Mbowe is a diplomatic leader. Lisu hana hii sifa, atakipoteza chama na hoja zake za mihemko. Wish you all the best Mbowe
@richardgeorge53775 сағат бұрын
Unatengeza viongozi wazuri halafu wakitaka kuongoza unaona hawafai
@williammwamalanga10653 сағат бұрын
Hongera sana sana Mheshimiwa Mbowe wewe ni Kiongozi wanaokutana Mafanikio yako ni wagonjwa wa Akili kabisa.....
@CharlesSimtaji-pq7ys5 сағат бұрын
Pambana utashinda mzee mungu atakusaidia
@joscamwoshezi29862 сағат бұрын
Mbowe anajibu,maswali vizuri . Wanaosema hajibu ni wanaotaka ajibu kwa mihemko na kusema ya kusadikika
@prosperjuma9054 сағат бұрын
Jamaa anapita mle mle kwenye mstari wa museveni. Kwa hiyo akiingilia ikulu ni hadi malengo yatimie ndo atatoka😂
@williammwamalanga10653 сағат бұрын
Hakuna vijana wenye akili za maana kama Rais Ibrahim wa burkinafaso ha Tanzania wengi wao matusi na kiburi cha kujinufaisha
@MiriamKhalid-z6o2 сағат бұрын
Hakika ndugu Hawa niwachumia tumbo mbowe must goooo
@mathiasmavanza605Сағат бұрын
Pamoja na yotr mzee muda umefika, pumzika sasa
@MsabahAli-d6u2 сағат бұрын
My father ukibaki katika io nafasi hakikisha chama kinakufa brother
@vivamadiba28695 сағат бұрын
Achia ngaz mkuuu ...unajishushia heshima tu uliotengeneza kwa miaka mingi
@desderipatrick83925 сағат бұрын
Tunakwenda na TL
@GauNdimbo3 сағат бұрын
Atukuelewi Tena tunaenda na lisu
@barakamwasenga21435 сағат бұрын
Wanachadema kama hamta muheshimu mwenyekiti wenu mjue ni nyumbu lisu anaumhimu wake ndani ya chama lakini mnabeza daa miaka yote tunawasapoti tukiwa nje ya chama chenu lakini leo hii mnakuja kutulipa maneno ya shombo tufanye nn ss kwenu mnijibu mlio na mwendokasi
@mutalemwajohanes-kx9djСағат бұрын
Uwezo wako umepungua saana na utapungua zaidi kwa kutopenda kusikiliza ushauri MBOE
@PaulKabungo5 сағат бұрын
😢😢😢😢Chama hii inaenda angamia
@ameirzapy13183 сағат бұрын
Mboye mnamchukulia poa coz mnaona ni rahic tu leo chadema kuwa kilipo😢, hawa watu wanajua njia walizopita hadi leo,, nyengine wali share nasi nyengine wamebaki nazo moyoni,, sasa ogopa hizo za moyoni😢
@mutalemwajohanes-kx9djСағат бұрын
Mwisho wako tutakuwa mbaya saana saana
@nmatuja21914 сағат бұрын
Mbowe,umefanya mengi mazuri sana.Lakini kwa sasa achia wengine.Angalia migomba inavyo achiana.Ukiona kuku anaachia vifaranga wanachukuliwa na mwewe bila kupambana, huyo kuku hafai kufugwa.
@SaidiShemkieti3 сағат бұрын
Father achia ngazi unazunguka sanaa maana point siyoni hapo lissu ndo akiongea fasta unamuelewa anaongea nn
@mutalemwajohanes-kx9djСағат бұрын
Hacha story nyingi mkuu kelele hizi zote hazitokuacha Salama !
@MoudyMuzungu4 сағат бұрын
Kwahiyo unataka upewe na awamu nyingine kwani ktk chama chako hakuna mtu mwenye uwezo wa kuongoza zaidi yako au ni tamaa tu!
@chelestinomwajombe9384 сағат бұрын
Clouds mtakiwa kuangalia navyojibu mbowe kwa kuifuta katiba ya chama kwa namna alivyoisoma katiba ya chadema heche na lisu wanakiuka katiba ,sijui hawasomi au wanafanya kwa makusudi kukiuka katiba.
