Tundu Lissu alivyotinga Polisi kuchukua GARI lake; afunguka MAZITO kushambuliwa kwake

  Рет қаралды 245,166

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 418
@mkijilukali2010
@mkijilukali2010 Жыл бұрын
Mungu ataendelea kua nawewe
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Жыл бұрын
Waandishi wanalazimisha ajibu tofauti.Kumbe mwenzao msomi na yuko makini sana.
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Umeona eeeee
@dassustephen731
@dassustephen731 Жыл бұрын
Maswali ya waandishi hayaukizwi kitaalamu kabisa Swali utafikiri anahubiri badala ya kwenda straight to the point
@petsmore9955
@petsmore9955 11 ай бұрын
Lisu,anafaa sana kuwa kiongozi mkuu was nchi hii. Mungu ambariki sana. Watz tumwombee sana!
@edithamutagulwa1484
@edithamutagulwa1484 Жыл бұрын
Umepitia mengi Sana dady kwakel Mungu yupo Tanzania nlihamin kupitia wew na Mungu amejidhihilisha kupitia wew apa Tanzania
@razakrazak7169
@razakrazak7169 Жыл бұрын
Mwamba hyuu apa✌
@mussamohammed6023
@mussamohammed6023 Жыл бұрын
Nakubali sana lisu uko vyema baba ishi miaka mingi...
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Kabsaaa
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Ukweli hata mm niliumia sana ulipopigwa risasi,ukionekana TANZANIA ccm wanapata tabu sana
@fadhilikombe3338
@fadhilikombe3338 Жыл бұрын
Safi sana Mhe lissu. Umeongea vyema kabisa. We keep going ✌️✌️✌️
@stelajoramu5298
@stelajoramu5298 Жыл бұрын
Apewe urais huyu ndugu ameteswa mno
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Жыл бұрын
Mwandishi uriovaaa miwani na tai nyekundu unaakiri Sana maswali mazuri
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 Жыл бұрын
Walinzii Wa Lissu Wapewe Silaha sasa lissu never Give Up.. mama Samia suluu sisi watanzania tunaumia tunauwawawa😢😢😢
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Ujinga kabisa! Yaan huyu mbwa anadharau Sana!
@bigbrothermwita1971
@bigbrothermwita1971 Жыл бұрын
peleka makumbusho
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 Жыл бұрын
Muuwaji na yeye si ameshakufa sasa wasi wasi wa nini?
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 Жыл бұрын
@@gulionigulioni3234 nani qlitaka kumuua...?
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 Жыл бұрын
@@ajsmainde5138 kwani kuna mwingine zaidi ya mwendazake dikteta jiwe na kundi lake la sukuma gang.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Roho ya paka kidume wa kweli , mungu akutie nguvu zaidi tunataka Raisi kama wewe usio na woga na hawa madhalimu washenzi
@jeffhard5773
@jeffhard5773 Жыл бұрын
Muda wake haukufika tu wala hakuna roho ya paka mungu akikuita
@sambiaj
@sambiaj Жыл бұрын
Love u Lissu my neighbor at Tegeta’s
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 Жыл бұрын
Kwa tundu lissu mb zang zitaisha mno darasa tosha
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni kimbunga anatisha ni zaid ya Mbappe!!
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 Жыл бұрын
@@dicksonexavery726 hehee saf mno
@RashidAli-rn3ro
@RashidAli-rn3ro Жыл бұрын
Kwa wanaomuelewa huyu jamaa kumckiluza hawachoki mm nataman kila cku afanye interview na waandishi, chakushangaza suali gumu yy analijibu rahic tena kwa hoja na sio porojo
@mwlpaulnghumbujanila6264
@mwlpaulnghumbujanila6264 Жыл бұрын
Good
@josephmwalah8202
@josephmwalah8202 Жыл бұрын
Mungu akujalie maono mema
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 Жыл бұрын
Hongela laisi tundulisu
@paiwanjara3502
@paiwanjara3502 Жыл бұрын
ila huyu mwamba anajua hadi anakera ndiyo maana Mungu ameruhusu aendelee kuwepo atupatie madini
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
Mtu muhimu sana kwa Tanzania... Ni mtu muhimu mno.
