Napenda sana nyimbo za Anna Komba .Zinanifanya nimsogelee Mungu zaidi na zaidi. Keep it up dada wewe ni Hazina njema.
@sarahntala820411 күн бұрын
My pastor ❤❤
@anafikamugisha88348 күн бұрын
Kuishi kwako ni faida kwetu umekuwa nguzo muhimu SANA sanaaaa KATIKA kujenga Ufalme wa MUNGU,Binafs Nakupenda SANA sanaaaa nakufrahia SANA MUNGU akutetee dadaake.Napenda SANA nyimbo zako Hadi machozi yananitoka