Get in touch with Beatrice Kiambi Mutuku via 0797 325344 If you would like to share your story with us please WhatsApp Tuko Video Team on 0115 106407 Email kingori.wangechi@tuko.co.ke and or eucabeth.mukami@tuko.co.ke Thanking you for being part of this wonderful community.
@rinaandisi5827 ай бұрын
❤😂❤
@ChebetPrisca-qj4hg7 ай бұрын
❤❤❤❤
@jackymwikali70937 ай бұрын
gb hjjhhhhhhhygggghhggggygggggyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
@vinnypozee46346 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@maryterina84827 ай бұрын
The lady who paid your ticket back to Kenya is very kind hearted, may God bless her.
@marrieimmaculate7 ай бұрын
Mungu wetu 🛐 zingira watoto wako walio Ughaibuni na damu ya Mwanao Yesu Kristu iliyomwagika msalabani,✝️ damu yenye nguvu 💪 didhi ya mipango ya ibilisi.👿 Baba unajua shida zilizowapeleka pale.😢 Wazushie moto wa Roho Mtakatifu uwakinge, wafanye vibarua vyao kwa amani huku wakishughulikia jamii zao nyumbani. Yesu wetu, zikiza vilio vyao na utembee nao kila wakati. Ni kwa jina Yesu nimeomba na kuamini. Amina. 🙏
@AaA-ng6rp7 ай бұрын
Amen!!! Asante kwa maombi
@Justerkaregi7 ай бұрын
Amen
@carolyneogutu64897 ай бұрын
Ameeen 🙏🙏🙏
@justine_mdogo6 ай бұрын
Amen
@AnastaciaMuikia6 ай бұрын
Amina Amina
@gracewamboi44787 ай бұрын
I think her humility is wat saved her life pole sana Mungu akufungulie njia zako
@julbleble9457 ай бұрын
Find indonesia bloggers tell them this story about this indonesia gal. Since you have pictures of this girl . U will have done justice to that gal.
@josephinelee68237 ай бұрын
So true, am sure that her parents are in search of her, and maybe their agency is adamant, not helping in search of her 😭
@sharonanisha89497 ай бұрын
True 😢😢her family might be wondering..and she should give all the details of her bosses so as to be identified..oohh my God
The rejection i faced back home is what made me to travel and i thank God he is with me all through
@sharononunga9204 ай бұрын
My God help you my sister ...l feel ur strangle 🙏🙏🙏
@jacintamutua33477 ай бұрын
Your aunt is a Gold, God bless her so much
@BrigidJuma7 ай бұрын
Plus that boss who paid her a ticket
@orphaonchomba69947 ай бұрын
Have watched Saudi stories, but this one is sooo sad! Pole sana Beatrice.
@loisenyamai45677 ай бұрын
Umewatch ya yule alipata mwili bila kichwa kwa freezer upstairs? Akawa anaenda kuuzwa but escaped akajificha kwa building 4 days, bila food or water, mapaka tu... Wueeeh Saudia jamani.
@neemamtangi48187 ай бұрын
Pole sana mrembo huku tunapitia magumu .mtu akipata sehem nzur amshukuru mungu apambane
@philicemaradi7 ай бұрын
Kabisa
@JosephKamaria7 ай бұрын
Why are this Arabs soo selfish?whom do they resemble in Koran.?
@ramadhaniwambere80387 ай бұрын
If this story could reach the Indonesian Embassy in Nairobi and someone followed it from there it could bring some resemblance of justice to the victim’s family of the murder she witnessed in Saudia
@kilitu7 ай бұрын
King'ori, you and Tuko are doing a great service to humanity by highlighting these stories. What Beatrice has described is so horrendous it sounds like a movie script. May she find peace and healing. I have sent her something and I will send her some more.
@doreenntinyari71387 ай бұрын
If someone gotten good boss, thank God for is goodness. For i have meet with people facially who have meet with evil bosses and i too I have meet with one. So this lady is not lying, I ruined away from evil boss too. So I know people I meant with in deportation running way from evil boss who tried to kill them😢, SAUDI ARABIA IS NOT SOMEWHERE YOU CAN SAY IS, SO SAFE BUT WE GO BECAUSE OF LACK. MAY GOD HELP AND protect all the ladies in GULF🤲😭.
@WILMA_7 ай бұрын
Mami, you are one in a million. Unajituma na Maulana hamwachi mcha wake! Gos bless you!