@lemausontz3513
@lemausontz3513 Жыл бұрын
2025 Nakuona Ikulu Mh T L Mghwai Home boy
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
The giant politician in Tanzania
@dassustephen731
@dassustephen731 Жыл бұрын
He is very courageous,that is he a master of fear and not absent of fear
@omaryramadhani290
@omaryramadhani290 Жыл бұрын
Mtu wa haki kweli kweli
@patricknamangoa6468
@patricknamangoa6468 Жыл бұрын
When Tundu Lissu speaks, you listen. What a briliant man!
@joesimba
@joesimba Жыл бұрын
Ongea kiswahili wewe, acheni kushoboka na phrases za kingereza
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Жыл бұрын
This Man is very bright
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 Жыл бұрын
@@joesimba vipi wewe hili neno la "phrases" ni la kiswahili KIONGOZI!
@joesimba
@joesimba Жыл бұрын
@@issackchalahani1235 nimeleweka kuweka msisitizo waache kushobokea kingereza, tumia akili.
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 Жыл бұрын
@@joesimba kumbe hata Mimi kuliza sijatumia akili! Sawa ahsante.
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Жыл бұрын
Ukimpinga tundu lissu utakufa Kama jpm amina
@landisyloishiye933
@landisyloishiye933 Жыл бұрын
Kweli lissu umeiva kisiasa
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Жыл бұрын
Waandishi wa habari wa tz bhana,mnapenda unafki na maswali local sana!
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Tanzania HAKUNA Wandishi kila mtu anatafuta watu wa kumshabikia.
@polycarpykavishe9001
@polycarpykavishe9001 Жыл бұрын
Hahaaaa kabisaa uchonganishi ni mwingi
@Nabiikatakatatz
@Nabiikatakatatz Жыл бұрын
Ungekuwa wewe ungeulizaje?
@jesuinababili2280
@jesuinababili2280 Жыл бұрын
Kabisaaa ... tooo locally
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
@@Nabiikatakatatz Mtu umempa lift, lunch, posho. Unampangia cha kukuuliza na baadae ufanye editing ndio HABARI gani. Habari ni kile usichopenda kukisikia.
@justinesalivatory7226
@justinesalivatory7226 Жыл бұрын
Mwamba kardi miaka 100000
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 Жыл бұрын
Subhana'Allah Mungu ni kubwa Huwezi kuchukua roho ya mtu hadi Mola atake
@dassustephen731
@dassustephen731 Жыл бұрын
Duuuuh.Huyu Jamaa ana ujasiri wa kuzaliwa "courage is not the absence of fear,it is a mastery of fear"TWAIN
@edsonmakarai9496
@edsonmakarai9496 Жыл бұрын
This car shd be an interesting musium piece
@loshirotatekoriosoombe2187
@loshirotatekoriosoombe2187 Жыл бұрын
Huyo ndiye Rais mtarajiwa✌️✌️
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
Raisi wanyoko
@edwinmandela5658
@edwinmandela5658 Жыл бұрын
Raisi ajae
@livingstonempuso4200
@livingstonempuso4200 Жыл бұрын
Exactly 💯💯
@jimpazclimpaz1794
@jimpazclimpaz1794 Жыл бұрын
Lissu akili yake ni kubwa sana ukichukua Ma Ccm yote hawamfikii
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 Жыл бұрын
Hili ni tatizo kubwa sana watanzania take care yajayo yanafurahisha maana hiyo gari inatakiwa ikafanyiwe uchunguzi wa kina sana na hao polisi mm naimani hiyo gari apo haipo mm mwenyewe binafsi apo kituoni sijawahi kuiona kazi ipo kama ni picha hii ndio inaanza naimani picha likiisha kubwa la madui atafia kwenye bustani ya maua.
