TUNAPASWA KUSHUKURU

  Рет қаралды 9,458,144

RAJO PRODUCTIONS

RAJO PRODUCTIONS

Күн бұрын

Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga kutoka Parokia ya Familia Takatifu - Njiro , Arusha, Jimbo kuu katoliki la Arusha wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu wa shukrani unaoitwa TUNAPASWA KUSHUKURU. Wimbo huu umetungwa na Angelo Kitosi na Kurekodiwa na studio za RAJO Productions - Arusha.
Please support: www.patreon.co...
Kwa mawasiliano na kwaya hii, tumia namba

Пікірлер
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Please support: www.patreon.com/bePatron?u=77044884
@mercyw.8258
@mercyw.8258 2 жыл бұрын
Aar
@mercyw.8258
@mercyw.8258 2 жыл бұрын
Ea
@mercyw.8258
@mercyw.8258 2 жыл бұрын
Saa
@mercyw.8258
@mercyw.8258 2 жыл бұрын
Trf
@mercyw.8258
@mercyw.8258 2 жыл бұрын
Kppopjjk
@ValentineHerman-b3o
@ValentineHerman-b3o 8 ай бұрын
MUNGU awabariki wote wanaosikiliza wimbo huu✝️✝️🙏🙏💒💒💒⛪️🛐
@evelyneva
@evelyneva Ай бұрын
Shukrani zangu zote kwa Mwenyezi Mungu 7th Jan 2025 ....Ukija after me please like
@onseriodenis827
@onseriodenis827 Жыл бұрын
AM AN SDA BUT I CANT STOP LISTERNING TO THIS SONG....UTUKUFU APEWE MUNGU MILELEEEE......AMEN
@milcahnziu578
@milcahnziu578 Жыл бұрын
Am an SDA but this song is my anthem l really love it as it bless me everyday in this world of ours
@BenadectaKendi-xt2cp
@BenadectaKendi-xt2cp Жыл бұрын
Amen
@severinekatumo2871
@severinekatumo2871 Жыл бұрын
Wimbo huu ni matokeo ya damu ya Mwokozi Yesu alipomwambia Mtume Petro amempa mamlaka duniani na uongozi wa kanisa lake Katoliki hadi hadi mbinguni Yuko nasi Wakatoliki kwa njia ya Roho Mtakatifu.Mungu awabariki na awazidie.
@paulineonduro355
@paulineonduro355 Жыл бұрын
Me too
@emmandanu-xs3in
@emmandanu-xs3in 10 ай бұрын
thanks
@LucyNdaturu
@LucyNdaturu 11 күн бұрын
Huu wimbo ni wa kusikiliza kila siku asubuhi ukiamka nakwambieni mtaja kunishukuru unaanza siku vizuriii mno na inaisha vizuri❤ Aya likes zenu hapa,
@martinmuthuitito4844
@martinmuthuitito4844 8 ай бұрын
I put this comment here so after a month or a year when someone likes it it reminds of this beautiful song
@aureliebea3957
@aureliebea3957 8 ай бұрын
I second you wholeheartedly 🙏
@claraweke8799
@claraweke8799 7 ай бұрын
Utukufu apewe mungu kweli..wimbo huu unanitia nguvu...kazi nzuri sana
@santinambembe648
@santinambembe648 Ай бұрын
Njoo ushukuru mwaka unaishaa
@pheminamusumba2108
@pheminamusumba2108 Жыл бұрын
Napenda sana wimbo huu.Kila asubuhi Lazima nisikilize na kuuimba.Mkatoliki daima kutoka Kenya🙏🙏Mungu anatupenda daima
@anastaciamuema
@anastaciamuema 2 жыл бұрын
Wewe Ray mambo yako yanatisha!😀😀😀 Kazi safi, wanakwaya wanapendeza, mcheza kinanda anang’aa!!! Soloist naye hatuongei mambo yake!😃🔥🔥 May God lift you higher uendelee kutibu mioyo yetu kwa nyimbo tamu kama hizi. Hongereni sana kwa wote waliofanikisha kazi hii.👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Anastacia, Asante kwa compliment yako. Hongera pia kwa kazi safi unazofanya
@lilymsophe1475
@lilymsophe1475 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@sheilajepkorir2386
@sheilajepkorir2386 2 жыл бұрын