@cyantess84237 ай бұрын
Amen🙏🏾
@wambuievelynwaithira7 ай бұрын
Amen
@doreenntinyari71385 ай бұрын
@@WILMA_ Amen 🙏🙏🙏
@bonfaceobata78877 ай бұрын
better to suffer in your country than foreign country, let God give us inner eyes for every move on this earth, so sad 😭😭😭
@lawrencelawrence33057 ай бұрын
Afadhali warabuni mara 💯 some kenyan bosses r evil, hata pesa wanakunyanganya and there's nothing you can do, does it mean kenya watu hawakufi ama kuteseka?
@monienjeri30426 ай бұрын
@@lawrencelawrence3305they do... ata mm heri gulf ju si warabu wote wabaya
@HolinessWakio3 ай бұрын
@@lawrencelawrence3305x 9y
@HalimaKea-mf7uy6 ай бұрын
Watching this while in saudi arabia ,ohhh lord protect us
@joycemwangilwa94537 ай бұрын
This is very sad. I have watched with tears. May God heal Beatrice from all these trauma. Knowing Jesus is the best way to begin. My advice
@puritymiwa5017 ай бұрын
Pole dear,, shukuru Mungu sana kama ungetoroka ungeuliwa kama Sharon...sio warabu wote wazuri...
@Mickierie7 ай бұрын
Pole dada ndyo maana Wacha niteseke kenya,mwarabu ni mnyama
@sylviahkinyangi98927 ай бұрын
Me too,l refused to go to these Gulf countries coz you might be digging your own grave by going to these places...
@sarahkeziah70617 ай бұрын
Tuko pamoja KENYA MY COUNTRY FOR LIFE,,,wacha ni hustle na 300 bob lakini Niko na amani
@mw61757 ай бұрын
Mwarabu zii kabisa I pray wenye wanafanya huko Mungu awalinde
@beatriceokello90477 ай бұрын
Haki😢😢😢😢
@lawrencelawrence33057 ай бұрын
Some kenyan bosses are full of sh..t,na wengine wanakataa na mshaara yako afadhali mwarabu mzuri any day, kenyan bosses are also very evil
@rayruvumba73807 ай бұрын
Oh dear Beatrice, may the Lord remember you in your distress😢😢 What a sad story 😭😭
@Xoloh1117 ай бұрын
Thats why we should all gather against the devil who is the root of all evil,lets join hand with Jesus Christ our Lord and saviour because He knows our story and is willing to change it for eternity.
@marrieimmaculate7 ай бұрын
Yes, we should all gather and come into agreement and pray againt the devil and his evil spirits. This lady started with the spirit of rejection, and I believe she will overcome in Jesus' name! 🙏
@shikobig35917 ай бұрын
Amen
@lulah37837 ай бұрын
Amen
@nelimajudy2807 ай бұрын
Beatrice pole sana
@iamfifi.AАй бұрын
Amen❤❤ Oh!! This beautiful Jesus❤ he Heals and Restores
@petronillamayende76407 ай бұрын
King'ori kindly do a follow up on her after this
@halimamfaume19257 ай бұрын
Pole sana Beatrice kila kitu kitakuwa sawa kwa uwezo wa Mungu, na yale mateso uliopitia Saudi Mungu atakulipia usijali iko siku watajuta kwa mabaya waliokufanyia
@AaA-ng6rp7 ай бұрын
Pole sana Beatrace mimi niko saudia nakuelewa kabisa ...nimelea mtoi wa muarabu miaka mbili na sio rahisi ... Ni Mungu tu
@Beatrice-ch6rv5 ай бұрын
Pole sana dadangu kwa yote uliyoyaona zaidi sana mshukuru mungu ulirudii ukiwa mzima
@PreciousJ-ur9ou7 ай бұрын
The title should be i stayed 3 days with a dead body
@ifgodsayyes.nobodycansayno17967 ай бұрын
Muradi umeelewa
@lydixlovie87877 ай бұрын
😢
@BerniceDaniel-th9dz7 ай бұрын
5yrs same House,same boss,i can say my boss ni mtu na nusu may God bless her ❤
@WILMA_7 ай бұрын
Shukuru Mungu.
@Elizabeth-no1jx7 ай бұрын
Same na wangu niko 4th year na kila November wananikatia ticket nahome narudi January allhamdulilah I thank God 🙏🙏
@Legends_Interviews7 ай бұрын
Upo na bahati
@mitchelleadhiambo64456 ай бұрын
Same to mine my 3rd year with her ...I was in Kenya this last month
@everlinenyabokenyantika33967 ай бұрын
Wooi Mungu wangu, pole sana Beaty kwa yale yote ulipitia, na kwq wadada wote wetu wako saudi nikiwa moja wao Mungu asimame na sisi hadi tumalize hiii mission kwa usalama na turudi kwa nchi yetu tukiwa wazima.