@HansChuma3 сағат бұрын
Kina Traole IBRAHIM ndio viongozi wakweli hawa wengine nikupigania ugali tu
@abdulpagali74763 сағат бұрын
Je, ni kweli kwamba CDM ni chana cha kifamilia? Kwa jinsi Mwamba anavyong'ang'ania nafasi ya uenyekiti ni kama vile anataka kulinda maslahi ya familia. Amesahau kuwa CDM kimesajiliwa kuwa chama cha kisiasa na siyo kampuni ambayo mwenye hisa nyingi ndiye huwa rais wake. Mwamba umethibitisha kuwa CDM si cha watanzania wote!
Wengi wape Mzee huku mtaani watu wanataka mabadiliko ndani ya chadema mbona Zito Kabwe kaachia na mambo yanakwenda? Mbona Ccm wanabadilishana kuongoza
@evaristandimubenya16474 сағат бұрын
ukingangani uekiti chama kinakufia mikono.kagame mseveni wanongea hivivi
@GibasonJohansen4 сағат бұрын
Mboe anavyoulizwa na anavyojibu ni tofauti kabsaa
@benardboaz83135 сағат бұрын
Mbona anazunguka mbali sana swali jepesi hilo, ameulizwa kwama hakuna mtu ndani ya chama anayeweza kurithi nafasi yake, ila majibu yamekuwa ya essay ambapo swali linataka jibu la YES /NO
@mosesibrahimu-kg1ib47 минут бұрын
Watu wameshakushitukia mzee, achia ngazi, chadema isiifanye mali yako, akina mawazo, ben, wamekufa, akina lisu wanatembea na risasi ww unajisifia umejenga chama mwenyewe.
@chelestinomwajombe9384 сағат бұрын
Kwangu mimi naona kama wanachma hawasomi katiba na kuitii hawapaswi kuongoza chama ,atawezaje kuifuta katiba ya nchi ,katika uongozi unapaswa kujua mambo ya gani ya kuongea kwenye public hata iwe kwa namna gani na mambo gani ya kuacha kuongea public kwa gharama coyote ile kama Huna uwezo huo wewe hufai kuwa kiongozi .kama huwezi kufuata katiba maana unataka kila mtu anavyofanya anavyotaka sasa hiyo ni fujo ndio inayotokea kwa chadema sasa .
@HusseinMugyabuso4 сағат бұрын
Ukomo maana yake sio hiyo mzee acha kupotosha.ukomo maana yake haurusiwi kugombea tena baada ya kipindi flani ya kuongoza
@williammwamalanga10653 сағат бұрын
Mheshimiwa Mbowe wewe ni kweli ....Ccm wana Mwenyekiti wa ccm tangu uhuru anaye chaguliwa kuwa Rais ndiye Mwenyekiti wa ccm hadi leo.......
@Safariking20104 сағат бұрын
Mbowe hajajibu swali hata moja la waandishi 😅😅😅😅
@PeterIdd-d3c5 сағат бұрын
Tadhimini ya mbowe kama ni kweli wengi wape basi kashashindwa mana mpaka sasa nimeskia mikoa miwili tuu inayomuunga mkono, aache kujitetea aachie chama
@MoudyMuzungu4 сағат бұрын
Mzee Mbowe! Kwanini unatumia nguvu sana kutetea hoja ya ukomo wa madaraka?
mzee umetengeneza vijana wengi sana nikweli lakini ukiona wanapata umarufu unapiga nyundo watu wakushukia kaka achia ngazi mambo yako wazi unawatumikisha
@MiriamKhalid-z6o2 сағат бұрын
Mafanikio gani ya watu kufia chama na kupotezewa?
@benedictmrisho18005 сағат бұрын
Mkapambane kweli kweli kuwapata viongozi watakaokiongoza chama kifikie upinzani wa kweli. Uchaguzi huru na haki bila rushwa. Wanahabari mkavivae vyama vyote vyenye usajili kama mlivyoivaa CHADEMA. Msipofanya hivyo mna walakini.
@majondejohali52594 сағат бұрын
Kaa pembeni mzee
@iamthefarmerceo23165 сағат бұрын
Niwapongeze sana clouds mko na Camera clear sana wazee! Big up mnooooo!
