Jamani mpaka nawaonea wivu wa maendeleo, Mungu awabariki sana kwa kazi njema na iliyotukuka sana
@RomanaKessy-hy4qx Жыл бұрын
Mambo mazuri mungu aendelee kuwasimamia st. Joseph choir mungu awabariki kwa majitoleo yenu
@EmanuelMargwe-zg4lh Жыл бұрын
Mwimbieni Munguuu kwa moyo wote naye atawafanyia uwepesii katika vyote maana yeye ndiye muumba wa vyoteee🎹🎹🎹♥️♥️♥️
@yohanamahika177311 ай бұрын
So nice song mwecau mmefanya kweli Mungu awatunze daima
@antustabade987 Жыл бұрын
Najivunia kuwa Mkatoliki... Hongereni sana Wana MWECAU Kwa KAZI nzuri👏👏 Mungu Mwenyezi awe pamoja nanyi cku zote na azidi kuwatia Nguvu katika kutangaza habari njema Kwa watu wake🌹🌹... Congratulations🙌🙏🙏🙏
@mt.cesiliampanda7062 Жыл бұрын
Wimbo ni mzuri Sana ...hongereni wapendwa ❤❤❤❤❤
@emanuelsingamb2856 Жыл бұрын
Yaani jaman huu mwimbo nausikiliza mda wote lakn haujawai kukinai masikion mwang hakika ni Kaz nzur wapendwa mungu awabariki sana 👏👏👏
@albanTz001 Жыл бұрын
Hakika sifa zote zinamstahili Muumba wa Vyote, Mungu aendelee kuwakirimia baraka zake kupitia kazi hii iliyo tukuka Shukrani nyingi kwa Production Media: Galaxy Ila sauti ya Solo jmn😊..inaingia hadi moyoniiii🎉🎉🎉
@BEATRISIAMANIMO-vi6rp Жыл бұрын
Yani amesolo vizuri Sana Mungu ambariki popote alipo
@stephentuyate4278 Жыл бұрын
Huu wimbo nilikuwa nauelewa Sana kipindi Cha maandalizi ya album ya niongeze Bwana...... Hongereni Sana mmeutendea haki sana
@jacksonmbena5630 Жыл бұрын
Kitu yenyewe hii🔥🔥
@adriansebastian6899 Жыл бұрын
Kazi imetisha Hata mtunzi ana enjoy kusikia mgoma full mashairi na Watu tunapata baraka zote kutoka kwa Mungu🙏🙏🙏wana MWECAU
@erastosahani6180 Жыл бұрын
kazi nzuri Mungu azidi kuwabariki wote waliofanikisha kazi hii iliyotukuka zaidi 🙏
@magnusa.kadete3767 Жыл бұрын
Safi sana jana tumekesha kuusubiri huu wimbo kwa hamu na wivu mkubwa. Asanteni sana wana MWECAU kwa kazi nzuri 💪
@fransalbat1800 Жыл бұрын
Waaaooo!!!Nmepata aman ya moyo Hakika St.Joseph mmeupiga mwiiingi mpaka unamwagika🙌🙌 cjui mnatumia vinywaj gn nfanye maajab🤗Hongereni saaaana💒
@albanTz001 Жыл бұрын
Vinywaji vyote😂
@MussaMtenya Жыл бұрын
Nice song 👍👍👏👍
@remigiusrevocatus6374 Жыл бұрын
Wimbo mtamu sanaaa ❤️
@paulinahando8078 Жыл бұрын
Hongereni st Joseph choir Kwa kazi nzuri. Mungu azidi kuwatunza
@RightnessTisekwa-ot8cz Жыл бұрын
Hongereni jmn kwaya ya St.joseph mwecau kazi nzuri sana🥰🙏
@amaninatureguide8273 Жыл бұрын
Mwecau hawajawahi hata siku moja kuniangusha katika uimbaji wao uliotukuka. Barikiweni Sana na Bwana Mungu aliye juu ya vyote awakirimie ninyi Nguvu za Rohoni meweze kuyashinda maugumu ya Dunia hii na changamoto zake Amina
@MichaelSulley-p2o Жыл бұрын
Hongeren sana watu wa Mungu bila ya kumsahau rafk angu Martin S...