@MildredOnyari7 ай бұрын
God is good you came back, may God bless your aunt , let God protect your son, may you get favour from best wishers
@Fey-stephen6 ай бұрын
Waaa...aki amepitia I can only imagine the family of that Indonesia girl hawajui mtoi wao alikufa😢😢😢
@Veelifestyle7 ай бұрын
Wueh!! Wanagulf may God always protect you coz story za huko I can't. 😢😢nways nipitieni mnifikishe 100 subs❤❤
@tiwongekumwenda31287 ай бұрын
Mmmm what a life. May God give you comfort and peace. No one deserve to go through all this
@EliananJenny7 ай бұрын
Very true story kama hujaishi na mwarabu akakuonyesha side yake akiwa shetani kuja nikupee story😢weuh
@nancyauma8587 ай бұрын
What happened dear 💔
@beatricemarangu9427 ай бұрын
Sure I usually tell them Unaskia watu wakisema ooh ni story za jaba. Vile tumeonea.huku ni mungu mwema kwetu
@neemamtangi48187 ай бұрын
Kabisa
@emillyajiambo47037 ай бұрын
Pole dadangu aki uku ni mungu atupiganie si rahisi 😢😢😢😢
@LeahMugo-k7o7 ай бұрын
King'ori hii Saudi ni neema na rehema tuuu ya mwenyezi Mungu,na kuomba sana any way Mungu mbere 🙏🙏🙏
@SaudaAkinyi4 ай бұрын
Pole Sana Beatrice, it was so unfortunate for u in gulf.May the Lord protect those who r in gulf including me
@monienjeri30426 ай бұрын
Pole Betty 😢😢hii story imefanya nilie.... Najua mwarabu ni kigeu geu..... kuna boss nilifanyia kazi, mtoi akaenda barabara without me knowing, baba alisho if huyo mtoi ngegongwa na gari ata mm moht or jela..nilishikwa na baridi.... Wale wanasema ati boss mzuri waache kujigamba ju dakika tano anaweza geuka na awe shetani.... I wonder how these Muslims arabs pray 5 times a day and most of them hv black soul... Yeyote aliye ughaubuni Mungu amlinde....
@ScoviaNamaemba7 ай бұрын
Oh sorry sister, I'm a Ugandan and I'm living in Nairobi but we can look for that guy😢😢😢😢
@VeronicaDunbar7 ай бұрын
Thank u sis for willing to help our sister. We're all sisters and we should help each other whenever possible. I pray to God that, he will enable you help our sister. And that, she'll receive your assistance with grate appreciation. Waswahili husema, leo ni mimi, kesho ni wewe. And 'tomorrow, future', by Gods love and mercy, she too, can be in a position to help you, should need be. All in all, I wish you, all the best of luck.
@innocentkaramuta82007 ай бұрын
karma must be visiting that man
@bettymwende71247 ай бұрын
No need to force someone
@jameskhalechi69337 ай бұрын
Uganda's men ni wabaya nko na experience wangu alikua mteso
@denismigayi85137 ай бұрын
The Ugandan man exhausted her Dubai savings before leaving her
@Grandwell-ov3pp5 ай бұрын
Pole sana Betries mungu anakupenda pia🙏🏾
@Violah-on9ic6 ай бұрын
Pole sana dada kwa hats masaibu uliyoyapitia
@naomimorwabe88207 ай бұрын
Warabu ni wanyama mnasikianga warabu kwanza wenye wako kenya wanafaa wandikwe watoke apo wameuua wakenya wengi sana hawa watu ni wanyama ni mungu atasaidia kwa izi nyumba za warabu 😢😢😢😢mungu atuonekanie turudi tukiwa wazima
@mercywangechi53643 ай бұрын
Tuko you do such a great job, God bless you so much...this story literally caught me cruing till the end😢😢
@violahchepkemei15257 ай бұрын
Can someone come through for her pleaase
@joycemuenimutua45067 ай бұрын
Pole sana dadagu kwa yote uliopitia Mungu akufungulie milango ya baraka
@JoyceAndanje6 ай бұрын
Pole sana Beatrice mungu akulinde kwa ulio pata huku saudi but ata ss tunaomba mungu tukisikia store kama hiyo
@RuthWanjiku-yx6gd7 ай бұрын
Juzi ndio niliona true colors za waiguru wangu😢,naomba Mungu atulinde tumalize mwendo salama
@josmula14506 ай бұрын
God is the answer. May He change your life. Amen
@LadyS-027 ай бұрын
My kind advice to our kenyan sisters ukipewa documents to sign soma kwanza na uulize maswali usiogope arabs are very cunning ata ukiwa kenya ukipewa contract na agent soma maagizo coz iko na english part.
