KUTOKA CHUNYA VIJIJINI | UCHAWI ULIVYOTESA MAISHA YANGU | UADUI NA MARAFIKI | NIMEUONA USO WA MUNGU

  Рет қаралды 40,472

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Lady Ma ametueleza Safari yake ya maisha kutoka Chunya vijijini mpaka kutua Dar es salaam ambapo safari ya maisha yake ilichua taswira nyingine.
Kutoka kwenye tasnia ya ulimbwende, ugumu wa maisha, marafiki, kuingia kwenye circle ya Mrs Wazungu.
Kwenda China kutafuta maisha, ambakl maisha yake yalipinduka na kuishia kua mlevi na mwenye Vita na watu wengi wanaomzunguka.
Kuingia kwenye mahusiano na mnaijeria ambae alikua akimnyanyasa na kurudi Tanzania akiwa hana kitu basi maumivu makali ndani ya moyo wake.
Kujiingiza kwenye waganga kutafuta suluhu na Mwisho akauona uso wa Mungu na kufungua baraka zake.
Thank you Lady Ma (Mariam) for allowing this to be online
www.oda.international

Пікірлер: 340
@maryamnjagila3896
@maryamnjagila3896 10 ай бұрын
Jamani ujanja kuokoka kuna ufungulivu, Yesu kristo ndio jibu la maswali yote. Alipomkubali Yesu ndipo milango ilifunguka waganga walishindwa. Mwanaume ni mmoja tuu ❤ Yesu Kristo.
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 10 ай бұрын
Chezea yesu wewe yesu ndo klakitu
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 10 ай бұрын
Asante mungu hakika umwema sku zote
@macrinamkilima5416
@macrinamkilima5416 10 ай бұрын
Aaaaaamen
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 10 ай бұрын
@@Judy-dy4zt. Kila kitu kweli mana katuonyesha mpaka maajabu ya Mungu kuteswa na aliowaumba, Isitoshe akafa na kuwaacha aliowaumba.
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 10 ай бұрын
​@@Fear_Allah394😂😂😂
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 10 ай бұрын
Nimejifunza 1. Cyber bulling us real 2. Trust no body fear everybody. 3.Intelligent women have a small productive cycle of women friends . 4. You will never know a man if he is broke. 5. Peer can influence your behaviour if you are not careful you can adapt bad behaviour 6. God had plan for you 7. Never share your personal issues with other 8. Never inherit others quarrels
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 9 ай бұрын
NIMEKUPENDA BURE yaani mzuri African queen 👑 na mzuri hasa na hustle zako za maisha Mungu ni mwema ❤❤❤
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Ss we ushajua Mungu ndo alikusaidia Kwahiyo hata hizo biashara zako mtangulize Mungu pia utafanikisha tu
@asiaa6573
@asiaa6573 10 ай бұрын
Story ya huyu dada imenifunza mengi, Mungu aendeleye kukubariki
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 10 ай бұрын
Story nzuri sana,amefunguka,ametufundisha vitu vingi sana.hongera Shena unatukutanisha na watu tunajifunza mambo mengi
@user-wu1bl6kl6t
@user-wu1bl6kl6t 10 ай бұрын
Story ya huyu Dada yatia moyo sana. Na karibu yaani almost like mine. But nilipomrudia Mungu naona Mungu akirudisha kila kitu nilichopoteza. Marshall yake yote niko kwenye hicho kiatu.
@hermanhhaaly9685
@hermanhhaaly9685 2 ай бұрын
Shena hongera Sana kwa kipindi chako,tunapata shule kiwango Cha juu!!!
@upendogreutert199
@upendogreutert199 10 ай бұрын
Pole Sana na Safari ya maisha Miriam, Marafiki siooo dear , wasikie tu kwa watu hawafaiiii hata
@JosephineKimbifya-qf1yv
@JosephineKimbifya-qf1yv 10 ай бұрын
Mungu akupe Hekima zaidi na zaidi.
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 9 ай бұрын
Hakikaaa
@nikitadiamorelivingstone2831
@nikitadiamorelivingstone2831 9 ай бұрын
Ukiwa mke wa mzungu jifunze kujali maisha yako, mume wako, na zaidi kuwajali wazazi hapo ndipo utafanya maendeleo. Marafiki na ndugu wengine watakupa stress tu, mimi baada ya ndoa 2012, nilikata marafiki feki wote na kuanza ukurasa mpya.Hapo ndipo niliona raha ya kuolewa na mzungu.Mdogo wangu jipende na focus na maisha yako usishindane na watu na kulazimisha urafiki na mtu.watu tumetofautiana malezi, wewe unaweza kuwa umetoka kwenye familia yenye utulivu ukakutana na marafiki ambao wana tabia za ajabu hujawahi kuziona kwa umri huo stay safe.
