Mambo ya kale yanaongelewa leo baada ya kutia Nia. Kigeugeu sisi wanadamu
@mohamedally12116 күн бұрын
Ila lissu ana uongo sana muda mwenhine, kuhusu kuonana na rais ubelgiji alituambiaga yeye ndie alieomba,leo anasema yeye aliombwa
@hamisidale270416 күн бұрын
MDAHALO THROUGH TBC OR ANY NEWS OUT LET" WAJUMBE WOTE WAPIGA KURA YA KUMCHAGUA MWENYEKITI WAWEPO KWENYE MDAHAL0 DAY B4 YA UCHAGUZI " KURA ZIISABIWE HADHARANI NA KUMTANGAZA MSHINDI"
@rebekakulwa615918 күн бұрын
We lifisiemu pita kule subiri kampeni zianze usikie ataongea nin
@geraldgedi465718 күн бұрын
Kweli tupu ni lazima ushirikiane na jeshi lako kila hatua haiwezekani miezi minane gerezani unatoka huko tena kwa kificho then uonekane kwa ofisi ya aliyekuwa amekufunga hapo kuna janjajanja itakuwa imefanyika.
@ramadhanwilbard819618 күн бұрын
Wengi munamiemko katika kuchangia hoja, kwanza ujue Mbowe alifungwa na nani?kikawaida au kikatiba kuna miimili isiyoingiliwa na Rais hata ingekuwa ni hivyo lazima uijue nguvu ya serikali usidhani kwamba serikali ni kama jirani yako kwamba unaweza kumfungia vioo maisha yakaendelea si o hivyo,Mbona Tundu Lissu amekutana na Mama Samia pindi yuko Uberigiji?Mbona alikuwa anamuomba kurudi nchini na alikuwa anamuomba ampe ulinzi kipindi atakachokuwepo hapa Tz?au ulikuwa hujazaliwa ?Mwenyezi Mungu alikuwa anaongea na Mtume wake Mussa live na Mussa alikuwa na power kutoka kwa Mungu lakini Mungu alimuonya Mussa na akamwambia kwamba anapokwenda kwa Farao au Firauni aende na maneno ya hekima yaani asitumie hasira ili Firauni hasimfekelee mbali.
@geraldgedi465717 күн бұрын
@@ramadhanwilbard8196 usitake kutufanya wajinga huyu unayembeba alihojiwa na BBC news , mwandishi Salim Kikeke alithibitisha kuwa Mbowe ni gaidi walipoona hakuna ushahidi juu ya kesi walioplan ikabidi wafute kesi, maana wangeaibika endapo wangeruhusu mbowe aanze kujitetea. Harafu unaposema yeye hakumfunga kipindi hicho alilikuwa na cheo gani? Pamoja na hilo mbona alimshikilia gerezani lwa muda mrefu namna hiyo hata pale alipokuwa na madaraka ya juu? Ukweli huwa na nguvu hata kama utataka kuupindisha ipo siku utanyooka wenyewe
@geraldgedi465717 күн бұрын
Hivyo kitendo cha Mbowe kutoka gerezani kificho na kuibukia ikulu na wananchi kuona taarifa ya habari saa mbili usiku na amelainika namna hiyo na baadae kuanza kumsifu mtesi wake kwanini tusiamini kalambishwa Asali? Lissu yupo sahihi kustukia misheni hiyo kulikuwa kulikuwa na janjajanja iliyofanyika nyuma ya pazia.
@ramadhanwilbard819617 күн бұрын
@geraldgedi4657 Kwahiyo ulitaka apigane na Rais sio?au unadhani madaraka ya ukuu wa nchi ni ni kama ukuu wa kaya?Mbowe anazo busara nyingi na kama anayo madhaifu hayo ni kawaida kwa wanadamu na kiwango cha Mbowe anasihaili kuwa Rais wa nchi.Hata wewe tukikupekuwa hadi chini ya kapeti utakuta unayo machafu yako unayoyaficha lakini leo watu wanakuamini kwa sababu hawajui udhaifu wako hata Tundu Lissu sio malaika.