Рет қаралды 18,976
Wike ambae ni mwana muziki kutoka Tanzania ameeleza safari ya maisha yake ya mahusiano mpaka kukutana na ambae ni mume wake.
Alienda Romania kutembea kikazi, ndipo alipokutana na mume wake na ndani ya nusu saa ambae ni mume wake sasa alimuomba ampeleke Wike kwa mama yake.
Alipata ndoto anaolewa na picha ya mwanaume ni huyo ambae ni mume wake kwasasa
Thank you Wike for allowing this to be online
www.oda.international