilishaji Kwa nyimbo❤❤
@kundaruamassawe3353 Жыл бұрын
Kazi nzuri mno Mungu azidi kutukuzwa
@DjTijay254 Жыл бұрын
wimbo mtamu...Barikiweni
@januarius-js2xl Жыл бұрын
Hongereni Sana soprano na Alto wako 🔥🔥🔥🔥🔥
@winnieavit5985 Жыл бұрын
❤
@VivianaShayo Жыл бұрын
Hongeren 🎉Sanaa jmn nimependa mnooo 😊
@stephenwmbua1144 Жыл бұрын
Kazi nzuri Tenges@Panist
@ireneshobe1042 Жыл бұрын
Woooow wimboo mzuri sanaaaaa hongereni sana wanakwaya. #Naipenda sana Ekaristiii
@Patrick_Mndeme Жыл бұрын
Join the team basiiii
@ireneshobe1042 Жыл бұрын
Mpo mbali😂
@Patrick_Mndeme Жыл бұрын
@@ireneshobe1042 wapiiiii😂
@ireneshobe1042 Жыл бұрын
Si mpoo Moshi 😓😓
@AlfredKimaryo Жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri
@MarySilayo-ed1cw Жыл бұрын
Hongereni wanakwaya wote kwa kazi nzuri🥰😍😘😍
@SubiraNanyanje-tn1sp Жыл бұрын
Kuimba kutamuuuuuu congrats bandugu zangu
@albertmaneno5 ай бұрын
Saaafi
@gregory-kl1zs Жыл бұрын
Ni wimbo mzuri mno uliyo na sauti tamu zakupendeza. Aim even higher than this.
@joycesilayo739 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua
@anastaciamuema Жыл бұрын
Kazi safi sana!👏👏👏
@DirectorMdeteTM Жыл бұрын
Asante
@Patrick_Mndeme3 ай бұрын
Karibu Moshi
@martinarchard2258 Жыл бұрын
nice be bleseed❤❤
@innocentzablon4682 Жыл бұрын
Nabarikiwa ssna na wimbo hu Sana yaani
@gilbertalex3277 Жыл бұрын
Hongereni sana , wimbo mzuri sana
@innocentzablon4682 Жыл бұрын
Kazi imetulia Sana
@LinerKhera-qp4yy Жыл бұрын
Wow ❤❤❤ Love it Kongole kwenu....
@renati.mkauki4271 Жыл бұрын
Nawapendeni ❤wainjilishaji wetu ,kupitia utume wa Kwaya, Mungu awatunzeni
@professor_mteknolojia33856 ай бұрын
Amen🙏
@OrganistjamesKtZ Жыл бұрын
Lovely 🌹🌹
@laurllaurent597311 ай бұрын
Aisee mmetisha sana toka nimesikia hii nyimbo haijaniisha utamu. Mbarikiwe sana ❤
@gilbertsarimbo2157 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa uimbaji mzuri, hakika mnamtukuza Mungu na mnainjilisha kwa vipaji vyenu. Mungu azidi kuwabariki na kuwalinda.
@simanjiroanold6382 Жыл бұрын
Nawaona vijana wawili wa Aloyce Gonzaga Kigamboni,, na Madam Ansila na Elimwanga. Hongereni sana kazi nzuri mno,, Mungu katukuzwa vema.
@GFMProduction Жыл бұрын
Usajili wa dirisha dogo mwaka juzi uliwakumba🙈
@Patrick_Mndeme Жыл бұрын
Kanisa la Kisinodi
@mkohoexperience7322 Жыл бұрын
Wajukuu wa ogeda tupo hapa
@EdwardTaratibuАй бұрын
huu wimbo ninaupenda sana
@DavisWangodi11 ай бұрын
nasikia organist ni kama tengez amegusa hapo? Otherwise choir mmeuimba huu wimbo vzri Sana... hongereni!
@paulmziba1060 Жыл бұрын
Safi Sana ninyi watu mmefanya kazi nzuri Sana, Wimbo umenibariki mnooo
@Apolo2002 Жыл бұрын
👏👏
@gratianakitime6290 Жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri 👏
@musichealsTz Жыл бұрын
tenges fundi the organist.
@HappyBabyKittens-tw5yb11 ай бұрын
Hongereni sana kwa utume mzuri uliotukuka tipeleke injili kwa mataifa
@samuelkimpinde3236 Жыл бұрын
May God our lord bless all of you. Huge thanks to the composer Ernestus. What a deep song! 🥹
@Paul.9363 ай бұрын
❤❤❤
@AMSISTUDIOZ Жыл бұрын
Videoo safii
@HappyBabyKittens-tw5yb11 ай бұрын
Hongereni sana family yangu ya mola nimebarikiwa sana
@enriqueonsakia Жыл бұрын
Nice
@jacklinenkatha973 ай бұрын
❤Good job... 🙏 🙏 🙏
@paulmaganga709 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@winnieavit5985 Жыл бұрын
🎉
@carolsangawe2024 Жыл бұрын
Mnganya umeonyesha ubora wako kwa vitendo. Waalimu wengi tunaongea tu lakini hatutendi. Hongera sana mkuu wangu
@thepebrisfamilygracedbless6668 Жыл бұрын
Kazi safi kabisa❤ Hongereni
@GodyZablon-jd9wc Жыл бұрын
Very nice
@jacklinekazimoto4481 Жыл бұрын
Kazi nzuri 👏👏👏
@Patrick_Mndeme Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@happywegolo5686 Жыл бұрын
Hongereni sana mnaimba vizuri sana,na wimbo mzuri pia Mungu aendelee kuwatumia vema.
@jaspermduma4507 Жыл бұрын
Safii saaana
@winnieavit5985 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@vicentmigodela190 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@morisiexperansia5549 Жыл бұрын
Safi Dana inapendeza sana
@Patrick_Mndeme3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@jaspermduma4507 Жыл бұрын
🤝
@theresiarenatus7946 Жыл бұрын
👏
@PATRICKABUJA2 ай бұрын
Nice songs but avoid smiling when singing.Singing is an art.Create seriousness on faces.