Mkongwe tulikua wote mawiki yaliopita tulikua kwenye TAWAQAL ulipotoka moto chini za tayri ulikuja kutusaidia na kutufariji tunakupenda sana
@ukhutfatumah115418 күн бұрын
Wallah nimecheka sana yaaan Ile kauli. Kila kituo mke leo nimeamin watoto 6 kila mkoa shikamoo madereva Ila wanawake some time yote haya tunayataka wenyewe Kuna mzee wangu dereva kama huyu Ila mke wake kichefuchefu
innalillah wainnailahi rajiuni. Allah atustiri sisi na vizazi vyetu
@ZawadMussa-sd1od18 күн бұрын
Dada lamata uyu anakufaa
@kantugeorge536919 күн бұрын
Naam
@ALEXCY7418 күн бұрын
Kweli kabisa
@mastamasta353917 күн бұрын
Mafinga kwa nawabuuuu😂😂😂😂
@user-yn3kg8ip2h18 күн бұрын
Muongo huyo nimechoka
@kenjunior344312 күн бұрын
Bongo bahati mbaya 😅
@salomewandya725718 күн бұрын
Hahaha hapo kwny Mazongo 🤣🤣
@vero5717 күн бұрын
HUYU DELEVA ANATAKIWA KUWA WAZIRI WA USAFIRI NA USAFIRISHAJI TANZANIA 🇹🇿 PIA AWE ANAELIMISHA MADEREVA WENGINE HAWAJUI HAKI ZAO
@michaelmbise284314 күн бұрын
Umelewa nn 😂😂
@rajabumalupu418412 күн бұрын
Kwer ww ujielewi ,wewe umeelewa nn
@aliiddmkomwa18044 күн бұрын
mweu huyo tena mlevi sana
@ntakirutimanaetienne5923 күн бұрын
Jua lako bwege
@muna116518 күн бұрын
Ulipendeza SANA mlimani city
@aminaomary556713 күн бұрын
Mliman ulipendeza sana babu❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@aminaomary556713 күн бұрын
Ongera sana mkongwe kuwa mustaafu salama kwenye Dereva. Ongereni pia Nassib na Baba Love kumchukua Dereva huyu yaan huyu tulikuwa tumuombea kutok a Dereva awe commrd❤❤❤🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍
@aminaomary556713 күн бұрын
😂😂😂😂❤❤🎉🎉
@user-qx9nv8jo6p17 күн бұрын
Dereva mkongwe maelezo kweli tuna matatizo ya kusahau mimi kama wewe na umri la maana ulosema matatizo ya macho yanapunguza na akili na kumbukumbu nakusaport sana