@georgegerald4153
@georgegerald4153 Жыл бұрын
Point yako ni kubwa sana ulicho kidhania na mimi nadhani ipo hivyo
@alphascaona576
@alphascaona576 Жыл бұрын
Nimekuelewa picha inaanza kujionyesha
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Hahahah aiseee weulishawah kwenda kituon hukuiona
@lodrickmwambene133
@lodrickmwambene133 Жыл бұрын
Hata mimi nahitaji ulinzi nikirudi Tanzania
@hermanmazuri1619
@hermanmazuri1619 Жыл бұрын
mwamba kabsa tundu lissu one of the best a man politics
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 Жыл бұрын
Kazi kwenu
@saidiaballhhamadi
@saidiaballhhamadi Жыл бұрын
Mungu akulinde na watu wabayaa lisu
@michaelaroon8558
@michaelaroon8558 Жыл бұрын
Freedom of speech...
@zurufamzava7042
@zurufamzava7042 Жыл бұрын
Nakupenda baba angu Allah akupe hitaji la moyo wako ✌️✌️✌️✌️✌️
@gangan3359
@gangan3359 Жыл бұрын
Pamoja, kamanda Lissu. VIVA mh Lissu viva
@jalalkhalid8499
@jalalkhalid8499 Жыл бұрын
Mywen number ya tundu lissu naomba anitumie pls. .. l love this guy ..sana huyu mtu Kweli kutoka moyoni....????
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Raisi Tundu lisu
@bonifacemwanga3115
@bonifacemwanga3115 Жыл бұрын
HILO GARI LIHIFADHIWE KWENYE KUMBUKUMBU ZA (TAIFA) maana tukio hili ni kubwa sana, Asije kufanyiwa MTANZANIA MWINGINE,
@christophertz
@christophertz Жыл бұрын
VIVA TUNDU ANTIPHAS LISSU ✌🏿
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 Жыл бұрын
Ameolewa Belgium 🇧🇪 huyo
@abdallahkiduli1451
@abdallahkiduli1451 Жыл бұрын
Asant mungu kukupa nguvu yakuteteya wanyonge unaongeya kwaajili yetu kwa uwezo wa Allah atakupa maisha marefu
@alirashid3813
@alirashid3813 Жыл бұрын
Hongra kamanda lisu
@jonasg5630
@jonasg5630 Жыл бұрын
Ukianza kumsikiliza, hutamani amalize. Kila swali analijibu kwa ufasaha kabisa
@furahianyambo791
@furahianyambo791 Жыл бұрын
Huyu ndie kiongozi ajae
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 Жыл бұрын
Bado sana Hadi CCM tuamue kuwapa
@meshackkazungu1948
@meshackkazungu1948 Жыл бұрын
Nakupenda sana MWAMBA nahitaji kuwa wakala wakusajili watu kidigitali namimi pia nahitaji kadi ya kidigital
@mtaanionlinetv9200
@mtaanionlinetv9200 Жыл бұрын
upo wapi?
@severinlouis
@severinlouis Жыл бұрын
Very humble this man appreciate you Sana
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Жыл бұрын
Kweli huyu mwamba ni tishio kwenye serikali ya CCM 😂😆😆😆 Batakoyola Dagaa 😂
@brother_majesty
@brother_majesty Жыл бұрын
Well done Comander
@kareemissa4529
@kareemissa4529 Жыл бұрын
Nice speech
@clemenceparokola
@clemenceparokola Жыл бұрын
Lisu nakukubali sanaaaa
@talibsaid8096
@talibsaid8096 Жыл бұрын
Huna sera
@jeffhard5773
@jeffhard5773 Жыл бұрын
Daah jembe ni jembe tu
@V24hrs
@V24hrs Жыл бұрын
NIMEKUELEWA SANA Kwamba Tumehuru ya Uchaguzi ni lazima kwanza na mambo mengine yaendelee kutekelezwa
@imakitori399
@imakitori399 Жыл бұрын
Sio TUME HURU ni KATIBA MPYA lazima ndio inafuata TUME HURU
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Жыл бұрын
Anaongea poa saana
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Nakukubali sana Lissu. MUNGU akutangulie
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Waliotaka kumuua mtoto washakufa
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 Жыл бұрын
Kwani yy huyo boss akiwa hayupo yy inakua hamna assistant wake?mbona bongo mna visa!hata raisi akisafiri hua anabaki msaidizi wake.