@WambuiMuguti7 ай бұрын
Exactly but still you can't blame some of us there are those who didn't have the opportunity to go to school so inglizi mushkillah habibi
@sylviahkinyangi98927 ай бұрын
Very true darling, that's why education is very important,6 years ago my friend and I went to a certain agent,they promised to take us to Quatar, when I realized,now the story is changing to Lebanon and Saudi,me I refused but my friend went,wee kilimramba,you have a point
@mugurethamara77307 ай бұрын
You might be surprised it was in Arabic and as per her narration she was dealing with demons such that she couldn't even resist signing.
@annkim26907 ай бұрын
Mengine nayo ni vifungo na mauchawi sasa mguu ulio na shida ndio tena mwarabu anaukanyaga
@achibelatotolakijaka46877 ай бұрын
Kila siku na bado nitakua nasema mpaka liom kiama warabu asikuambie mtu eti warabu wangu ni wazuri weeuh warabu sio watu wazuri abadaaaaan
@emilywangui7 ай бұрын
Mimi niko hii gulf 7yrs nimefanya hao mob but hizi vitu huwa nasikia huku online 😮😮😮
@Sarasara-lw4uw7 ай бұрын
Shukuru mungu saana
@lydianyambura26187 ай бұрын
Shukuru mungu vitu ziko
@listanthenya53927 ай бұрын
Thank God and pray for those going through hell.
@MableGayi7 ай бұрын
Nakuombea mungu na usiwai patana nazo mungu awe pamoja na wewe
@LadyS-027 ай бұрын
Pia mm nashindangwa kwani ni saudi side gani mm nlikua huko for 5yrs i had good boss but kitu ya maana ni kujiombea sana
@rosewalegwa76407 ай бұрын
Mimi heri nitoroke niende deportation kuliko kutumiwa vibaya na mwarabu
@everlinenyabokenyantika33967 ай бұрын
Kama kuna njia ya kutoka utatoka na kama kumefungwa mtu ataputia wapi😭😭😭😭
@rosewalegwa76405 ай бұрын
@@everlinenyabokenyantika3396 kuna njia nyingi sana za kuhepa si takataka hua mtu anaenda kutupa
@AbrahamMokua4 ай бұрын
Yes
@AbrahamMokua4 ай бұрын
Yes but ni kugumu huku
@AbrahamMokua4 ай бұрын
@@everlinenyabokenyantika3396yes umenena
@josphatwambuasikuku91427 ай бұрын
What a sad story ?May God give you closure on what you went through.
@nicholasmutisya26587 ай бұрын
They shoot the first lady dead and the other one they want to kill by starvation and beating! The question is: how many had been murdered there before that because it looks like it was a routine thing? At least one gets an idea how the many Kenyan girls that have been disappearing in Saudi Arabia end up!
@julieloves_arts7 ай бұрын
Hawa watu hawaoni mbinguni, kuomba yao mara tano kwa siku haitawasaidia😢
@AnneMaithya7 ай бұрын
Warabu wao ukuwa mashaitani nini bona uwa wanafanyia watu vibaya hivyo aki hawana utu kabisa 😭😭 pole sana wa home aki story yako ikona uzuni sana may God see you through
@RitaGechure7 ай бұрын
Men💔💔Why impregnant someone then abandone her..why do you change the moment someone gets pregnant😥Some Men are so Wicked😫😫
@gracewangeci74717 ай бұрын
99percent
@rhemamirembe15277 ай бұрын
It's real real sad en true
@jmarami7 ай бұрын
Alafu wanadharau ma singo madhaz.
@rosemarydavid38717 ай бұрын
So sorry about you my dear sister... may God help you to get full recovery and the work of your be blessed.
