Tumebakiza Wazee Wachache wenye Uchungu ..Mungu Akupe Maisha Marefu..Warioba
@MathewNathan-yb2bzКүн бұрын
Mzee warioba uko sahihi na Mungu akubariki sana.
@DINASSOUR20 сағат бұрын
Siku za maamdamano ya wapinzani....jeshi huwa Lina taratibu ya kufanya usafi kwnye maeneo hayo wakiwa wamevaa sare😂
@muttae26 сағат бұрын
Changamoto ni moja tu Mzee wangu: Mauaji yasiyeleweka. Pia ni kama unakuwa neutral sana.Ukisema serikali unaitofautisha vipi na CCM make unasema CCM haihusiki bali ni Serikali inayohusika😅
@AgripinaKivike9 сағат бұрын
Ndio maana wenye akili tunakuheshimu sana mzee Mh! Warioba
@AdamMuhammad-c4p23 сағат бұрын
pia tusiwaingize viongozi wa dini kwenye siasa
@Peterchila-un2lx19 сағат бұрын
Sahihi Sana mheshimiwa jeshiii ni nidhamu utiiii uhodari uhaminifu
@paschalpaul38629 сағат бұрын
Ni sauti ya Mungu anayekataa nguvu za Mungu zitamuandama
@Madangaclassicwear13 сағат бұрын
Mzee anasema ukweli 😅😅😅
@PhilipoNjalikaКүн бұрын
God bless you mzee warioba always Facts remain
@dizzomontana721921 сағат бұрын
Mungu aku bariki mzee warioba kwa kutusemea wananch wako
@CalebThomas-ie4zy16 сағат бұрын
Mzee huwa anaongea point sana ila wahusika hawazingatii
@MirajiKhamis-f7b16 сағат бұрын
CCM mbelekwambele❤❤❤
@EBENEZER-z3jКүн бұрын
Jamani wangapi wamemwelewa huyu mzee wa fact
@adamlubawa128123 сағат бұрын
Mi SIJAMUELEWA NA NI VIZURI WAZEE WA AINA HII WANGEPUMZIKA TU KULA MAFAO YAKE ASITAFUTE UMAARUFU MUDA UMEISHA MTUPA MKONO WANAOJITOKEZA WOOTE NI WALEEEE WA KANNDA YA ZIWA
@GodfreyOsward22 сағат бұрын
@@adamlubawa1281Ni mzee akili yake na fikra ni Mtu Kijana. Wewe Kimwili ni Kijana, kwa mchango huu wako wewe ni kikongwe. Rejea 5 laws of human stupidity. Stupid people are dangerous. Na Mwandishi Ziphora. Zipo kwenye mtandao. Unaweza Kuangalia Season inaitwa Porus. Ni mchezo unaohusu Mfalme Alexander the Great. Na maono yake kutawala Dunia. Maono yake ya Zimwa na Mfalme Porus huko India ya Sasa Season inahasiki Tawala nyingi za Africa.