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 Жыл бұрын
Kamanda lissu mwanasheliya
@saidiharuna418
@saidiharuna418 Жыл бұрын
Mwanawa
@kibwetere1418
@kibwetere1418 Жыл бұрын
Mzee wa unanifahamu!!
@reginaldsimon8699
@reginaldsimon8699 Жыл бұрын
LISSU...BIG BRAIN
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 Жыл бұрын
Kweer kabisa walipta bila kuchaguliwa na hofu yao kubwa ni 225
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 Жыл бұрын
Hiyo mzee lisu muda mwengine niki mtazama sura yake yajileta kama Ray kigosi vp anavo ongea tofauti tu Lissu anongea kwa busara sana diplomatic
@mandaruukali2374
@mandaruukali2374 Жыл бұрын
Safisana lissu mwambie nalema alejee nyumbani
@csato9415
@csato9415 Жыл бұрын
Lema ameshatangaza anarejea March 1, 2023.
@charlesmurimi765
@charlesmurimi765 Жыл бұрын
Trh 01/03/2023 pale KIA airport,karibu tumpokee
@marymremi1051
@marymremi1051 Жыл бұрын
Nimempenda sana mheshimiwa samia raisi wetu Mungu akulinde akupe maisha marefu sana.una ubinadam na hiyo ndiyo thamani yako
@frejascompany6094
@frejascompany6094 Жыл бұрын
Uko vizuri sana lisu
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Yes the the top leader has to much power to a point that they're idolized
@nemamalovilinjo4919
@nemamalovilinjo4919 Жыл бұрын
Nimekuelewa
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Жыл бұрын
Inependz sana
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Waandishi mchwara mnaboa sana aisee maswali hayana miguu wa kichwa et watachukua viti vyote sasaivi wanashindana na chama gan?
@ezekielemanuel2910
@ezekielemanuel2910 Жыл бұрын
Mwandishi uliyevaa miwani haujui namna ya kuuliza maswali. Unaelezea sana. Question must be brief and clear. Zingatia haupo peke yako hapo, wapo na wenzako.
@augustinomlowe8059
@augustinomlowe8059 Жыл бұрын
Lissu
@JoseoneTv
@JoseoneTv Жыл бұрын
Huwezi kumng'oa Samia , usitake kuhurumiwa na wananchi Bali pigania nchi, mambo ya risasi mshukuru Mungu, angalia maisha ya watz
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
LENGO SIYO KUMNG'OA SAMIA BALI KATIBA IWE HURU BILA KUKOSA NGUVU KTK KUSIMAMIA JAMBO. TUSIWE NA MATAMKO KANDAMIZI BALI SOTE TUWE CHINI YA KATIBA.
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 Жыл бұрын
Jeshi La Police LA Tanzania Mguseni sasa Raia yetu Lissu
@hijafadhili4956
@hijafadhili4956 Жыл бұрын
Kwani kipindi alipokimbia mlikuwa amjazaliwa
@mathayoyohana479
@mathayoyohana479 Жыл бұрын
Lissu mpaka siwezi kusema lakini kwa vile ume vuvuka tunashukuru Mungu t, yupo
@kherihamad472
@kherihamad472 Жыл бұрын
.ni kweli walitaka kumuuwa lkn ndo ivyo mungu ajapanga we unapigwa risasi zaid ya mbili alf ni mjini tuseme police walishindwa kuwakamata wausika mbona hamza alijisalimisha na akauliwa na hao hao police
@josephpaul885
@josephpaul885 Жыл бұрын
Kiukweli huyu Lisu ni mzalendo wa kweli
@ngoshamasanja
@ngoshamasanja Жыл бұрын
Lisu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@FestusJchunya-hc3hv
@FestusJchunya-hc3hv Жыл бұрын
Sio ambalo anadai Bali gari ambayo ndio alishambuliwa nalo!!
