Рет қаралды 12,039
TUNA UJASIRI - ni wimbo maalum ulioimbwa kwa ajili ya kuomboleza kifo cha Rais wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli katika wimbo huu waimbaji walioshiriki ni pamoja na
Japhet Zabron
Walter Chilambo
Ambwene Mwasongwe
Miriam Mbepera
Miriam Lukindo
Beda Andrew
Paul Clement
Rehema Simfukwe
Jessica Honore
Iren Robert
Godfrey Steven
Mathias Walichupa
Gwamaka Mwakalinga
Dr.Ipyana
Kibonge Wa Yesu
Madam Flora
Neema Mudosa
Upendo Nkone
Producer wa audio hii ni Fredric Masanja
Mwl Vacal - Zamoyoni Alex
Studio (S & M ) Sound Music