@LeonardBadili11 сағат бұрын
@@adamlubawa1281Nahisi umeguswa panapouma
@itanzaniaAS16 сағат бұрын
JWTZ HATUNA HAYO
@AmoIslamicTvКүн бұрын
😭😭😭😭😭 Taifa langu Jamani, Tanzania yangu nchi ya Wakarimu ila wanasiasa wanataka kutubadili nafsi zetu na kutufanya tuwe magaidi. Mzee umenilizaaaaaa😭😭😭
@nelsonnyamle22 сағат бұрын
Baba warioba mungu akupe maisha marefu wewe ni hazina ya taifa letu na msema ukweli
@hancybrouwn503222 сағат бұрын
Dah mzee mungu akupe uwai tuna wachache kama wew
@Melimeli771916 сағат бұрын
CCM wanadhani wakitukomoa ssis kupitia majeshi ndio maisha yao. Nakumbuka Tundulisu aliwahi kuwaambia kwamba pindi mtakapo wamaliza wao mtaanza kumalizana wenyewe, lkn tunaanza kuyaona Sasa, wanamalizana wao, na bado mtaendelea kumalizana, na kwa sababu mmeamua kuyaingiza majeshi, mtakuja kukichapa tu. Sie yetu macho. Mungu atupe maisha marefu. Nyie si mnaona mnatukomoa!! Na kwa uzoefu mchache tutaacha kuja kwenye chaguzi ili muendelee kupeana Ila kwenye utekelezaji hapo ndipo itakapo kuja kuwa shida huku mtaano
@maniamba.tz_Күн бұрын
Mzee ni adhina ya taifa
@alimohammed854021 сағат бұрын
Mzee unasema kweli lakini hiyo ni kwa bara tu zanzibar ni hilo jeshi unalolisema hua linapiga mizinga kwenye uchaguzi vifaru barabarani ,sasa labda bara jeshi ni jengine tafauti na jeshi lililopo zanzibar
@majaliwabwitonde6900Күн бұрын
Uzee wako unajenga uchumi, unasema vema. Mumgu akupe maisha marefu tukupate zaidi
@hajilanga8181Күн бұрын
Tunashukuru sana Mzee wetu!Kila Mtanzania mwenye kufikiri vizuri amekusikia uliyosema;pia kila Mtanzania mwenye kuwaza vizuri anajiuliza kwa nini haukuzungumza maneno haya kipindi cha uongozi wa Awamu ya tano? Mwenye kuwaza vizuri anajua ni zile 4R za Mh. Raid ndiyo zimekufanya uweze Kutoa hayo Maoni. Mungu Ibariki Tanzania
@khamisshaban470323 сағат бұрын
Ata awamu ya tano mbona kaongea mkuuuu
@mamboshepea888820 сағат бұрын
Acha uchawa....awamu ya tano huyu mzee hakuongea??!!
@johnmalembo646420 сағат бұрын
Wewe ni mgeni kwenye vyombo vya habari?...mbona aliongea sana hata habari za udiktrta na kuongeza muda wa utawala wa Rais.....huyu Mzee ni hazina kwa Taifa letu.....SI mnafiki Wala haogopi mtawala yeyote katika jambo lenye maslahi ya Taifa.....kama humjui Warioba amekuwa Waziri Mkuu, jaji Mkuu, mwanasheria Mkuu....n.k...ni mpenda haki na muwazi kwa awamu zote.....ameaminika Hadi kusimamia mchakato wa katiba Tz..... Usimfikirie poa....huyu ni 🔥 the big brain
@brytonstwange683321 сағат бұрын
Kutakuwa nadalili kuingiza jeshi kwenye uchaguzi hadi mzee huyu anatoka ujue tayariii
@CajerMomadeКүн бұрын
Ndiyo maana magufuli aliwaambia msiwashwe washwe
@hassanrashid-l3uКүн бұрын
Acha ujinga wew wanajeshi wanahusikaje kwenye uchaguzi?
@2000-j3i22 сағат бұрын
Kabisa na hakuthubutu kuzungumza huyu mzee
@GodfreyOsward22 сағат бұрын
Bora anayewashwa kuàkisha wajukuu zake na Nchi yao iko salama. Kuliko waoga watendao uovu Kwa Gizani.
@2000-j3i22 сағат бұрын
@@GodfreyOsward nchi iko salama mzee hata sasa
@GodfreyOsward21 сағат бұрын
@2000-j3i Amina, tunaiombea kila roho ya Mtanzania hutashi wa kutimiza Tumaini hilo, kizazi hata kizazi.
@SadickMuswadiko-mr9df9 сағат бұрын
Huyu mzee anachokonoa viongozi walioko madarakani kwa sasa,lakini enzi zao walitufanya watanzania tutembee bila viatu,sukari ilikuwa shida kuipata, nguo,sabuni,na mahitaji mengine mengi, hakuna aliye thubutu kuwachokonoa kama anavyo fanya sasa,huyu kampuuze kwani umri wake unaelekea magharibi hana hoja hata kidogo!
