KUPAMBANUA ROHO(NDOTO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 65,956

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@edithsangai4779
@edithsangai4779 Жыл бұрын
Powerful message💪 Wakenya tunakupenda sana!
@ruthmutiso4772
@ruthmutiso4772 Жыл бұрын
Asante kwa kutufafanulia hili jambo moja kwa moja...nimekuelewa visafi kabisa..Mungu akubariki
@niyonkurufreddy1984
@niyonkurufreddy1984 Жыл бұрын
Pastor Amen tena congratulation umepunguka sana
@deborahfredrick1819
@deborahfredrick1819 Жыл бұрын
ameen hongera yake kapungua vizuri sana
@mercywambua3505
@mercywambua3505 Жыл бұрын
Looking forward for the subsequent teachings . Listening in from Kenya
@RozinaMollen
@RozinaMollen 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nabarikiwa sana
@naomiemasoka
@naomiemasoka Жыл бұрын
Barikiwa mno mtumishi wa Mungu zaidi upewe maono ya kutufunulia
@AgripinaMulega
@AgripinaMulega Ай бұрын
Mimi ni lipoteza kila kitu Kwa kweli nateseka sana Mataji maombi
@EspoirNdagiro
@EspoirNdagiro 2 ай бұрын
God bleesya but teach us about end of world
@AgripinaMulega
@AgripinaMulega Ай бұрын
Niko kenya
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Naomba Mutumishi wa mungu uniombee Maan hiyo kusahau ndo kwangu imekuwa zaidi sana at hua nakosa amani🙏🙏🙏
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
Be blessed servant of Jehovah.
@AgripinaMulega
@AgripinaMulega Ай бұрын
Ubatikiwe sana
@KoletaMab
@KoletaMab 6 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu
@beatricefuraha6471
@beatricefuraha6471 Жыл бұрын
Amen, barikiwa mtumishi wa Mungu
@beatricefuraha6471
@beatricefuraha6471 Жыл бұрын
Ni mebariwa sana🙏🙏
@NemaaBayu
@NemaaBayu Жыл бұрын
Ameen
@geofreykangaho1149
@geofreykangaho1149 Жыл бұрын
Glory be to God🙏🤲
@favoureddaugher4596
@favoureddaugher4596 Жыл бұрын
Amen 🙌🙌 barikiwa mchungaji
@lydiaandai7599
@lydiaandai7599 2 ай бұрын
Great insight there
@mercywambua3505
@mercywambua3505 Жыл бұрын
Thank you man of God for the great insight
@christinesavai884
@christinesavai884 Жыл бұрын
Amen and Amen
@AgripinaMulega
@AgripinaMulega Ай бұрын
Hila nataki unikumbike. Kwa maombi napitiya magumu sana Masha kama ya yule ni kama ya yule dugu washuda
@jedidawambui6817
@jedidawambui6817 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@yunispatrick8613
@yunispatrick8613 Жыл бұрын
Glory be to God 🙏🙏
@denisemafebo7871
@denisemafebo7871 Жыл бұрын
Amen Amen
@madamleticia94
@madamleticia94 Жыл бұрын
Ameeen 🎉🎉🎉
@alphoncekahindi5383
@alphoncekahindi5383 Жыл бұрын
Amen be blessed man of God for this revelation
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 Жыл бұрын
Amen
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Ameni
@narggdhdv765
@narggdhdv765 Жыл бұрын
Amen mchungaji mungu akubariki.akulinde na kila adui maana tunapata kujuwa siri za mungu na siri za adui.
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
✍️🙏
@nsenguwerarachel2805
@nsenguwerarachel2805 Жыл бұрын
Hata mimi Naitaji number ya huyu mchungaji hii inanitokea sana naota ilanakosa fumbuzi ya hizo ndoto
@ivomillinga6714
@ivomillinga6714 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Leo nimekusikiliza maana nilikuaga nimeacha kukusikiliza kwa sababu mnafundisha vizuri mnaweka no za sm lkn mtu akituma sms haijibiwi akipiga sm haipokelewi kwakweli inaumiza
@happynesslaurance6448
@happynesslaurance6448 Жыл бұрын
😂😂 kwaiyo ulizira au
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
@@happynesslaurance6448 nilifanya nilichoona kina stahili
@elirehemamollel
@elirehemamollel Жыл бұрын
Kaka Amina sana
@justusngailo9302
@justusngailo9302 Жыл бұрын
😂😂
@ayubupeter1859
@ayubupeter1859 Жыл бұрын
Amen❤
@pamelamabeyo3476
@pamelamabeyo3476 Жыл бұрын
This is powerful
@RebekaMpaki-k4o
@RebekaMpaki-k4o Жыл бұрын
Mbona hutulii unatembeatembea
@olivastephano2900
@olivastephano2900 5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@olivastephano2900
@olivastephano2900 5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@AgyyMami
@AgyyMami 2 ай бұрын
Nisawa kabisa kwa afya yake
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
😢
@samsonabel2031
@samsonabel2031 Жыл бұрын
Pale kwenye namba, kulikua na namba 14 ambayo imegawanyika kwa mbili(kundi A na kundi B) yenye namba 7, ambayo yale makundi pia yamemaanisha namba mbili. Na naona kwenye tafsiri, ilimsaidia Yusufu kujua nimiezi au miaka au siku, kwa maana mwaka unagawika kwa 6 na sio saba, so saba ilimuongoza kujua miaka, na wanyama wale hawakua ndama so walioneka kua ni wenye zaidi ya mwaka mmoja . Ulipofundisha kwenye issue ya Wanyama, umesema tuone na mahusiano yetu na wanyama.. na tabia zao. Kama falao angeona kuku, kuna uwezekano tafsiri ingebadilika kabisa
@gbi380
@gbi380 Жыл бұрын
Shalom mtumishi wa Bwana, nitajuaje kuwa ndoto n ya wakati ujao?
@JemaMbwilo
@JemaMbwilo 9 ай бұрын
Hivi kwa nini wapiga vinanda huwa hawatulii kwenye kipindi cha Neno hawana kabisa utulivu kabisa wa kusikia yaani wanakuwa bize sana kupiga vyombo jamani kuweni watulivu sana muda wa kusikia Neno la Mungu
@Jenvier-jz2lg
@Jenvier-jz2lg Жыл бұрын
Shalom, nitumie namba ya huyu mchungaji ni Léonard tka Drc Congo
@joycekaphevemba7215
@joycekaphevemba7215 Жыл бұрын
Mchunganji mimi huwa naumwa na miguu kwa vizigino na nimekua naombea minguu yangu kila wakati , sasa nikaota kuna mtu anefungua miguu yangu hapa kwa miguu na kunitoa vitu kama kamasi lakini alinifungua hapa chini ya vidole za miguu ila siumwi hapa sehemu ya chini ya vidole za mguu nila kwa vizigino , sasa mimi najiuliza inamaanisha ninii?
@lucykiende-hj4ny
@lucykiende-hj4ny Жыл бұрын
Me sikumbukangi ndoto
@josephmukhwanawilliam9487
@josephmukhwanawilliam9487 5 ай бұрын
Lazima uwe na Eli wako????? Kweli?
@happynessisack7918
@happynessisack7918 Жыл бұрын
Mtumishi mm nimeota natapika mavi nini maana yake
@RecholPhilemon
@RecholPhilemon 9 ай бұрын
Unapoota ndoto upo shule maana yake unarudishwa nyuma
@rosemwanzi883
@rosemwanzi883 Жыл бұрын
0
@AnnaKamili-bp1yw
@AnnaKamili-bp1yw Жыл бұрын
Ĺp
@Jastus100
@Jastus100 Жыл бұрын
Naota Nipo shule mara kwa mara Sijui hiyo ndoto ina maana gani ? Na nilimaliza kitambo
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Жыл бұрын
Maana yake ni roho ya kuchelewa/kukwamishwa,kila utakachofanya hakifanikiwi(Spirit of delay)
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu asante kwa somo hili lakuhusu ndoto, Roho mtakatafu,asidi kukupaka mafuta .
@dicksonkarani7217
@dicksonkarani7217 Жыл бұрын
Kurudishwa nyuma kimaisha au kiroho
@anithasanga6015
@anithasanga6015 Жыл бұрын
Ndugu yangu hiyo ndoto ni mbaya
@tabby6064
@tabby6064 Жыл бұрын
Justus,,ndoto hii watu huitafsiri kua ni delay but mm Mungu alinifunza kuhs hii ndoto kwa upana.ukijiona shule saa nyngne Mungu anajaribu kuattract attention yko ujifunze mambo fulani anayotaka uyafahamu,saa zingine kazi unayofanya pia kwenye ndoto inaweza kuja km uko shule,saa zingine Hii ndoto humaanisha umekaa mahali pamoja siku nyingi kwahio niwakat uamke usonge mbele,pia humaanisha km una maono ya kurudi shule basi uchukue hatua yakuenda shule ili Mungu akuinue.
@RaheliEmmanuel-b3u
@RaheliEmmanuel-b3u 11 ай бұрын
Some one to share number for sunbella to me i have sensitive issues
@KoletaMab
@KoletaMab 6 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu
@missAdeline-xr8bf
@missAdeline-xr8bf Жыл бұрын
Amen 🙏🙌
@rehemakiteu
@rehemakiteu Жыл бұрын
Amen
@JKGJICHOMAKINIONLINE
@JKGJICHOMAKINIONLINE Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@KoletaMab
@KoletaMab 6 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu
@charlesmarijani6806
@charlesmarijani6806 Жыл бұрын
Amen
@KoletaMab
@KoletaMab 6 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu
@AnnaMbeya
@AnnaMbeya Жыл бұрын
Amen
@IreneMwanga-w6r
@IreneMwanga-w6r 2 ай бұрын
Amina
Harrison K. Ng'ang'a • Being Good Before God
58:21
H. K. Interdenominational Ministries
Рет қаралды 4,1 М.
INUKA UWAINUE WENGINE | SEMINA DAY ONE | PASTOR SUNBELLA KYANDO
59:01
Reality of Christ Church
Рет қаралды 3 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
JIFUNZE KUACHILIA WATU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
34:04
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 85 М.
ULIMWENGU WA ROHO NA UKWELI WAKE 1 - BIENVENU WANZIRE (Day16 prayer)
23:42
Bienvenu Wanzire TV
Рет қаралды 3,1 М.
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 445 М.
SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO
1:54:31
Reality of Christ Church
Рет қаралды 399 М.
UNABII WA MWAKA 2025 | PROPHET EDMOUND MYSTIC
1:53:08
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 54 М.
MEDITATION - PASTOR SUNBELLA KYANDO
11:54
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
JE, UNAJUA KWANINI VITU VYAKO VINAKWAMA?
55:30
Reality of Christ Church
Рет қаралды 123 М.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 87 М.