Ilikua ni 2018 nilisikiza wimbo wako wa Mungu anaonekana,,,,leo hii nikaingia online kazi yangu kuangalia huduma ya Tumaini njole nimefurahi sana kuona wimbo wako wa hivi karibuni Mama nakupenda sana may God bless you and protect you more than more
@monicandengo468010 ай бұрын
Swaoooooooo mama yangu ktk ubora wake hakika ni Mungu ametenda ameeeeeeen