Nabarikiwa Sana Prophet na mafundisho yako, Mungu akuzidishie afya njema katika jina la Yesu Kristo
@dicksonreviews2954 жыл бұрын
Deep teaching my prophet,am greatly blessed
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
Nahitaji hilo darasa katika jina la Yesu Kristo
@prophetemanuelpaul61514 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana prophet
@gladnesmwanry54933 жыл бұрын
🙏🙏
@richmom49594 жыл бұрын
God bless u Man of God🙏🏽
@paulinerathgeber10454 жыл бұрын
Mungu akubariki na anifungue macho ya roho.
@floranceh53334 жыл бұрын
Be blessed man of God
@samsonmgonja40144 жыл бұрын
Mungu yuko kwenye kiti cha enzi hatoki na hata toka,sisi tumepewa sehemu ya roho yake imo ndani yetu,(Roho mtakatifu,au Holy Spirit
@margaretkaranjamargaretkar69834 жыл бұрын
Mungu nifungue macho yangu nipate kuona katika ulimwengu wa roho.....barikiwa Sana Mwana wa Mungu..
@prophetesspriscarichard4 жыл бұрын
@@margaretkaranjamargaretkar6983 DO NOT SEND ANYTHING IN THE ACCOUNT OF @pastor David Richard He is impersonating The Prophet. Prophet David Richard only has one account and that is @prophet david Richard. And he does NOT do such things. Be careful
@margaretkaranjamargaretkar69834 жыл бұрын
@@prophetesspriscarichard Thanks much Prophetess...you have saved me...am still in shock...thank God I didnt make that call..God bless...
@mhandosuzy67904 жыл бұрын
Ameni hakika nabarikiwa sana nikiwa sohar omani Yesu nampenda
@salmakiyabosiriyamachoziha87564 жыл бұрын
Hongera wa sphar ukatazwi kuskiliz maombi au hawafaham kiswahili
@mhandosuzy67904 жыл бұрын
@@salmakiyabosiriyamachoziha8756 nasikiza kwa phon pia hawafam sema ukiomba au kufunga ata wasipo kusikia vita yake sio ndogo
@mhandosuzy67904 жыл бұрын
@@salmakiyabosiriyamachoziha8756 ila Yesu ananitetea my wajua hawa wa upande wa pili maombi kwao nimoto hata wasjpokuona hata ukiomba kimoyo moyo
@salmakiyabosiriyamachoziha87564 жыл бұрын
@@mhandosuzy6790 kabisa my pia nipo mscart mjin huk najitahid pia kuomba japo nilikua huko upand wa pil ila nilion nguvuta YESU ikaniokoa naom japo bado si mzoef san
@mhandosuzy67904 жыл бұрын
@@salmakiyabosiriyamachoziha8756 ameni barikiwe sana karibu sana kwa Yesu 91419034 namba zangu nicheki WhatsApp
@estherbenuans40254 жыл бұрын
Na mimi nipo apa
@gloryfidelis77524 жыл бұрын
Nabarikiwa sn na mafundisho ya kina ya ulimwengu wa roho,ila hii kanisa lipo sinza gani,karibu nanini?