@paschalpaul386210 сағат бұрын
Tatizo linaanzia hapa askali fulani anapopata uteuzi mfano kuwa mkuu wa mkoa na mwingine lazima awe na kujipendekeza kisiasa ili apate uteuzi, walipaswa ccm waache kuwateua maaskali kwenye nafasi za kisiasa
@MkungwaNgwarumbwaКүн бұрын
Tanzania moja Taifa moja umoja wetu ndio urithi wetu, nchi ya vyama vingi yanini kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa kuna faida ipi ya kuchochea hisia za chuki na mifarakano baina yetu kisa maslahi binafsi ya wanasiasa, hapana hio sio vision ya Watanzania.
@AmoIslamicTvКүн бұрын
Brother unaakili sanaaa
@AmoIslamicTvКүн бұрын
Hawa wanasiasa wasituingize kwenye vita za kipuuzi kwa ajili ya matumbo Yao Watanzania tuamkeeeee jaman😭😭😭😭😭 naumia na taifa langu nalipenda tuamkee tuwakatae Hawa wanasiasa
@martinmollel13636 сағат бұрын
Tuone njia za kumpata CDF zinafanana na mchakato wa kumpata IGP?tuanzie hapo ili tujue tatizo linaanzia wapi
@paschalpaul386210 сағат бұрын
Huu ndiyo wokovu, mzee kama huyu siku akifa mwili unabaki tu pasipo kuoza
@HASSANWAZIRIGAO21 сағат бұрын
KWANINI WATU WA CHADEMA WANAPOTOA MATAMSHI MABAYA WEWE UKO KIMYA ?JESHI HALIWEZE KUKAA TU MAADUI WAPO WANDANI NA WA NJE MZEE WEWE HUJUI SHIDA MAASKOFU WAMETOA WARAKA HUJASEMA CHOCHOTE MBONA MAGUFULI ALIPOFANYA UKATILI UMEKAA KIMYAA HII TUNAPATA MASHAKA
@modestwenceslaus915 сағат бұрын
Eti hawana wele kura kwa urefu wa kamba yako😂😂😂🎉🎉🎉
@AmoIslamicTvКүн бұрын
Hawa ndo watu wenye akili nyingi washaona mbele, sio hawa viongozi wetu wasasaivi vijana wadogo wanajali Mitumbo yao tuu. Nalipenda Taifa langu sana maana ni taifa la ukarimu sana ila wanasiasa na do watatuingiza kwenye machafukooo
@KeiFerouz-fn9oc12 сағат бұрын
Huyu mzee anatumiwa na watu wajinga et aseme vitu ambavyo ni vya kijinga sana kaa utulie nyinyi ndy mliotufikisha hapa tulipo mliua viwanda vyote ungekuwa unajadili jinsi ya kubadili elimu tuliyonayo ambavyo Haina faida kwa jamii yetu
@hamzaabdallah86378 сағат бұрын
Wewe mzee walioba unasema nini? Hii ndo mbegu mliacha mmeipanda , sasa unalalama nini?? Ulitaka kuleta serikali 3, tukakataa, tunakujua unasumbuliwa na dini. Usituletee kaaa chini ulimaluza muda wako , tunakujua kundi lako wewe na Maria Sarungi na wapambe wenu mnampiga vita Raisi Samia . Kaa kimya uendelee kula pesa zetu za pension. Ulaaniwe wewe na familia yako
@christophermwampashe46523 сағат бұрын
MUNGU tunakuomba endelea kumpa uhai na afya njema mzee wetu Warioba ili tuendelee kupata USIA wake.
@GeraldRichard-lb9ej17 сағат бұрын
Kasema kweli polisi na siasa ni viwili tofauti
@Peterchila-un2lx15 сағат бұрын
Jwtz wanaume wa kazi ndio vitu viwili tofauti na siasa na siyo polisi watoto wa mama
@NassoroSipemba22 сағат бұрын
Mbona usemi tusiingize wachungaji kwenye siasa?
