Binti mrembo na heshima zake. Kudos kwa wazazi wakali wamelea binti kanyooka na msimamo. Hongereni sana. Asanteni mazungumzo mazuri kama arudi tena tupate muendelezo. Lugha inabidi apambane aweze kujichanganya na maisha ya hapo. Nyumbani Mwenyezi mungu akikujalia utarudi hata matembezi. Msikilize mumeo, jengeni maisha yenu hapo, mtarudi Nyumbani Tz panapo majaliwa na uhai.
@ashurajuma202411 ай бұрын
Nimekupenda sana dada ,umenifurahisha kuona unatamani kukaa nyumbani kuwa na mji wako..umekuwa na akili kama zangu 😂😂😂.maisha marefu kwako na mumeo
@paulalove122311 ай бұрын
Enala nilkua namuona tu TikTok jmn I'm happy to hear her story nilitaman nijue Ila ndoa tamu kanenepa😊
@saysophyfarm17809 ай бұрын
Enala please ishi huko umtunze mama mkwe wako, she deeply loves you, cherrish her, she is a gem
@josephtwopointoh8 ай бұрын
You were raised well, kudos to your parents
@erastosanga169411 ай бұрын
You are so gorgeous girl all the best our sister keep up well our brother in law
@yunismashoo84611 ай бұрын
Nimewapenda wote santeni 😍😍
@NiceWatson-y7e11 ай бұрын
Kabisa my dear usiangalie maisha ya mtu na kuna tofaut kubwa kati ya kuolewa na mzee na kuolewa na kijana
@husseinsalimbora353411 ай бұрын
Ahsante dada nipo na wewe daima katka couching zako.
@hildahillary958611 ай бұрын
Nilikuwa na subiria sana interview na huyu dada she is so beautiful
@OfficialDatingAssistance11 ай бұрын
And very smart too 🥰
@sophiasophia971311 ай бұрын
She's beautiful na akili nyingi sana❤
@gracejayne458011 ай бұрын
Official dating assistant I love your look in this video . Wow your well done hair, your beautiful dress... you're so attractive. I wish you give us that look in all your videos .❤
@OfficialDatingAssistance11 ай бұрын
Thank you so much
@linnahmusiba436510 ай бұрын
Nana you are the best congratulations
@haikamasoud2982Ай бұрын
Nakuelewa sana na mm nimepitia hayo
@maria_mutondioriginal510 ай бұрын
Nimegundua wajerumani ni wakali ila ni watoaji sana wa pesa wanajua wajibu wao kama vichwa vya familia
@NiceWatson-y7e11 ай бұрын
Agemate big up sana
@MartinaMsimbe-qk8ug8 ай бұрын
Binti nimempeda yupo vizuri❤❤❤
@carolotieno2611 ай бұрын
Very inspiring
@JanethJaneth-b5f11 ай бұрын
Nimewapenda bulee❤❤❤❤
@laetitiamathe577911 ай бұрын
Amazing story
@ElikanaKiheka9 ай бұрын
Safi sana aiseee
@ClaraRuhara8 ай бұрын
Safi sana Enala umeongea vizuri
@estasiashiringa103811 ай бұрын
Ilikuwa Nzuri sana 😊
@KhalidiBakarАй бұрын
Nistori nzuri😂
@rukiyajama349211 ай бұрын
Mungu akubariki
@NattiePeter9 ай бұрын
Asante shena Asante Enala
@jennifersongani273411 ай бұрын
Wajerumani 🔥
@Sidrasidra63611 ай бұрын
M napenda mzungu na mweusi waki changa dam😊
@SuzanneMyles11 ай бұрын
Enala babe❤❤❤😊
@GraceMona-v5b9 ай бұрын
Nana mcute jamani hongera😊
@esterkivaria898611 ай бұрын
Mama zetu wa kiafrika 😅😅
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Wametulea vzr sn
@MadinaAbduKyabazinga11 ай бұрын
Shena uwe unauliza maswali ungeuliza reaction yao ilikuaje baada ya wao kumeet for the first day
@wemamanikana979110 ай бұрын
Asante nimejifunza
@zurfapahenge880211 ай бұрын
Finally ❤
@SuzanneMyles11 ай бұрын
Nakupenda ❤❤❤
@emmystephen15184 ай бұрын
Wapooo
@hellenelias885428 күн бұрын
mama mnoko😂😂😂😂
@vailetheanyambilile974911 ай бұрын
ASANTE SAN enala
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Mi nachoamini kila mmoja bwana ma maisha yake,iwe ni kw awazingu au laa! Ndo maana ht interview humu story ni tofauti hzifanani Kuna ambao wamepata wanaume wazungu ambao wanawatunz vzr wanapewa pesa ,na kuna amabo qamembiwa wafanye kazi Jmn kil ammoja kivyake cha mhimu kuzi gati vitu mhimu,focus kwa unachotaka
