Рет қаралды 390
D Kabwiliza
UPTC CHOIR KUTOKA UJIJI KIGOMA wanamshukuru sana Mungu kwakufanikishwa kurekodi video ya ALBUM iitwayo ULIMWENGU MZIMA LEO,ambapo wimbo huu unapatikana.kwa mawasiliano zaidi wasiliana na uongozi wa kwaaya kupitia no +255744748097