@2000-j3i22 сағат бұрын
Huyu mzee hakuthubutu kuzungumza kwa mjomba
@nelsonnyamle22 сағат бұрын
Siasa hata kwenye biblia ipo sema hufuatilii biblia
@dizzomontana721921 сағат бұрын
Ayo sema wewe
@tinejuxfrancis72921 сағат бұрын
Ile ilikua mashine inayojitambua coz wanao haribu nchii hii ni hao wasenge wasenge wa juu
@NassoroSipemba20 сағат бұрын
@tinejuxfrancis729 wanao jitambua unawajuwa wewe au unapenda uonekane ume coment tu kwenye media.
@shugakombo968314 сағат бұрын
Tumewashitukiza wana wapa uniform za police linauwa watu
@NassoroSipemba22 сағат бұрын
Wewe usimpangie amili jeshi mkuu jinsi ya kuyatumia majeshi yake.
@GodfreyOsward22 сағат бұрын
Kuonya na Kufundisha sio kuingilia. Vifo vya ovyo sio Utanzania. Raia hatupendi watu kufa ovyo. Raia kuawa ni sifa inayomfaidisha nani?.
@friarmbongemelodies566217 сағат бұрын
Weee ni mjinga
@Didaskamili15 сағат бұрын
Rais bashiru WA sudan aliamini jeshi lakini mwishowe aliangushwa
@AdamMuhammad-c4p23 сағат бұрын
kila nikiuangalia uso wako na nikisikiliza maneno yako nauona moyo wako
@seneu.212820 сағат бұрын
Huna lolote ni udini tuu umekujaa kichwani huwezi muelewa Mzee wa busara kama huyu😊
@YohanaPetro-xv9tp19 сағат бұрын
Mzee Umebakisha Seemu 1 Yavyombo Vya Habali Ambovyo Vimesahau Wajibu Wake Vimebaki Kuwa vyombo Vyakichawa Va Ccm
@AmoIslamicTvКүн бұрын
Watanzania tuamkee Hawa wanasiasa wasituingize kwenye vita za kipuuzi kwa ajili ya matumbo Yao, tulipende taifa letu
@mrjohn444623 сағат бұрын
Enforcement of Martial Law
@JustinJoseph-k2t23 сағат бұрын
Ni kweli mzee wetu huku kula kwa kamba huku
@SA-xj8hcКүн бұрын
Wacha unafiki Jeshi la TZ limetumika chaguzi zote kuua wananchi kisiwani Pemba mbona hatukusikia ukisema lolote? Ukataka usitake Samia ndio raisi kwa kupindi hichi. Wacheni udini.
@charlesmaestro1092Күн бұрын
Hao polisi sio jwtz
@dicksonkusagaКүн бұрын
Udini unao wewe kikwete alikuwa mkiristo na mwinyi udini uje kwa samia tu lione.baya
@zitongwang6278Күн бұрын
Tanzania itabaki ILA Samia atapika Tu , yupo wapi magufuli ??? Kaa Kwa kutulia
@bahatielias6443Күн бұрын
Tuipende nchi yetu,Hawa wanasiasa hupota tu ,Tanzania imekuwa yakutekwa ,uchaguzi mpaka uende na roho za watu,
@RomanMwinyiКүн бұрын
Usiwe kuma wewe
@SalumKihambwe22 сағат бұрын
Wazee maarufu na mashuhuri nchini (. Tanzania bara na visiwana)waitane kwa kutumia busara na hekima zao ili wamshauri rais nini kifanyike kuliokoa taifa katika hali hili inayoendelea hivi sasa.
@DenisRukangula20 сағат бұрын
Siku zote wale watu wa kristo uwa tuna neema kubwa sana
@thomaskwibonelwa924021 сағат бұрын
Msiposema, mawe yatasema. Sikio la kufa halisikii dawa. Ni sauti ya hekima. Na watawala walio vimbewa madaraka hawawezi kusikia.
