Jamani mungu acha aonyeshe miujiza yake kwa tundulisu
@topotachilemba91964 жыл бұрын
TUNDU LISSU NI MUUJIZA WA MUNGU UNAOISHI.
@ntungilijaps33374 жыл бұрын
Tukiondoa siasa katika hili neno,tunapata kitu( ukweli katika maisha ya kiroho kupitia tundu lisu).
@goodluckbatholomeo80874 жыл бұрын
Ilove this
@arafatkhalid43914 жыл бұрын
Nimejikuta natokwa machozi nilipomzikiliza huyu mchungaji lissu anaenda kushinda uchaguzi huu
@bonniepeter49054 жыл бұрын
Mbeba maono hafi mpaka kieleweke watupwa motoni wakina shadrak abelnego na meshak
@mamafaiza26514 жыл бұрын
Mh lissu sisi waislam tunampenda sana
@migeraveronica77194 жыл бұрын
Kweli baba Mungu hashindwi
@samuelimori57114 жыл бұрын
Gusia na ushoga nao Elewa hivi hata lucifer aliyekwenda kinyume na Mungu hakufa, kiburi ni kitu kingine Kama leo Mungu ataiweka nchi mikononi mwa ushoga, huyo hatakuwa Mungu wa haki
@jumannekigori26674 жыл бұрын
Misaada tunayopata ukiambiwa mashoga ndo huchangia si utazimia
@kaimuulongo9534 жыл бұрын
Nakuelewa San M2mishi
@irenemsumba72054 жыл бұрын
Kweli humuweka mtu Hulu huu nimjiza unao tembea
@richardnganya23113 жыл бұрын
Wengi watachelewa kuelewa ujumbe uliopo. Wakati utakapofika nuru itaangaza na kweli itasimama.