Lissu anasema mawaziri waliohusika wawajibishwe sio majaji, mwanasheria mkuu anajibu utumbo kuhusu majaji. Mawaziri walihusika, bunge halina uwezo juu ya majaji lakini linauwezo juu ya mawaziri.
@chiefkaitaba82932 жыл бұрын
I wish siku moja huyu MH.awe Rais wa nchi hii. #Lissu Baba Laooo
@murithiramires90584 ай бұрын
Lissu ni Rais mtarajiwa mwaka ujao 2025
@MadeliTV10 ай бұрын
Huyu mwanasheria ndo maana hakuna anayemkumbuka. He is a small man. Unajali mabosi zaidi ya wananchi. Viva Lissu akili kubwa
@twayibmood73194 жыл бұрын
Sheria imezidiwa na tundu lissu Jamaa hatar uy7
@makimbiliotvtv26447 жыл бұрын
Big Up lisu mungu akupe afya njema
@ashirafubesta1018 Жыл бұрын
Huyu mwamba ndo maaana walimpiga risasi anaongea point tu
@nabimanyafesto501410 ай бұрын
Hapindashagi
@victormollel32466 жыл бұрын
Ndiyo mahana wamekupiga risas ulikuwa ulikuwa una simamia ukweli ndiyo wameshindwa kukuhuwa mungu amesimama juu yko,
@yohanaswalo471610 ай бұрын
Nimemkumbuka Kwa kweli
@ernestmwanalinze26124 жыл бұрын
Kichwa kimoja cha Lisu nisawa na vichwa 1000 vya ccm,na huyu ndiye mwenye uchungu na nchi wengine ni wachumia tumbo tu...tunao itazama hii video 2020 augost like
@kpetres28723 жыл бұрын
Tamaa ya uongozi inamsumbua lissu. Huwezi jua mpaka akipata uongozi. Twiga walikuwa wanakunjwa shingo kwenye makontena wanaenda nje
@priscusaugust72512 жыл бұрын
@@kpetres2872 kilaza wew
@calebcaleb31932 жыл бұрын
Lisu ni kicwa kimoja ni sawa Na wa bunge wote wa ccm
@ismailyusuf3543 Жыл бұрын
2023 still watching him 🤣
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Zaidi ya 1,000
@sadikisalumu52536 жыл бұрын
kweli wewe upo kwa Ajili ya watu mungu yupo Pamoja nawe
@eliamkamba68994 жыл бұрын
Huyo Mzee wangu mwingine ni dhaifu Sana. Sjui hiyo kazi walizingatia nini kumpa
@lawsofsucces57847 жыл бұрын
Lisu ana material mengi sana kichwani kwake
@marcomachiya98495 жыл бұрын
laws of Succes
@frankkabombo84399 жыл бұрын
fanyeni kazi kwa uweledi, ahsanteni Lisu
@trgphonegeorge38327 жыл бұрын
Lissu bwana!! Yuo will be remembered in this era!!
@adenjordan36593 жыл бұрын
InstaBlaster.
@imranijuma69552 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 huyu JEMBE
@calebcaleb31932 жыл бұрын
Ndiyo maana walitaka kukuondoa mfalume huyu
@victormollel32466 жыл бұрын
Hiki kichwa cha lisu nisawa na wabunge wa ccm 2000,
@allahisone63864 жыл бұрын
😆😆
@khalifaali92293 жыл бұрын
CCM hamna kitu
@mohamedturanardan88713 жыл бұрын
Ni zaidi ya 2000
@liberatimasawe95208 жыл бұрын
lisu uko vizuri baba
@shimmysima13118 жыл бұрын
lissu heshima yako.
@muhusinibakari70455 жыл бұрын
Hio nihazina yataifa
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Mungu akubariki risu ukoveeeem
@ernestmatimba99642 жыл бұрын
Mungu akulinde Mwamba. We love you brother
@kelvinmbena45627 жыл бұрын
my commando tundu lisu big up to you you are the one who creating me to like something we call law congratulation to you my tundu Antipas lisu god bless you.