@christophertarimo3044
@christophertarimo3044 Жыл бұрын
Ase naona Lissu akifanya makubwa tz
@shahidalialibhai794
@shahidalialibhai794 Жыл бұрын
Mtanikumbuka kwa vyema kumbuka hilo
@shukranitv2971
@shukranitv2971 Жыл бұрын
Mwambaaa huyu hapaaaaa
@beatusmchau1556
@beatusmchau1556 Жыл бұрын
Mimi binafs ninamkubali sana Rais Samia anaongoza nchi kweli kweli Mungu ampe miaka mingi ili aweze kutuongoza vema miaka kumi na tano ya Urais mimi ninampa kura yangu
@speriuskainamula5960
@speriuskainamula5960 Жыл бұрын
Tatizo LA Tanzania Ni mifumo Wa kuongoza nchi Ni mbovu na hasa viongozi kutengeneza miradi kwa manufaa yao kwa hiyo tunahitaji katiba mpya tu.
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 Жыл бұрын
Shukuru hata kwa kidogo hakuwa na meno
@ayubuchaula2347
@ayubuchaula2347 Жыл бұрын
watupe gali
@allymohamed2724
@allymohamed2724 Жыл бұрын
Kwani zipo za pesa pesa
@daudikisyeri1047
@daudikisyeri1047 Жыл бұрын
Kwa hoja atakuja kuzaliwa Ila unaweza
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Yaan waandishi hatuna kbs bali tunawachukua matukio kwa camera tu
@AnacethNagaiza-gr3qw
@AnacethNagaiza-gr3qw Жыл бұрын
Nakubona mukulu wange
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 Жыл бұрын
Ongea ongea mkuu. Iokoeni nchi jamani
@JoseoneTv
@JoseoneTv Жыл бұрын
Hii michezo ya siasa inawaacha wananchi wateseke
@princeteu973
@princeteu973 Жыл бұрын
Ccm, mna kazi, ni Pole2, nduo amemuweza huyo
@GideonMalyego
@GideonMalyego Жыл бұрын
Hv Magu alijikutka nan haswaa hapa Dunian!😢
@chrissg4026
@chrissg4026 Жыл бұрын
Etu kuwasalimia! Anakuja kuwasalimia kwa lipi zuri mlilomsaidia baada ya kupigwa risasi? Mliweza kuwatia hatiani waliompiga risasi?
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 Жыл бұрын
Siyo wanamwita ndivyo alivyo jamani!
@mosesnikodemas7304
@mosesnikodemas7304 Жыл бұрын
Sema.baba.
@goodlucksway1456
@goodlucksway1456 Жыл бұрын
Jamaa anajielewa aisee huyu
@GideonMalyego
@GideonMalyego Жыл бұрын
Mwamba anadunda alyejiona Mungu mtu kalala zke huko!😅
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 Жыл бұрын
Mungu akulinde sana Raisi wetu mtarajiwa. Hiki kichwa walitaka kukizima jamani Mungu awasamehe .
@meshackkazungu1948
@meshackkazungu1948 Жыл бұрын
Mungu asiwasamehe Mbwa hao waliompangia kifo awamalize
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
NURU OKANGA TOURS AT WAJACKOYA MULTI-MILLION HOME IN KAKAMEGA!!
3:28
TAZAMA HOTUBA YA TRUMP KWA KISWAHILI, ATANGAZA JINSIA MBILI TU MAREKANI
19:23
TRUMP KUWAFUKUZA WAKENYA 30,000, PRINCE HARRY MAREKANI
7:39
Mwananchi Digital
Рет қаралды 9 М.
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
DW Kiswahili
Рет қаралды 814 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН