Tunao Tizama hii 2023 tujuwane kwenye like Basi 🥰🥰🥰❤️🔥
@josephpaskal5322 Жыл бұрын
Vp
@khadijamohamedi2912 Жыл бұрын
Siishiw kuitazam
@Anyboo_tessy12 Жыл бұрын
1/09/2023
@NancyMilan-qb2ro Жыл бұрын
Still vibing 🥰🥰🥰🥰❣️
@CosmasiEzekiel-bb9qm Жыл бұрын
Si ndio
@Bree_moraa4 ай бұрын
Tunaotazama nyimbo 2024 gonga like
@lamechgekonge52202 ай бұрын
❤
@MacmorisonАй бұрын
❤
@aishabakari8040Ай бұрын
❤
@mangareentertainment.13 күн бұрын
2024
@dellohjoy3 ай бұрын
Me listening to this in 2024 from Kenya,.. wimbo mzuri with Chege like voice ambayo inavutia aisee,,..likes tukisonga
@Jeylin-yx2ez2 ай бұрын
4.7.2024 ❤napenda sana kusikiliza hii nyimbo 😢😢😢 kama unaipenda weka like hapa dear
@skteller50398 ай бұрын
2024 and we are still here These are the best old memories 😍
@ivonsilverster82614 ай бұрын
Daaa wadauu unafiki tuweke pembeni jamani huuu wimbo umeua sanaa wadau hasa kweny real life yaaan, kuhusu jela,,,,,, kama ume watch may 2024 like hapaa
@swaleheismail463 жыл бұрын
Kamaa unaamini hawa ndo ma legendary Wa mziki Wa bongo na syo wale Wa nyege nyegezi gonga like yakooo hapaaa💪💪👊👊
@TekyRey2 жыл бұрын
toeni collabo tena hio song iko juu
@khalidjafary1120 Жыл бұрын
Waoo
@puritynyaboke9332 Жыл бұрын
Exactly they're the best singers in Tanzania 🇹🇿
@strong8534 Жыл бұрын
Utaumia sana
@shivlimited212 Жыл бұрын
Legendary
@hamisijulius742610 ай бұрын
Kama bado unaenjoy na hii nyimbo, like tujuane
@stephenmramba55616 ай бұрын
Hii ndo Kali kuliko zote 2024
@AokohEsther3 ай бұрын
Always crying 😢 😭 😪 while listening to this song so emotional 😢 akii wale wa 2024 gather here
@mazeybestdriver89528 ай бұрын
2024 mnipe likes kbx
@poka20622 жыл бұрын
when i have stress my first song to sing is this one,,it makes me remember what i have been through,,if you are in my shoe show some love
@annandrea8232 Жыл бұрын
Love ❤️
@davismbaka23243 ай бұрын
@@annandrea8232 ❤
@MagatiJulius Жыл бұрын
Ki ukweli hawa ndio wameitambulisha bongo flavour na sio hawa wanaotoboa pua na masikio
@NshimirimanaAppolinaire-ek1sj5 ай бұрын
Serious,umeongea ukweli hawa ndo wakatambulisha bongo fleva
@yusufurajabuomari6473 жыл бұрын
Nimerud tena kuisikiliza 25-01-2021
@vuaiothman16883 жыл бұрын
dah nimerudi tn na mm kwa Mara ya 3
@MiracleTatiana-f3m7 ай бұрын
18-2-2024
@mirukajohn2886 Жыл бұрын
Mimi hawa ndo walifanya nikafukuzwa shule juu ya kubeba radio, likes from kenya
@hawajuma6020 Жыл бұрын
Hahahahahaaa
@cavineokinyi6666 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@masterkandily1342 Жыл бұрын
😂😂😂
@OmaryZuberi-o3b6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@mjtv49664 ай бұрын
sikuwa na mpago wa kucheka leo hahah
@isaaclamar12102 жыл бұрын
My favorite song since 2009 till now 2022❤️😥
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Old is gold.. Respect to spak and tundaman
@mtotowamanka11 ай бұрын
Featuring madee from chugga
@ericbably79923 жыл бұрын
Tunda man napenda mziki zako man sana this song made me cry 2 x before mpaka sahi much love from kenya 🇰🇪
@jamalmbwido Жыл бұрын
RESPECT TO THE OLD SCHOOL SONGS 💯😎
@nyamiziramadhani4232 Жыл бұрын
Fantastic👊👊
@alphoncinamanyama839 ай бұрын
Old songs are🔥
@LablondeRachel6 ай бұрын
2024 Bado tuko? Gonga like
@nancynyanchama39583 ай бұрын
Leo 21 june 2024,narudi kuwatch tena once you like my comment
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Huu wimbo ni mzuri sana kwanza ukiwa na msongomano wa mawazo.. I love the song..