@martinsiay970 Жыл бұрын
🙏
@teddyjacob9545 Жыл бұрын
❤❤ niliusubiria sana huu wimbo kwa kweli unanibariki àsanteeeni sana kwa umoja wetu
@JohnAllay-d4x Жыл бұрын
Hongereni sana Wana mwecau choir hakika sifa nikwa bwana milele
@silveryoungtz6149 Жыл бұрын
Hakika mwimbo ni mzur haukinai kusikiliza, hongera kazi nzur ya Mungu
@Adelitusjoseph-qp9ew Жыл бұрын
ameeen kazi nzur mbarikiwe na Bwana
@Lung-h4f Жыл бұрын
Safi sana wapendwa mbarikiwe👏🙏😁
@badigito2884 Жыл бұрын
Kazi nzuri kwakweli, hongereni sana St . Joseph choir 🔥
@dismasvalerian4408 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri Mungu awabariki watumishi wa bwana
@HelenaJohn503811 ай бұрын
Mbarikiwe
@HENRICKBALINZIGO Жыл бұрын
Kazi nzuri sana na makini mnoooo
@cleopatrakunguru5 ай бұрын
Marvelously lyrics
@TheophilyRevelian Жыл бұрын
Waabarikiwe wote waliofanikisha kazi hii nzuri Mungu awzidishie katika utume wao unaopendeza kweli Mungu mwemasana
@albertlyzer1990 Жыл бұрын
Kila nikitazama huu wimbo nazidi barikiwa cku hata na cku kweli cfa ni kwa bwana
@adelinapeter-dx3cn Жыл бұрын
Hongereniii sana wanakwaya.....na galaxy pro Kwa kazii hii kubwa Mungu azidi kuwabariki sanaa
@PelidaKalinga Жыл бұрын
Ohhhh nyimbo nzr hongereni sanaaaaaa
@laullukoa2415 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana nimebarikiwa nayo
@paulntandu4768 Жыл бұрын
Sifa kwako ewe mfalme,,tuendelee kusambaza huu upendo kwa watu
@DANIELDAFFI-l8o9 ай бұрын
Very nice and beautiful song be blessed wanamwenge
@bathoromeogodwin9088 Жыл бұрын
Mmetisha sana familia yangu @st.joseph catholic choir Mungu awabariki sana so niceeeee
@HENRICKBALINZIGO Жыл бұрын
God bless you Kwa muziki mtamuuuuu
@denisisdori9058 Жыл бұрын
👏👏 nice song
@cleopatrakunguru Жыл бұрын
Cool sound
@dismasgechame5822 Жыл бұрын
good song that never expire on head may God bless all
@henrickkalolo5733 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana mbarikiwe
@eustadiusstephano Жыл бұрын
Zama zetu Sasa, good job 👍🏼
@GastoKavishe-ux6ho Жыл бұрын
Mbarikiwe nyote mliofanikisha kazi hii nzur Mungu awasimamie katika utume huo wa uimbaji katika roho na kweli
@BEATRISIAMANIMO-vi6rp Жыл бұрын
Amina sana
@martinsiay970 Жыл бұрын
Good song pongezi Kwa wanakwaya pamoja na production nzima
@CatherineMalimbe Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo
@esternsimbila5359 Жыл бұрын
Pongez kwenu wapendwa mmependeza na wimbo ni mzuri san umegusa moyo wangu
@johnnestory3584 Жыл бұрын
Hongereni sana wana Mwecau
@amirigiliardmwanry3090 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana
@marianustairo4751 Жыл бұрын
So fantastic hongereni sanaaaaaaa
@rosejoseph5516 Жыл бұрын
A tremendous work, God bless st Joseph choir ❤❤
@sacredmusic9753 Жыл бұрын
Hongereni SANA........ KAZI NZURI.