@calebcaleb31932 жыл бұрын
Yani ni kichwa kimoja utasema ni vichwa vyote Vya ccm
@calebcaleb31932 жыл бұрын
Kaa chini wewe pimbi wewe utalaumi wakinafiki watu wanakufa Na njaa theni unakuja kuongea ushiri wako hapo unatetea mijizi kama wewe nyungunyungu wewe ndiyo maana kichwa kimeka kama yandika hiyo katiba Niaya nani labda ya kikwenu
@betramkapinga7958 жыл бұрын
Duh!! Amahakika kwa changamoto hzo ,,,, ukweli na uwazi utakuwepo,,,, ukawa mbele,,,, lisu shikamoo
@danielsinkamba37196 жыл бұрын
Lisu mungu akubarik akupe nguvu
@mfalmekaitaba2425 Жыл бұрын
Mwamba wangu. MH.Lissu Rais wng wa Moyo.
@marthadaniel49042 жыл бұрын
Lissu unaongeang pont sanaa lkn nchi imekuw ovyoo
@williamkirway46203 жыл бұрын
Lissu mtaalamu wa katiba na sheria mtamwelewa si bunge tu,hata wananchi tunamwelewa na taifa linamwelewa
@datiusgabriel82778 жыл бұрын
Lisu kiboko Yao
@abdulrahimmohamed70664 жыл бұрын
he was too good for bunge la tanzania
@festussichula88665 жыл бұрын
katiba yetu imeeleza wazi kanuni na taratibu za nchi, ila kheri ya yule anae dirikki kuvunja sheria na taratíbu za nchi, Pongezi kwa lisu
@sharifunchimbi7854 жыл бұрын
Hivi tumbuatumbua lisu alishauli
@bugdadiajm82707 жыл бұрын
KWA MARA YA KWANZA NAKUPA HI TUNDU
@xaveryngonyani-nb1nx Жыл бұрын
Uhuru wa vyombo mbalimbali hongera kikwete
@sharifuamuri46382 жыл бұрын
Mwamba wangu lissu nakukubali saana
@alihijiiddi89773 жыл бұрын
ATAZAMSINGI HAMUZIFUWATI WAPUMBAVU WA CCM AU MCC HUYU NDIO HERO TUNDULISU ANAWASOMESHA VICHWA VIGUMU MADIKTETA CCM AU MCC 👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹🇮🇱🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿
@emmiliananasri77264 жыл бұрын
Lisu wew ni mtu muhim sana
@petermwasipu17789 жыл бұрын
Safi Sana Lisu
@zawadimbwambo1091 Жыл бұрын
Huyu tundu lisu siku akiwa rais wa tanzania, na nibamini ataku, kwani unabii ulishaonekana kwake bàada ya kumiminiwa marisasi mengi na hakufa akafa alieratibu huo mpango, saaa huyu jamaa akiwa rais, aisee wanawake watakua wanazaa mapacha mapacha mapacha tu baaraka Zitashushwa kwenye taifa hili na kila mtu atashangaa kweli,
@mragahpallangyo62614 жыл бұрын
Duuu get Will soon,,Mic u xn Kamanda bora kabsa
@paulothomas72709 жыл бұрын
ukawa oyeeeeeeee power
@greenmedia0022 жыл бұрын
Much love from kenya... mheshimiwa lissu ni mtetezi wa wananchi
@FrankMwakatundu-cu6bd Жыл бұрын
AMINA
@mooking79136 жыл бұрын
Enzi zile kuvunjwa kwa katiba ilikua ni hoja lkn siku hizi ni jambo la kawaida tu.
@msemakwelimdhalendo77824 жыл бұрын
"Kumbe huyu jamaa ni moto tangu thamani.
@imranijuma69552 жыл бұрын
Ulikuwa wapiiii ww
@isaali96307 жыл бұрын
hakuna kama lisu tanzania wewe ni.tanzania one. ananikuna sana .
@mohamedturanardan88713 жыл бұрын
Lissu ever brave, competent, not lying
@nyaunyau3247 Жыл бұрын
LISSU
@lucasgasper52355 жыл бұрын
Tundulisu anafaa kuwa Rais
@yusuphraphael6142 Жыл бұрын
Hakika Mungu alikuleta LISSU UTUKOMBOE JAPO MBWA SISI TUMESHUPAZA SHINGO NA KUKUONA UNAMANENO MENGI BILA KUJALI FACT ZAKO
@othumanmassanja14729 жыл бұрын
Lissu we nisheeeda
@dotomadaraka46205 жыл бұрын
Otuba za king msukuma
@beberurafiki12732 жыл бұрын
Watu kama Lissu ni neema kwa nchi.
@innocentnkya27708 жыл бұрын
lisu safi sana,..
@markomoter31909 жыл бұрын
mrithi wa fedrick wa walema
@victormollel32466 жыл бұрын
Wauwe lisu hao mafisa umo ndani,
@francissalamba81128 жыл бұрын
sema kamanda kwan nchi imefika pabaya saaana
@calebcaleb31932 жыл бұрын
Nchi limefilisiwa Na wahuni wa ccm
@iliyasamanzi56675 жыл бұрын
Mm nashaur juu ya serikali kuhusu Mheshimiwa tundu lisu kwani nikichwa chenye elimu mtu ktk,watu.
@liontvonline9516 жыл бұрын
ajui kueka moyon kitu, anachana moja kwa moja. safi sana
Lisu kweli jamani tasama Kwa jicho ya tatu ngorongor na Miata yote ya Tanzania
@PeterWema-n6b5 ай бұрын
Kwa kweli ap next presdnt tumwombe mungu
@allyally65297 жыл бұрын
lissu cha mtoto,mwanasheria wa mateja na madada powa
@husseinalliy57872 ай бұрын
uyo sio mwanasheria bali ni mwana falsafa anavyoonekana
@InnocentMunisi-l7y Жыл бұрын
😅😅 nakuelewa xana mze bb
@mosesmpeta32419 жыл бұрын
kichwa
@FrankFrankmapanacom-eh1xy Жыл бұрын
mwenyezi mungu ukupe guvu lisu kwajili ya kulitetea Taifa letu la TANZANIA. Sisi tunaogozwa na kulindwa na buge ⏰⏰
@tecnof12325 жыл бұрын
Lisu mzalendo, mkweli, Mungu angetupa 7 tu kama yeye nchi ingeng'ara!
@raphaelsamwel26405 жыл бұрын
Wengine wamejaa usanii mtupu !! Eti watetezi wa wanyonge kumbe lengo ni kutufanya tuwe wanyonge zaidi!!!!
@liberatimasawe95208 жыл бұрын
maghuli inaonekana hajaifahamu UKAWA vizuri ningemshauri atumie she ria zaidi kuliko maamuzi binafsi kama sivyo ugomvi na ukawa hautaisha
@emmanuelyusto62407 жыл бұрын
kati Ya wanasheria lisu namkubari xna good kamanda
@manyakuulaompondelo44192 жыл бұрын
Sasa anachoeleza huyu waziri mbona hicho hicho kaeleza Lissu. Mwanasheria mkuu mshauriiiiiii Raisi na siyo kulishauri bunge
@harunaathumani27348 жыл бұрын
Imaonekana wingi sheria na talatibu hawazijui endelea kuwaelimisha Mh: Tundu Lisu
@sadickgugud25568 жыл бұрын
saf sana
@abdallahyasin68294 жыл бұрын
Lissu for life
@JumaSako-w5c19 күн бұрын
Mimi naona Lissu ni mtanzania halali nadhani nadhan wengine awana uchungu sasa sijui kwavile wao maisha yao ni mazuri family zinaishi vizuri hata sielewi hapa Tanzania
@hajinyange45227 жыл бұрын
safi lisu
@isaacsengunda30994 жыл бұрын
Ni miaka mitano iliopita lisu alizungumza haya na kuonesha uzalendo kwa taifa hili,lakini siku zote miaka yote ccm wamekua wakibebana kwa ukada,na wanataka kila wakati wateteane,na hapa inadhihirisha ule ujinga wao na unafiki wao,mbona kwa sasa magu anawatengua tu kila siku.
@issaibuni57478 жыл бұрын
good lisu
@clementcharles56879 жыл бұрын
tuwekeeni kilichotokea leo tarehe 01/4/2015 bungeni
@sharifuamuri46382 жыл бұрын
Hazina yatanzania ii ngoja wamtumie wazungu mana watz tumeshindwa kumtumia lissu katupa mungu ila ndo ivyo mungu hakupe afya lissu namaisha narefu naamini ipo siku mwaka mwezi utakuja shika ii nchi
@nurumohammed13103 ай бұрын
Sasa tundu lisu kavunja heshima gani hapo
@gaspermassawe73977 жыл бұрын
Wewe mwanasheria unapoteza mda kaa chini kiazi.
@hamzabingwe41786 жыл бұрын
Gasper Massawe hujitambui
@georgekavishe2787 Жыл бұрын
That's is truth dah tusaidieni serikali yetu aieleweke
@dostovan51423 ай бұрын
Dunia haipendi ukweli, ukiongea ukweli unapgwa risasi
@emmanuelngollej64156 жыл бұрын
yataniwati Dawa yakumnyamazisha Lisu nilimpa uwaziri mkuu basi
@LkLk-ti1wi2 жыл бұрын
Lisu yuko sahihi sana anaongea facts sio porojo porojo
@MusaJuma-jr7wb10 ай бұрын
Hawa ndio mankunga fomu wani
@GachumaMwita11 ай бұрын
sasa hv ukianzia mwenyekit wa mtaa anatokea c.c.m diwani c.c.m mbunge c.c.m rais c.c.m nchi gani ya mfumo huo inskosa maana ya kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa rais nyerere alisema maendeleo ya nchi yasipoletwa chama yataletwa na mtu leo hii tunaikumbuka siku ya nyerere day kwakuongezeana mshahara mkulima kumuongeza bei ya pamba wala hamkumbuki huu ni ujinga
@samsonmagesa39592 жыл бұрын
Huyu Lisu ni msomi mzuri na hoja zake waga zina mashiko ila hana nidhamu Tangu zamani ana maneno ya shombo sana
@francissimwinga-gb2vd Жыл бұрын
Nizamu ya kuibia hera maana ambao wanaonekana wako kimya ndio wanafuja pesa za nchi
@erickmarcokabete53897 жыл бұрын
Lisu ukovizuri kwa uongozi.
@saidybhokey5744 Жыл бұрын
uyu jamaa nikichwa sana anafaa kuwa raisi na kura yangu mm na mpa mapema sana
@eliusponde85642 жыл бұрын
Huyu jamaa Ni fire Yuko vzr
@abisaiamos12456 жыл бұрын
Ata mwenye kiti kaipigwa na butwaa!😂😂hivi hawaja soma au uongozi wa kukariri
@bakarimtange570 Жыл бұрын
Lisu uwezi pigiwa makofi hapo wote waoga
@emmanuelngadaya14128 жыл бұрын
huyu mwanasheria kwa kipindi cha MAghufuli sidhani kama angesema hivyo "rais atawawajibishaje majaji" mbona anauwezo wa kuteua jaji mkuu anashindwa vipi kuwawajibisha. huyu jamaa huyu
@Bruno-ed1ps2 жыл бұрын
😆😆😆
@leokamil6284 Жыл бұрын
Anavyoongea tu kama zezeta ,anachoongea mwenyewe hajui
@danielsamwel443220 күн бұрын
Bunge saiz likoje kwan
@ibrahimkibira99433 жыл бұрын
Lisu forever ♥
@johnsovela9061 Жыл бұрын
Mrithi wa Frederick Werema 😂😂
@thomasjohn34992 жыл бұрын
HUYO NDIYE TUNDU LISSU.
@charlessiwale385810 ай бұрын
Huyu ni haraa
@iliyasamanzi56675 жыл бұрын
Wakae Chini waangalie na MNA ya kufanya kujiepusha na fitna inayo endelea nje ya nchi na si kuendeleza marumbano
@neybenson78814 жыл бұрын
Lisu tunakusubiri urudi dah
@husseinngurumo93848 жыл бұрын
Bunge lakitoto aliwez kujenga nchi
@godyemily-fx4md Жыл бұрын
tanzania aituhusu sisi raia wa kawaida ni tanzania ya viongozi tu