TULIKUTANA TIKTOK | BAADA YA MAHANGAIKO MUNGU KANIPATIA MUME AIRCRAFT ENGINEER | WATZ WANAMAKASIRIKO

  Рет қаралды 20,873

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

6 ай бұрын

Devota ametueleza safari ya maisha yake ya mahusiano mpaka kuja kukutana na love of her life.
Online dating changamoto zake na namna Tiktok ilivyomkutanisha na mume wake.
Please subscribe to her youtube channel ‪@Devota_life‬ ili kupata kujifunza mambo mbalimbali kuhusu maisha.
Thank you ‪@Devota_life‬ for allowing this to be online.
www.oda.international

Пікірлер: 138
@joyceKingu
@joyceKingu 6 ай бұрын
Devota you are very intelligent and smart . Plus actually beautiful .sishangai huyo kijana alivyochangamkia fulsa.❤
@Juke995
@Juke995 6 ай бұрын
Hongera sana Devota ila usiongelee sana kuhus pesa maana unachanganya sana just be happy umepata mtu sahihi maneno ya watu achana nayo. Most of them wanaosema vibaya hawana hata wakuwanunulia pedi . Congratulations. Nimetoka angalia interview ya winnie amesema Turkey hakuna haki za binadam mwanamke hana haki hapa nasikia kitu kingine all in all ni kupata mtu anakupenda basi
@upendokihunrwa3427
@upendokihunrwa3427 6 ай бұрын
Hongera dada kikubwa you are happy and enjoying your life
@ZulfaMazani-lb9oe
@ZulfaMazani-lb9oe 6 ай бұрын
Na me nilitaka kusema hiki kitu ...unashibdwa ushike lipi mpk nikampoteza shoga alikua anadate mturuk akamucha nilivyomsikilizishia ile interview ya wanawake uturuk hawana haki
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 6 ай бұрын
​@@ZulfaMazani-lb9oe😅😅
@Juke995
@Juke995 6 ай бұрын
@@ZulfaMazani-lb9oe 😂😂umepoteza muelekeo kabisa
@user-dl1ju4ge3x
@user-dl1ju4ge3x 6 ай бұрын
Hawa ndiyo bado mapenz mapya ngoja wazoeane atakuja kutupa story ingine 😢
@rhodajackson2213
@rhodajackson2213 6 ай бұрын
Nilimfurahia huyu Dada , uwii niliwish uje hapa hatimaye , Hongera sana kila la kheri
@judynjoroge5045
@judynjoroge5045 6 ай бұрын
Shes so beautiful and genuinely happy and vibrant.
@jaffaryhamiddy8939
@jaffaryhamiddy8939 6 ай бұрын
we acha uongo she aint cute
@judynjoroge5045
@judynjoroge5045 6 ай бұрын
@@jaffaryhamiddy8939 what's the fuss all about my eyes could see her beauty ,your eyes saw something else ..
@joyceKingu
@joyceKingu 6 ай бұрын
Naomba uanze kumwombea huyo mkwe wangu aweze kumjua Kristo. Amen
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 ай бұрын
Comment Bora kabisa❤ Ubarikiwe
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 6 ай бұрын
interview nzur sana iz interview ni shule kubwa sana unajifunza mambo mengi unatembea nchi kibao kupitia watu kama uyu dada mkweli na muwaz sana Mungu awabariki sana
@Tausishaban-he5io
@Tausishaban-he5io 6 ай бұрын
Kwel kbx kk ni shule tn ni nzuri ila mie nawapnd sana hao watu aiseee
@MillyOwnio
@MillyOwnio 6 ай бұрын
God's time is always perfect 👌 Happy Marriage my sister
@upendokihunrwa3427
@upendokihunrwa3427 6 ай бұрын
Bhana it doesn't matter as long as mtu una enjoy you are not proving anything to anyone....kitu nlichogundua watu wangi wanakua so uncomfortable na watu waliowaoa sababu labda hawana ile mionekano na vitu vya ndoto zao so wanapoanza kuishi nao wakiwa attacked wanaanza kujieleza sana.....kama you have your man and your happy that's it. True happiness doesn't seek validation of any kind.❤
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 ай бұрын
Yaani we una akili Hili ni tatizo wala sio uongo!