@roudhamahmoud76321 сағат бұрын
Tahadhar kabla athar ni bora mzee
@DenisRukangula20 сағат бұрын
Mzee kwanini hakuwahi kuwa Rais jamani
@daudymlauletv848922 сағат бұрын
Wewe nawe hebu pumzika huko wewe Kila rais kwako ni hafai Sasa unataka nani awe rais Bora kwako kikwete hafai akaja magufuli hafai hata Samia hafai hebu tulia ule pesheni muacheni mama Samia apige kazi
@christopherkanyalakc894122 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@roudhamahmoud76321 сағат бұрын
Sasa mzee ulitaka mpaka watu wauwane ndo jeshi litaftane nafikiri serikali iko sahihi kuwa stand by
@seneu.212820 сағат бұрын
Wewe kinachokusumbua ni udini tuu huna lolote
@amalakh199020 сағат бұрын
Jeshi sio kazi yake .. kazi hio ni ya polisi na hawaruhusiki kupiga au kuuwa mwananchi kwasababu ya uchaguzi . 😢
@HansLameck13 сағат бұрын
Warioba
@hamzakimaro376421 сағат бұрын
wewe mzee umezeeka ulistaafu ukapumzike!!kama unataka siasa fungua chama chako cha siasa,acha kuchochea uvunjifu wa Amani!uchaguzi ulikuwa wazi na wa haki,hata wenye vyama vyao vya siasa wamelikiri hilo!!
@hamzakimaro376421 сағат бұрын
Kuna wakati yule bondia alikupomo mangumi ya kutosha!!!
@Kabwela776Күн бұрын
Tunataka jeshi limpindue Samia Bibi tozo muimba taarabu
@roudhamahmoud76321 сағат бұрын
Huyo mwenye cm inonguruma anatukera azime cm yake
@hajilanga8181Күн бұрын
Mwenye kuwaza vizuri anajua ni zile 4R za Mh. Rais ndiyo zimekufanya uweze Kutoa hayo Maoni. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Kazi Iendelee!! Mungu Ibariki Tanzania
@ghottaman257020 сағат бұрын
Mjomba wa taifa, apewe maua yake mapema.
@AbdulrahamanBakari-s6kКүн бұрын
Hawa wazee inawauma sana kuona Samia anaenda kuwa raisi Leo huyu mzee anaonyeaha zahirri kua ana CHUKI msiwe hivo mwacheni huyo mama akawe rais amalizie
@dicksonkusagaКүн бұрын
Wewe usiye na chuki unataka huyo mama yako awe mara ngapi na una masirahi gani huko akiwa raisi twambie.
@zitongwang6278Күн бұрын
Wapi wew , huyu Mzee ANAONA siku zake sio nyingi tatizo na MATAHIRA kama wew ndio mtaseka sanA , mwache Mzee awape kidogo hekima MATAHIRA
@JomoKilaweКүн бұрын
Ukwel Usisemwe?
@adamlubawa128123 сағат бұрын
Hana hekima yeyote sasa na MALECERA AJE ASEME MKUUU WA JESHI NAE AJE ASEME YEYE AKUBALI TU KILA ZAMA NA KITABU CHAKE
@AhmedMuhammad-b5n22 сағат бұрын
@@adamlubawa1281kweli wew ni msenge
@CajerMomadeКүн бұрын
Mzee huyu anaumia sana na udini sana akimuona rais anafanya kazi
@adamlubawa128123 сағат бұрын
Huyu na Tibaijuka UDINI UPO MBELE KULIKO MASLAHI YA NCHI
@Werema376022 сағат бұрын
Tatizo ni ufaham wako. Hopeless.
@barrynzeyimana6270Күн бұрын
Je, kipindi cha walioba akiwa waziri alitumia vyombo kivipi?
@zainabzanzibar1518Күн бұрын
Usiumize kichwa ndio wale wale
@melanialeonard403122 сағат бұрын
Ni kila mtu na mda wake
@mohamedmussa317422 сағат бұрын
kwani nani kaliingiza kwenye siasa jamani hilo jeshi la wananchi
@JumanneKigori-fm1nn21 сағат бұрын
Je,uko nchi gani Kwa sasa
@RomanMwinyiКүн бұрын
Laisi kama ameshindwa kaziii aondoke asialibu tz yetuu
@zitongwang6278Күн бұрын
Tatizo Bibi alishasema amekuwa CHURA
@AdamMuhammad-c4p23 сағат бұрын
pia viongozi wa dini kazi yao sio za kisiasa
@GodfreyOsward22 сағат бұрын
Nchi ya Malawi ni Askofu. Gwajima je ni mchungaji.
