Huyu nae kaishiwa hata akiongea tunaona anapiga kelele tu
@pabloshumu480Ай бұрын
Alicho nacho yy unae Sema kaishiwa ww huna tafuta hela acha wivu na roho mbaya
@YusuphMtangaАй бұрын
Nyinyi waandishi mkasome kwanza ili mjuwe watu gani wakuwaoji uyo mzik umemshinda saizi chawa ibra kwa mzik gani wakumsifya hivyo wataenda machizi lakini sisi wenye akili hatuji
@YusuphMtangaАй бұрын
Na wewe kalime kijijini mzk umekushinda sauti huna sauti ya pombe