TUNGEWEZAJE- Testimony By Hollolina. Called To Serve Ministries

  Рет қаралды 3,649

Called To Serve

Called To Serve

Ай бұрын

As we look back and reflecting on our journey, all the struggles and successes, one question echoes in our hearts: 'What would we have done without God?' Your grace has sustained us, your love has lifted us, and your power has propelled us forward. We praise you, God, for your unwavering faithfulness.

Пікірлер: 50
@getwellwithessie
@getwellwithessie 4 күн бұрын
Amen, beautiful and full of miracle testimomy, thats where we see the meaning His Glory.
@user-zh8jn3cm6p
@user-zh8jn3cm6p 29 күн бұрын
Ushuhuda wako umenitoa machozi mwanangu pole sana kwa kuitetea Imani Mungu akajidhihirisha hatimae yako simama imara hadi yesu arudi🙏🙏 pole sana kwa uliyopitia kwa ajili ya imani🙏🙏
@lilianmichael3402
@lilianmichael3402 29 күн бұрын
God is always excellent in our lives, Mungu akubariki dada yangu❤
@ancobmaarifacollection
@ancobmaarifacollection 20 күн бұрын
Mungu anatenda. Yupo hai hajalala hajasinzia.
@mayengamlengwamarwa1553
@mayengamlengwamarwa1553 29 күн бұрын
Very touching 😢 testimony Hakika tusingeweza pasipo Mungu
@PinkPetals1
@PinkPetals1 25 күн бұрын
Da Hollo machozi yananitoka, kwa kweli huu ushuhuda umenigusa sana! Endelea kusimama imara, Mungu akubariki
@ZawadiMsitafa-iw2nj
@ZawadiMsitafa-iw2nj 25 күн бұрын
Asante sana Dada mzr maana nmepata nguvu tena🙏🙏 usimuache Mungu mapambano bado yapo tukiwa dunian
@gracekatani3669
@gracekatani3669 27 күн бұрын
Pole kwa uliyoyapitia dada Hollolina, hakika Mungu amekutendea.
@Mjita
@Mjita 26 күн бұрын
That is powerful, nimepitia changamoto kama hiyo ila Mungu alikuwa mwema baada ya kumwamini
@oliviaochieng.
@oliviaochieng. 29 күн бұрын
When you put God first, He will make your business His own...God is faithful!
@sahaniisack2215
@sahaniisack2215 28 күн бұрын
Siku zote Mungu huwa anatoa majibu....GOD IS ALWAYS GOOD
@TyemKEMusic
@TyemKEMusic 29 күн бұрын
People really go through stuff you look back and all you conclude is indeed there is a God in heaven
@carolineomori1032
@carolineomori1032 29 күн бұрын
Mami, Mungu akushikilie kabisa. This is a testimony of value, God is God, no doubt
@simonmbwambo3660
@simonmbwambo3660 29 күн бұрын
Hakika tungewezaje pasipo Bwana ushuda unagusa sana sana Hollo
@tabithadaudi5960
@tabithadaudi5960 28 күн бұрын
Very powerful,very touching 🥹🥹🥹🥹🥹Mungu atukuzwe sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@hakizimanameshack2123
@hakizimanameshack2123 29 күн бұрын
Amina mtumishi. MUNGU yupo asante kwa kushare
@injiliplus
@injiliplus 13 күн бұрын
Huwa wanaona kama wanatukomoa, tena wakijua ni wasabato nadhani huwa wanatukazia sana.
@sebastianmbazi2811
@sebastianmbazi2811 27 күн бұрын
Glory to God 🙏
@INNOCENTRWEYEMAMU-ur2no
@INNOCENTRWEYEMAMU-ur2no 28 күн бұрын
Nakumbuka sana ukiwa buzuruga sda nikiwa muimbaji wa kwaya ya kanisa.nikweli ukipenda sana kuimba na marafiki zako na ukiimba pia peke yako. Hakika Mungu hakuachi mtoto wake mwaminifu. Mungu akubariki sana
@MovieTide
@MovieTide 29 күн бұрын
Ameeen, what a powerful testimony "Tungewezaje pasipo bwana"
@abelmtinga.6324
@abelmtinga.6324 29 күн бұрын
Pole Sana mwanangu Kwa hayo yote. Lakini Hongera Sana Kwa kumtukuza Mungu Kwa ujasiri. Kwa kuwa ulimheshimu Mungu, atakuheshimisha Kwa mengi. Barikiwa Sana.
@shadmwendwa6035
@shadmwendwa6035 28 күн бұрын
This is emotional😢. May you keep on trusting on this true God🙏
@joytuvako5413
@joytuvako5413 29 күн бұрын
Powerful testimony Hollolina. Barikiwa sana unapoendelea kumtumikia Bwana.