@tabithamasanja4585 Жыл бұрын
Wooooow! Very nice song mzidi kubarikiwa🙏🙏
@albanTz001 Жыл бұрын
Hakika Mungu ametukuzwa🎉
@cleopatrakunguru5 ай бұрын
Perfect
@albanTz001 Жыл бұрын
Magnificient work
@andreabatholomeo6965 Жыл бұрын
Goma liko vzur 👏👏🙏♥️💯
@SeverinaMunishi-gs8fl Жыл бұрын
So good🎉 and fantastic song 💞 God bless us ❤️
@PetroQamara Жыл бұрын
Kazi nzuri Wana mwecau
@emmanuelmathias1863 Жыл бұрын
Mtunzi anataka jimbo gan
@neemajoshua6901 Жыл бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri
@adriansebastian6899 Жыл бұрын
Kaziiii nzuri sanaaa🙏🙏🙏
@PhilipCharlesBukuku5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awabarikie na kuwalinda. Kazi yenu si bure. MARANATHA Yesu Kristo yu Karibu kulinyakua Kanisa🎉🎉🎉
@ewaldinapaul3708 Жыл бұрын
Great work Mungu apewe sifa
@erastosahani6180 Жыл бұрын
Nice song lyrics, surely Our God won a glorious victory through it 🙏
@scholasticabufune1013 Жыл бұрын
Waoooh wimbo unanibariki, Mungu azidi kuwainua🙏🤲❤️♥️♥️♥️♥️
@edpastaTv25 Жыл бұрын
Salute
@joaneslaurent5896 Жыл бұрын
Soft sounds Be blessed my choir
@Joseph.Manyama Жыл бұрын
Best of the best
@qamaraobayyoh43175 ай бұрын
Sifa na shukrani na zimwendee milele Amina,,,,,,,, Hongereni saana St. Joseph choir mwecau
@edpastaTv25 Жыл бұрын
cKazi nzuriiiiiii
@VICTORIAKASTULI Жыл бұрын
Pongezi kwenu nyote❤nawapenda wote🎉
@ESTERMADIRISHA8 ай бұрын
Amen 🙏🙏 mbarikiwe na mwenyezi Mungu pia awatangulie ktk safari yenu ya masomo 🎉🎉
@tabithamasanja4585 Жыл бұрын
Very good jaman❤
@TUMAINIJOSEPH-ne2by5 ай бұрын
🎉🎉😅😅
@suzanmushi659 Жыл бұрын
Mbarikiwe❤
@eugenisiriak127 Жыл бұрын
🙌🙏Hakika ni wimbo mzuri sanaaa....st.joseph choir mwecau mmetisha sanaaa🙌💪
@albanTz001 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe milele, hongera sana mwecau
@petroyustini4521 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana nimeipenda
@teddyjacob9545 Жыл бұрын
Sifa kwako ewe Mungu mfalme 🕍🧎
@EmanuelaPaul-uh1yb Жыл бұрын
❤ Mungu awatunze na hongeren sana
@johnvianenyikizeha67855 ай бұрын
Kazi nzuri sana wanafamilia wangu. Tuendelee kumpa Mungu sifa zake.
@blandinachuma5016 Жыл бұрын
Sifa na shukrani kwa Mungu🙏
@ZephaniaNicodemus-rt5wg Жыл бұрын
Kazi yenu Njema kabisa,, kila anayeskiliza ANABARKIWA kabisa,, utukufu kwa MUNGU.
@DANIELDAFFI-l8o9 ай бұрын
Amina sana
@nyotakachinga5535 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa kazi hii njema
@andreabatholomeo6965 Жыл бұрын
😂😂huu wimbo ni mzur sana, Mungu apewe sifa kweli
@Marysiana-f8h Жыл бұрын
Wimbo wangu pendwa,sauti ya pili hamjaniangusha,mariam njooo ujionee huku wimbo wetu❤❤❤❤
@kelvinJuma-r8c Жыл бұрын
Hakika Mwecau Choir Mungu andelee kuwatunza vyema muendelee kumuimbia
@malkiadmulda2620 Жыл бұрын
Atukuzwe MUNGU wa majeshi Kwa kutuwezesha kutoa kazi hii njema,Basi sifa ziwe kwake milele yote
@julianprubavu4069 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa uimbaji Bora kabisa👍
@marymfoy8511 Жыл бұрын
Congratulations 👏 nice song
@neeyjackson Жыл бұрын
Wimbo mzuriii, Mwenyezi Mungu azidi kuwainua zaidi❤ 🙏
@TUMAINIJOSEPH-ne2by5 ай бұрын
Mwecau choir mnafanya vzr sana mungu aendelee kuwabariki
@MalkiadiBoay5 ай бұрын
Very nice song sifa na shukrani ni Kwa Mungu baba
@marystellaandrea2868 Жыл бұрын
Hongereni sana wapendwa kwa kazi nzuri sana na Mungu atukuzwe milele yote.
@michaelingowi29 Жыл бұрын
Kazi nzuri inayobariki hongereni sana🎉🎉
@silverymacha9260 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa utume huu hakika mmeupiga mwingi
@MariaJohn-ic3bv Жыл бұрын
Pongezi nyingi kwenu wapendwa tuzidi kubarikiwa na kuinjilisha kwa njia ya nyimbo🙏