😢😢😢 Inna Lillah wainna ilaih rrajiun Allah amsamehe makosa yake amuhifadhi sheikh wetu mahala salama insha Allah
@safiaothman51756 күн бұрын
Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin
@mirajiissa46036 күн бұрын
Allahumma amiin
@Kolongojr6 күн бұрын
@@mirajiissa4603Amin yaarabir Allahmin
@barkanassir25285 күн бұрын
Inna Lila waina ilaihi rajiun. Hilo nifunzo turudini kwa Allah. Tena turudini ndungu zangu waislam. Masikitiko makubwa lakini tutafanyaje . Njia hiyo ndio njia yetu sote. Allah ampekauli thabit. Nasisi Allah atupe husnul hatima indalmaut nakablalmaut
@LilaAl-b3x3 күн бұрын
Mashallah amewacha asar njema leyohii anazungumziwa vzur na kila mtu HIV ndotunavotakiwa kuishi Duniyan hakika ss wote ni WA Allah nakwake tutarejeya inalilah wainailaih rajiun ❤
@MuznaAlly3 күн бұрын
Abou idd Muhammad idd' mbele yako' nyuma yetu sheikh wetu ..nilikuwa napenda sana kile kipindi Cha uliza ujibiwe...hakika kw Allah tutarejea tuu
@RahmaMalik-dv7ww7 күн бұрын
Mungu ampe kauli thabit shekhe wetu
@shannynkunzimana67846 күн бұрын
Allahum Amiin YaRabbih
@safiaothman51756 күн бұрын
Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin
@moasitymemo98946 күн бұрын
Allahuma Amiin yaraabilghalamin
@FaridaAly-r5n5 күн бұрын
Amiin YARABBY
@AminaAbubakar-hn7jq5 күн бұрын
Inna lillah wainna lillah rajuun mwenyezi mungu akupe kauli thabiti na akuondelee adhabu ya kabri ishaallah
@devisshirima67806 күн бұрын
Jiandae kila wakati, fanya toba, ishi maisha mema, ishi na watu vizuri, kuwa na shukrani uamkapo shukuru, ulalapo shukuru. Nyakati nyingine hata utembeapo ukibandika nyayo juu ya ardhi shukuru, ubanduapo unyayo wako juu ya ardhi omba ulinzi na kifo chema !! Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma ampumzishe mja wake !!
@Fear_Allah3946 күн бұрын
Si kuishi na watu vzr tu. Tuache unafik, unaeza kumkuta mtu anaishi na watu vzr sana lkn anapenda kufanyia watu ubaya kisiri, kusengenya watu(sema hasutwi tu au hajuilikani watu hawamtaji). Anapokwenda kusengenya ni kwa watu ambao wambea wataalamu hawamsemi wakakosa umbea.
@hadijaismail36196 күн бұрын
Ndio maana tunatakiwa tufanye istghfar kila wakati kuna makosa tunafanya bila kujua pia ss binadam ni wadhaifu hata Allah mwenyewe anajua @@Fear_Allah394
@AzaAzamhmod5 күн бұрын
ALLAH AWAPE SUBRA WAFIWA😢😢😢 marehem ajalie kheri ya firdous
@OmanGreat-s2w7 күн бұрын
Poleni sana msiba niwatanzania wote tumeumia sana
@modestamodesta39406 күн бұрын
Pole shekhe mungu awatie nguvu jmn kufiwa na ndug unauma daah😭😭😭😭😭 yaan ukiona mwanaume analia daaah so pain 😭😭😭😭
@PeaceBaby-n5d2 күн бұрын
Inaa lillah waina ilayhi rajiuon Kweli Allah swt anatisha tujiandae tunamaumivu makubwa sana Ila tujiandae nasi tuache mema nasi ameondoka nipengo kwetu Huyu nikiumbe wa allah swt nasi pia Tunatakiwa tumtaje kwa mwema sio mabaya mimi Sina Shaka nae namuombea Dua njema Pia nawab.bea viongozi wote heri na Baraka waliobaki watuongoze nao
@HadijaOman7 күн бұрын
Haki ya Mungu hata lakusema Sina Mungu atujalie mwisho mwema inshaalla 😭😭😭😭😭😭😭😭
@SheilaOmar20076 күн бұрын
Team Omani mwenzangu yaan kifo ni fumbo 😭😭😭😭
@jasminmohamed61457 күн бұрын
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUN MAY ALLAH SWT PUT HIS SOUL IN JANNATUL FIRDAUS ALLAHUMA SWALLI ALA SAYYIDINA MUHAMMADIN WAALI SAYYIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
@ismailmakame39727 күн бұрын
Tumuombeeni kwa mwenyezi mungu msamaha kwa sababu sote si wakamilifu kwa mungu..