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 6 ай бұрын
Tena mwanaume wakukutishia kila saa kuwa ukifanya hivi na hivi tutaachana..,huyo siyo kabisa.
@user-mo5lk6vq2v
@user-mo5lk6vq2v 5 ай бұрын
Na akiwa mwanamke was namna hiyo tufanye je
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 ай бұрын
@user-mo5lk6vq2v Hata mwanamke wa hivyo hafai. It works both way.
@user-xl5mq5ug2j
@user-xl5mq5ug2j 6 ай бұрын
Jaman huyu dada niliona ndoa yake kwenye page ya Mc galab aisee she made it congratulations sister.....Shena I will real come to this interview ❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Karibu kipenzi
@aminakassim831
@aminakassim831 6 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistancewoow namfahamu nimesoma nae st matthew jamani 2005
@zurfapahenge8802
@zurfapahenge8802 6 ай бұрын
MerryChristmas and happy New year everyone ❤
@debbiethomas9825
@debbiethomas9825 6 ай бұрын
BAADA YAKUSKIZA HII STORY ME NIMEPACK MY BAGS TAYARI ………. Am going to UTURUKI….my sisters AM GOING…..🙇🏻
@suziemichael4338
@suziemichael4338 4 ай бұрын
Let’s pack my sister 🤣🤣
@OlyUpowerfuljesus
@OlyUpowerfuljesus 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 ай бұрын
Dada anatumia jina gani insta? Ameongea ukweli Hakika watu tunatofautiana mbona Mi sipendi Marekani, UK
@rehemaadam4102
@rehemaadam4102 6 ай бұрын
Devota wewe ni mdada mrembo na una roho nzuri nakupenda mwanangu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 ай бұрын
Nimekuelewa, tusiwe selective sn Cha mhimu mtu akupende kwanza awe real,🎉🎉
@ednaJF1028
@ednaJF1028 6 ай бұрын
I don't know how women's depends on man.weupe hawana hiyo,hata kama akikupa just know they're really color they don't like someone to depend on them. Pia kitu kingine mjitahidi kutumia njia ya kujileta mwenyewe hata kama unataka kuolewa nao weupe mkutane huku huku nje hiyo itakusaidia kua na confidence hata mkigombana hawezi kunitishia kua alinileta. Cjui kama mlisoma history ya hao watu wakati wa ukoloni that will Never ever change them just keep that on mind Ni wazo tu! Naishi huku 🇺🇸 for 17 years but hao watu sinaga mood nao
@jennifermmanyema6693
@jennifermmanyema6693 6 ай бұрын
Tatizo pesa ya kujileta mpenz ndo garama watu hatuna inabid tukubal Tu kuolewa nao
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 ай бұрын
No,watu wametofautana hawafanani kabisa! Ulicho experience wewe mwingine haja ki experience kabisa, ndo maana hata ukisikiliza haya mahojiano unagundua Kila mmoja kapita,kapambana kivyake! Kuna waliopata wazungu hao hao hawataki 50/50,wanawatunza,wanawalipa mwisho wa mwezi, lkn wengine wamewapata wanaotaka 50/50 Kuna waliowapata wenye uwezo,ila wengine wamewapata wenye uwezo wa kawaida.... So mi naona Kila mmoja atavyopata ndo hivyo hakuna mfanano!
@ashaidei5680
@ashaidei5680 6 ай бұрын
Kweli kabsaa tusifananishe vitu kila mtu na mbio zake watu wapo tofauti sana,Tanzania hiyo hiyo kuna watu wanapigika.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 ай бұрын
@@ashaidei5680 Kuna watu wanepata watu weupe na wanakula maisha ,walionyesha misimamo Kuna waliowapata Vimeo! Km Poland, turkey huyu sio wa kwanza nasikia hapa wao wanatunza mwanamke ,hakuna mambo ya 50/50....ni culture..... So Kila mmoja na atakaempata
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 6 ай бұрын
​@@jennifermmanyema6693KWENDA MAREAKANI AU NJIA SIYO PESA TU UNAWEZA KUWA NA PESA USIPATE VISA
@Winifridainturkey
@Winifridainturkey 6 ай бұрын
Ankara is among of the cheapest city in Turkey lakini hakuna opportunities Kama Istanbul
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 ай бұрын
Okay
@sarahmsuya5416
@sarahmsuya5416 6 ай бұрын
How is it the cheapest in the whole of turkey? Compare vizuriiii kisha ndio useme
@Winifridainturkey
@Winifridainturkey 6 ай бұрын
⁠@@sarahmsuya5416 sijasema nimeandika uhalisia Ankara maisha si ghali Kama mingine kwa Turkey haya nipe ya kwako wewe !!
