MASHAALLAH ALLAH akuzidishie elimu wewe na familia yako na jamii zote za kislam
@salehesamjela3844 жыл бұрын
Jazakallaaahu khaira fiddunia wal aaakhera
@ramadhanisamata74854 жыл бұрын
Sheikh, Mungu akuongezee hekima, ufasaha,maarifa elimu,ujuzi na ujasiri Wa kila namna katika kusema ukweli kwa ajili ya Allah. Mungu akuvue woga na akulinde yeye mwenyewe kama alivyolinda mitume wake. Wazazi na Masheikh Wako pamoja na marafiki wema mliyolelewa pamoja Mungu awasamehe Mapungufu yao. Amiin! Amiin! Allahuma Amiin!
@abdullahadamuabdullahadamu60934 жыл бұрын
Amiin
@Kwemakamemediagroup19 сағат бұрын
Mashallah Mashallah
@mohammedrajabu74494 жыл бұрын
Dah sheikh iddy sijuinikupe zawadi gani maana umenifurahisha saaaana na Allah akupe kheri nyiingi na akupe pepo ya juusana Allahumma Amiin
@akidasalim38594 жыл бұрын
Allah akujaalie kheri Shekh Mohammad
@rahakesho55504 жыл бұрын
Alhamdulillah sheikh umeliona hilo nilijua unamkosea kishki lkn hapa umenifurahisha umetimiza wajibu wako m mungu akujaalie na akupe afya njema.Nimekuelewa vizuri Sana sheikh kumbeeee mmeona udhaifu wa bakatwa kupeana ushekhe bila waumin kumchagua.
@rajabuthabiti18484 жыл бұрын
Kweliiii kabisaaa huo ushekheee wa mkoa kapew na waislam gani huyoooo
@asia11244 жыл бұрын
Mashaallah Mashallah Asante Allah atakulipa kwa Hili shekhe Idd
@saidseif56304 жыл бұрын
Ameen
@mrishomasenga71184 жыл бұрын
Mungu akuongoze shekhe Muhammad id
@matingile5044Күн бұрын
Mashallah nakuombea dua huko uliko Allah akupe maisha mazuri akuingize peponi
@MariamJSuleiman3 күн бұрын
Inallilah waina ilah rajuun pumzika kwa Amani shekh Mohamed iddy
@hawakassimu6120Күн бұрын
Allah akurehemu kwa kazi ya dini ulio ifanya tunamuomba Allah akupe kauli thabit akuweke pepono
@fadhilimbuguni57364 жыл бұрын
Sheikhe Allah akulipe kwa nia yako na akulinde katika dunia na Akhera.
@SaidiHassani-tf7vsКүн бұрын
mashallah umeacha matunda mungu akuripe atasisi tusiokuana erimu tumepata faida
@allykinyogoli30754 жыл бұрын
Sheikh wangu Sheikh Mohammed Idd Mwenye-ezi Mungu akuongoze katika kheri Inshaa- Allah
@wahdalubawa28024 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah, Baarakallahu laka fiiiha Abuu Iddy Mohammad Iddy
@sasha-ri7tf4 жыл бұрын
Asalam Alaikum Sheikh Muhammad Idd 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤲🤲🤲 myoshe huyo kunguni mwenye kutufyonza damu zetu sisi wa Islam.
@mohamedkhalfan21074 жыл бұрын
Mh naona weshapatana ndiyo walivyo watu wabatwil wanajuana
@RashidShedaffa-v9xКүн бұрын
Allah swt akuweke pahala pema peponi aaamiin..." ulikuwa jasiri na muwazi ktk kubainisha haki na batili...Allah swt akuhifadhi. Tutakukumbuka sana na kukuombea kheri.
@الزغويالزغوي-ض3ن4 жыл бұрын
SHEIKH MUHAMMAD IDDI AS-SALAAMU'ALAYKUM WA RAHMATUL-LAAHI WA BARAKAATUH,,, SHUKRAN JAZAAKAL-LAAHU KHAYRAN,,, NIME ONA YULE SHEIKH MKUBWA KABISA WA MKOA AMEKUTUKANA SANA ILA HILO LISIKUFANYE URUDI NYUMA KWANI KILA MWENYE KUZUNGUMZA HAQ-QI HAKOSI KUCHUKIWA,,, KWA HIVYO ENDELEA KUTUELIMISHA SISI WAHITAJI .
@ismailhassan5209Күн бұрын
Allahumma ighfirlahu, warhamhu,waafihi waafu anhu
@husseinsalum59084 жыл бұрын
Thank you sana sheikh.......
