Promoter sadam kutoka mombasa kenya, namtambua kijana mwenye roho safi sana....
@edmundnkarangu134 Жыл бұрын
Tundaman💪
@davidibrahim9138 Жыл бұрын
Mbona tonya alikuwa anamwangushia diamond lawama kabeba nyota kumbe ndo tunagundua wasanii wengi kupotea kumechangiwa na kujua kuimba ila hawakuwa na idea waimbe nn na uwandishi*bongo watu hawapendi kuheshim wa2 walio wabeba
@hamismayowela223511 ай бұрын
Nimecheka sn
@Elias-w7m Жыл бұрын
🙏🙏
@SululuZungu-kx8ws Жыл бұрын
Matonya sio mungwana kwny ungwana daa😂😂😂
@wilibrodiadrian8021 Жыл бұрын
Safi
@TALLUBOY Жыл бұрын
Kaka umeongea vzl Nandiyo maana wasanii Wengi wakongwe wanapotea Kinomaa
@batmaashhassan756 Жыл бұрын
One thing hamjawahi jua nyimbo za kisomali kabla uimbe wataja mwandishi kwa 🎤 ndio unaimba vizuri naye anapata credit yake 😂😂😂😂😂😂 enyewe tonya ni mbaya
@6BoYzTv Жыл бұрын
Fadha P Mtu noma alafu Mtu poa ila Mara mwisho kukutana nae alikuwa Mlokole sana
@ibrahimkhamis471 Жыл бұрын
Sadaam anauza butcher Mombasa mtaan kwetu tajiri flani sahi kafilisika baada yakukosa ubunge tunda nakumbuka hyo siku ukija nlikuwa ulikuwa umevaa flana nyeupe na jeans ya red 😂
@Luffa.online Жыл бұрын
Daaa nyimbo izo zili eat sana
@davidibrahim9138 Жыл бұрын
We jamaa zili eat nin tena ni neno zili hit
@barakadaprince3742 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@automotivetz1275 Жыл бұрын
😅
@barakadaprince3742 Жыл бұрын
@@automotivetz1275 eti zili kula sn jmn😁😁
@apolinarytheking Жыл бұрын
😂😂
@yazidusaidi8843 Жыл бұрын
Tunda yuko real sana. Nimekuja ku-learn recently kuwa nyimbo ya "Still" alioimba Dre na Snoopy" iliandikwa na Jay Z, kuandika pia ni sanaa kama wasanii wenyewe, we got to change.