dadaangu shikamoo, nakupenda kwa story zako momy ❤
@annatemu448814 сағат бұрын
Yaani kwenye swala la maji,umeme na miundombinu kwakweli ukikumbuka TZ unaanza kuwaza hivi nikirudi nyumbani itakuaje😂😂😂,maana yale mambo ya Huooooo Umerudiiii tushasahau😂😂😂
@Tanzanite-l8x10 сағат бұрын
Nimerudi kutoka Tanzania wiki mbili zilopita kwa siku moja umeme ulikatwa mara 5 yaani mwisho nikabaki kucheka tu badala ya kukasirika 😢
@ImeldaIsdory3 сағат бұрын
Mimi huwa nashangaa, mara nyingi wanaopata Bahati ya kuwa na mahusiano ya karibu sana na watu wa Mataifa mengine, huwa wanasema walikuwa hawajawahi kupanda ndege wala kutoka nje ya mipaka yetu!
@ImeldaIsdory2 сағат бұрын
Kuhusu kwenda Kanisani, kumbuka kwamba iliandikwa.... "Wa kwanza watakuwa wa mwisho!" Kwa kuwa wao walitangulia kusali.... ndiyo hivyo!
@zidatv112217 сағат бұрын
Mschana wa kibongo akwambie pesa sio kila kitu, muuuh
@atutweve416015 сағат бұрын
Shena namie naomba unihoji nipo Ujerumani 😋🙈am serious
@ZuenaSharifu5 сағат бұрын
Story mzuri❤
@bongomastory7918 сағат бұрын
Jamaa anajieleza sana
@arafaabubakar266517 сағат бұрын
Hi hope will learn a lot
@tatumzelela55153 сағат бұрын
Shena kunaswali umesahau kumuuliza kipindi amefunga ndoa anasubili visa ya kwenda ujerumani je alikuwa tayari amesoma lugha levo ya A1? Au kwa sasa huo mfumo haupo ukioa au kuolewa cheti cha lugha sio kigezo? Maana sijaona akizungumzia kama ilimlazimu kusoma lugha kwanza kabla ya ndoa au kuomba visa Naomba kufahamu