Ann si nimekutafuta kwa hii group sijakuona😁😁 nimengoja ujitokeze na aka sauti yako taaamu
@getty7254
@getty7254 2 жыл бұрын
Was waiting for this🔥
@dominicmwale5125
@dominicmwale5125 2 жыл бұрын
Tunaomba nota zake
@jemimahkiboi7674
@jemimahkiboi7674 7 ай бұрын
Am not a Catholic but I like the song so much,,utukufu apewe Mungu milele
@godfreyambrose9928
@godfreyambrose9928 7 ай бұрын
stay blessed
@maitrisonslemondeenquelque9741
@maitrisonslemondeenquelque9741 6 ай бұрын
Hello jemima. You are smart 😊
@scholasticaakinyi-vs7zz
@scholasticaakinyi-vs7zz 5 күн бұрын
Who is here on 2nd of February 2025. Let's learn to appreciate every small thing we have .stay blessed 🙏
@BenardCostantine-sr8bn
@BenardCostantine-sr8bn 5 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sina cha kusema Kwa hiii nyimbo nimeipenda Sana tena Sana mpaka mwili umesisimka jamani.❤❤❤❤❤❤❤
@kenyacatholicyouthmedia
@kenyacatholicyouthmedia 2 жыл бұрын
Kama Unahisi Huu wimbo Unafikisha ujumbe vilivyo... Naomba Uwache hapa likes..ziwe nyingi baada ya miaka 45 watoto wetu wakumbuke kulikuwa na kikundi kiitwacho Rajo Productions..Live Long Rajo Productions🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
May God bless you
@joshuajonh3898
@joshuajonh3898 2 жыл бұрын
Kwaya
@joshuajonh3898
@joshuajonh3898 2 жыл бұрын
Kwaya
@jeanbaptistebagisha876
@jeanbaptistebagisha876 2 жыл бұрын
Amen
@jamesmdegy3938
@jamesmdegy3938 2 жыл бұрын
Umetisha Sana tu umewatendea haki wahehe 😜😜
@ClaudineUwamariya-l4v
@ClaudineUwamariya-l4v Жыл бұрын
Wooowowow,,, what a great job!! I am proud to be catholic and i have never been tired of listening to this beautiful song!! Hongera wana kwaya kwa Wimbo mzuri, Hongera nyingi sana kwa mtunzi na kwa Soloist! Nawapenda sana Mbarikiwe. Pokeeni salamu kutoka Kenya.
@brigittegotalowe4055
@brigittegotalowe4055 Ай бұрын
Père en ton nom je te rend grâce pour cette louange dont je ne connais pas les paroles mais parles à mon âme......l'église catholique fait des merveilles
@boniphacekessy3699
@boniphacekessy3699 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo, kazi nzuri sana, kwaya nzuri pia studio sahihi na yenye ubora unaojitosheleza, big up.
@barasamtali
@barasamtali Жыл бұрын
If Kenyan can sing a song like this ,tunaweza kwenda sisi sote mbinguni , am proud to be a Catholic ❤️❤️💪
@DrEvarist
@DrEvarist Жыл бұрын
Amen but know "Karama sio wokovu"
@BenadectaKendi-xt2cp
@BenadectaKendi-xt2cp Жыл бұрын
Pround to be a Catholic too dear
@AndrewMauka
@AndrewMauka Жыл бұрын
Tanzanians sang this Arusha Parish
@JohnmalakiSaruni
@JohnmalakiSaruni Жыл бұрын
Kazi nzuri
@gra8098
@gra8098 8 ай бұрын
Proud to see my choir reaching out to the world. Glory to God🙏🙏🙏🙏
@PetroKiyeyeu-hz7qk
@PetroKiyeyeu-hz7qk Жыл бұрын
utunzi Bora video Bora produuza Nora viva kwakipajichenu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️♥️♥️♥️
@rosenthambi2230
@rosenthambi2230 2 жыл бұрын
Am proud to be a Catholic,I always listen to this song every morning...it blesses me alot 🙏🙏
@chrisb8527
@chrisb8527 Жыл бұрын
A L ')v?lb
@derickndagadwa4063
@derickndagadwa4063 Жыл бұрын
Happy for you,am a Catholic too,am Richy Luo married to kamba I feel so blessed my sister.