@DavidKagulu5 сағат бұрын
Mbowe nakushauri gombea tu uraisi,chama mwachie lissu
@wilsondotto93325 сағат бұрын
Pumzika uachie vijana uliowanoa
@Isaacchama-d8j4 сағат бұрын
Wapinzani mnalalamika ccm wapo madarakani mda mrefu mnaitaji mabadiliko arafu nyie wenyewe hamuonyesh mfano mnalilia kubaki kwenye viti
@eladiuspeter5865 сағат бұрын
Wewe huwezi badilisha kitu
@LinusJohn-e2p4 сағат бұрын
Mh mbowe na wewe unapaswa kupelekwa kwenye kamati ya maadili ulimumtukana makamu wako mh tundu lissu kwa ni mjinga
@NicolasScania5 сағат бұрын
Jiandae kushuka kiwango ukingangana utakoswa wafuas achia nganz
@DavidKagulu5 сағат бұрын
Mbowe bhana, ushiriki wako na mcccm umekuondolea sifa
@FaroukAyoub-x5p4 сағат бұрын
Umeupimeje huo uwingi wa kundi kubwa linalokushinikiza uendelee kuwa mwenyekiti wa milele, na kundi dogo ndilo linakutaka upumzike, hoja yako dhaifu mwenyekiti, Pumzika inatosha
@benedictmrisho18005 сағат бұрын
Tujenge vyama vyenye nguvu kukifanya chama chochote kitakachotawala kisisinzie kijue kikizembea kitaondoka mchana kweupe. Sio kuwa na majisifu yasiyokwisha na uchawa chawa. Kwa nini tuishi kwa kusifianasifiana?
@beinafuu62195 сағат бұрын
Kukaa masarakan milele peleka huko
@benedictmrisho18005 сағат бұрын
Wanasheria wa chama kwa nini hamkubadili katiba kama mliona kuna mapungufu? Kazi yenu ya ushauri mliifanya?
@Joppa5555 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@naqiahmad265 сағат бұрын
tamaa tu
@MasagaMartin5 сағат бұрын
Katiba haina shida, Tatizo ni wewe hutaki kuachia nafasi Mzee, wengi wape wachache wanyime ndio muda umefika sasa kaa pembeni Mzee, wacha Maneno Bureeee
@efraimjohn49565 сағат бұрын
hapo kwenye ukomo . Mbona wabunge wa viti maalumu haukomi? kuna wanawake hapo wameingia awamu zaindi ya moja. vp kuhusu wengine?
@MiriamKhalid-z6o2 сағат бұрын
Mbowe kaa pembeni
@georgeasalla85425 сағат бұрын
Hatutaki story au hiki chama ni ulipewa kama zawadi?
@charleseleiza75484 сағат бұрын
Lisu alipaswa atumie busara baada ya kuona mbowe anangangania angemwachia miaka5 wakubaliane 5 ikiisha anaacha sasa busara ilitakiwa itawale ila lisu alichofanya kosa si kukichafua chama sasa kwa sasa ccm hawana cha kuseme kwenye kampeni chama mshakiua hata iweje hamuwezi kutoka lazima kwa sasa busara ni mbowe kujitoa ili mnusuru chama
@benedictmrisho18005 сағат бұрын
Kuna taasisi ya kisiasa imara duniani kama ANC ya Mandela? Siasa sio sawa na biashara. Mandela hawakumchoka kwa nini mnalazimisha kung'atuka?
@prosperjuma9054 сағат бұрын
Kwa hiyo tubadili katiba Samia aendelee kugombea miaka yote?
@ElinaNzaly5 сағат бұрын
Mbowe anahekima
@sospeterodhiambo68694 сағат бұрын
M/kiti Mbowe ana hoja kwa wanaoelewa vyama vya upinzani na chama tawala Tofauti ni kubwa mno Tatizo watu wanaenda mihemko hawajui siasa ya upinzani ulivyo mgumu Mchekelee kuondoka kwa Mbowe na mtaiona cdm ikianguka kama NCCCR au CUF
@fredyhatari25724 сағат бұрын
Waandishi wa habari wana nia njema na Lisu na wamekuwa wapigaji wa kampeni za kumdidimiza mBowe kuliko wanavyodhani. Mfano, hakuna mwandishi amejielekeza kwa Mbowe kwa swali la nini atakifanya akiwa Mwenyekiti . Zaidi wanamfanya awe mgombea lalamika tu. Hii inaendelea kumpaisha TL ambaye kila safari anawaambia wananchi nini anataka kukifanya