🅻🅸🆅🅴 TUNDU LISSU ANAONGEA NA WAKAZI WA NYAMONGO - TARIME

  Рет қаралды 28,837

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@DrianMsolwa
@DrianMsolwa 3 күн бұрын
Napenda watokee akina lisu kumi hivi,tz itasimama imara, big up lisu our next president!
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 2 күн бұрын
Mungu zidi kuitia nguvu chadema
@dismasmtui729
@dismasmtui729 3 күн бұрын
CHADEMA will always stay as a strong party forever!
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 күн бұрын
Mungu asimame na wenye haki wote katika Taifa letu,Mungu ibariki Chadema ,Mungu ibariki Tanganyika/Tanzania yetu. Kura zetu zote kwa Chadema. Ccm haifai kupata hata mwenyekiti wa mtaa! Wananchi amkeni ikatae ccm uchaguzi huu kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, wabunge na Rais.,Msiwachague hao mashetani wauza rasilimali za Taifa, watekaji na wauaji!
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka 3 күн бұрын
Shikamooooo nyamongooooo!!!❤
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 2 күн бұрын
Mungu nimwema tunaomba atuvushe nipo pamoja makamanda
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 3 күн бұрын
❤❤❤❤Songela zigizigi. Mungu akubariki na kukulinda
@erastoshirima
@erastoshirima 3 күн бұрын
Tunakulkubali sana Tundulisu
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 3 күн бұрын
Mungu awasaidie na kuwabariki sana tunawaombea sana ndugu zangu bambana mtashinda ila msiwe wapole sana mtaibiwa sana.
@EmmanuelMahingule
@EmmanuelMahingule 2 күн бұрын
❤❤❤✌️✌️✌️
@OSWARDMJWAUKI
@OSWARDMJWAUKI 3 күн бұрын
pamoja sana kamanda.
@joblulandala8614
@joblulandala8614 3 күн бұрын
Kifaa kinatufaa hiki
@suleimansamweli7316
@suleimansamweli7316 3 күн бұрын
Huyu ndio kiongoz anaejua nini anachosema
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 3 күн бұрын
Makini
@WilliamFabian-h5h
@WilliamFabian-h5h 3 күн бұрын
Hiyo ndo Nyamongo ,ila kama tukiamua kuuweka uoga pembeni mbona sioni polisi wa kutuzuia Sema tu bado Kuna kauoga.
@RamsoHk-s4p
@RamsoHk-s4p 3 күн бұрын
Huwa na mkuli Sana huyu mwamba😂😂😅
@alphoncejmrema7912
@alphoncejmrema7912 3 күн бұрын
Mh shkamoooo nyamongoooooo
@jacksonmaphie679
@jacksonmaphie679 Күн бұрын
Shikamoo nyamongo
@StevenMakuru-i6u
@StevenMakuru-i6u 2 күн бұрын
Viongoz wa Tanzania wanajiona wapo juu ya Sheria ndo Amana hakuna maendeleo coz hawafat Sheria Kaz kukandamiza wananchi wake wasiwe na maisha mazur wanataka wawe maskin lengo Wawatawale kinyumbu nyumbu
@YosephatMasanyiwa
@YosephatMasanyiwa 3 күн бұрын
Wamepata faida gn Sasa kuzuia uwanja kama sio ujinga tu
@dismasmtui729
@dismasmtui729 3 күн бұрын
Lisu you're the hero, but let's rebuild the party for the future sake!
@florencejohn6427
@florencejohn6427 3 күн бұрын
Semina yako uliyozunguka vijiji vyote vya mkoa wa Singida. Pamoja na kwamba unaumwa lkn ulizunguka mkoa mzima
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 3 күн бұрын
Safi
@christosiadanieli6512
@christosiadanieli6512 2 күн бұрын
jinsi tulivyo pigania uhuru wa nchi zingine siku tegemea kuwepo na nyimbo za kupiga ina uhuru bali nyimbo za kupigania uchumi😂 i 5:00
@joojombi2341
@joojombi2341 3 күн бұрын
Maandazi kweli Lissu na wenzake wamekosa hoja ya kusema wanabaki kusema viongozi. Hawana hoja zozote but kusema Rais Maandazi wahed
@nestoryvenance4258
@nestoryvenance4258 3 күн бұрын
Hatuendi na wasani wa maigizo
@mpendamema3694
@mpendamema3694 3 күн бұрын
Heche kaenda wapi au wamemfanyia MSIGWAFICATION?
@allyshaban406
@allyshaban406 3 күн бұрын
Ukiwa PHDccm, DRccm, PRccm, ENGccm, MNDccm, CCMzwazwa Hutamuelewa.
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 2 күн бұрын
❤musikubalikuoewa kifua naelfu kumi amu hamsini
@peternyambui7492
@peternyambui7492 3 күн бұрын
❤❤❤
@florencejohn6427
@florencejohn6427 3 күн бұрын
Haya Msiba unajiita mwanaharakati chambua hotuba hii ya Lissu. Mwanaharakati lazima awe na akili nyingi. Sio wewe akili za kulia udaga
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester 3 күн бұрын
Tarime tusikubali kuongozea na mwanamke ni dhambi kubwa Sana mwanamke kua kichwa kwenye familia, tunataka heche 2025 arudi kwa kishindo bungeni kututetea watanzania, binafsi nipo Kenya naelekea Somalia nikirudi tutakua nan mwanaume Kati yangu na hao warisha wa CCM.
@nyamwalevenance5994
@nyamwalevenance5994 3 күн бұрын
Usidhani kila mzungu mweupe ni padri
@RICHARDJACOBKikungwe
@RICHARDJACOBKikungwe 3 күн бұрын
Lisu jembe kweli kweli
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 күн бұрын
Huu ndio mwaka wa mwisho wa Chadema
@jangalaalexbubehi7658
@jangalaalexbubehi7658 3 күн бұрын
Hata yule alisema hivyo hivyo
@jangalaalexbubehi7658
@jangalaalexbubehi7658 3 күн бұрын
Hata yule alisema hivyo hivyo
@IbrahimuMangure
@IbrahimuMangure 2 күн бұрын
Haki aipotei hila inachelewa
@makusaro2289
@makusaro2289 3 күн бұрын
Ruto alowakabidhi Adam Shirika la Umeme na Uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta.Wakenya wakapiga Kelele.Marekani wakagundua kuwa Adan ametoa rushes Kwa viongozi wa serikali yao ya India.Wakafukuzwa.Hatimaye Ruto akasikiliza kilio cha wananchi wake.Akafuta mikataba your ya Adan.
@ElishaOisso
@ElishaOisso 3 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@nyamwalevenance5994
@nyamwalevenance5994 3 күн бұрын
Una vurugu ya maono
@JohnSadick-p5z
@JohnSadick-p5z 3 күн бұрын
Ccm achieni madaraka bx
@kashindisimon5265
@kashindisimon5265 3 күн бұрын
Hivi Heche yuko wapi ??????
@dismasmtui729
@dismasmtui729 3 күн бұрын
But remember, devil has many alternatives!
@kelvinmushi5080
@kelvinmushi5080 3 күн бұрын
✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻❤️❤️❤️❤️❤️✌🏻✌🏻✌🏻
@mashakalukinda2350
@mashakalukinda2350 3 күн бұрын
John heche yukowapi kamanda sikioni
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 3 күн бұрын
Naam ndugu Mashaka. Nami nakuunga mkono, nalia tena nalia kwa muda mrefu sasa, yu wapi Heche. Na wakati machozi kwa Heche hayajaisha nahisi naye Pambalu aweza ongeza machozi. Yu wapi Pambalu?
@florencejohn6427
@florencejohn6427 3 күн бұрын
John Heche kafia wapi tena? Kimyaaaa. Au wamemsigwa na yeye pia?
@mpendamema3694
@mpendamema3694 3 күн бұрын
MSIGWAFICATION 😂
@manenongobayi1444
@manenongobayi1444 3 күн бұрын
Huyu ndie mwanga wa watanzania Sasa,yaani ushindwe kumpa kula Lissu 2025 umpe nani sasa
@MarselShirima
@MarselShirima 3 күн бұрын
Lisu njoo ruvuma uwatete wakulima
@Bob-d7p2r
@Bob-d7p2r 3 күн бұрын
Watanzania wanakatisha Tama Sana Wana vichuwa mkaa
@ibrahimirove
@ibrahimirove 3 күн бұрын
Huna Sara Wewe
@jangalaalexbubehi7658
@jangalaalexbubehi7658 3 күн бұрын
Leta wewe sera
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 3 күн бұрын
Unatumia ma.... Kufikiri
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 күн бұрын
Haba Sera wewe una sera gani! Leta Sera zako za kichawa tukusikie!
@RutinikiGosbert
@RutinikiGosbert 2 күн бұрын
Huna kitu wewe kenge
@Bob-d7p2r
@Bob-d7p2r 3 күн бұрын
Lisu kweli ww nimwamba
@patrickmarwa5024
@patrickmarwa5024 Күн бұрын
Lisu ni chuma huyu
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 3 күн бұрын
hayo malori waweke mzigo
@evelina9621
@evelina9621 3 күн бұрын
Changamka.lisu.mungu.anapongo.nawwewe.mpka.tanzania.wakulinde.watanzaniachmbo.hicho.mungu.anataka.watu.waache.kuchukiiana.kupendana.chuki.unafiki.uongo.unafiki.vikome
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 3 күн бұрын
Lisu baba wa taifa
@maase2023
@maase2023 3 күн бұрын
Mirembe mirembe oy3eeeee
@JacksonMhali-s6o
@JacksonMhali-s6o 3 күн бұрын
Lisu baba wa taifa
@OscarKasalile
@OscarKasalile 3 күн бұрын
Acha utani basi kwani nyerere kafutwa na nani
#LIVE: MBOWE, SUGU WANAKIWASHA MUDA HUU UYOLE MBEYA
1:19:34
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 3 М.
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 103 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 4,5 МЛН
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Натурал Альбертович
Рет қаралды 3,8 МЛН
Молодой боец приземлил легенду!
01:02
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 2 МЛН
TUNDU LISSU AFUNIKA TARIME, ATUMA SALAMU KWA RAIS SAMIA
29:45
🔴#LIVE: TAZAMA BALAA LA GODBLESS LEMA AKIZINDUA KAMPENI ARUSHA
1:43:47
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 103 МЛН