Laiza na s2kz musipovimbiana mtafika mbali ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@abdallahkambangwa721522 күн бұрын
Allah atuepushe na mambo ya haramu. mziki ni haramu kaka
@sadamibrahim848024 күн бұрын
Usiku wa taajud du, Muziki mnaofanya ni haramu, msihusianishe Haram na halali, Mungu awaongoze njia iliyonyooka
@albayaanmschool845125 күн бұрын
Mungu wetu waislamu ni tofauti na wa wengine hivyo mjue Allah hawezi kuubariki mziki
@khamispondeza24 күн бұрын
Exactly
@FrankMushi-cs5js24 күн бұрын
MUNGU wenu ni waina ganii etyyy
@imranamrani574624 күн бұрын
Kwani huwa unazungumza nae😂😂
@albayaanmschool845124 күн бұрын
@@imranamrani5746 ndio, vip umepata wivu?
@mastaplan24 күн бұрын
Imani yako hiyo. Na yeye pia Imani yake ni hiyo..Sasa wewe sijui unazungumzia Imani gani wakati Ibada ya kusujudu Kwa waislam ni ileile
@SadikiMapesa-fj2ks25 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
@NoName-pp4lo25 күн бұрын
Mbona Mr. Mwanya analalamika km vile baddest47
@user-il6rm7cj1g25 күн бұрын
Nakubari
@BabeRymz24 күн бұрын
Hongera S2kizzy🎉🎉🎉🎉
@sharifumussaalaadabiy900124 күн бұрын
Km mliswali mlifanya Jambo kubwa mno mungu ndo mwenye kulipa
@ClassicUsed-jg6ri25 күн бұрын
Hiyo nyimbo kaandikiwa na jay melody
@ibraimoselemane17ibraimo2924 күн бұрын
Broh mimi sio mtanzania na wala kingereza ispokuwa kireno na kiswahili kidogo. ila neelewa alicho kisema sasa wewe wa wapi tena? Iyo nyimbo Diamond platnumz aja andika ila amefanya flystail yani amerikodi moja kwa moja
@jumannengohengo782322 күн бұрын
Dah
@hanifamziray27724 күн бұрын
Mungu ni mwema hapana chezea mfungo
@ayubustylish859923 күн бұрын
kwel kbsa
@PayasBadman19 күн бұрын
😂😊
@ezronhussen540125 күн бұрын
Hakuna balaka za mungu kwenye mziki ya kidunia acha kukufulu mungu zombi dini yako hai ruhusu hiyo mzik
@rashowshine784925 күн бұрын
Mziki wote ni haramu hakuna Cha mziki wa kidunia wala nini maana naona unayatetea mdufu
@Salumlumbule-xh7in25 күн бұрын
Wee zombie 🧟♂️ 😎
@mshamuabdallaah614219 күн бұрын
Sharti la kuswihi swala mojawapo ni kuwa na udhu sasa na hzo tattoo udhu umapita wapi co udhu hata majanaba hayawatoki na tattoo hzo Labda swala yao ya kimajini🤣🤣🤣🤣
@saliieking727925 күн бұрын
Zombie kma zombie
@beingothman24 күн бұрын
Basi hapo mtakazania na amapiano weee kudhania ndo mziki wa Bongo