@ZainabuMteti Жыл бұрын
Yaani nyimbo hizi Zina ujumbe sana
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
@@ZainabuMteti sana sana
@talents79346 ай бұрын
Kama unaamini kuwa kuna tofauti kati ya wanamuziki na wasanii gonga like apa😂
@AnguloJames2 ай бұрын
Kama huko hapa 2024 gonga likes ❤
@pelarynasieku6877 Жыл бұрын
I vividly remember this I could only remember the tune! Wow!! 14yrs later 2009-2023❤
@nicasiusnicholaus8705 Жыл бұрын
This will remain a classic forever
@evansokoth99253 жыл бұрын
The best ever collabo there was,there is and will be.Naipenada sana
@mosesnjagi7964 Жыл бұрын
2023 but still on top,,not the rilycs not the vocals 😮 everything on top
@mwamedihamisi96003 жыл бұрын
Mungu awape nguvu wote walo jela kwa kubambikiziwa kesi ipo day mungu atafunguwa mlango ,amen
@WalterSimiyu-v4z6 ай бұрын
Kweli kabisa mungu awaonekanii walio jela qwa kesi c Yao wenye walipewa kesi mungu Yuko n nyinyi
@SelinaJossey4 ай бұрын
I always remember my brother with this songs love you so much brother and my boyfriend 😭😭ipo siku haki yenu itaoatikana
@mrima7706 Жыл бұрын
Hi nyimbo ilikuwa fire na bado firee sana miaka hiyo tulikuwa tunaliimba lote tukiwa pale high school na Mr philipo ,,dah kitambo sana ,✊✊
@mwamposaa658 ай бұрын
Saa ngp inapigwa ii nyimbo kama umichza xaa 8 usiku au9 maregend wa lege tutie like 2025$2026
@Mr_kocha8 ай бұрын
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana
@bashirhassan27823 жыл бұрын
Kweli old is gold am still listening 2021
@oyay28213 жыл бұрын
Me 2
@paulrichardlg.89283 жыл бұрын
😂😂😂
@ephra_marty3 жыл бұрын
BONGO FLAVA at its best! RESPECT to the OGs🙌
@freddymuhemed5180 Жыл бұрын
Tanzania proud of bongo flava from 🇨🇩, #Tandaman thank u for this song november 2022. I watch it again.