@Deodatakiyanga
@Deodatakiyanga Жыл бұрын
Nawapendaaa wapendwa katika kristo
@Deodatakiyanga
@Deodatakiyanga Жыл бұрын
Nawakaribiaha pia katika account yangu ya you tube 🥳.Kuna mambo mambo mazuri
@BenadectaKendi-xt2cp
@BenadectaKendi-xt2cp Жыл бұрын
Pround Catholics dear
@asteriamahatane6987
@asteriamahatane6987 Жыл бұрын
Tunapaswa kushukuru..kumshukuru Mungu Amina..
@SamuelMsami
@SamuelMsami 29 күн бұрын
Me nakosa hata cha kusema mwenzenu..nakua speeches 😅, hii vocal ni hatari, uchezaji na ala na mpangilio wa sauti yani ni mzuri nashindwa kusema neno linalofaa, wimbo mtamu wenye ujumbe mzuri, aisee Mungu awabariki sana watumishi
@st.alexandrokcauniversitychoir
@st.alexandrokcauniversitychoir 2 жыл бұрын
Wimbo wenye kuponya, kusifu, kumtukuza Mungu kwa pamoja! Hongera kwa wote walioufanikisha, Mola awazidishie❤️❤️
@susanmuuo3538
@susanmuuo3538 Жыл бұрын
Catholec🎉
@giftciouszacharia8552
@giftciouszacharia8552 2 жыл бұрын
Mpo vizuri mbarikiwe sana nimejifunza kitu napaswa kushukuru kwa kila jambo kwa mungu
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Giftcious
@mytoohfreezer7160
@mytoohfreezer7160 2 жыл бұрын
I started with a certifacate,then Diploma and now i have enrolled a degree.Of course am here to Thank the Almighty God🙏🙏.Thank you my big God ,your daughter is happy
@josephngambi9891
@josephngambi9891 2 жыл бұрын
This is exactly my story.. Glory be to God 🙏🏽
@niriacatering172
@niriacatering172 2 жыл бұрын
Congratulations God is great when you believe in him
@jeffowinostv3981
@jeffowinostv3981 Жыл бұрын
Thanks to God
@stellamarisndenge7353
@stellamarisndenge7353 Жыл бұрын
my story too
@PrincesonKenya
@PrincesonKenya 2 жыл бұрын
Awesomely good, nazipenda sana nyimbo zenu pamoja na vinanda mlivyovipanga✓✓
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Prince
@imanike8752
@imanike8752 2 жыл бұрын
Wow, Prince Son ✓✓
@margaretwangari5422
@margaretwangari5422 9 күн бұрын
My aunt introducede to thos song on Dec2024 i listen to it everyday🎉🎉🎉🎉🎉ohh my
@ritaanchinga6234
@ritaanchinga6234 11 ай бұрын
Am not a Catholic but this song is inspired by the holy spirit, everytime I listen to it, I go into prayer and worship.
@flipaclipanimationz6790
@flipaclipanimationz6790 2 жыл бұрын
Wimbo ukiwa na 90K views nilisema utafikisha 1M in three months to come that was May,2022. I was right just 3weeks after nakutana na 400k imagine baada ya miezi mitatu. Ninawafurahia sana. Mungu awabariki wote. Na PONGEZI SANA PIA KWA MTUNZI KITOSI.Ameitemdea haki sana melody ya kihehe. UTUKUFU MWA MUNGU JUU.