@MhinaKulewa7 күн бұрын
Inalillahi wainailaihi rrajiuun. Yaa Allah mpe kauli thabit mja wako huyu, Msamehe pale alipokosea kwani wanaadam ni wenye kukosea, muepushe na adhabu za kabri na siku ya kiama umuingize peponi bala ya hisabu. Na sisi tuliobaki tujaalie mwisho mwema Yaarab.
INNAALILLAH WAINNAAILAIH RAAJIUN hakika kifo kinakuja ghafra imeandikwa hata kwenye kur'an tukufu ALLAH amjalie kauri thabiti dua ndiyo kila kitu dua inasaidia ila vilio havisaidii bali ni maana ya kwamba ALLAH amekosea kumchukua mja wake ndugu zanguni katika iimaan mwenyezi Mungu anamchukuwa yeyote anaemtaka kikubwa ni kujiandaa na hii safari ya kurejea kwa ALLAH tufanyeni yaliokuwa mema ili tupate salama mbele ya ALLAH
@NginaKimambo5 күн бұрын
Bwana YESU amrehemu
@aishakamota60126 күн бұрын
Allahumma ghfirllahuu warahama huu filjanna
@HadiyaMabrouk7 күн бұрын
Allah amfanyie wepec ktk safari yake inshallah. Apate. Waokez wema wakumpokea ktk. Maakazi yakeya milele
@jumakhamis2265 күн бұрын
Inalilah wanailh rajiuuu ALLAH amjaaliee pepo ya daraja la kwanza
@BURHANIIMAMUTZ3 күн бұрын
Kwa kweli àlllà ni mjuzi hàkuñà linàloßhindikànà kwa àlla mungu aiweke màhàla pemà pepon loho yàke àmin
@sanurahaji51947 күн бұрын
Inna Lilah wa Inna lLilah rajiun Allah ampe kauli thabit na Sisi atupe mwisho mwema
@safiaothman51756 күн бұрын
Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin
@johnmworia10626 күн бұрын
Daa. Mungu ampe pumziko la milele
@safiaothman51756 күн бұрын
Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin
@nahimanajo89936 күн бұрын
Hakika sote ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea 😭 Mungu ampe safari nyepesi
Innaa lillaah wainnaa ilayhi raajiun. Allah amswameh na ampe qauli thaabit. Aamin
@111dudi6 күн бұрын
Allah amghufir na amraham, ampunguzie adhab ya kaburini, amoe qawl thabit, na amfufue na waja wema na amuigize peponi
@w40585 күн бұрын
Ndio maana hatukusikis kuumwa kwake Inna Lilaah Wainna Ilayhi Rajioun Allaah amsameh makosa yake amzidishie mema yake ampokee akiwa amemridhia
@SamiriHassan-dp9kn5 күн бұрын
Poleni inalilah wa innailaih rujuaa
@SamiraChai6 күн бұрын
Inalilah waina Lilah rajuun Allah amsamehe makosa yke
@KayfatKawambwa6 күн бұрын
Mungu amsamehe makosa yake na ampe kauli thabit
@BabySheni6 күн бұрын
Pole sana shekhe inna lilahi waina ilaihi rajiun
@Sofi99-u6o6 күн бұрын
Mungu hamwondorehe Azabu ya kabur
@selefundi4 күн бұрын
Amini
@FatumaAthumani-h5j7 күн бұрын
Mungu alaze looo ya malem pepon
@HijaSaid-t6c5 күн бұрын
Hicho kifo ni funzo kwetu, tuwe ktk haki tusiwe tukemee waovu, Allah ampe wepesi
@aairraahseif56487 күн бұрын
INNALILAHI WAINA ILLAHI RAJIUUN, Allah amrehemu na kumpa magh'ffira
@SihabaAbdallah-li6dx5 күн бұрын
Polen san alla amsamehh mkosa yk
@IsiakaMuki5 күн бұрын
Dah inalillah wainaillah rajiouna 😭😭 poleni sana family
@saadashoje3136 күн бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun, Allah ampe kauli thabiti
@AbdillahSharif-g5uКүн бұрын
Hakika sote tutarejea kwa allah
@AlexMkwama7 күн бұрын
Shehe katambua jeneza
@shamsuhassan-xz2ve6 күн бұрын
Allah amrehemu ampe kauli thabit
@SanuraAbeidy7 күн бұрын
Tamka kwa utulivu hiyo innalillahi wainnailayhi rajghuni waikosea hiyo shekhe
@gibsonjosephat63527 күн бұрын
Acha ujinga majonzi haujipangii
@AyubuIkaku6 күн бұрын
Allah ampe kauli thabiti
@FarkiyyaAbdallah5 күн бұрын
Upate pepo ya milele shekhe we2😭🙏
@TukuswigaIM6 күн бұрын
Daaa anaongea kwa uchungu..Mungu awatie nguvu
@zahraalbaloochi28416 күн бұрын
Allah ampe kauli thabit Yarrab🤲
@khurlainashly56865 күн бұрын
Innalillah wainalillah rajiun 😢nimelia
@LoyceKizuri6 күн бұрын
Poleni sana
@HusnaRahabu3 күн бұрын
😢😢😢 hakika kifo ni fumbo
@rehemamagomba59635 күн бұрын
Innalillah wainnailahiraajiuun pumzika kwaamani
@alyehemed44777 күн бұрын
Inalilah waina ilayhi rajiun, Allah ampe kauli thabit.
@SaidathSalehe6 күн бұрын
Innalilah waynalilah raajun Allah amuhifadhi
@islamseyffden77237 күн бұрын
Kafa kifo cha upendo kutoka kwa allah
@zahorosudi18146 күн бұрын
Kifo cha gafla ni kifo cha upendo, umesoma wapi sheikh, miongoni mwa vifo vyenye ishara mbaya ni kufa gafla. Si ishara mbaya ya marehem laa hasha Ila aina ya kifo.
@AbubakarAbasi-z8z6 күн бұрын
@@zahorosudi1814Yuko mtu ktk zama za Tabiina alisema kumwambia mtu mmoja kuwa nitakufa ALkhaamis kwakuitwa jina langu na hapo nitatokwa na Roho baada ya kuanguka na nitazikwa ijumaa... mtu huyo aliyesimuliwa alikuwa safarini siku alipofariki huyo mchamungu ktk zama hizo za Tabiina ila siku aliyorudi ilikuwa ijumaa alikutana na watu wamebeba jeneza wanakwenda mazikoni alipouliza aliambiwa fulani amefariki jana Alkhaamis ghafla tu,, Alikuwa njiani akitembea lakini ghafla tu alianguka tu kawaida na kufariki na leo ndiyo maziko yake
@AshaMwamba-m5x6 күн бұрын
Uyo mojakwamoja fildraus
@MariamuAdamu-r6r6 күн бұрын
Innalillah wainna ilah rajiun.. Allah Huma Amin
@jokhajj4 күн бұрын
Inallilah waina illah rajiun
@Faiza-q1o3 күн бұрын
Inalilah wainailih rajuun
@MussaHaruna-j8i6 күн бұрын
Allah ampe kauli thabit
@salmahhabibu41316 күн бұрын
Allahumma Aaamiy yaa Allah
@hajiabdalla577210 сағат бұрын
Badilisha maneno mwehu wewe.mungu hatishi..
@MishaHass6 күн бұрын
Cc ni wa MUNGU na kwake tutarejea Muhim ibada na MUNGU Atujaalie atupe mwisho Mwema 😢🙏
@SarahRobert-o6e5 күн бұрын
Polen Sana wana familia😭
@salumissa32006 күн бұрын
jamani tujitahidi kuisoma vema dini yetu, hakika ya allah hapokei ibada inayofanywa pasina elimu
@NabhanAlsawafi-d8p6 күн бұрын
Ameen
@RamadhaniKitala-gx6wc7 күн бұрын
Innalillah wainan lillah rajoun, Allah atupe kauli dhabit
@AllyMilunda6 күн бұрын
Poleni sna
@NinaahSaid-b6n6 күн бұрын
😢😢😢Allaaah akbru
@mwanaally49725 күн бұрын
Inalilah wahinalillah rajuun🙏🙏
@LindaMohamedi-h9e6 күн бұрын
Raha ya milele umpe ee bwana, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani
@hassanmfaume45226 күн бұрын
Sisi hatuna dua dizaini hiyo..!
@AbubakarAbasi-z8z6 күн бұрын
@@hassanmfaume4522ALLAH Anaikubali hiyo DUA muombaji huwenda ni mgeni ktk uislam ACHA TU
@SakinaHussein-p4y6 күн бұрын
Amini insha Allah
@HawaAlznezbar5 күн бұрын
Inna lilalh wainna ilaihi rajiunni Allalh 😢😢😢😢😢😢😢
@ameirzapy13187 күн бұрын
Tuyashike yote ambayo alijitolea kutuelimisha kwa nguvu zetu zote, na Mungu amhifadhi kuliko kwema😢