@Winifridainturkey
@Winifridainturkey 6 ай бұрын
@@sarahmsuya5416😅😅😅😅 Ankara inaweza ikawa namba moja au mbili ni moja ya miji ambayo maisha sio ghali Kama İstanbul , Antalya , Alanya na İzmir nk haya nipe toa ya kwako pia !!
@lulumkongwe9987
@lulumkongwe9987 6 ай бұрын
Hongera sana Devotha! MUNGU awalinde na Mumeo
@deborahcharles6507
@deborahcharles6507 6 ай бұрын
She is so humble 😊
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 6 ай бұрын
Ngoja kwanza ni comment ndio niangalie big interview
@helinahenry2363
@helinahenry2363 6 ай бұрын
Wow wow, unewezaaa muhaya wetu. Hongereni sana. Na mmi nko mbioni kuingia Darasa la Shena😊,
@dayana5513story
@dayana5513story 6 ай бұрын
Girl you're blessed,God is good 😊
@aminakassim831
@aminakassim831 6 ай бұрын
Sura naikumbuka ila jina nimesahau
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 6 ай бұрын
My dear enjoy wazungu wengi hamna kitu
@user-wx9or8rw4n
@user-wx9or8rw4n 6 ай бұрын
Hongera, nakupenda
@Serenawilson11
@Serenawilson11 6 ай бұрын
Sema angeogelea akiwa ndan sauti ingetulia zaidi saut inakatika sana 😢
@murekeyisonichasia4676
@murekeyisonichasia4676 Ай бұрын
She's so beautiful 😢
@blandinamrusha-pj2ro
@blandinamrusha-pj2ro 6 ай бұрын
Enjoy Devota🎉🎉
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 6 ай бұрын
Mungu ni mwema
@Happyjohn-zy6ih
@Happyjohn-zy6ih 5 ай бұрын
Hongera dada,huyo uliyopata ni mume sahihi na Mungu airline.ndoa yako mpaka uzeeni,barikiwa.
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 3 ай бұрын
MashaAllah, ila dada mimi nimesoma Uturuki miaka 7 medicine, unaposema Waturuki sio wabaguzi ,you are wrong , may be Huna experience ndio kwanza umefika Turkey last year, waturuki ni wavaguzi na wanaita watu weusi" Kara teyze" shangazi mweusi, au kara cocuk mtoto mweusi hata kama jina lako wanalijua. Pili wanaumme wa kituruki wanakimbilia wanawake wa kiafrica sababu za kiuchumi,kuowa mturuki unatakiwa uwe na mortgage, dhahabu kama zote , gari ,furniture etc, wakati waafrica weusi all they want is skin colour , so easy for them
@joycejoes
@joycejoes 6 ай бұрын
Mimi kwakwei huyu Dada tangu namuona kwa GaraB nilimfurahia tu, nikamfollow hapo hapo. Nikaja kugundua kuwa yupo na Furaha muda woote!!! Deapite of the nasty comments❤ Wahaya wenzio tupo hapa 😂 Devotha mimi nawapendeni tu bureeee❤
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 6 ай бұрын
Naomba acc yake inst nimempenda pia
@user-go8nq7gi5k
@user-go8nq7gi5k 6 ай бұрын
Nimependa sana naomba na Mimi nimfoll nisaidie anatumia jina Gani ?
@RosemaryKidiro-wz3ux
@RosemaryKidiro-wz3ux 6 ай бұрын
Na mm mwaka huu nitakuja na ushuuda wangu🙏
@paskalinapa6177
@paskalinapa6177 6 ай бұрын
Pia mimi mwisho wa mwaka nitakua na ushuhuda 🙏🙏
@RosemaryKidiro-wz3ux
@RosemaryKidiro-wz3ux 6 ай бұрын
@@paskalinapa6177 Amina kipenzi MUNGU atupe subra 🙏
@RosemaryKidiro-wz3ux
@RosemaryKidiro-wz3ux 4 ай бұрын
@@paskalinapa6177 MUNGU mwaminifu atatuacha 🙏
@Serenawilson11
@Serenawilson11 6 ай бұрын
Wakwanza ❤❤❤
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 6 ай бұрын
Nice interview 😍😍😍
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 4 ай бұрын
Huyo ni mkurudishi kutoka Iraq 🇮🇶 ndo hawana dini waturuki wote ni waisilamu,lakini pia hao kuridi hawana dini wamezaliwa hapo turkey 🇹🇷 hivo chamuhimu nikupendana Mw/Mungu akufanyie wepesi wakila jambo
@suzanajonhnyodwa1561
@suzanajonhnyodwa1561 4 ай бұрын
Napenda Sana devota
@oiiii3898
@oiiii3898 2 ай бұрын
Dada mzuri kila kitu 👏🏾
@patricksebogodi4849
@patricksebogodi4849 6 ай бұрын
Huyu dada ni mzuri sana hata kama angekuwa na tabia mbaya mimi siwezi kuiona kabisa 😀😀😀
@AngelBiria-eu5uv
@AngelBiria-eu5uv Ай бұрын
Tulikuwa tnafanya kazi ote dxn jamani nimekumiss sana momy
@blandinamrusha-pj2ro
@blandinamrusha-pj2ro 6 ай бұрын
Wew ni mrembo bwana
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 6 ай бұрын
HII TABIA YA WANAWAKE KUTAKA KUOENDA KUOLEWA NJE KWA KUOLEWA IT NOT SOYNDS GOOD BUT SIYO MBAYA UKIPATA BUT IT IS NOT NICE THAT MINDSET
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 6 ай бұрын
Nawapenda 😘😘😘
@user-fe5cn8bv8y
@user-fe5cn8bv8y 6 ай бұрын
Piya mimi mwaka huu nina ushuhuda sana
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 6 ай бұрын
Devota black beauty
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 5 ай бұрын
huyo mtu alitaka kukuvunja moyo, mbona pua yako,sura na rangi ziko vizuri tu
@cynthiawahu-sk2qj
@cynthiawahu-sk2qj 2 ай бұрын
Thanks for sharing these type of content….I got to know about you through Ruth Kim’s channel…God bless you…I’m learning a lot…ipo siku nitampata mzungu wangu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
Woow thanks Karibu sana and Amen to that 🙏
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv 6 ай бұрын
Nimependa hiyo story
@venerandamassay1785
@venerandamassay1785 6 ай бұрын
Huyu ni mimi kabisa shena
@laetitiamathe5779
@laetitiamathe5779 6 ай бұрын
Thank you for thé story ,inanigusa sana ❤❤
@jaffaryhamiddy8939
@jaffaryhamiddy8939 6 ай бұрын
imekugusa wap tn
@user-fs4bu4cu6k
@user-fs4bu4cu6k 5 ай бұрын
Ongera mdogo wangu
@jtheophil5499
@jtheophil5499 6 ай бұрын
Nimekupenda bure
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 6 ай бұрын
Huyo dada anaishi sehemu nzurir huko Turkey ni mji wa kitalii nimeshaenda hapo
@jaffaryhamiddy8939
@jaffaryhamiddy8939 6 ай бұрын
usisem watanzania hawana akili kisa umeolewa nje kitu cha kifahari kuwa peace in ur land huku thr is peace
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 6 ай бұрын
Mmy love wajerumany siooooo
@roselynsesoa2477
@roselynsesoa2477 6 ай бұрын
Devota mrembo,black beauty
@Zepequeno-ln1ot
@Zepequeno-ln1ot 6 ай бұрын
abegi Maneno ya mkosaji hayo niunganishe mie hapa popote kambi bola maisha tu yaende sawaa
@user-xl5mq5ug2j
@user-xl5mq5ug2j 6 ай бұрын
Expect me this year
@user-fs4bu4cu6k
@user-fs4bu4cu6k 5 ай бұрын
Shena kazi yako nzuri tabia yako nzuri uko vzr mdogo wagu naomba namba yako
@user-mo5lk6vq2v
@user-mo5lk6vq2v 5 ай бұрын
When the deal is too good think twice dada
@kevinmary7129
@kevinmary7129 6 ай бұрын
Kigezo au sifa ya kwanza ya kuolewa ni dini lazima mkristu uolewe na mkristo Istanbul 78% Muslim so Yesu namba moja
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 5 ай бұрын
Nakubaliana na wewe hata mimi nilienda Istanbul na Izmir kiukweli wadada wa ki Turkish tulikuwa tunaelewana sana wakikushika mkono wanasema daa mwili wako wa moto, sema ndo wengi hawajui kiingereza kwhy mnaongea kwa vitendo tu
@rithaalberto7521
@rithaalberto7521 6 ай бұрын
I ❤❤❤❤
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 ай бұрын
Hata mi ninge mblock Sitaki ujinga😂
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 6 ай бұрын
wowooo❤❤❤❤
@AngelBiria-eu5uv
@AngelBiria-eu5uv Ай бұрын
Waoooh rafiki yangu hatimae umeolewa namba yako nimepoteza dah sijui nakupataje
@KasminaCreation
@KasminaCreation 6 ай бұрын
ata mimi ningemblock maana future ni muhimu 😂
@hellenkiselema
@hellenkiselema 6 ай бұрын
❤❤❤
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 6 ай бұрын
Weee nabusu juuuu 😂😂😂😂
@joycechaka8433
@joycechaka8433 6 ай бұрын
Habali dada Shehna, tafadhali naomba namba zako za simu tafadhali
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 3 ай бұрын
Hahhhh wanaume hawa mtihani
@halimahassan3031
@halimahassan3031 6 ай бұрын
Is not a joke kuolewa😂😂😂
@user-nb9tl6cy3j
@user-nb9tl6cy3j 6 ай бұрын
HUYU DADA ANAONGEA VIZURI SANA
@hellenondiso9542
@hellenondiso9542 6 ай бұрын
Kwani ukiolewa na mwarabu si mtu? Na venye wanaume waarabu wanajua mapenzi na kutunza mke. Atleast a position answer since tunajua turkeys n resist
@paulalove1223
@paulalove1223 6 ай бұрын
Yani usiongelee waarabu kwa kutunza😊 sema familia mpk ikukubali nikazi
@hellenondiso9542
@hellenondiso9542 6 ай бұрын
Yes ​@@paulalove1223
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 6 ай бұрын
Devote watanzania wengi Akili ziro wanajidai na matako yao hawana lolote
@user-jo5hs8qr4e
@user-jo5hs8qr4e 5 ай бұрын
Naombeni namba
@hericharles3604
@hericharles3604 6 ай бұрын
Baadhi ya wa Dada zetu akili zao zote ziko kwenye artificial hair, hawapendezi lakini hawakubali kwa sababu ya ulimbukeni na ushamba. Shena na Witness ni waelewa sana, wako natural look,
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Kila mtu anaaina ya urembo wake anaoupenda.. Kuna watu pia hawapendi watu wanaopakaa rangi za midomo. So at the end kila mtu na urembo wake and we have to respect each other 🙏
@debbiethomas9825
@debbiethomas9825 6 ай бұрын
@herichar..... YOU DON'T KNOW WHAT YOU ARE TALKING ABOUT..... AKILI YAKO FUPI SANA
@foibtv3044
@foibtv3044 6 ай бұрын
😢
@jamil1547
@jamil1547 6 ай бұрын
Hongera sana dada nitakupataje naomba number yako tuwasiliyane
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 ай бұрын
Ila wanawake jamani mmeishakuwa majambazi 😂
@user-vc8bm7zb6o
@user-vc8bm7zb6o 6 ай бұрын
Dada nimekufatilia muda mrefu ukiwa unawahoji watanzania wenzetu....ombi langu mimi natafuta mzungu wa kunioa ila sijui pakuanzia
@TRUEHUBBY
@TRUEHUBBY 6 ай бұрын
Kama unafuatilia vipindi vyake unakosage pa kuanzia? Kila anaongea nao wanasema njia walizotumia, Sasa unakwama wapi🙄. Be creative 🙌
@elingimiemakundi1229
@elingimiemakundi1229 4 ай бұрын
DADA UWE UNATAJA NA ACCOUNT ZAO ZA KZbin
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Check description nimeweka
@user-qb3hx2ku9v
@user-qb3hx2ku9v 6 ай бұрын
Nimepata wa Uturuki anafanya kazi ya ulinzi ila mzuri hatari , mwingine ukraine ila naogopa vita vya ukraine na urusi mtu wa ukraine anasema nimalize contract ya warabu niende ukraine nikasema hapana nafanya kazi kwajili ya mama ,mama yangu hana lala chini nje nikija kwako nitafanya kazi akasema ndio nitakufanyia mpango upate kaz kwaliji ya mama yako nikasema mimi sijui English vizuri itakuaje anasema kwao hawaongei English sasa mtihani niache kazi niende uturky au niende ukraine au nifanye kazi hapa hapa kwa warabu nipo njia panda 🐼🐼 navyompenda mama yangu naogopa kwenda kuishi kwa mume nakula vizuri nalala vizuri mama yangu hana pa kulala naogopa naumia kumuacha mama bakla sijamuweka sehemu nzuri😢 nipe nguvu Mungu nijue cha kufanya🙏
@winfridahaule4364
@winfridahaule4364 6 ай бұрын
Muombe Mungu kwanza
@user-qb3hx2ku9v
@user-qb3hx2ku9v 6 ай бұрын
@@winfridahaule4364 asnte 🙏
@user-fs4bu4cu6k
@user-fs4bu4cu6k 5 ай бұрын
Shena naomba namba yako mdogo wangu
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 6 ай бұрын
Jamani, jamani, jamani! Caring maters a lot! Congrats! Shikilia hapo hapo Binti! May The Almighty God shower his Blessings upon your Marriage!
@annatemu4488
@annatemu4488 6 ай бұрын
Anatumia jina gani instagram? Na U tube?
@jescasherem1686
@jescasherem1686 6 ай бұрын
Tuma jina jaman la ista
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 6 ай бұрын
Buguluni ndio umeona sehemu ya mfano
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 6 ай бұрын
Sio Buguluni ni Buguruni.
@barakamazigo4840
@barakamazigo4840 6 ай бұрын
Punguza kingereza
@Kabwela776
@Kabwela776 6 ай бұрын
Huyu dada ni muhaya maana ndio watu wa kujisifu sana na inaonekana ni Wale wanawake ambao wako tayari kufanya lolote hata kujiuza ili wapate wanachotaka, kuja mtu kukufuata Tz anaweza kuja anakuja kutembea ku enjoy nchi Na kupata mwanamke cheap wa kufanya naye mapenzi Na kampani akiwa Tz , na sio sahihi kuita wanawake wote wa kitanzania ni sio waelewa
@ModextaModexta-on7mi
@ModextaModexta-on7mi 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@maryamrashid8499
@maryamrashid8499 6 ай бұрын
Waturuki wengi wanawak black wake zao washenzi😊
@patricksebogodi4849
@patricksebogodi4849 6 ай бұрын
Huyu dada ni mzuri sana hata kama angekuwa na tabia mbaya mimi siwezi kuiona kabisa 😀😀😀
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 6 ай бұрын
Nimekupenda bure roho yako tu ni nzur
WANAUME WALIKUA HAWANITAKI KWASABABU YA UFUPI WANGU
1:02:41
Official Dating Assistance
Рет қаралды 22 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 84 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 52 МЛН
Maisha Ya Ulaya - Siku Ya Kazi
5:51
Maisha Ya Ulaya
Рет қаралды 1,5 М.
KUTENGANA KWA MUDA KUNASAIDIA KUJENGA NDOA | MAISHA YA ULAYA YANA DEPRESSION NYINGI
1:01:00
SABABU ZA KUNYIMWA VIZA YA MATEMEBEZI YA USA NI HIZI HAPA
27:09
EBM SWAHILI
Рет қаралды 5 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 84 МЛН