@aminattai2676Күн бұрын
We mzee usisahau makonda bado yupo ndio anaekuweza,nchi yoyote kama kuna watu wanohisi nchi ni kama majumbani mwao au kulea familia zao ilo halipo sawa,kauli za viongozi wengine lazima uzifanyie kazi usisubiri mpaka uvunjifu wa amani itokee ndio utafute mchawi ni nani,inatakiwa usome alama za nyakati wapinzani wanajaribu kujitekenya wenyewe kisha wanacheka wenyewe
@josephjulio6112Күн бұрын
Tutawaliwe tu na jeshi maana Tanzania siasa zimekua za maji taka
@bahatielias6443Күн бұрын
Umejenga hoja gani hapa? Je nikuulize swali Mzee Yuko sahihi au amekosea?
@RomanMwinyiКүн бұрын
We usiwe kumawe laisii atufah
@RomanMwinyiКүн бұрын
Uyuu jamaa sijui kaongea nn awa ndio wasenge tuliojaliwa Tanzania wasenge wengii adii ichiii unaenda kua masikini
@mubaraqotyeno906121 сағат бұрын
Sad truth
@shabanikitogo661321 сағат бұрын
Mzee upo sahihhi ila swali kwako mbona wakati wa magu ukusema wakati mambo hayo yalikuwepo?
@muttae26 сағат бұрын
😂😂😂
@ndukulusudikucho_23 сағат бұрын
Kila kitu Kiko Sawa mzee Warioba, kula pension yako Sasa, tuko salama Saaana
@petersilas4234Күн бұрын
Sasa unda tume ya kuunda vyama imara vya siasa kwanza. Hivi vyama vya upinzani ni vidhaifu, huo ndio ukweli. Lowasa aliwapa umaarufu Chadema wakajisahau wakafikiri ni umaarufu wa chama. CCM isaidie kuunda chama imara Cha upinzani. Ukweli ni kwamba Wananchi hawaiwezi kukabidhi nchi inayoenda vizuri kwa watu wasiowafahamu. Ni muhimu kuwa na upinzani unaoweza kuwa imara na wenye sera mbadala za kuaminika. Hata nyie wazee mnaweza kujiunga na upinzani kuuimarisha kama mnaupenda. Ila kwa nchi zetu hizi changa Chinese model ndio inatufaa. So far tunakwenda vizuri kiuchumi na tukiweza ku-maintain mwelekeo huu tutazizidi nchi zote zinazotuzunguka. Pana mambo ambayo tukiyaendekeza tutarudi nyuma. Tutumie akili zaidi kuliko hisia.
@gaspermatovu2899Күн бұрын
We matako tu, unawaza kwa makalio, jitathimini
@bahatielias6443Күн бұрын
Hivi wewe matako unaingia hata nusu Kwa mzee huyu? Uchaguzi gani mpaka uondoke na roho za watu, Mzee anasema hoja za maana halafu unaleta usenge hapa
@RomanMwinyiКүн бұрын
We una taka uimala gani wakatii awaja shika dola wenye dola wauni we vp
@RomanMwinyiКүн бұрын
Sasa uzaifuu wa vyaama nn au we una tak wafanyaje wakatii wana engua wagombea Sasa we una taka uimala gani
@petersilas423421 сағат бұрын
Fanya utafiti binafsi vijijini utagundua kwamba suala si kuenguliwa, sehemu kubwa hawapo wapinzani au wamezuka tu kugombea kwa kuombwa. @@RomanMwinyi
@HarunakiongoziMohamed23 сағат бұрын
We naye siupumzike au.unafanya kazi ya nani,mbona mawazir wakuu wa staff hawa hangaiki na siasa,hatumsikii,malechela,sumaye hata pinda yupo kimya,mbona wewe haupumziki?,mimi si kuelewi nia yako halafu awamu ya 5 ulikuaga kimya,mheshimiwa kwa xx ungepumzika,kama mimi wakati nasoma miaka ya 1980 huko nakusikia mpa leo,hii ni shida kabisa