@sadrudinremtullah2380 Жыл бұрын
One among the favourite big up Tunda and Spak
@nyser_115 ай бұрын
Mpk leo 2024 bado natizama ... Like kwa malegend
@eldaindosio20446 ай бұрын
2024 mko wapi
@niyigenajulien90103 жыл бұрын
What a message is in this song Proud to
@ivonsilverster82612 ай бұрын
Daaaah tundaman spark madee😮😮😮,,,,, hiii nyimbo sijawahi choka kuiangalia jamn,,,,,,,, mlitumia sana ubunifu wa hali ya juuu japo ni ya zamani sana daaah,,,,,, mpewe maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@selemanialmasi85943 жыл бұрын
Nakumbuka Lugoba Secondary 2008/2009
@elvohotutoh83502 жыл бұрын
Who is here after listening remix of this song when spark is out of jail... still emotional than ever
@nadjwakesho9491 Жыл бұрын
what is the name of the remix
@mr.katapa_jr4074 Жыл бұрын
Nipe report II
@SleepyArcade-yq5wi6 ай бұрын
Unyama ni mwingi Kila nikiwaza nasikiliza Ngoma pendwa
@PeterAntony-te7rl3 ай бұрын
Diamond
@qrrrqtqt99763 жыл бұрын
Haki kila nikisikiza hii song nalia wallahi😭
@lilmyrz24212 жыл бұрын
Hadi natoa machozi
@annprexyprexy27372 жыл бұрын
Same to me .i feel it
@renatusfransisco42012 жыл бұрын
Duh hd machoz😭😤
@sungwalawisemanbrian77942 жыл бұрын
can someone help with the translation of the song lyrics??
@amocyrobert32012 жыл бұрын
Wacha kulia
@agnesmussa91442 жыл бұрын
2009 nakumbuka nikiwa mpanda katavi ndo nyimbo inatoka🙌
@Lisajos3 ай бұрын
Mwezi wa Saba 2024😢❤
@janemwanje4628 Жыл бұрын
Destiny's child Survivor Lead Vocals Destiny's Child Survivor Acapella Destiny's Child FT Da Brat Survivor Remix Destiny's Child FT Da Brat Survivor Acapella Destiny's Child Survivor Acapella
@shilahnaita55083 жыл бұрын
04/08/2021 can't get enough of this song
@ruthamoit6573 жыл бұрын
Soo emotional ,cjui mbona naiskia Kama ni true story ..big up guys
@kenmtitu91372 жыл бұрын
Yes it based on a true story
@medrick.2542 ай бұрын
Kama unaamini hapa diamond platinum ameimba kwahisia usiwe mchoyo wa like
@Fathum7634 күн бұрын
Tunda na spark s diamond
@jumahadidja93957 ай бұрын
inaniumiza san nikisikiya naliya😢😢
@IssaNamele6 ай бұрын
Tunda hii nyimbo iliniliza
@Bbjkairo-b8w5 күн бұрын
😢
@yazidihilary32333 жыл бұрын
Hapo ndo zimetoka simu sina ya spider,, jamaa anaweka wimbo mkianza kufatilizia mara mshikaji anazima😀😀dah maisha bwana🏃🏃
@busnaoman99813 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chemutaijosephine68623 жыл бұрын
Listening all the way from Kenya 💞 lots of love
@MkundaMkunda4 ай бұрын
Daaah hii Ngoma inanikumbusha kipindi nipo kwetu Tanga kitambo kidogo
@fleuretodunga90912 жыл бұрын
The first time I heard this song was in 2021 March I cried because these are the real things that do happen in this Beautiful country called Kenya. So painful
@lexusnambasita3086 Жыл бұрын
youtube.com/@lexusnambasita3086
@jumahadidja9395 Жыл бұрын
Nikisikiliza naliya
@fleuretodunga9091 Жыл бұрын
@@jumahadidja9395 Its so sad to me as well
@jeromebayisingize2614 Жыл бұрын
You have been too late brother😢! It In an old song!
@sarahkhaemba41582 жыл бұрын
My favorite one till date
@MariamMzee-kz2br9 ай бұрын
Tunda man ni mkalisana but hii sauti ilienda wapi
@fatmabakili35793 жыл бұрын
Mamakee ilikuwa inaniliza ih nyimbo 12,3, 2021 eti inilize tena😅
@stevekariri14363 жыл бұрын
Unauma sana
@mabruckjaphary43102 жыл бұрын
old is gold, respect xn this song🙌
@paulkayombo33598 ай бұрын
2024 gonga like hapa 🔥💪🙌
@Mr_kocha8 ай бұрын
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana..