@lydiarugut82327 ай бұрын
Pole my sister Saudi is a hell its so sad for this young lady
@NancyNjeri-jade7 ай бұрын
She looks humble may God heal her from all the surferings😢😢😢.take heart mama
@fatmaali67807 ай бұрын
Pole sana Kuna watu cjui mungu atawafanyaje sio ubinadamu kabisa na wao pia watakufa
@EverlyneInduti7 ай бұрын
U've gone through alot ..pole dada Mungu akuonekanie
@violahchepkemei15257 ай бұрын
Aki mtu amsaidie huyu mdada....spirit of rejection ikuachilie in Jesus name
@ruthn93817 ай бұрын
She might first require medical treatment on her feet and spine, then she can be able to move on with her life. Please assist her to get medical attention.
@celinamutilationi95747 ай бұрын
Pole sana dadangu mungu akuonekanie mbele kuzuri
@CarolineAtieno-uk9rf7 ай бұрын
Polee sana Beatrice, I thank God, I left that place safe after three months, it's frustration and rejection inafanya most of us tunaamua kuenda gulf, what I can convince my sisters going to work in gulf, pls be humble, be loyal, and God we see you through, I can confess my humility and respect saved my life, I saw death, but thanks to God
@mapaacha45527 ай бұрын
What a sad story At (44:43) Why you didn't tell the police about the death of the young girl which you threw her body behind the Mecca mountains ??? Thanks for the sharing
@mercymwanzi37677 ай бұрын
Do you think it was easy
@Boundless-c2u7 ай бұрын
Do you know what...angejulisha polisi kuhusu huyo msichana 1st Angepata passport yake 2nd waarabu wanaeza kuturn hiyo story ni yeye alimuaa .A times Kuna vitu mingi tunapuuza hili kuokoa maisha yetu .
@nicholasmutisya26587 ай бұрын
That could have been easily turned against her and possibly have her eliminated! She would most likely never have come out.
@mapaacha45527 ай бұрын
@@mercymwanzi3767 I can understand that it would be difficult but, still, the family of the young girl deserves to know what happened to her.
@mapaacha45527 ай бұрын
@@Boundless-c2u true, but still this is a complicated situation. I feel very sad for both women.
@IgnatiusSanya26 күн бұрын
So traumatising mungu akuonekanie dada
@MercyOtieno-y8i7 ай бұрын
Ooooh no kufanya kazi bila malipo na uko saudi😮😢
@rabellalioni65907 ай бұрын
May Jehovah God fill your life with many many blessings. Goodness will keep come after you and your child in Jesus name 🙏. L❤ve from Suriname.
@MiriamSamuelke7 ай бұрын
Poverty and rejection combined are the weapons devil is using to steal, destroy and kill..may you get the help you need Beatrice
@Mary-pd5jv6 ай бұрын
Amen🙏🙏
@NashinDiani7 ай бұрын
Poor Shamin. In a garbage bag and no one that loves her will ever know. I am so proud of Beatrice for being brave and telling her story. I hope Beatrice's life changes for the better and her son has a better life and story.
@annnjuguna25697 ай бұрын
Very traumatizing for her and thank God she didn't die there, but it will be fair for her and tuko to try and do the right thing concerning the slain worker,which is to let her family know what happened to her, even heaven will look down on Beatrice with favour, if only she can let go of any fear and expose the family, and reach out to family of the slain girl. So sorry Beatrice, may God heal you and make you whole and deliver you from the spirit of rejection, 🙏🙏🙏🙏.
@JudyPaul-ny2nh7 ай бұрын
Nani anakumbuka uyu Beatrice tukiwa training 2022,pale dican,,,alituambia alikaa qater two years anakununua plot Mombasa
@SusannaTaji-os8jh7 ай бұрын
Wueeeh tupe hii story vizuri
@estherpesh58407 ай бұрын
Kwa hivyo kuna vile anatupanga
@lizwyne7 ай бұрын
😂😂hizo hukua Stori za jaba training uchukuliangi serious
@brendahzuhura89927 ай бұрын
Alaah
@BrigidJuma7 ай бұрын
Ata Mii hudanganya marafiki zangu nibuy plot
@tonyakenya017 ай бұрын
The pain in her voice....May Our God Father give u peace, favour in the Name of Jesus🙏🙏🙏
@nancyachuchi51516 ай бұрын
This is sad aki, alafu mwngne aliapeana namba kwa boss wake eti waprocess niende direct walai nlikataa acha nitesekee Kisii
@elijahkamau1056 ай бұрын
Very sad story,May our almighty God bless you
@georginahongayo7 ай бұрын
Oooh nooo😭😭😭poor Beatrice. Mungu tulinde tulio nchi za ugeni🙏🙏
@Jose-pk4zz5 ай бұрын
pole my sister,isipokuwa ni YESU haungekuwa
@alicenyokabi2177 ай бұрын
God loves you Beatrice n all shall be well with you. You shall testify more of the Lord's goodness!!
