Safi sana jeshi la mtu mmoja Mungu akawe pmj nawe daima kwa kila jambo🤝🙏🤲
@JohnMnzava-du2we3 күн бұрын
Kama tunaamini ni Mungu alimrudisha Naomba. Waombaji Tumuombee Sana Siku ya uchaguzi wa ndani , hata Kama yeye apate uwenyekiti alafu Mbowe awe mgombea uraisi ni safiiii ka❤
@MrMichaelHbog3 күн бұрын
Uenyekit na urais tuna mtaka LISU
@jacksonkidudu54042 күн бұрын
Kwakweli Inge pendeza sana kama mbowe ange Muachia Tundu Ant pass Harafu yeye Sasa Mbowe akajikita kwenye. Urais akaenda kuchuana Na Rais Samia Kwa nn mbowe asilione Hilo ndani ya Chama
@SebastPolepole3 күн бұрын
MH Lisu hongera sana wanachama wengi huku mitaani wanatutuma tuje kukuchagua. Mimi Niko tayari
@FrediMtaze3 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿sijawahi kusikia lisu kaiba mabilioni wala kua fisadi kwenye hii nnchi ndo maana ma ccm wana mchukia lissu wewe ni mtetezi wetu mungu akulinde🙏🙏🙏
@AloneChuga3 күн бұрын
Jiulize pindi alipo kuwa nje ya nchi akipewa big press na viombo vya nje nani alikuwa nyuma yake. Hutu mtu ni hatali sana kwa future ya Tanzania
@FrediMtaze3 күн бұрын
@AloneChuga uongo mbona raisi na watendaji wengine wa wana enda huko nnje ya nnchi kila siku tena kwa pesa za maskini basi kama lisu kwenda nnje ya nnchi ni hatari je hao viongozi na raisi
@HAWAMBARUKU-t5d3 күн бұрын
@@AloneChugaUna ulemavu wa akili
@JohMarwa-e6h3 күн бұрын
Mwamba anahitubia utazani ndo raisi wa Tanzania hotuba umetulia umakini mwingi sana hongera kamanda lisu mungu akusimamie
@machintangachibwena59223 күн бұрын
Kibaraka huyo uraisi atausikia tuu kama walivyo usikia kina lowasa,mrema , na Sumaye😂😂😂
@johnmarcus2603 күн бұрын
Punguani@@machintangachibwena5922
@rogersiddy3 күн бұрын
Uko sahihi mdau🤝wasio muelewa Lisu mazuzu na wale wanaokula hela za wizi wakimuona Lisu tu wanahangaika mala kibaraka wanasahau vibaraka wanao wao wenyewe waliouza bandari zetu hii inaitwa nyani haoni kundule😡😡✌️
@rogersiddy3 күн бұрын
Uko sahihi kabisa🤝wanaomchukia Lisu wote ujue wanamanufaa na utawala wa maccm wanasahau vibaraka wapo kwao waliowashobokea waarabu na kuwauzia bandali leo wanamuita Lisu kibaraka kweli nyani haoni kundule😂😂😂😂✌️
@SurprisedFullMoon-gg9vu3 күн бұрын
Kibaraka ni wew Kuma mama yako"usiye jitambuaa"huyu ndo kiongoz wetuu
@faustinebahenobi34123 күн бұрын
Hapo utakuta kuna watanzania wanamuona lissu ni mtu wa ovyo kweli ubinadamu kazi hongera mtetez wetu
@NatureJr-z3m3 күн бұрын
ila huyu jamaa ni mwamba sana ❤
@The1979bornagain3 күн бұрын
Huyu ndiye Mwenyekiti mpya CHADEMA. Huyu ndiye kiongozi mkuu (Rais) wa nchi yetu ya Tanganyika 2025 - 2030. Mkono wa kuume wa Mungu Yehova ktk Jina la Yesu Kristo ukushike, ukutie nguvu na kukulinda kiongozi wetu, Rais wetu ajaye. Amina🙏🙏
@FrancisThomas-jc8wq3 күн бұрын
Kumbe uchaguzi umeshfanyika???
@MohammedHimba3 күн бұрын
Simba wewe
@Mrs0marsaid3 күн бұрын
@@MohammedHimba jian kappa na mama mwenyewe
@OttoChiduo3 күн бұрын
Ni msemaji wa chama au ni mwanzo wa campaign ?