@AsmaMaulidi6 ай бұрын
Atar Sana hawa jamaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sheltonshely1304 Жыл бұрын
when music was music
@MwanamisiAlii-g2s7 ай бұрын
When music is musiking🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@frankblessy24823 жыл бұрын
2021 still 🔥🔥🔥song
@mariamlishaz67323 жыл бұрын
Hizi ndo nyimbo za mafunza achana na zakina Mondy still ndo naskiza izo all the way from Kenya
@amanikombo3760 Жыл бұрын
Bongo music them Golden dayz. Educative and entertaining.👍 2023
@bonfalzomtexh85474 ай бұрын
Message well received...this is what is happening with our government today and current life we are facing.....well received message..
@kathambipurity24953 жыл бұрын
Still enjoying it at 2021
@gadafinyaerisp37532 жыл бұрын
bongo za kitambo Bado ziko na flavor kushinda za wakati huu🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mamubeka-jt9jp Жыл бұрын
Kuna nyimbo zingine ukisikiliza unajifunza hiinyimbo naipenda Sana
@douglasnyamongo8122 жыл бұрын
💥💥 spark mwenyewe na tunda man, I salutes u
@itsruth31893 жыл бұрын
I love this song
@jameskija Жыл бұрын
The best song of millennium
@Baden-c9k24 күн бұрын
Kama Bado unasikiliza hii Goma 2024 gonga like back 🎉
@mathiastamara9912 Жыл бұрын
Best music never fade still rocking 2023 ✔
@stephenomongin6380 Жыл бұрын
I normally love this song this is for legends best
@SelaDindili7 ай бұрын
Hawa ndo wenyewe
@swaleheismail46 Жыл бұрын
Long time still touchable my soul,this song is so dope,but kizazi cha nyimbo za nyege nyegezi syo rahis kuielewa hii
@chrispinussangura8855 Жыл бұрын
The best song full of talent.
@bm4tv6024 жыл бұрын
Mashaili yameisha Sasa umeanza kutupostia kipindi unaimba brother wewe Ni mkongwe ilitakiwa uwe wa Mfano atakam uwasiliani na mtu unaonesha unaanza kujisemesha Ovyo duuuh 😂 mbulula wewe saiz ungeomba Madee akubebe maana anaupepo wa milele Ila kenge wewe ukaalibu kuliko hai 🤣🤣🤣🤣🤣 hivi Mashabiki wa Simba mnakwama wapi ila Yule mzee kusema Mbumbumbu akukosea
@naomibahati24664 жыл бұрын
We ni mshamba sana
@dinahdianah96539 ай бұрын
tiktok vile imenileta huku mbio, nice song
@MuddyRojà4 ай бұрын
Uuuuh nd uhalisia wa maisha jaman
@shamsyfeisal424311 ай бұрын
How abt getting a part 2 of this song😊❤
@ericksendimartial3 ай бұрын
Ipo
@kaburaummy9801 Жыл бұрын
2023 tujuwan Mi nikiwa na stress lazima nije kuangaliya music ya zamani
@lioness8207 Жыл бұрын
Nakumbuka tukifukuzwa shule tulikuwa tunaenda kwa kina rafiki yngu and listen some bongo hii ikiwa moja wapo.ilikuwa ikiimba lazima tulie 😭😭😭😭😭😭 its just bringing some memories.
@FarajaMwaipopo-n6f7 ай бұрын
Mweeeh
@Boazi_TV4 ай бұрын
Daah hii ngoma inankumbusha mbal san daah man maisha ndo hayhay aise jaman usije mwamin san m2 atakulza man lafk yako ndo adui yako ila nngoma nmeikubal had sopow
@evansbesa59033 жыл бұрын
25/12/2020 still rocking
@kentarus Жыл бұрын
One of my all time favorite songs... Mzazi Tuva used to always play it back in the day