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 ай бұрын
Kweli Na nimesave notes Asante 😍
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 10 ай бұрын
Lady ma uliisha mjua Mungu anashighulika na kila kitu chako
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 10 ай бұрын
Lady ma nime kuelewa sana... Mimi mwenyewe nime pigwa matukio balaa. ila kitu kimoja hata farao nae alikua na mchango kwa musa. Huyo rafiki yako alie kusaidia kupata kiwanja, alie kusaidia kupata huyo boyfriend ni mungu ali waweka hapo,kumbuka uzuri huo basi mshukuru mungu sio lazima uwe karibu nao au kurudisha urafiki, wewe endelea na maisha yako, wakisema wame kusaidia so what? kuna kupunguzia nini wewe? na ina elekea hata huyo baba huja mpa moyo wako kisa mzee na ume unganishiwa na rafiki. Bado akili yako haija komaaa kuna utoto bado. Ila nime kupenda sana.
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 9 ай бұрын
Hongera sana Miriam kwa kumuona Mungu. Daima pigana vita vilivyo vizuri na kumbuka Waganga wanakufa ila Mungu anaishi Milele yote.
@emmatryphone6921
@emmatryphone6921 5 ай бұрын
Nimecheka unachekesha lakini kuna funzo kubwa sana. Hongera dada
@neemalema2545
@neemalema2545 10 ай бұрын
The skin thou❤❤❤
@ZURIITHEBRAND
@ZURIITHEBRAND 10 ай бұрын
From Zero to Hero. Mdogo wangu Mungu aendelee kukuinua nikikumbuka ulipotoka mpaka ulipo kwa kweli sifa na utukufu umrudie Mungu. Asante kwa kushare story yangu na kuinspire wengine. Nakutakia kila la kheri kipenzi.
@ladymacollection
@ladymacollection 10 ай бұрын
Mie Pia nakushukuru saana dada angu nikikumbuka uliko nitoa kwa yule mnageria na kunianza kunifundisha biashara ndio mana uwaga nasema jamani ladymacollection imetoka kwa zuri hakunaga anaye nielewa kwa ule wakati ulinisaidia mno kuwa busy na biashara pia ulinisaidia saana kumfokea yule kaka alikuwa anani treat vibaya . Watu awajui ulikuja kwenye maisha yangu kunipigania. Mie nakushukuru saana da jestina Ahsante saana sana kwa maisha yako kwa kunisimamisha kwenye maisha mengine kabisa .Ahsante saana
@ladymacollection
@ladymacollection 10 ай бұрын
Mtoto wa rafiki angu aliniachia amesomea hivi. Finance, Accounting and Bank Kama kutakuwa mtu ana nafasi yoyote ya kazi nilikuwa naomba msaada ya kunisaidia mwanangu nitamshukuru saana .. . Najaribu biasharaa naona vitu havijakaa Sawa . Kichwa kinaniuma nimemwandalia passport Yaani nikipata kazi tu nje nimpeleke uyo mtoto . Yaani au Mtu anishauri ukweli unamweka mtu huru jamani Ahsanteni saana bado na fight kwa maisha ya mtoto wa to rafiki angu lazima nilipe fadhira ata kama mama yake hayupo duniani.nakumbuka msaada wake kabisa
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 10 ай бұрын
Karembo sana pia hongera dada una rangi nzur
@mwajumamohamed6426
@mwajumamohamed6426 10 ай бұрын
msaada wa kudumu kweli unaumiza na mtu ana take advantage kwa alichokusaidia na atataka uwe mtumwa wake mm nimemelelewa na mama angu mdogo lkn kanitesa sana kafika hadi ananifanyia ushirikina sababu ya msaada wa kudumu.
@joelirunde2823
@joelirunde2823 5 ай бұрын
Waaaa Powerful testimony keep it up my daughter Mshike sana huyu Yesu mtenda maajabu.
@user-cc1mf2vg4w
@user-cc1mf2vg4w 10 ай бұрын
Da Shena napenda kipindi chako, napata elimu nzuri sana.
@upendogreutert199
@upendogreutert199 10 ай бұрын
Shukuru Mungu Lady Ma na utoe Sadaka kwa Mungu umepita na kuibiwa simu ilikuwa mpango wa Mungu kabisa
@amneriyami2409
@amneriyami2409 10 ай бұрын
A/alaykum storry nzuri sana yakufundisha maisha uyo mschana hodari m/mungu atazidi kumfungulua milango ya khery moyo wake msafi
@christaoman8890
@christaoman8890 10 ай бұрын
Duuh marafiki walikuroga usifanikiwe pole sana my dear
@amneriyami2409
@amneriyami2409 10 ай бұрын
sawa sawa maryam ishi ivwo ivwo mungu yupo na ww maisha ya kujionesha hayafai dunia watu wengi wabaya
@maryandason1815
@maryandason1815 10 ай бұрын
Inafundsha wadada wa tz wanaopenda wanaume wa njee😢wakijua nje ndo kwenye life maisha ya mtu upangwa n MUNGU poleee bt saah uko sawa neema ya MUNGU imekufunikaa
@TheSalma1999
@TheSalma1999 9 ай бұрын
Nimekupenda bure wewe dada pole sana kwa uliyoyapitia Mungu ni mwaminifu wewe ni jasiri sana nani mchangamfu mno I wish ungekuwa rafiki yangu wow
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 10 ай бұрын
Ni kweli kabisa, mafanikio haya tafutwi kwa kikundi, kuna lazima mmoja aingiwe na roho mbaya, sisi wanadamu husema tunataka watu wafanikiwe ila wakifanikiwa ndio shida ina kuja hapo. kwani ni yeye sio mimi? yani wanadamu watakupenda mnateseka wote, ukifanikiwa tu adui yao, ndio maana matajiri wengi duniani unakuta wakisha kuwa matajiri wana chukiwa na wanajenga ukaribu na urafiki mpya na matajiri wenzao.
@iantussa9064
@iantussa9064 10 ай бұрын
Kuna mtu kaniambia hii kitu jana usiku.ninataka kuanza jambo fulani nilipomwambia nataka angalau nianze na mtu. Akaniambia nianze mwenyewe nibebe maono yangu nikianza na mtu anaweza kuja kuwa mwimba. Hii comment yako imepigilia msumali..asante mno ni kama umeiweka kwaajili yangu
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 10 ай бұрын
mimi ni muhanga wakutafuta kwa kikundi... sasa hivi niko peke yangu na mungu tu. Nakushauri tembea peke yako na mungu wako.@@iantussa9064
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 ай бұрын
@@iantussa9064fanya mwenyewe na ukiweza kimya mshirikishe Mungu
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 10 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi. Ulipitia mapito yote ili Mungu atukuzwe
@mohamedmwavuguto8276
@mohamedmwavuguto8276 10 ай бұрын
Shena , fundisho kubwa nililolipata ktk mahojiano haya ni kutokata tamaa ktk kutafuta , kuwa msiri , kumuomba Mungu ktk kila jambo , na kuwasamehe wabaya wako pale inapobidi kufanya hivyo . Tukumbuke ya kuwa , maisha ni safari ndefu .
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 10 ай бұрын
Yaani nimekupenda unajuwa kuadisia unachekesha na umeuzurisha pale ulivyo sema msiba nimeumia sana roho yangu pole kwa yote misukosuko .na hongera kwa kupambana. Hongera Dada SHENA.
@bibyansimplis3791
@bibyansimplis3791 5 ай бұрын
Jamani ina maana kupata maisha ni lazima kuwatumia wanaume jamani? Wanaume mna shida sana, poleni.
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 Ай бұрын
Waooow Yesu aendelee kumtunza🎉
@estakapufi7582
@estakapufi7582 10 ай бұрын
Lady ma umeongea vitu point sana marafiki sio maisha ya ukimya ni mazuli sana
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 10 ай бұрын
Pole sanaaa maryam ishi kumtegemea huyo YESU aliyekutoa matopeni yesu ndiye njia ukweli na uzima
@upendogreutert199
@upendogreutert199 10 ай бұрын
Schönen Wochenende Lad Ma jamani sisi Tupo Switzerland 🇨🇭 but OG from Tanzania 🇹🇿
@Alice_Kazaura
@Alice_Kazaura Ай бұрын
Kweli maisha yako ni ushuhuda wa kweli, na umetufundisha kutokata tamaa. Ndio maana wanasema ukitamani maisha ya mtu uwe na uwezo wa kuhimili changamoto lakin wengi wanatamani maisha ya watu lakini hawako tayari kuzikabili changamoto. Hivi watu wanaofanya ubaya kwa watu hua mnafaidika nini? Upendo ni kitu cha msingi, wivu haujengi jamani. Tumuogope Mungu, tupendane❤
@naturelle1097
@naturelle1097 9 ай бұрын
Great testimonie! Movie material❤ila Shangazi😂inabidi atubu ila pia bila.shangazi usinge mjua Mungu yaani kila kitu Mungu anaruhusu kitokee maana anamakusudi na sisi True don't trust ANYBODY
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 10 ай бұрын
Naomba no yahuyu bint nimempenda sana shena
@ladymacollection
@ladymacollection 10 ай бұрын
Karibu ladyma_luxuryhair
@happylemboto9103
@happylemboto9103 10 ай бұрын
Katika interview Leo nimejifunza sana 👏
@mwajumakitano842
@mwajumakitano842 8 ай бұрын
Mimi naomba niwe dada yako,nawish ningekua na mdogo mwenye akili kama wewe mungu akubarikie super 😊
@leaherasto929
@leaherasto929 10 ай бұрын
Safi Mungu nikila kitu. Pole kwauliyopitia nimengi namazito
@rosemery3017
@rosemery3017 10 ай бұрын
Mama mdogo apewe maua yake 🌹
@perufamily6941
@perufamily6941 10 ай бұрын
Pole na hongera sana
@helinahenry2363
@helinahenry2363 10 ай бұрын
Story nzur, inahuzunisha na inachekesha, inafundisha na inatia moyo
@lacheekah1849
@lacheekah1849 10 ай бұрын
Dada yake amina 😍
@eshaermdaki8943
@eshaermdaki8943 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 10 ай бұрын
Hongera sana Ladyma husimuache Mungu kabisaa
@janethmpemba9875
@janethmpemba9875 21 күн бұрын
Mungu ni mmoja tu🙌🙏
@lilywei2967
@lilywei2967 4 ай бұрын
Mimi nitoka na kitu hapa nimejifunza kitu dada Mungu akubariki kwa kutoa mafundisho mzuri mungu akupe watoto mapacha wakike Na wakiume 🙏🏿🥰
@BERLINHENRY-tc8em
@BERLINHENRY-tc8em 2 ай бұрын
Shena nafatilia kipindi chako na Mimi nimemuona Mungu kwenye mapito yangu mpaka kupata ndoa na mzungu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
Hongera sana Karibu san kwa kipindi +4367764790884
@talentshow2024
@talentshow2024 10 ай бұрын
Nimejifunza na nimeshawahi kupitia baadhi ya changamoto ulizopitia😢
@paulaugustino3242
@paulaugustino3242 10 ай бұрын
hahahaha Miriam kamtafte Mungu huyo mganga safi sana amemaliza kila kitu,,nimecheka sana
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 9 ай бұрын
You are so bright and humble. Be blessed.
@Byme6434
@Byme6434 10 ай бұрын
Lady Maa Interview Was 🔥🔥🔥
@LucyJoseph-pb4um
@LucyJoseph-pb4um 7 ай бұрын
Ooooooh hongera sana Mimi Binti yngu advice amesoma maweni chunya
@ladymacollection
@ladymacollection 3 ай бұрын
Kasoma na wadogo zangu wa 3 ndio wamesomea maweni
@LissaBosh
@LissaBosh 4 ай бұрын
Pole sana dear pia Hongera sana stories imeningusa sanaaa usiwe narafiki mama yako na baba yako ndio Rafiki zako Duuuu inaumiza Sana mtatangulize mungu2 ❤❤❤❤
@esthermatisho2604
@esthermatisho2604 10 ай бұрын
Da,nimejifunza vitu vingi kupitia kwake. Thank you for sharing🫶
@leaherasto929
@leaherasto929 10 ай бұрын
Mzuri sana Mungu kamjalia urembo waasili
@MohamedSarahani-gk6jx
@MohamedSarahani-gk6jx 9 ай бұрын
Munguu azidiii kukufanyiaa wepesiii mqaanaa kwenyee neemaaa hapakosiiiii husdhaaaa
@user-zd8bf5me7s
@user-zd8bf5me7s 2 ай бұрын
Huyu lady ma ni tatizo aisee , barikiwa sana lady .
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 10 ай бұрын
Hongera sana dada mwenyezi mungu akutangulie endarea kujitambua
@Sounding.the.trumpet
@Sounding.the.trumpet 4 ай бұрын
Hallelujah .JESUS is LORD. Ni baraka kubwa sana to be in CHRIST❤️❤️
@estakapufi7582
@estakapufi7582 10 ай бұрын
Pole sana mdogo wangu kila mapito ukipitia mungu anakuwa na makusudi na wewe stori nzuli sana
@fora2009
@fora2009 5 ай бұрын
Mimi pia na yangu from Belgium
@elizabethjackson3865
@elizabethjackson3865 10 ай бұрын
Hongera sana mpenzi story nzur sana ❤❤
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 10 ай бұрын
Vzr nimekupenda
@monadinadi5295
@monadinadi5295 10 ай бұрын
❤❤❤Nakupenda mariamu
@rehemacharlesmasingija7470
@rehemacharlesmasingija7470 10 ай бұрын
Umependeza sana hilo wig lako
@leaherasto929
@leaherasto929 10 ай бұрын
Interview nzuri sana
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 10 ай бұрын
Woow si mchezo 👏
@SurprisedBirds-rp8fq
@SurprisedBirds-rp8fq 7 ай бұрын
Ulikuw mbegu ya Mungu
@annatemu4488
@annatemu4488 10 ай бұрын
Kweli mwisho wa ubaya ni aibu, Shangazi kaumbukaa
@upendogreutert199
@upendogreutert199 10 ай бұрын
😂😅 mnooo
@user-mr5tk8oc3t
@user-mr5tk8oc3t 9 ай бұрын
Da Miriam nakukumbuka dear tulisha kutana india nice dear 😘😘
@ladymacollection
@ladymacollection 9 ай бұрын
Yes nilikuja sababu ya mdogo wangu kwa birthday ya mwanaye na yake for respect what she did to me 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼🔥🔥🔥 it was Siri ya familia but is better kuacha vitu wazi watu wajifunze makundi marafiki sio Kabisa .. saizi sitoitaji watu wasio jielewa Amen 🙏🏻
@neemajoseph6397
@neemajoseph6397 8 ай бұрын
Mungu azid kukusimamia nakupenda bule
@irenekaluse3213
@irenekaluse3213 5 ай бұрын
Nimekupenda sana
@upendogreutert199
@upendogreutert199 10 ай бұрын
Kweli Mungu huwa anaweza kukupa watu ambao wanakuwaga njia yakukufikisha mbaliii, lakini kuna wengine tunafaa kuwa nao makini kwasababu wanakufedhehesha hata Kama ni ndugu we have to be careful
@mwajumamohamed6426
@mwajumamohamed6426 10 ай бұрын
Kiukweli nimejifunza kitu usikate tamaa,usiamini watu sana,na watu ni wabaya ishi kwenye ndoto zako hongera dada.
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 9 ай бұрын
Yes
@thequeenawifeofking8518
@thequeenawifeofking8518 10 ай бұрын
Hee hy dada kapitia magum pole Sana mama yaani Dunia hii mie mwenyewe hy hy tuu yaani Sina muelekeo😮😮😮
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 9 ай бұрын
pole sana Redima kwa yaliyo kupata na mimi pia nimuanga waayo mambo nimekuwa nimtu wakuchukiwa kila siku naomba uwe ndugu wako kwa imani
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 10 ай бұрын
Brava amica di Milano ❤welcome to Napoli
@vero57
@vero57 9 ай бұрын
Umepitia mengi sanaa, history ndefu nimesikiliza mpaka nimelala nitarudia tena kusikiliza
@priscapius4253
@priscapius4253 10 ай бұрын
Mapito ya maisha kutokana na ndugu, marafiki, wafanyakazi wenzetu kutokana na wivu na chuki hutokea sana.
@juliethswai4263
@juliethswai4263 10 ай бұрын
na majirani pia
@sarahgustaph2710
@sarahgustaph2710 10 ай бұрын
Miri..Mungu ana tusikia na hujibu kwa wakati.... Hongera mdg wangu ♥️♥️
@ashazuber6548
@ashazuber6548 10 ай бұрын
❤❤❤kabisa hujakosea
@tausimbulumi503
@tausimbulumi503 10 ай бұрын
Story yako ni nzuri❤❤
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 10 ай бұрын
Nimeipenda hii interview
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Ndo ukajua kuna Jesus Sasa,ndo maana uliambiwa unatakiwa usimame na Mungu maana nguvu za Giza zingekipoteza zaidi! Uzuri ulipata rfk mzuri aliyekupeleka kwa wachungaji. Huyo hakua mchungaji tu ,alikuwa nabii na Mungu aliwatumia!
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 10 ай бұрын
Allah amuongoze kwenye haq, mana katoka kwenye kumshirikisha Allah na mizimu/majini ya kishwaitwani/waganga kaingia kwenye kumshirikisha na mtu.
@jackietony9566
@jackietony9566 10 ай бұрын
Nakipenda sana kipindi chako
@rehemacharlesmasingija7470
@rehemacharlesmasingija7470 10 ай бұрын
Umenifunza mambo mengi sana nipo Sweden
@user-kr2yk6gn4q
@user-kr2yk6gn4q 6 ай бұрын
Napenda Sana interview zako shena.
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 10 ай бұрын
Nice Story i love you two beautiful girls ❤❤
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 10 ай бұрын
Hii ya leo imenifunza sana. Take away yangu makundi ni nyoko. Namshuru Mungu kuniepusha na makundi. Nimefurahi pamoja na mapito yake yote kamalizia nakumjua Mungu. Big up mdada. Kaongea ukweli wake wote. Natamani ndoto yake ya modelling ingelifanikiwa. Yote mipango ya Mungu.
@ladymacollection
@ladymacollection 3 ай бұрын
One day nitakuja kuonekana milano nikifanya kazi na campuny kubwa au Kama sie mie mwanangu nita muweka kwenye kwenye fashion business
@TheSalma1999
@TheSalma1999 9 ай бұрын
Dry fasting hiyo ni nzuri sana Mungu ni mwema
@RadegundaChambi-ec7yw
@RadegundaChambi-ec7yw 6 ай бұрын
Dada pole sana hivyo yote ni motihani y huku ugenini
@aprilrosaliapanda4895
@aprilrosaliapanda4895 10 ай бұрын
Uko china turkey na india mlikuwa mnafanya kazi gani!
@joycehagman3086
@joycehagman3086 10 ай бұрын
Mmmmmmuasema, ukweli
@rosemerryfaustin1900
@rosemerryfaustin1900 10 ай бұрын
Lidada lisafi lizuri linapendeza❤
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 ай бұрын
Sanaaa mzuriii msafii
@user-rw8gw3eh4y
@user-rw8gw3eh4y 10 ай бұрын
Hii interview imenigusa pole saana
@shibalubela6500
@shibalubela6500 10 ай бұрын
Nimependa ngozi yake jmn
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 10 ай бұрын
Usrudie tena kaa kivyakovyako mhombe sana mungu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Wazazi mjifunze mnayoyatamkia mtoto ndo yanavyokua,huyu alitamkiwa na mama ake mdogo atakuwa miss,ile spirit ikaingia kazini kuhakikisha inasimamia hilo,na ndo maana na ye alikuwa haachi kupambania hiyo issue ya umis😂
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 9 ай бұрын
Wanaelewa basii wengi wao wamejitenga na Mungu wana ishi maisha ya kiswahili wanaropoka tuu kumbe wanayaongea Mabaya MUNGU Atusaidie
@badrumulinda7349
@badrumulinda7349 10 ай бұрын
Pole sana Dada,niko marekani. Ulipozungumza kuhusu Mnaigeria nikafa kwa cheko.
@ladymacollection
@ladymacollection 9 ай бұрын
Weeeee siwataki aisee ..nimekoma unatafuta pesa na mtu anapata anakukataa 😂😂😂😂 Kha siijawai kuona
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 10 ай бұрын
Story ni nzuri na inafunza ❤❤❤
@shabanisadick1978
@shabanisadick1978 9 ай бұрын
Very sad, fun, inspiring story. 🙏 😊
@shanimshana477
@shanimshana477 7 ай бұрын
Dada pole, na hongera kwa kupambana. Mimi naomba nisaidie mchungaji wa maombi anisaidie na mimi napitia mapito.
@ladymacollection
@ladymacollection 3 ай бұрын
Nifate ig nikupe no yake au we uwende kenya mlimani
WAITALIANO NI KAMA WAZARAMO
42:09
Official Dating Assistance
Рет қаралды 9 М.
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /35/ #love
33:24
BabaJoan
Рет қаралды 34 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 66 М.
HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI
53:51
Official Dating Assistance
Рет қаралды 17 М.
WAJERUMANI WABAHILI | NILILIPIA MTANDAO MARA NNE LAKINI WAPI
1:30:46
Official Dating Assistance
Рет қаралды 47 М.
WAJERUMANI WABARIDI | SIO KILA MZUNGU NI TAJIRI | NI BORA KUKUTANA ONLINE DATING
1:12:55
Official Dating Assistance
Рет қаралды 23 М.