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Hakika , mwanamke anaweza badirisha mwanaume Kwa Neema ya Mungu
@upendogreutert19911 ай бұрын
Mama Mjedaa 😂😅
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Mama wa kiafrika ktk ubir wake Dadeki mpk raha anafuatilia mpk chuo Nimempenda huyo mama
@festinamwakipale391911 ай бұрын
Wasichana wakipindi hiki muwe macho mambo yanabadilika wazungu wazungu watawalaani.mashoga.mengi huyu mwacheni
@onesmowega8511 ай бұрын
Msongole❤
@subrynerysegerow13239 ай бұрын
Inala ni wa kishua😂
@NzeyimanaVéronique8 ай бұрын
Kabisa
@monicaqawo4599 ай бұрын
Shena natamani tungesikia your exclusive
@OfficialDatingAssistance9 ай бұрын
Scroll chini utaiona
@chayogasperi978311 ай бұрын
Shennah hilo swali la " unaelezeaje baada ya kuolewa na mzungu wanakuona tajiri " Mama Mzungu , wanajua una hela , tajiri umeshaliuliza sana , limeshajibiwa sana , kuendelea kuliuliza kila siku sioni kama lina faida tena , Watazamaji wako tumeshaelewa . Uliza maswali mapya .
@OfficialDatingAssistance11 ай бұрын
Nitumie maswali mapya
@chayogasperi978311 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance 1 . Tungependa kujua baada ya kufika majuu miezi yake ya mwanzo ilikuwa na changamoto gani ?? Vyombo vya usafiri , supermarkets , grocery stores mwanzoni alipata changamoto gani ?? 2 . Je imechukua muda gani mpaka kaweza kumkaribisha Mama yake au Baba au dada yake ( Kwa wale ambayo wamewahi kualika ndugu zao . 3 . Je imechukua muda gani kupata makaratasi / vibali. vya kazi na kuishi na changamoto ilikuwa ni nini au kwanini kwake amepata mapema ?? 4 . Je ndoto alizokuwa nazo muda mrefu za kudate au kuolewa na mzungu amekuta ni zile zile au amewakuta wazungu wako tofauti na alivyokuwa anawafikiria ?? 5 . Profile yake huko kwenye mitandao ya kimahusiano alitumia hiyo hiyo kila mtandao au kila mtandao aliweka tofauti ?? 6 . Je familia ya mume au mke ilikupokeaje baada ya kuonana nao ?? 6 . . Kama mgeni wako ni mjasuriamali mwulize ugumu au wepesi wa kuanzisha biashara kwenye nchi husika . 7 . Mwulize kwenye nchi aliyopo kama binti yuko Africa ana ndoto ya kufika nchi hiyo na angependa kuwa mjasuriamali je atafute ujuzi kwenye kazi zipi ambazo zina soko kwenye nchi husika ?? 8 . Kila mgeni anaekuja mwulize Kwa culture ya mume wake au mke wake ni tabia ipi ambayo hutakiwi kuionyesha , kwetu ni sawa lakini kwao inawakwaza , hii itasaidia wanaotafuta wenza wajifunze . 9 . N.k
@ManyemaCollection11 ай бұрын
Nimekupenda bure
@NiceWatson-y7e11 ай бұрын
😊
@NiceWatson-y7e11 ай бұрын
Ushaur kwa agement Enala kaa ujerumani fanya cha maana usirud bongo myb kwenda kutembea tu
@Urembomilele_11 ай бұрын
Yan ataelewa badae
@emmanuelchiza773311 ай бұрын
Acha fikra za kitumwa asirudi wewe tz kwanini? unafikiri ulaya ni peponi we bogasi kweli,,
@blessedaggie91599 ай бұрын
Jamani, muacheni afanye anachotaka...maisha sio ulaya tu
@janethalley40468 ай бұрын
Huyu dada anajua anachokifanya, my dears nimeishi nje 4 good years sio rahisi kama mnavyofikiria. Maisha ni magumu na hakuna enjoyment kama huku kwetu kwa hiyo mpaka amesema anataka kurudi anajua kitu gani atakuja kufanya huku kwetu
@sasibaluk575811 ай бұрын
How I can contact you
@MadinaMalk-yd6kp11 ай бұрын
Nice interview ❤️
@GGgh-dv8pd7 ай бұрын
Tupen Namba zenu