@EstherWangare-nd9oc3 ай бұрын
Pole dadaa kwa yote na l hope familia ya huyo mschana watapata habari ikiwa mnainterpret kwa english
@BrendaNkatha-bz2mg2 ай бұрын
God was with u all along and he will give u work in this country and a well paying job
@DinahKemunto-c7l4 ай бұрын
Watching this while in Oman 🇴🇲 also me l passed very hard moments in South Arabia at the office called mawthuq l was almost dying but God stood on my side
@naseeralbishi47263 ай бұрын
Asante hawakukuua aki.....hii saudi sijui ilit9ka kwa shetani ama....aki hawa warabu ni Mungu tu
@DinahMosioma3 ай бұрын
Watching this while in Saudi oooh God protect me
@Makumbo-official7 ай бұрын
Kwani, what are these people made of jamani😟😟.... Hugs mamii,,,that was traumatic 😢
@phyliswangui69197 ай бұрын
Hata mimi nashindwa na vile 🇰🇪 imejaa foreigners na hawasumbuliwi
@juliusmkiara19157 ай бұрын
Pole sana Beatrice pole aki wueeeh
@peninahwemali20217 ай бұрын
😭😭😭 Ooooh Lord umasikini imefanya wanao kupitia shida
@RoseRobert-qd6ip4 ай бұрын
Pole sana ila kabla ya kwenda nchi yoyote kufanya kaz munatakiwa kujikinga na mimba. Family planning
@Sunshine_Amy7 ай бұрын
A big lesson to our gals, never sign any documents written in a language that you cannot read.... Let them bring interpreter or take a pic of it, then translate using Google app .. so sad for that Indonesian.... 😢😢😢😢again... Never touch someone without gloves for your safety
@tiwongekumwenda31287 ай бұрын
And never go to Saudi Arabia
@lynderlawrence84127 ай бұрын
How could she look for gloves yet she was also torn between life and death??? This is an absurd statement for crying out loud!!😢
@Sunshine_Amy7 ай бұрын
@@lynderlawrence8412 ...it looks absurd to you...I understand the trauma she went through. So reserve your comment for elsewhere
@monienjeri30426 ай бұрын
Lkn dada, hakuna kuabia mwarabu kitu ikiwa ametoa ukali, if hujawai kutana na boss shetani hujui kitu.... Ata choo kuna mwarabu hataki mtu aoshe na gloves....
@maryfridahndunge56167 ай бұрын
Pole sana sister, may God open new door's for blessings
@ivylillace7 ай бұрын
This is so saad.hiyo picha inamsumbua it could be her soul requesting her to reach out to her parents in Indonesia 🇮🇩.but am sure arab agents ain’t telling the indonesian family the truth i pray indonesian embassy in kenya would connect this lady with the lates family for closure.Aki Arabs 😢
@urejeshoblessings46337 ай бұрын
Pole dada,but tuliambiwa tusisign kitu hatuelewi hata kidogo
@Bourneventra7 ай бұрын
Weeeh😢 may God remember you and give you peace of mind sister🙏❤️
@jeikary87675 ай бұрын
Watu wanapitia sio story za jaba mm pia nina story bt bado niko huku bt not same house God atulinde aki
@Mary-u3i6 ай бұрын
Pole Sana betrice Mungu ako Na wewe
@evalinemagucha77327 ай бұрын
Pole sana dada,uku ni mungu tu atusaidie😢😢
@KinanaZagar-pv6qc6 ай бұрын
Pole nhoo kipenzi tanzania tuishi wote kipenzi Pole sana
@pheladinare28767 ай бұрын
Very sad story
@kurrarulydiah99367 ай бұрын
Woi Pole sana dada...
@nellyfavoured10067 ай бұрын
Nice story, wrong title, a more captivating title like 'Locked in the bathroom with a dead body '
@kadzo66147 ай бұрын
😳😳 ghai?! Timestamp?
@translationafrica26297 ай бұрын
Woi this lady looks affected......she is troubled...pole sana
@lucymachaku90697 ай бұрын
She needs counseling
@faithe40637 ай бұрын
Najua uku kuna watu wachawi na wauwaji ila kwa hii story sijeamini,tuwe watu wa kuomba Mungu sana