@nabimanyafesto50143 күн бұрын
Amen 🙏
@FelixMwamlima3 күн бұрын
Godbless tundu lissu
@godfuture-t8y3 күн бұрын
Mungu analengo lake kutuachia huyu mtu, Mungu akulinde rais wetu
@bukurunestory35403 күн бұрын
Hujawwhi kutuangusha Mh Tundu Lissu. Always very Encouraging and education
@MACHOYATAI-jk6fu3 күн бұрын
Ila Lisu anatupigania sana watanganyika MUNGU ATUSAIDIE LISU AWE RAISI NA MWENYEKITI WA CHAMA
@AlphonceGridius-v2b3 күн бұрын
Mungu akubaliki tundu lisu Kwa hotuba nzuli kwasasa hatuna viongozi wenye hotuba nzuli kama hii wengiwao hotuba zinaja ukakasi zijaa vitishotu
@JuliethNyoni3 күн бұрын
Lisu wetu Mungu akulinde
@josephmkinga95093 күн бұрын
HAKIKA MUNGU NI MWEMA BASI AKAWE HIVOHIVO KWA LISSU
Tundi Antipas Lissu anatosha sana kuwa Mwenyekiti ajaye wa Chadema❤
@oliviaseth46523 күн бұрын
Mungu baba tuletee huyu binadamu tuna muhitaji mno
@nabimanyafesto50143 күн бұрын
Hakika
@PeninaMaduhu-j1z3 күн бұрын
Mungu akulinde sana Mhe,Tundu Lisu
@neemajacob45033 күн бұрын
Tundu Lisu for life
@malackedson77063 күн бұрын
Tulete tundulisu wajumbe msikie sauti ya mungu.
@Samonhelmane3 күн бұрын
Mungu akulinde lisu wewe ndio ndio chaguo letu
@malackedson77063 күн бұрын
Tuletee lisu wajumbe mudikie sauti ya mungu.
@NehemiahSamsony3 күн бұрын
Mungu endelea kumlinda huyu mwanao❤
@leonardkisanga93563 күн бұрын
Mungu akulinde usiku na mchana Amina
@hamisidd49533 күн бұрын
LLP😊
@DausonShensherwa3 күн бұрын
Lissu mungu akutunze miaka 7000 Kwan we ni mtu muhim sana
@AlisitidesAloice3 күн бұрын
Mungu ambariki atashinda nahanafaakuwa mkt siasa za nchi hii inahitajika tundurisu
@festofute583 күн бұрын
Pamoja sana Kiongozi wetu.
@NorbertKagali3 күн бұрын
Hotuba iliyojaa busara,hekima na uwazi inayotoa mwanga na tumaini jipya. Hongera sana.
@judicateurassa78173 күн бұрын
Yuko vizuri sana
@smartboypassionate6464Күн бұрын
You are truly visionary leader the son of the soil
@leocadianjau74103 күн бұрын
Ee Mungu wa hekima tunakuomba uendelee kutuongoza katika hekima yako na hasa viongozi wetu huu ni mwaka wa chaguzi HAKI IKAFANYIKE NA IONEKANE WAZI IKIFANYIKA LA SIVYO TUNAYO KAZI YA KUHAKIKISHA HAKI INAPATIKANA KWA KILA MMOJA WETU..
@Kibiritij3 күн бұрын
Yani yani ukiambiwa kuna watu hayawaingii haya, mtu una pata hata amani moyoni mwako anavyo hutubia. kweli kabisa mifumo imewaharibu watu sana, wamemezeshwa upumbavu na unafiki bila kutazama kule mbele tunakoenda.
@zakariapaulowiliamuwiliamu18403 күн бұрын
Liss Heche Lema ❤
@BenedictoBoniphace3 күн бұрын
❤❤❤❤❤lisu
@raphaelshan49053 күн бұрын
Hivi watu ambao hawamuelewagi Lisu akili zao zikoje 😝
@EmmanueNzilano3 күн бұрын
Wasio mjua kabisa lengo kuu la Tundu lisu ndio wanaosema Tundu lisu ni anakurupuka ukweli ni si kwelii Huyu ni kiongozi Wetu💪🙏✌️
@isackjacob81272 күн бұрын
Jamani Nani Kama lisuuuuu sijaonaaa🎉
@Jackson-Novat3 күн бұрын
Nilichogundua LISSU anakipenda CHADEMA na taifa lake TANZANIA.
@GodwinSadick-l1v3 күн бұрын
mungu akupe nguvu kilakukicha wabaya wafe
@rogersiddy3 күн бұрын
Tena wafe kifo kibaya sana😡😡
@NanyoropookiniTugugwa3 күн бұрын
safi sana baba lisu mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💕💕💕💕💕💕
@lucknessmazula29743 күн бұрын
Hakika tunakuhitaji sana sna Baba
@saitotimollel84952 күн бұрын
good job mteezi wa haki . kwa uongozi wa Imla.
@MathewNathan-yb2bz3 күн бұрын
Lissu ni jembe sana
@lazarodaudi16892 күн бұрын
NAKUKUBALI SANA MH.
@Frankfabiano-sz8qg3 күн бұрын
jeshiii jeshiii tunakupata
@ThadeoKomba3 күн бұрын
muujiza unaotembea lissu 2025 wewe ni mwenyekiti
@ukululegeorge93093 күн бұрын
Lisu uko sahihi.Mungu akulinde
@PelleSamky3 күн бұрын
Tambueni, kamwe Sheteni hapendi haki daima, utaona matusi mengi ,tuendelee kuomba mapepo yanalipuka mahubiri yamepamba moto Asante Mtumishi wa Mungu Lisu.
@FrankKwanama-lo6fj3 күн бұрын
Viva Lisu
@BakariChapa3 күн бұрын
Mwenyekiti mtegemewa Kuna HABARI zisiizo rasimi kurunzinza kapewa magari 3 mapya na magari 2 ya zamani yamekarabatiwa sawa na mapya ili chawa wake wawazungukie wajumbe wa uchaguzi wawape rushwa ili wamchague.yaisiwa hayo yameyafadhiliwa na yuleyule rafiki wa dalali. Lichunguze kama ni kweli tutangazie nasi tuelewe.
@SundaySteven-bz4yq3 күн бұрын
Wewe kiukweli unasitahili kuwa mwenyekiti wa chama na raia wa inchi yetu ili kuondokana na haya mateso watanzania wanayopata ikiwemo elimu ya kibaguzi watoto wa viongozi wanasoma shule binafusi ambako Kuna elimu Bora huku shule za serikali wakisoma watoto wa masikin
@SalumuSaidi-p9y2 күн бұрын
Mungu tuletee tundu lissu
@Mrs0marsaid3 күн бұрын
Jembe simba dume , Raisi ajae na mwenyekiti wa chadema. 😂
@Tdotkido3 күн бұрын
Lissu is a national treasure
@RenatusMatungwa-o7c3 күн бұрын
Safi sana ni yeye Tundu Lissu
@simonsadala23863 күн бұрын
Waage kabisa Wana Chadema maana tunajua ukishindwa utamfata mshenga wako Msigwa Kwa ABDULY
@Seifkassimmkumba3 күн бұрын
Lisu awezi kwenda ccm kamwe.uyu ni mpinzani wa ccm wakwwli.atakama wanasiasa awaeleweki lakini kwalisu nampa mkeka awezi kwenda ccm ata akishindwa uchaguzi.labda unambie aende chama kingine chochote kile lakini sio ccm
@damianohango32893 күн бұрын
Kwa hotuba hii, kesho naenda kuchukua kadi ya chama Cha demokrasia na maendeleo
@JosephChrisant3 күн бұрын
Chadema inapaswa kuwa makini sana ktk uchaguzi huu maadui zenu watatumia wakati huu kuwavuruga na hadi kupelekea chama kubomoka.
@starlily073 күн бұрын
Mbowe upumzike sasa, tunamuhutaji huyu mtu kwasasa, YESU akutunze Tundu Lissu
@etgalf2 күн бұрын
My hero
@SimonLuhwagila-bc9cy3 күн бұрын
huyu ni mwamba kwelikweli tundu lisu
@NgimbaMapesa-y9v3 күн бұрын
Lisu ndiye mwenyekiti sahihi kwa Sasa,makamu mwenyekiti ni God bless Lema na katibu ni John heche.
@MaulidMjwiga-tb1zu2 күн бұрын
Hauna lolote unahutubia wew kama nani
@juliusmlula16583 күн бұрын
Mungu mpe huyu Jamaa uwongozi wa inchi ya T
@AlbinusZephurini3 күн бұрын
Kaza buti kamanda lisu
@issasimbira20012 күн бұрын
Lisu anaakili sana achana na mbowe MLA rushwa
@peteromary87643 күн бұрын
Chadema kuweni makini sanaa..lasivyo mtauwa chama chenu kama alivo iuwa lipumba cuf
@rutalaurent85423 күн бұрын
Upo juu sana mkuu lisu
@Flaviosafari2 күн бұрын
Ndio maana walitaka wamuue kumbe! Mungu akatusikia.
@JamesJapheth-z9n2 күн бұрын
👍👍
@nicholauskilosa53363 күн бұрын
Mwenyekiti wetu mpya ❤❤❤❤
@LusajoCornelius3 күн бұрын
Masaa 48 aliyokuwa amejipa opponent wake ndipo shetani alipotuchoropoka, LAKINI YUPO MUNGU WA ISRAEL NDANI YA TAIFA LETU.shetani hatuwezi .
@LusajoCornelius3 күн бұрын
Ndani ya yale masaa 48 ingekua hivi nimetafakari,nimejiuliza nimeona kwa Sasa imetosha ninapisha nguvu mpya. For sure tusingefika huku tunakopita mioyo ikiwa juju Kwa hofu,japo tunaenda kupitia.
@emmanuelowoya29033 күн бұрын
Viva
@GasperKapungu3 күн бұрын
Uchaguzi uwe usiku uwe mchana iyo sio sababu.kikubwa democrasia iwepo
@TNgwale-eu3xl2 күн бұрын
Lisu anafaa sana. Raisi yuko busy kutoa fedha za umma kwa makanisa uchwara na wachungaji wenye njaa wakati serikali haina uwezo wa kuajiri waalimu !! Hospitalini hakuna dawa!! Miundo mbinu mfano barabara za maeneo mengi hazipitiki na mengine mengi. Unaona jinsi CCM walivyojisahau na wasivyojali watu.
@samwelnevele77963 күн бұрын
Kama unania zuri na taifa hili mungu ataruhusu uishi na kama ni kwa njaa yako tuu ya kutumiwa na mabeberu hutafanikiwa na kaulizako za kishezi usio kuwa na ushahidi
@mackjonathan10053 күн бұрын
Usicho penda kutendewa bas epuka sana kutendea wengine, kama uliona hakufai ungefunga domo lako watu tuna hasira sana acha kuchezea hisia za watu.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl3 күн бұрын
Kumanyoko Kuma lako kamtukane na wewe mama yako kumanyokonyokonyoko
@davidpallangyo1143 күн бұрын
Acha porojo nenda moja kwa moja kwa Lisu,tafadhali. Hivi kwa nini mnapenda kuwapotezea watu muda wao kwa porojo!!!?
@erestizacharia47583 күн бұрын
acha ujinga wako tuachie rais wetu ajaye ahutubie.
@rogersiddy3 күн бұрын
Ukisikiliza kwa umakini sanaaa utamuelewa Lisu ila ukimsikiliza kwa mihemko na mahaba yako ya kumpenda flan hutaelewa kitu nimeelewa kwa kina kbs mfano wa hoja ya ukomo wa madaraka maccm wanapata mwanya wa kuongea juu ya chama chetu kuwa mwenyekiti wetu yupo muda mrefu haachii madaraka hili la kuliangalia kwa kina sana kweli tunamkubali Mbowe lkn tuwe mfano wa kuigwa🫡
@SundaySteven-bz4yq3 күн бұрын
Wewe kiukweli unasitahili kuwa mwenyekiti wa chama na raia wa inchi yetu ili kuondokana na haya mateso watanzania wanayopata ikiwemo elimu ya kibaguzi watoto wa viongozi wanasoma shule binafusi ambako Kuna elimu Bora huku shule za serikali wakisoma watoto wa masikin😂
@peteromary87643 күн бұрын
Shida ya watanzania hatuangalii hoja za misingi..lissu yuko sahihi.. kama mbowe ataendelee kuwa mwenyekiti chadema itakufa kama cuf ya lipumba..wekeni mazingira ya kupokezana madaraka acheni uchawa na mapenzi ya kipuuzi
@francismwantolwa23293 күн бұрын
Tupeleke kanani
@aloycemisigalo39833 күн бұрын
Mimi naamini mh. Lisu ukiwa mwenyekiti wa chama chetu cha chadema itakuwa safi sana, nakuamini mh. Lisu ukiachana na mh. Mbowe yeye ametosha kutuongoza kama mh. Mbowe anakubali kuwa chama ni cha wanachama atuachie mh. Lisu tuendeleze mapambano.
@SundaySteven-bz4yq3 күн бұрын
Wewe ukiwa rais inchi hii itapiga hatua kama mareka maana unamaono maneno na vitendo vinaenda pamoja tofauti na wale ambao wanaotaka kuwafurahisha watanzania
@halimamasai22343 күн бұрын
@@SundaySteven-bz4yq Lakini jiandae kwa shoga kama si wewe basi kizazi chako 🤣🤣🤣
@annasitaziakamtewe3 күн бұрын
Mh.tundu lisu ni Musa ajaye atalitoa taifa ktk mikono ya farao,asiyemjua mungu Wala asiyewajali watu.
@NatureJr-z3m3 күн бұрын
Mwamba ❤
@kyambokyambo59393 күн бұрын
Kura zooote kwa Lissu, Mbowe 20 yrs are very enough, nothing new he can do!
@samwelmatemu88733 күн бұрын
Hayo unayo tangaza si mkezumza kwenye chama chenu Tena kwenye vikao .umenza kujitenga unajambo lako flani hivi
Leo jamaa katulia kweli kiongozi mahili,na makini. Nje ya Simba chadema awamu hii inaenda kujidampo.
@AlphonceTemba-g4f3 күн бұрын
mbona unajichanganya Rais wa jamuhuri ni tofauti na mwenyekiti wa cha chama cha siasa chenye taratibu zao Lipumba.sharifu.lyatonga.cheyo wapo mpaka sasa.mbona mnamchukia mbowe