@DativaVedasto7 ай бұрын
Dada shena unanifurahisha eti unaoga mahela hahahah
@OfficialDatingAssistance7 ай бұрын
😂😂 si ndio nyumbani wanajua hivyo jamani 🤣
@AshaMohamed-ib4le6 ай бұрын
Shena natafuta Ile interview ya yule dada alisimulia mume wake aliondk alipo fika kwao alikuwa anaumwa na yeye anaumwa ndugu zake walimloga niandikaje nimeona amesema amekuta na mume wake
@pendokissatu9376 ай бұрын
Tayari ameshairudia
@magrethpeter604911 ай бұрын
Shena Mrs mzungu😂😂😂
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
😂😂nimecheka majibu ya mama ss
@Judy-dy4zt11 ай бұрын
Safi cana
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Yuko sahihi ,picha unazoweka ndio zitakuletea mtu unaemtaka
@jennifersongani273411 ай бұрын
❤❤❤
@upendogreutert19911 ай бұрын
Jitahid ukae German kidogo Enala
@AngelMinga-x6b5 ай бұрын
Dada shena mm spo facebok nifanyaje
@AngelMinga-x6b5 ай бұрын
Nisaidie dada
@JaniferMichael11 ай бұрын
Hatusikii
@mwaneylushino338911 ай бұрын
Natamani kujua profile yake tinder aliiwekaje,aliandikaje na picture zilikuwaje na zilikuwa ngapi
@OfficialDatingAssistance11 ай бұрын
Karibu darasani utajifunza yote hayo.. darasa litakua end of this month
@marthakunaga734711 ай бұрын
Hata 3 tu
@timothykaiza3277 ай бұрын
Eti mama anapenda maua, kwa mama wa kibongo gani aache kupenda vtenge.
@OfficialDatingAssistance7 ай бұрын
Sio wote wanahusudu vitenge.. wengine wanapenda pesa poa 🤷♀️
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
😂 nimeshangaa
@jasiri258 ай бұрын
Uyu dada bado ajui anataka nn, kwaio anataka kukaa bongo aolewe na mjerumani?? Atakua hamtendei haki uyo mzungu...
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Kabisa
@jossekiswaga956410 ай бұрын
Nimekupenda bure dada
@ZawadiJoeli11 ай бұрын
🤗❤️
@abdullahaljabri11010 ай бұрын
Tatizo wasichana wa bongo wengi wao wanatama na kutakaa kwa haraka alafu pesa wameweka mbelee sana kuliko utu
@mohrecaps9 ай бұрын
Kaka kunywa soda nitalipa
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Sio wote
@AlAl-sd9pl10 ай бұрын
Na mimi niko Oman Nikiwa na story nakupataje
@OfficialDatingAssistance10 ай бұрын
+4367764790884
@AlAl-sd9pl9 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance thanks
@eobardthawne712610 ай бұрын
How do I get on the show?
@OfficialDatingAssistance10 ай бұрын
+4367764790884
@suleimanbalemba334811 ай бұрын
Dada tuletee wanaume Hawa wanawake wanategemea wanaume kwenye kuaso kwao mwanaume ndo ana stori nzuri ya kwake bila kumtegemea mtu tuletee wanaume Hawa madada story zao za wanaume inawezekana bila wanaume wa kizungu madada wa kiafrika ulaya awapawezi tupe dume
@brendajulius299511 ай бұрын
Acha mawazo mgando kuna madada mahustler mbaya na hao wanaume unaowataja wadangaji pia wapo wengi tu km upo nje ndo utaelewa. Usijudge watu
@suleimanbalemba334811 ай бұрын
Sijamaanisha ni wadangaji nimesema tunataka motivation ya pande zote mbili Sasa mdada amekalia nimekutana na bwana ndo kanileta na wanaume mnamaanisha wakutane na mabwana tupe story nzuri yaan mabwana wawe wamekutana kwenye safari ya hustling
@brendajulius299511 ай бұрын
@@suleimanbalemba3348 ndo nakujuza wanaume kibao wamefika ulaya na us kwa sababu ya wake zao🤣🤣🤣 kutoka Africa kuja huku kwa hustling sio easy kihivyo unavyodhani. Ni wachache sana wanaofika hvyo. Na huko mitandaoni wamejaa wanaume wa kiafrika ambao wako tayari hata kulipia ndoa za makaratasi ili waje sababu njia rahisi zaidi ya kufika nchi za watu ni kupitia ndoa kaka.
@OfficialDatingAssistance11 ай бұрын
Maneno mazuri kabisa
@OfficialDatingAssistance11 ай бұрын
Well said
@KwizeLee10 ай бұрын
jamani iyo tinda tunaweza kuyitumiya ni app gani na inaomba pesa?
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
App zote lzm ulipie
@Serenawilson1111 ай бұрын
Kuishi na wagermany sio kazi ndogo inatakiwa uwe kichaa hahaah arafu niseme hata mm nmepoteza marafiki wote sababu wakiniomba hela nasema sina wananinunia had leo sina rafiki ....
@OfficialDatingAssistance11 ай бұрын
Karibu kwenye kipindi Serena tupate darasa kutoka kwako
@Serenawilson1111 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance mambo yangu hayajakaa sawa dear ila takutafuta namba yako ninayo
@immaculateakilimali722011 ай бұрын
Kujiunga na darasa ni kiasi gani
@Serenawilson1111 ай бұрын
@@immaculateakilimali7220 umemuelewa kwel dada shena ? Anamaansha nikaribie kutoa darasa
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Wapuuzi ww hela unachuma? Wapotezee wajinga sio marafiki hao
@IreneMsuya-y3r6 ай бұрын
Je wazungu wakiachana huwa wanatembeleana kama mfano wa baba yako mkwe na mama mkwe wako au
@ameeranassor16199 ай бұрын
Kila mbongo anataka mzungu,unadhani utapata mwanaume wa peke yako, mtashare tu, kama daladala ak😊ishuka huyu anapaanda huyu siku nzima
@ephigenianyange7118 ай бұрын
Sidhanii..na ikitokea akikuacha atakulipa
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Wala wapo wadada wabongo ambao hawataki na hawana hata Muda n wazungu . Na wengi wanatoaka wazungu wamepitwa kwenye matukio sn ya kuumizwa na wanaume wanaamua kuangaia upande wa pili
@PetraBartosova-o6h11 ай бұрын
Uyu dada tulipanda nae boti ya azam alikuwa na mzungu wake nimemkumbuka toka Zanzibar to dar
@estasiashiringa103811 ай бұрын
Nipo full white 😂😂😂😂
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
😂
@Nakhtal11 ай бұрын
huyu dada anaongea ukweli mm hapa nadate na mjerumani chamoto nakipata
@MaaneML11 ай бұрын
Mimi nimeshakula na block kabisa. Niliona red flag nikamuliza ikawa kosa. Mzee miaka 58 ila niliona kama yuko na stress Sana.
@ZintanaAhmedy-pe4ou8 ай бұрын
Mhh ndugu yanguu Mimi nakarbia kufa kabisa na stress king'ang'anizi anajali sana kuhusu Mimi lakini Hela hanipi na Kila siku akija kwangu yeye Hana Hela inafika kipindi naona anajitesa hata yeye mwenyewe. Amepungua sas Mimi hata sielewii jamani nachokaaaa😢😢😢
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
@@ZintanaAhmedy-pe4ouss SI umuache? Au mumeoana?
@annamussa18511 ай бұрын
Jamani hivi Tinder huwa wanalipia or free?
@mariamkibindo174111 ай бұрын
Za kulipia ni uhakika
@victorianambololo571811 ай бұрын
Mimi nimejaribu kulipia,baada ya kutengeza card,lakini bado sijapata access ya kutuma ama kureply msg.
@rosemerryfaustin190011 ай бұрын
@@victorianambololo5718 umelipia vipi tafadhali
@SamiraSalim-w5t10 ай бұрын
Poa
@teddyvicky990111 ай бұрын
❤❤❤
@JessyKalonga9 ай бұрын
Hongera msongole nilihudhuria Arusi yako karibu Tegeta