TUMEWAKAMATA WAANDAMANAJI 100, MIMI NIMEPIGWA-DC BUSEGA

  Рет қаралды 1,232

Cg Online Tv

Cg Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 17
@IreneMshenyera
@IreneMshenyera 2 ай бұрын
BADO WATANZANIA WANAPASHA TUU.. MUDA SIO MREFU MECHI ITAANZA
@Yassinseleman
@Yassinseleman 2 ай бұрын
Uongo huo
@CornenciaFaustine-pd2rc
@CornenciaFaustine-pd2rc 2 ай бұрын
Sawa kabisa mama serikali ipo siku utakubali yatakapo ipata familia yako. Chezea Mungu wewe.
@philipongenzatv
@philipongenzatv 2 ай бұрын
Acha tu
@farajapeasonmagota8226
@farajapeasonmagota8226 2 ай бұрын
Hivi wewe Hawa watu wote niwajinga watu wakija kituoni mnawakamata IPO siku wewe Mama
@JovinPeter
@JovinPeter 2 ай бұрын
Tuna fanya mazoez
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 2 ай бұрын
Kukamata waandamanaji siyo dolution,kujua kwa nini wameamua kuandamana ndiyo solution pekee. Sikilizeni watu,na kutatua matatizo yao na sio ku-create more problems. Kumbukeni;ili tuendelee tu nahitaji vitu vinne 4; 1.WATU 2.ARDHI 3.Siasa SAFI na 4.UONGOZI BORA Huu ni wakati wa kuyatafakari hayo.😂
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 2 ай бұрын
hamutatui matatizo mpka yawakute
@JovinPeter
@JovinPeter 2 ай бұрын
Toka hapo paka wewe
@dianaleo6067
@dianaleo6067 2 ай бұрын
Polisi wetu wanachojua ni kubaka tuu matatizo ya raia hawajui😂
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 ай бұрын
Nyie ndio mna kibali cha kujichukulia sheria mkononi? Mmeshindwa kufuata utaratibu kama serikali mnataka watu waendelee kupotea kwa manufaa ya nani? Watajitetea wenyewe kwa style wanayohisi itawasaidia
@missmoona4497
@missmoona4497 2 ай бұрын
Serkali haikubali kwa hayo na wananchi hawakubali kwa hayo yanayoendelea huko, pia hao watu 108 sindio wapiga kura wenu? Tatu je walioko magereza vyakula havitosh mtawatoshereza woote hao na waliopo magerezan toka awali? Na maandamano yanaogezeka kila kukicha Tz kila mkoa una malalamiko yake je mgereza yatatosha? Sos hapa nikuwasikiliza wananchi wanataka nn? Hilo tu haya yoote hayatakuwepo.
@MbossoMbosso-rw4ox
@MbossoMbosso-rw4ox 2 ай бұрын
Acha uhongooo hao watu ni wajingaaaa usipingwe Kwa Nini wewe nani ona mashavu
@nassibu-hy5ny
@nassibu-hy5ny 2 ай бұрын
Ww mama ni Debe tupu unansema umepigwa umepigwa wapi waliovuniwa miguu na polic wako wasemeje tatua matatzi Kwa hoja sio kw mtu wa bunduki inamana hao wamama waliokuja kwako ni wajinga au walikua majambaz
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 2 ай бұрын
Tanzania nchi yenye amani sana tusiige kenya
@dianaleo6067
@dianaleo6067 2 ай бұрын
Haki iko wapi? Tumechoka!
@ChogoMsangi24-s7z
@ChogoMsangi24-s7z 2 ай бұрын
Unaongea ujinga ww mwenyekiti anasema watu wamepotea wengi mdamrefu ww unasema huntaarifa inaonekana wazi huwajibiki kwenye nafasi yako ww wadanganye wajinga wenzio
CS Duale's view on Gachagua's impeachment
10:57
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3,3 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,3 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 151 М.
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,3 МЛН