@angelmwita8529
@angelmwita8529 29 күн бұрын
Powerful testimony dear Hollolina. Hakika ni Mungu tu. 🙏🙏
@akaniwa04tv35
@akaniwa04tv35 27 күн бұрын
Wimbo ni mzuri Sana nimesikiliza karibu Mara kumi
@atienovallary9154
@atienovallary9154 21 күн бұрын
Ameeen
@gracemlozi9692
@gracemlozi9692 28 күн бұрын
Soooo encouraging....God bless you
@ZawadiKaniugu
@ZawadiKaniugu 29 күн бұрын
Hakika Mungu anatenda🙏
@agnesrusanyu9459
@agnesrusanyu9459 29 күн бұрын
Mungu alitutendea rafiki yangu na bado anazidi kutenda,,,Mungu amekuwa mwema sana😊🙏🏾 #tungewezajepasipoBwana
@hollolinabago
@hollolinabago 28 күн бұрын
Amen Amen😊🙏🏾
@TheRacetoChosen
@TheRacetoChosen 29 күн бұрын
That! Testimony ❤
@mangalajr1476
@mangalajr1476 29 күн бұрын
Hakika tungewezaje pasipo Bwana
@mosesotieno2400
@mosesotieno2400 29 күн бұрын
Atukuzwe Mungu wetu
@LilianKiruiMusic
@LilianKiruiMusic 29 күн бұрын
blessings gal😍😍😍
@daudinyaruhucha6200
@daudinyaruhucha6200 24 күн бұрын
Pole ninaona maumivu kwa hawa wanaotumiwa na shetani kuumiza imani yetu
@pendosamuel7870
@pendosamuel7870 29 күн бұрын
Glory to God
@angeldaniel647
@angeldaniel647 Ай бұрын
Wonderful Testimony dear hollolina🙏
@jenifermgeyekwa356
@jenifermgeyekwa356 24 күн бұрын
Ushuhuda wako unafanana sana na wakwangu, siwezi kumwacha Bwana kirahis. Hakika nisingeweza pasipo Bwana.
@athanaskalihamwe3046
@athanaskalihamwe3046 Ай бұрын
Wonderful Testimony.
@victoriageofrey6154
@victoriageofrey6154 29 күн бұрын
God is so faithful🙏🙏🙏. Thank you LORD 💕 Be blessed dear😍
@felixkimeu5714
@felixkimeu5714 29 күн бұрын
Inspiring story. Amen. May God bless you and the ministry
@JoffreyMasud
@JoffreyMasud 29 күн бұрын
Kama hujapitia changmoto huwez muelewa Hutu dada
@rebeccamtinga
@rebeccamtinga 29 күн бұрын
Hakika Mungu huwapigania wanaosimama nae 🙌🏽 Very powerful testimony be blessed 🙏🏽🙏🏽
@mabulakayanda9579
@mabulakayanda9579 28 күн бұрын
Unalia lia nini ww kaza ala
@jenifermgeyekwa356
@jenifermgeyekwa356 24 күн бұрын
Kwakuwa huelewi
@injiliplus
@injiliplus 13 күн бұрын
I'M so angry with those stupid Lectures i don't even think kama hua wana angalia testmonies kama hizi, nnaujasiri sana, i would teach them who is my God.
#Live: SONGS & STORIES
1:26:27
Called To Serve
Рет қаралды 10 М.
TUNGEWEZAJE - Called To Serve Ministries - Official Music Video
4:42
Called To Serve
Рет қаралды 113 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 108 МЛН
터키아이스크림🇹🇷🍦Turkish ice cream #funny #shorts
00:26
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 26 МЛН
Omugole Namakula Juliet bimuwedeko kumukollo gwe Ogwo’Kwanjula Surprise abade tajisubila. Tateebye
43:35
wewunyiseomwagalwaawo Surprise your loved one
Рет қаралды 45 М.
Jitu || Balm Of Gilead Family || Official Video
5:28
The Balm of Gilead Family
Рет қаралды 2,7 М.
TUNGEWEZAJE-Testimony By Brother Japheth. Called To Serve Ministries.
5:49
What really happened between us and The Miranyi's
30:01
The Maangis
Рет қаралды 58 М.
TUNGEWEZAJE- Lyrics Video (storyline)- Called To Serve Ministries
4:06
Called To Serve
Рет қаралды 3,7 М.
Called to Serve Ministries- VIJANA Official Video
4:50
Called To Serve
Рет қаралды 82 М.
Средний палец и собака 🤯
0:25
FATA MORGANA
Рет қаралды 3,6 МЛН
She fell for his prank.
0:39
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 35 МЛН
ПРЕДСКАЗАТЕЛЬ БУДУЮЩЕГО
1:00
КиноХост
Рет қаралды 3,7 МЛН
Забота от брата 😂 #shorts
0:31
Julia Fun
Рет қаралды 6 МЛН
Забота от брата 😂 #shorts
0:31
Julia Fun
Рет қаралды 6 МЛН
37.First Day as a Zombie💀
0:32
Limekey0
Рет қаралды 9 МЛН