@omariaman78183 күн бұрын
Allah akupe kauli thabiti sheikh wang
@wahdalubawa28024 жыл бұрын
Sheikh Abuu Iddy Leo umenifurahisha sana na kwa ajili ya furaha hii nakuombea dua Allah katika mema yako yote uliyo yafanya na hili la kusema ukweli juu ya hili Jambo iwe ni sababu ya wewe kuingia peponi, ifike hatua tuambizane ukweli na kupeana naswaha hii ni Dini ya Allah sio dini ya kikundi Cha watu flani ambao wanajiskia kusema yale wanayoyapendeza kwao sababu ya maslahi ya kidunia na kunyamazia Yale yanayowachukiza kwakuwa hayana maslahi kwao.
@awadhally10524 жыл бұрын
Yule shehe wamkoa mpumbavu sanaa
@saidwashow74674 жыл бұрын
Acheni malumbano
@mohamedabdallahmellah43704 жыл бұрын
Tatizo njaa ndio zinatufanya tukufuru hii ni aibu kwa shekhe wa mkoa tena wa dar...
@saidabdallah2934Күн бұрын
A/aelykum
@iddyperembo24634 жыл бұрын
Mashaa allah shekhe iddy shukraani
@msuyaothman95914 жыл бұрын
Shukran sn Sheikh Wangu naungana na wewe nimegombana sn na baadhi ya masheikh wanaomtetea Sheikh wa daressalam. anautia doa uislam naingiza shirki zake katika uislam.. Sikua na sehem ya kufikisha ila Nakushkuru sn kwa majibu yako kwa majibu yako mazuri uloyatoa kwa niaba ya waislam walosikitishwa na dua yenye shurki ndani...Allah akuhifadh.. Na ikiwezekana atolewe ushekhe huo
@abowsudes2104 жыл бұрын
Huyo sheikh wamkoa nikawaida yake mm ninayo clip alio kua anamsifu makonda enzi nimkuu wa mkoa alimwita makonda nizaidi ya mtume nizaidi ya Allah anaeitaka anitafute whatsup 0653326771
@maajidabinass3304 жыл бұрын
Na cjui kitu gn kunamsumbua Al ahad Kila ktu anajua kbsaa
@hilalalhabsi20474 жыл бұрын
@@abowsudes210 SUBHANALLA. Ajiuzulu umufti haraka. Waislamu sio kiongozi wetu tena
@chongepauwa66674 жыл бұрын
Allah amsameje j
@mozasaid38694 жыл бұрын
Mashaallah shekhe umeongea maneno mazuri
@ngalowelamwalimu67214 жыл бұрын
Maashaallah maashaallah Sheikh Abuu IDD Allah akulipe kwa hili maana limezua taharuki kubwa mno miongoni mwa waislam. Na kwenye Yale mwaswali uliyoyauliza mwishoni namna ya kupata hao masheikh ndio matatizo yanapoanzia.
@omarmwabegeКүн бұрын
Allah Akusamehe na akulipe kwa Nia yako,na Akuhifadhi na adhabu ya kaburi
@payossalbat52874 жыл бұрын
جازك الله الخَير وبعدالخير جنات النعيم
@kuruthumuruga69374 жыл бұрын
TAKBIIIR
@khalidmkelle87414 жыл бұрын
Asante Sheikh kwa kutuelimisha kwa busara na hikma zako
@rabiethmosha80064 жыл бұрын
Amin mungu akuweke muda mwingi uturekebishie wanaomkosea MUNGU Kwa mapana yote na bila aibu na hofu ya mungu
@muhammadmuhammad50434 жыл бұрын
Shukran Sana Sheikh Kwa Ufahamisho Ila Mimi Nahisi Aombe Radhi Na Waislam Wamsikie Kufuta Kauliyake
@hassankhalid67114 жыл бұрын
Huyo anaitwa shekh maslai (shirk ya wazi wazi)
@jimmynwita80474 жыл бұрын
Amezidi kujipendekeza mpaka anajishau mimi mwenyewe nilishangaa sana
@shamishami17994 жыл бұрын
shekhe allah akuhifadhi
@mahmoudsameja644 жыл бұрын
Mashallah Allah Atuwekee shaikh wetu na kaka yangu Sh. Muhammad Iddi ambaye hainyamazii batili na anaitetea haki ni muhimu kuwa na mapenzi juu ya mtu kama huyu mwenye kujitoa muhanga najua kinachofata ni kujibiwa ovyo au matusi Allah amhifadhi na amruzuku umri mrefu في خير ولطف وعافية وبركة
@abdulazizmwipi97504 жыл бұрын
Kama ulijua vile kajibiwa na matusi juu
@abuujunaid4 жыл бұрын
Subhaanallah Kama ulijua vile ..
@saidsidaz4 жыл бұрын
Allah akuweke Sheikh wangu
@oimermollelzephania1394 жыл бұрын
Sheikhe Muhammad Idd mimi nakukubali kabisa katika mahubiri yako na katika mijadala mingi unayoyafanya katika vipindi vingi . Kwa hakika wewe ni mcha Mungu , msema ukweli na sio mnafiki. Uko vizuri ssna kujenga hoja ya kweli sio kama wengineo wa dini nyingine mnaoshirikiana katika mahojiano. Mungu akubariki
@nurudinehamimu56584 жыл бұрын
Allah aku afiqie
@hawaa.selemani22864 жыл бұрын
Shukran sana sheikh... Allah atuongoze sote katika kufanya yenye kheri, na atulinde sote katika kuyaendea ya shari Wallahu aa'lam
@seremenikibwene86334 жыл бұрын
Uko vzr shaykh, jaz 'aka llahu khayra
@salehemohamed29374 жыл бұрын
Unapomuona mwenzio amekosea basi mrekebishe,km alivokosea sheikh ponda ,masheikh wakasimama kumkosoa kwa alichokifanya,maoni yangu itakua vizuri na huyu alhad akosolewe na wenye elmu kwa alichofanya.inshaallah kheir .
@lacroquetalacroqueta68134 жыл бұрын
Allah akuhifadhi Sheikh Mohammad Eddy
@baghabaghaingwengwe17504 жыл бұрын
Ubarikiwe mpenzi huyo sheikh alikuwa anafurahisha viongozi tu alimwacha Mungu kitambo hajitambui
@sheshambiomary67854 жыл бұрын
ALLAH akupezaidi nazaid.naakulinde nasharizote Abuu Idi.Na tutakua shahid mbele za ALLAH.kuwa umefikiha
@omartamim2784 жыл бұрын
Abuu Iddi kwa hili nimekupenda sana kwa ajili ya Allah
@selemanhant82854 жыл бұрын
Nipigie
@kamwanaahmed65574 жыл бұрын
Mola awe nawe MashaAllah
@unbreakableteam8225Күн бұрын
Innaalillah Allah akujaalie pepo sheikh muhammad iddi
@fatumachasama62844 жыл бұрын
Angesema kwa jina la mwenyezi mungu) ndo muweza ya yote na ndiye mjuzi! Allah atuhifadhi na atunusuru, na mitafaruku ya kiimani!!
@issashekh47262 күн бұрын
Allah akuhifadhi na akupe kauli thabiti filaakhera
@shamsisaady40292 күн бұрын
amin🙏
@ahmedsalim87554 жыл бұрын
Shukran sana kumjibu huyo hadi siwezi kumwita shk
@allyomary93184 жыл бұрын
Huyo siyo sheikh kaungaunga tuu mpk kufika hapo. Mjanjamjanja tuu wa mjini
@mwajabukambangomaaashaalla83234 жыл бұрын
Jazakallahu khyra yaaa akhiii Qareeeem shukrani saaana shekhe wetu mpe dwa mungubakulipe juu ya hili inshaaaaaallah 🙏🙏🙏🙏
@jumannejabil70184 жыл бұрын
umejitahid allah nishahid asante kwahili
@masoudwaziri.nimeipenda14624 жыл бұрын
Njia sahihi haikutumika
@shabanialfani53944 жыл бұрын
Namuona Marehem Sheikh Illunga kwenye maneno yako. Jazakah kheir
@kisanganyakiswanta13794 жыл бұрын
Alhamdulilah shekhe umeongea vyema sana msione ane aibu kwenye mambo ya dini
@salumshabani68744 жыл бұрын
Maashallah shekhe wetu abuuid Allah akupe umli mlefu kwa kuutetea haki Mambo ya CCM hayamsu ilitakiwa asome dua pekee kwa mujbu wa Imani yake tatizo bakwata CCM
@omarylukindo53064 жыл бұрын
Hongera Sana mzigua kwa kuliweka wazi hilo,
@othmanhaji18324 жыл бұрын
Shukran Sheikh. Umeweka usahihi mwema.
@aliy33034 жыл бұрын
Asant and mashallah
@nafmohd35474 жыл бұрын
Mnafiki yule anatutia aibu waislamu kasharitadi kwa ajili ta pesa hafai atoke akamtngaxe yesu.
@sadambakari97564 жыл бұрын
Mashaallakh wape ilimu sheikh
@baghabaghaingwengwe17504 жыл бұрын
Dua ya kusema ashindwe na analegee ni maneno ya wahuni sio maneno wa watu walioaminiwa na jamii
@nelsonlyimo16004 жыл бұрын
Wako wengi,matatizo yao ni tumbo lazma ujipendekeze kwa kaisari
@hamimuabdalah81944 жыл бұрын
Allah akulipe kher na akupe afy na umri mref shekh wetu muhamad
@saidihamisi36524 жыл бұрын
Wallah wallah!! Sheikh muhammad iddi huwa nakupenda kwa holo.huwa hujali lawama za mwenye kulaumu.
@safiyansawe22484 жыл бұрын
Kwel sheikh iddi
@ngosaryyahya95874 жыл бұрын
Mchane.mshamba.yule
@husseinkambiy35784 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuzidishie umri uzidi kuwepo shekhe idd
@geraldnyasembe42144 жыл бұрын
Wamemshobokea shekh ponda lakini kwa huyu aliyeomba kwa jina la yesu mashekh wengi wamenyamaza kimia shekh simamia ukweli shekh mungu akuongeze nguvu,,
@mbishitariii83114 жыл бұрын
Mashekhe wetu ndugu njaa zinawasumbua
@jonasmaganga74334 жыл бұрын
@@mbishitariii8311 nikweli wanashindwa kusema kwaajil ya njaa zao
Wewe sasa ndo umeongea ukweli sheikh sio kile kikundi cha waganga wao wameshupalia Sheikh Ponda tu ukweli wanauficha
@abdallahmuttaq73064 жыл бұрын
Hta shekhe ponda pia amekosea nduguyngu sio aungwe mkono ponda kwasababu yupo kwenye maslahi ya watu hyu aliomba kwa jina la yesu kakosea,ponda pia amekosea huu ni uislaam sawa nduguyngu kwahio Allah hakubali duwa zetu watanzania kwasababu hatutamchagua lisu kwahio sasa lisu hyupo madarakani duwa zetu zinapokelewa na nani
@noshadmadini57684 жыл бұрын
@@abdallahmuttaq7306 wote wamekosea ila kile kikundi hakikuwah kuongelea habar za sheikh wa Darusalaam kama kakosea wao walijiunga kumzungumzia Ponda tu au kuna pahala umewaona wameluongelea hili la Alhad Uislam unahtaji kukumbushana unapokosea
@abdallahmuttaq73064 жыл бұрын
@@noshadmadini5768 hyo ndio makosa wa mashekhe kiukweli mitandao inawaingiza kwenye mitihani na mashekhe maslahi yao wanataka kuyafanya yaendane na dini kitu ambacho hakiwezekni
@solemba5954 жыл бұрын
@@abdallahmuttaq7306 ktk uislam hakuna dua ya Yesu, Alhad yeye ametoka kabisa katika Aqida, huwezi kufananisha na Ponda labda Kama humpendi anae mpigia debe
@noshadmadini57684 жыл бұрын
@@solemba595 sahihi kabisa
@shariambwana63253 жыл бұрын
Mashaallah , Mungu akunariki ktk kurekenesha Masala ya kidini, inshaallah
@bozendulla63364 жыл бұрын
Wallah sheikh umeongea makubwa mazur mashaallah..
@hamadali29104 жыл бұрын
Shukran shekhe kwa ukarimu wako Allah atakulipa kheir kwa rehma zake
@muhammedwakif62164 жыл бұрын
Shukran sana nimekuelewa
@hamzaforogo4 жыл бұрын
Allah akulipe na akulinde shekhe . Umefanya jambo muhimu sana alhamdulillaahi hivi ndivyo inavyotakiwa. Ushafikisha ujumbe
@salumbashiru48004 жыл бұрын
( أَلَا إِنَّهُمْ هُمُ الْمُفْسِدُونَ وَلَٰكِن لَّا يَشْعُرُونَ ) البقرة (12) Al-Baqara Hakika wao ndio waharibifu, lakini hawatambui.
@sahilnaass50904 жыл бұрын
Kweli Shekhe Allah akulinde
@fardhanamahmoud73134 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekhe,uko sahihi kabisa,
@salehrasta91654 жыл бұрын
Maashallah Allah akuhifadhi na akuongoze zaid
@mlapikauma76604 жыл бұрын
Huyu shehe Alhadi mshenzi tu
@hassaniramadhani82344 жыл бұрын
تمام
@alimipango19594 жыл бұрын
Allah atupe wepesi
@hadijazuberi60494 жыл бұрын
Atolewe kwe ushekhe wa mkoa
@hadijazuberi60494 жыл бұрын
Kapoteza sifa teyar ataupotosha umma
@alimipango19593 жыл бұрын
Tumefundiswa kuombeana dua njema.
@salummussa86734 жыл бұрын
Baraza liko sahihi
@mohammedomar28654 жыл бұрын
Afadhali umejitoa muanga mungu atakulipa
@eddyeddy13374 жыл бұрын
Allah akujaalie kher
@fahadbarakat94484 жыл бұрын
Wallah wallah wallah roho inaniuma Sana dini yetu inaelekea wapi?Allah anayaona haya namuomba Sana asichelewe kulipa huu udhalilishaji kwa dini yake tukufu...Eeeeh Allah tunakuomba waja wako waonyeshe na uwadhalilishe Kama wanavodhalilisha dini yako tukufu...Amiin
@jawaziissa82134 жыл бұрын
Allah akulipe kheri Shekh Muhammad Iddi.
@babylonyNgwembe4 жыл бұрын
SHEKH WA MKOA MM N MKRISTU LAKN AMEKOSEA SANA KIUKWELI.
@kuchimillionaire66834 жыл бұрын
Acha umbeya wewe
@mamussi68724 жыл бұрын
@@kuchimillionaire6683 umbeya upi ndugu? Muislam anakuwa na hekima na busara
@michaelthobias99673 жыл бұрын
Mkristu wa wapi wewe
@babylonyNgwembe3 жыл бұрын
@@michaelthobias9967 walio like wengi wamekubali lakin wewe mbuzi mmoja ndo hujataka kuelewa kabisa
@tangaoldtv10674 жыл бұрын
Mashaallah yani ninacho kukufurahia kumrekebisha mtu kihekma mashaallah allah akupe kila la kher
@hassanmpwepwe82584 жыл бұрын
Umenena sahii shekh wangu mashekh wengi wanajar maslay yake yeye bnafsi aujielewi kabisa uyo shekh wa mkoa
@khamissalum4314 жыл бұрын
Allah akubarik
@mamaibra24024 жыл бұрын
Dua leo kwa yesu kesho kwa Paulo
@wasnaabdallah31404 жыл бұрын
Hahahahaaaa true kabisa
@al-habshimunaa21584 жыл бұрын
Allah atuongoze duniani ni mapito
@bonneideeirakoze1574 жыл бұрын
Swadakta ya sheikh
@yahyamalik59694 жыл бұрын
Sheikh naona mm unazunguka tu na nahc mnaogopana sijui kwa nini, ila Kwa ufupi tu katika uislamu tunafahamu kuwa dua huombwa Mwenyezi Mungu pekee (Allah) na si Mtume au Nabii au Swahaba!
@mdongoringo27914 жыл бұрын
Nice
@sul814 жыл бұрын
mashallah, shukran kwa ufafanuzi mzuri, jazakallah khayran
@mahmoudhamisi6734 жыл бұрын
Swadaqta maalim wangu ABUU iidi
@halifaabdalakibadebi9604 жыл бұрын
Naaam shekhe safi sana
@boniphaceyohana72894 жыл бұрын
Ifike pahala tu waislamu mkubali kuwa YESU ndo njia pekee ya kuufika ufalme wa MUNGU 🙏🙏
@AhmadMuhamad-c4r2 күн бұрын
Mbona waisilam tunamkubali sana ,,ni mtume wa Allah
@AdamDaudy-e6u2 күн бұрын
Yesu au ISSA Alayhi salaam Tunamkubali na kumuamini kama mtume na Wala siyo mungu au mtoto wa mungu
@omarari61134 жыл бұрын
Asante Sheikh... Mwambie asome sura za wanafiq Atajifahamu namna alivyo.. Au Asome suratul MUNAFIQUUNA... Inamuelezea huyo ulomtaja.. Au wewe msomee vizuri Yote hiyo sura... zaidi Aya.. No ..1..2..3..4..5..6...
@afizuboy34334 жыл бұрын
ATOKE ATUFAI TUCHAGUE SHEKH KASHAMZALAU MUNGU
@asilclub3 жыл бұрын
انه الله وملائكته يصلون على النبي صلى الله عليه وسلم