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Shukrani sana Lucia
@Zanga93
@Zanga93 2 жыл бұрын
Dah!! Mm ni mpenz wa bongo flavour lakini Wimbo kama huu cwezi nikaupita bila kuwa nao, Nyimbo inavutia sana 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asante sana Christopher
@aminaibrahim8466
@aminaibrahim8466 2 жыл бұрын
Hongeren kwa kazi yenu mlioiandaa nimeupenda wimbo huu ni mzur sana na umenigusa mbariiwe sana
@jeniferlyimo8260
@jeniferlyimo8260 22 күн бұрын
Yaani sio swala la kuuliza kipnz. Fantastic. Mungu tubariki wakatoliki wote maana tunapigwa vita sana ila Mungu tunaemwamini atatulinda na kutupambania. Na watu wanahofu kwa maswali na mtazamo ya huko nje..so tusimame kuipambania imani yetu jamani. Mungu hana dini wa dhehebu sisi sote ni mali yake sijui huwa tunalumba kwanini. Amina....
@JANETISHAO-v5e
@JANETISHAO-v5e 20 күн бұрын
Mungu awabariki munaimba vizuri Sana nawapenda Mungu wajalie Maisha marefu yenye eri na baraka
@jenniferonesmo6044
@jenniferonesmo6044 2 жыл бұрын
Hongereni wapendwa na Mungu aendelee kuwapa Nguvu muendelee kuimba nyimbo zake. 🙏sana Waalimu wote. Kazi iendelee.
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
May God Bless you Jennifer
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 2 жыл бұрын
Oooh My God ❤️❤️❤️Am speechless my lovely Bro Rajo wooow!!!Hii doz ni kali sana....Mungu apokee hizi sifa na Utukufu kwa kuwa Yeye pekee ndio anastahili🙏🙏🙏 Nawapenda wote ♥️♥️♥️
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Thank you Mumy. Be blessed
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 2 жыл бұрын
@@rajopro Thank you Broo for your Blessings
@susanogone2328
@susanogone2328 Жыл бұрын
My favourite song can't go a day without listening to this song,I feel so blessed,thank you brother, watching from Kenya
@PreciousFavour-y3o
@PreciousFavour-y3o Ай бұрын
Am happy to be a Catholic, na enjoy kuzikinza hizi nyimbo
@lydiashumbuku1191
@lydiashumbuku1191 5 ай бұрын
Am not a catholic huu wimbo unanibariki na kunipa tumaini kila asubui, a wonderful message
@musarwangoga7353
@musarwangoga7353 2 жыл бұрын
nazidi kubarikiwa na wimbo huu kwa kasi ya ajabu, may the Almighty God bless you abundantly and I'm looking forward for my holiday in my beautiful country Tanzania Tanzania nakupenda Sana
@free-starpro
@free-starpro 2 жыл бұрын
Nyimbo kama hizi zapaswa kuuzwa kwenye Phamacies, zatibu mara moja! kazi njema kaka.
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asanteni sana Free star Productions. Mungu azibariki kazi zenu pia. Comment yako imenichekesha sana
@free-starpro
@free-starpro 2 жыл бұрын
@@rajopro 😂 Pamoja.
@julianaokello2859
@julianaokello2859 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Weee... By the way it is true😀
@petergikubu2349
@petergikubu2349 2 жыл бұрын
Yachekesha
@lilianatieno347
@lilianatieno347 2 жыл бұрын
Kweli
@petermushi1473
@petermushi1473 2 жыл бұрын
Ray ufunguo haunaga kazi mbovu... Ubarikiwe sana nimemuona pacha wangu Tumaini swai aiseee 🔥 🔥 🔥
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asante sana Peter. Tumshukuru Mungu
@daudiamos2602
@daudiamos2602 17 күн бұрын
Kwa mema yote Mungu anayotutendea kwakweli tunapaswa kushukuru. Hongereni sana kwaya ya Mt.Karoli Lwanga.
@bensonmbithuka3951
@bensonmbithuka3951 Жыл бұрын
Nice song ....am kenyan but tanzanians are more legit on this❤
@yvonne509
@yvonne509 2 жыл бұрын
I love this song so much,,,,,,congratulations rajo pro,,,,,,,,mzidi kuenda far,🙏
@eneliamwampamba7780
@eneliamwampamba7780 Жыл бұрын
What a prayer! Thank you for allowing us to connect with the Almighty through this song. Be blessed forever!
@doktab
@doktab 2 жыл бұрын
Wakuu! Hapa mlikuwa na nia ya kutuma ujumbe gani?🙆🏾‍♂️😇🔥Yaani kazi yote kuanzia utunzi, kunasa sauti na picha ni SAFI!🔥🔥🔥i love! ❤️
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Dokta B
@doktab
@doktab 2 жыл бұрын
Asante. Barikiwa pia.
@maureenwetola3862
@maureenwetola3862 Жыл бұрын
Woow i love the song and God you had a reason for giving me a catholic man
@Merveillemathina-rs8es
@Merveillemathina-rs8es 2 ай бұрын
Yani nyimbo nzuri kabisa tuna wangoja kwetu ngongo mukuje muimbe ata kanisani Sisi ni kwaya ya mutakatifu yoane mubatijazi kutoka kwenye parokia ya mu takatifu Gabriel pa beni
@gratianakitime6290
@gratianakitime6290 2 жыл бұрын
So awesome, nyie huu wimbo ni mzuri na hivi unamelody ya kihehe Fulani ivi yaani acha kabisa, I can't stop listening ❣️❣️
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Gratiana ubarikiwe sana na Mungu
@maureenmowakimani
@maureenmowakimani 2 жыл бұрын
Jamani so sweet yes tunapaswa kushukuru daima ...asante mungu nmepata cheti changu kwa wema wako
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Sifa na utukufu kwa Mungu. Ubarikiwe sana Maureen
@maureenmowakimani
@maureenmowakimani 2 жыл бұрын
Amina nanyi pia Rajo excellence is what describes this team.
@mikekingoo3513
@mikekingoo3513 2 жыл бұрын
Nimeipenda sauti ya solo😍🥳kuskia wimbo huu baada ya misa ni baraka kweli🙏🏽Tumshukuru Mungu daima🙏🏽🙏🏽
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asante sana Mike. May God bless you
@jenifaochieng6007
@jenifaochieng6007 11 ай бұрын
​@@rajopro😊😊😊😊
@njerunancy8774
@njerunancy8774 8 ай бұрын
Powerful song 🎉🎉🎉🎉 we are reminded to he grateful for all God has granted us
@DevisOngori
@DevisOngori Ай бұрын
Am feeling ok in good health even if 2024 was my worst year.. ...God u're my Almighty groly 2025 give me straighten and comfort with my baby boy 1st January 2025
@judithmakuba6917
@judithmakuba6917 Жыл бұрын
Ninabarikiwa sana na wimbo huu.Asanteni!🙏❤️
@kipchumbakelvin12
@kipchumbakelvin12 2 жыл бұрын
Aaaaah rajo rajo 🔥 ....leo umeamua Kazi safi broo ...pongezi choir .....live long rajo ❤ 💪 💪 💪
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
My friend from Nairobi. Shukrani sana Kipchumba
@upendofamily7127
@upendofamily7127 2 жыл бұрын
Aisee bro. Bila unafki you are just alone in your circle. Natumai wimbo wangu wa kwanza kurekodiwa utakuwa ni supa. You are my role model too tangu mimina na makuburi. My prayer is to see you making wonders all the time. May the almighty be with you and bless you for touching our hearts. Katoliki itakuwa imara kama ukiendelea na kulinda ubora wa nyimbo zetu za kikatoliki. Mungu hatokusahau hata kidogo.
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asante sana One Gospel record kwa ujumbe wa kutia moyo. Ubarikiwe sana
@valeriekanam5444
@valeriekanam5444 2 жыл бұрын
Mimi ni muimbaji kutoka parokiya mutakatifu augustin kwenyi lubumbashi Dr congo. Can i have scores for this song please? Ili tupate djifunza n'a kuimba. Asante
@gertrudeonyinyechi2786
@gertrudeonyinyechi2786 7 ай бұрын
Wow!!! Immediately I came across this song on the KZbin, it touched me even though I don't understand what is singing. Something told me that it's for praising God. I started dancing and crying to it. I love the composer, Ray and the soloist, that guy is exceptional. The choir is awesome. I love the whistle and the last part that sings "chukufuuu" 😅 afera mungu chilele😅. ❤ From Nigeria
@ciekagiri3286
@ciekagiri3286 6 ай бұрын
"...Utukufu apewe Mungu milele..."
@dengambo3284
@dengambo3284 2 жыл бұрын
Really wonderful work, it's inspiring, souls uplifting and entertaining, God will surely bless and keep you
@fredyjoackimu-bk1tf
@fredyjoackimu-bk1tf Жыл бұрын
Safi sana, wimbo ni mzuri na mimi binafsi ninabarikiwa kila wakati
@yovinampale4873
@yovinampale4873 2 жыл бұрын
Ujumbe wa wimbo, mpangilio wa sauti, mavazi na style ya kucheza vyote ni safi sana. Ni wimbo mzuri Sana, hongera kwa mtunzi na wahusika wote.
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Shukrani sana Yovina
@elizabethndunge3779
@elizabethndunge3779 2 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 2 жыл бұрын
Mimi nautaka mwenye anao anitumie
@pendocharles3482
@pendocharles3482 2 жыл бұрын
Hakika safi saaaaana
@VictorDismas
@VictorDismas 11 ай бұрын
🎉🎉
@donatilamandeline8354
@donatilamandeline8354 2 жыл бұрын
Hongeren sana ety 💕😋 Mungu awabariki then next year mtoe tena etyeee... Nawapendeni nyoteeeee 👊✊💘💕😘😘big up to y'all 😃👍✌️
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asante sana Donatila. Tuombe uzima, itatoka nyingine
@donatilamandeline8354
@donatilamandeline8354 2 жыл бұрын
@@rajopro Amina sanaaaaa 😃👍
@lawrencekameja9730
@lawrencekameja9730 2 жыл бұрын
Kazi Kali kinyamaaaaa big up Sana ray ,tumaini swai #rajoproduction
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Shukrani sana Dingii
@EdinestaIgnas
@EdinestaIgnas Ай бұрын
Nashukuru sana kwa kazi nzuri ya uimbaji na mungu azidi kuwabariki huu wimbo umenikumbusha mengi sana nilikotoka na niendako kweli mungu ni muwezaaaa🙏🙏
@wellscorporate5713
@wellscorporate5713 Жыл бұрын
Nicely done piece with beautiful message. The first time I listened to it, I was going questioning God but this song blessed me
@reginaassey5382
@reginaassey5382 2 жыл бұрын
AMINA KAZI NZURI SANA MWENYEZI MUNGU AWABARIKI SANA HAKIKA NAMUONA MUNGU KWA WIMBO HUU🙏🙏🙏🙏🙏
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa sana Regina
@augustinekitonga6981
@augustinekitonga6981 2 жыл бұрын
Maisha yetu yote Yako mikononi mwake tumshukuru.......it's awesome Ray ...Kenya twawapenda sana ..
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Augustine
@MonicaMbitheMusic
@MonicaMbitheMusic 2 жыл бұрын
Oh my Heart❤️❤️huuu wimbo umenibariki kweli kweli💜❤️💜This one before the long weekends😂majirani watakuwa wameufahamu👌👌congratulations Ray
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki sana Cecil
@nzumbi.ngussa3317
@nzumbi.ngussa3317 2 жыл бұрын
Mlswiti
@joyceawino3324
@joyceawino3324 Жыл бұрын
The beats kwanza...is on another level, wale wa alto wako juu,,ah the four vocal chords are just 🔥 📛
@williammutua7693
@williammutua7693 9 күн бұрын
❤ may God continue blessing you and inspiring us we should thank God for every time and every season good or bad..
@queenirenemlacha1324
@queenirenemlacha1324 2 жыл бұрын
When it comes to creativity aiseee ww ni level nyingine kbsaa,, big up on that,, Mungu azidi kukuza your talent,,,
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asante sana Queen. Ubarikiwe sana. Soon nitakuja ST Joseph kusalimia
@queenirenemlacha1324
@queenirenemlacha1324 2 жыл бұрын
@@rajopro can't wait to see u jmn,, karibu sanaaa
@paulinelokinei
@paulinelokinei 2 жыл бұрын
Wow am blessed with this song alot be blessed always my brothers and sisters.......🙏🙏🙏🌹
@lydiahsimiyu3425
@lydiahsimiyu3425 2 жыл бұрын
Proud to be a catholic Tanzanian songs hunifariji sana
@ibrahimkibore
@ibrahimkibore Жыл бұрын
Rajo production am proud of you from tz...Kenyan we love you ....keep same spirit
@josephinendukumuthuka9506
@josephinendukumuthuka9506 Жыл бұрын
U wimbo kweli unanimbariki sana, asa wakati nichini unaniinua mbarikiweni.❤
@florianfinda7445
@florianfinda7445 2 жыл бұрын
Hii kazi ni takatifu kabisa, Ray na Swai mmetisha na kuendelea kuniacha hoi. Mbarikiwe sana
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Florian
@emilymurimi5195
@emilymurimi5195 Жыл бұрын
I am very much uplifted by this song, listening almost daily. Mkatoliki damu.
@dainessgervas6741
@dainessgervas6741 2 жыл бұрын
Aiseee huu wimbo mzur sana kuanzia maudhui yake, saut mavaz, style pia kweli tunapaswa kushukuri🙏❤️❤️
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Dainess
@DoriceBabiligi-i8y
@DoriceBabiligi-i8y Ай бұрын
Hakika huu Wimbo umenibariki sana
@romwaldpeter5045
@romwaldpeter5045 Ай бұрын
Wimbo unafikisha ujumbe.. hongereni sana
@kakajokerosan7915
@kakajokerosan7915 2 жыл бұрын
Kwa mara nyingine Tena umetujali sisi wasikilizaji... Kzi safi sana kaka Ray, Swai na wote waliofanikisha kazi hii
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Mzidi kubarikiwa sana Divine Voices Kenya
@gloriousnp
@gloriousnp 2 жыл бұрын
Namaliza sabato yangu , naingia humu mara paap Nakutana na hii . Jmosi yangu imeisha vyema 🤗🤗 Mbarikiwe Wana na Binti za Mungu This got me missing them boarding school days . Asante sana Ray and the whole RAJO team Mungu awabariki mpaka mshangae 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🇹🇿
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Mungu wetu mkuu azidi kukubariki Glorious
@richardchaula1860
@richardchaula1860 2 жыл бұрын
Thanks for your appreciation.
@jackleorpila864
@jackleorpila864 2 жыл бұрын
Hakika Mungu ni Mwema.twapaswa kumshukru.Hongera sana Rajo
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Jack
@TeresiaMaina-rf1cm
@TeresiaMaina-rf1cm Жыл бұрын
Waaa Jesus sauti nazo God awabless zaidi we want to listen to this voices everyday
@bettynablo9923
@bettynablo9923 2 жыл бұрын
I am proud to be a catholic, huu wimbo huwa unanifariji moyo. Keep it up Mt karoli lwanga kwaya
@paschalkidoghosimasaka
@paschalkidoghosimasaka Жыл бұрын
Best song sofar
@SammyLilprincesammybadgu-lj7xs
@SammyLilprincesammybadgu-lj7xs Жыл бұрын
Am not a catholic but i love this song so much ,i almost listen every morning so inspiring. More grace in jesus name
@mamamaryiane6804
@mamamaryiane6804 2 жыл бұрын
Watching from Kenya be blessed Rajo for the good work and the whole choir Proud to be a Catholic from my childhood till now God is indeed powerful 🙏🙏🙏
@magdalenamanyiewa13
@magdalenamanyiewa13 Жыл бұрын
Amen wimbo una ujumbe mzuri
@VictorShiamia
@VictorShiamia Жыл бұрын
❤❤❤when i listen to this song i shed tears but i know ut reminds me something in life .that our life is in Gods hands
@samuelkiptum449
@samuelkiptum449 Жыл бұрын
Don't mind God is at work
@marycarmenmueni5343
@marycarmenmueni5343 2 жыл бұрын
My subscription was not in vain!!....mnabariki sana kwa sauti taaamu. May God continue walking this journey of faith with you.Keep strong, keep praising our Dad in heaven
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
May God bless you Mary
@melodykellen8111
@melodykellen8111 2 жыл бұрын
Your voices never disappoint may God bless you lots of love from Kenya Tunapaswa kumshukuru mungu
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asante sana Kellen, Mungu akubarki sana
@melodykellen8111
@melodykellen8111 2 жыл бұрын
Pia nyinyi....
@geoffreymogendi4241
@geoffreymogendi4241 2 жыл бұрын
Kaka Ray wewe ni mrogi yaani that creativity iko juu, hongera kaka nzuri inapendeza , nzuri kwa kweli
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asante sana my friend. Wasalimu sana Nairobi
@geoffreymogendi4241
@geoffreymogendi4241 2 жыл бұрын
@@rajopro Nitawasalimia sana
@TonyKubania
@TonyKubania Жыл бұрын
I love the song it really encourages me alot wether positive nor negative I love to thank God all the time
@barasamtali
@barasamtali Жыл бұрын
My favorite ❤️bila kusikia hii wimbo (amenitendea) I can not sleep , let's God open our ways kuitia hii wimbo ,love it mwaaaaaaa💪💪💪🙏
@maingomorris4489
@maingomorris4489 2 жыл бұрын
Kazi tamu sanaaaaa Mungu azidi kuwaneemesha👏👏
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asante sana Morris
@josephmondi6115
@josephmondi6115 2 жыл бұрын
Asanten Sana kwa kazi nzuri,,Much congrats kwa Bro Ray na Swai,,,keep it up.
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Asante sana Joseph
@josephmondi6115
@josephmondi6115 2 жыл бұрын
@@rajopro tunakosa nyimbo za taratibu za tafakari bro,,itapendeza mkifanya na za namna hiyo
@ashayahya9271
@ashayahya9271 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sanaa naunatukumbusha tuzidikumshi mungu ,munguawati nguvu naawape afya uzima na upendo
@RitaKachala-e2m
@RitaKachala-e2m 6 күн бұрын
I'm from Malawi but this song hits deep down my heart❤❤❤❤❤❤
@ZainabJames-o2h
@ZainabJames-o2h 15 күн бұрын
🙌💞💞mungu awalinde wote god bless your song and all of view in this song
@marylaishi
@marylaishi Жыл бұрын
This choir is so wonderful! Though I don't understand the language, I feel so nice when this song is playing. I feel like playing it the whole day. Well sang song and nicely organised choir indeed. May God continue to bless the singers of this choir as they continue to compose more songs.❤
@Nyimbozamani
@Nyimbozamani 2 жыл бұрын
Watching from Washington DC, Marekani Kazi nzuri Ray.... Msalimu mdogo wako Colman, nimesoma nae Lyamungo. Big up bro
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Dennis. Salamu zimefika
@francismwacha253
@francismwacha253 2 жыл бұрын
Kazi nzuri brother chami.. nafrah walau unatuwakilisha vyema wana kibosho hasa kwa upande wa kumtukuza mungu kama hivi.. mm jirani yako bhn nimemaliza ushirika na mdogo wako colman..
@titokibiki3034
@titokibiki3034 8 ай бұрын
good
@josphinenzivu6415
@josphinenzivu6415 Жыл бұрын
The soloist and keyboard guys on point.Well done all the singers
@JosephMulyunga-w4u
@JosephMulyunga-w4u Жыл бұрын
Winbo mzuri , mungu awape nguvu waedelee kumtukuza
ASANTE YESU
6:06
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 8 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 МЛН
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
UFC 287 : Перейра VS Адесанья 2
6:02
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 486 М.
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
TEGEMEO LANGU NI YESU - Melodic Harmony Chorale Ft Lawrence Kameja
6:25
Melodic Harmony Chorale
Рет қаралды 4,8 МЛН
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 3 МЛН
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 8 МЛН
SHAMBA LA MIZABIBU
5:41
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 3,2 МЛН
ASHUKURIWE MWENYEZI
3:08
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 4,2 МЛН
Niseme Nini - By Bernard Mukasa, JBC Choir - Bukoba Parish
9:48
KAPOTIVE
Рет қаралды 1,2 МЛН
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
Alexander mumo
Рет қаралды 3,9 МЛН
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН