@@shabanihugo8332 kwani wana faida gani!! Ukiwa tunajenga wao wanabomoa! wanawezaje kuwa upande wetu!?
@AbelCharles-co6qbАй бұрын
Tena Hadharan...pumbav kabisa
@allysimu6856Ай бұрын
Ichokikundi kidogo Cha ugaidi piga shaba maishamengine yaendelee
@dr.leontineluganuzabernard6454Ай бұрын
Wewe ndiye Mwandishi Miongoni Mwa First 5 inspirational Journalists
@emmanuelmkama3000Ай бұрын
Huyu si ndo yule alitoa andiko kuwa Magu alikopa sana? Huyu mnafiki tu, namshangaa leo anasifia.
@njemamehuna9821Ай бұрын
Huyu ni mwandishi mpuuzi kuliko wote,kama akipatikana kiongozi makini huyu ni kufunga kabisa
@habibumdetele6530Ай бұрын
@@emmanuelmkama3000wewe ndio mwizi wa nyaya😢
@emmanuelmkama3000Ай бұрын
@habibumdetele6530 napinga uharibifu wa wa miundo mbinu na naunga hoja ya huyu mwandishi uchwara, ila napinga unafiki wake. Kwanini alikuwa anapinga mikopo enzi za JPM? Au kwakuwa alikuwa hampendi? Au anadhani hii treni aliyopanda imejiotesha yenyewe bila ya juhudi za JPM?
@AlbertAlfred-i1uАй бұрын
1.Hii nchi ifikie mahara itwafitwe namna ya kupandikiza uzalendo Kwa watu, watu waipende inchi Yao 2.Tusibembelezane kwenye vitu vya msingi na vinavyogusa maisha ya watu.
@handenitakuru6696Ай бұрын
Mfano uwe kwa viongozi wetu kama hao viongozi tunao wategemea ndio wahalifu wa mali za umma unadhani mwananchi wakawaida atafanyaje kaka
@KulwaKulwa-ve3wsАй бұрын
Wanyongwe wakikamatwa mnalea matatizo
@htx1873Ай бұрын
A Wonderful point from him , CCTV CAMERAS is the best solution out there , in USA cameras are everywhere .
@ShukurkollAngelАй бұрын
Ni kweli kabisa, tujitahidi nasi wananchi tuwe wakali kuhusu watu wanaotaka kutuhujumu.
@piusmusigula3512Ай бұрын
Mnalalamika sana. Weka Sheria Kali ya kufungwa maisha Kwa anayehusika kuhujumu miundombinu ya kitaifa.
@FatumaMohamedi-t6tАй бұрын
Usimamiz mzur mbona wabakaj wanafungwa ndio wanaendelea kabak kila siku.
@MoreenMapenziАй бұрын
Achaneni na mambo ya laana,ekeni mikakati ya usalama,iba uwawa.
@EzekielMbiseАй бұрын
Tunaomba kujua muundo wa copper ya sgr ili tuifahamu tushirikiane kuwakamata wahalifu
@pjeremiah7437Ай бұрын
Nimekwele sana mzee wangu
@DiannaMbokaАй бұрын
Hapo kwenye camera umenena vyema,,pia na sheria ziwe Kali ikiwezekana wanyongwe,,kwa sababu inaweza kujakuleta ajali mbaya cna😮
@kamwagamwanjale1575Ай бұрын
Viwanda vyote vinavyokutwa na vifaa ambavyo vimetolewa kwenye miundo mbinu hatua za kutaifisha na wahusika hatua kali zichukuliwe si kufungwa bali 😊 mbele zaidi
@EmanuelMuna-w2qАй бұрын
Kila mtanzania au raia yeyote anayeishi Tanzania, ambapo reli hii ya kisasa ya SGR inapita, anaelewa kwa kiasi kikubwa sana umuhimu wa reli, halikadhalika elimu iliishatolewa kwa watanzani na watu wote waishio pembezoni mwa reli kabla hata ya shirika la reli halijaanza na huduma hizi za reli ya SGR. Hayo matukio yote yaliyofanywa na hawo wahalifu wakishirikiana na wenye viwanda vya uzalishaji wa nondo kutumia chuma kavu, halikadhalika wizi na ukataji wa nyaya za shaba na kuwauzia wenye viwanda wanaotumia shaba kavu ni uhalifu unaofanywa kwa makusudi makubwa sana. Tumekuwa tukijadiliana mara nyingi sana, tangu haya matukio ya udokozi na wizi wa nyaya, uzio wa njia ya reli yalivyoanaza na kuanza hata kungóa reli ili kuwauzia watu wenye viwanda vya uzalishaji chuma na shaba vinavyotuia mali ghafi aidha chuma kavu au shaba kavu, lakini hadi leo hakuna mpango wowote wa kikakati uliowekwa au sheria kali iliyotungwa na kuanza kutumika, ili kudhibiti huu uharibifu mkubwa sana unaofanywa na baadhi ya walafi wa utajiri wakishirikiana na watu wengine wenye akili pungufu sana. Uamuzi wa kuweka kamera za CCTV katika njia ya reli yote unahitaji uwekezaji (investment), ambao uamuzi wake unaweza kuchukua muda mrefu kidogo, kwani huo utakuwa mradi wa ziada wa kudhibiti miundombinu hiyo ambao utahitaji bajeti tofauti toka serikali kuu. Lakini jambo la kuweka sheria kali ili kudhibiti uharibifu huu kama ambao umekuwa ukijadiliwa mara kadhaa na wanasheria wengi nguli, ungeweza kutekelezwa haraka sana, hata kabla ya kumalizika ujenzi wa reli hii. Mimi napendekeza adhabu iwe kali sana. Adhabu ya chini iwe kifungo cha miaka 30 jela, halikadhalika kulipia gharama yote ilojitokeza kwa ajili ya uharibifu huo mkubwa (minimum sentence of 30 years imprisonment plus all cost). Tukiendelea kuwaonea huruma hawa wahalifu wakubwa au kuendelea na mijadala mingi mitandaoni, inawezekana siku moja kuona ajali mbaya sana ikitokea kutokana na uharibifu unaofanywa na hawa walafi wa utajiri. Wengi wao amabo wanauza hiyo shaba kavu nchini Zambia, na hatimaye kuichakata huko kuileta na kuiuza shaba hiyo nchini Tanzania, kwa wenye viwanda vinavyotumia shaba kavu kama mali ghafi ya uzalishaji.
@jayjay4313Ай бұрын
Piga risasi hao mbwa mwitu, ama wekeni shoti ya kulipuka jambaka, akigusa tu, anakuwa mfano, Boom 💥 😂
@JacksonMtese-gn4soАй бұрын
God bless Tanzania
@gilbertshirima2684Ай бұрын
Watekwe na kupigwa risasi
@jeremiaaugustino7187Ай бұрын
mwizi hawazi laana......kuiweni serious na azabu..................
@ototek8037Ай бұрын
Et mwizi alaanike na serikali😂
@julianagowele9163Ай бұрын
Wagharimie tu kuweka CAMERA . SISI BINADAM NI WA AJABU SANA
@Maggie-yx8pwАй бұрын
Kamata woote tia ndani na filisi Biashara yake 📌
@Maggie-yx8pwАй бұрын
Aibu kwa Tanzania 😢😢😢
@IddNgakondaАй бұрын
Safi sana mzalendo!
@AmaniKizinga-ew9mkАй бұрын
Mpaka itokee ajali ndio watachukua hatua,, NCHI hii bhana
@ayoublupande3007Ай бұрын
😢 Siyo vizuri kiukwel lkn nanyinyi muondoe hiyo hali ya kusimama mara kwa mara hii TREN kiukwel mnatudhalilisha sana😅mara mnasingizia nyani mara ndege cyo vzr 😅
@helpers10Ай бұрын
Lete nyaya zetu au twende mahakamani?? Naona mnataka kuanza kuomba dua kwenye issue ya SGR. TRC wanahitaji kufungua kitengo Cha Polisi. TRC Polisi na muwape Magari. Ukiangalia njia nzima ya SGR Kuna access road. Kwanini msiweke TRC Polisi na magari wawe wanafanya doria?? You need to act proactively!! Tatizo Sio Sheria bwana miwani, tatizo la Tanzania ni enforcement ya hizo Sheria.
@am2323tzeАй бұрын
Aa as hiyo laini jela tu
@sadatlucas4045Ай бұрын
@helpers10 Ameongea kitu safi sana ….🎉 highlighted
@NedjadistАй бұрын
Au pengine Watanzania hawajafikia akili za kujali kuhifadhi vitu hivi.😊
@DudaSafarisAdventuresАй бұрын
Well done Kiongozi
@marryeliasmarryelias9289Ай бұрын
Wekeni camera 🤳📸 kwenye njia ya trn
@MarcBoniphace-lj8lzАй бұрын
Uzarendo unaitajika sana kuijenga Tanzania yetu maendeleo kwa vitendo tukishirikiana na serikari
@luggylugano5538Ай бұрын
Wekeni security hata camera
@bensonnkya3978Ай бұрын
Weka sheria kali sana ya wahujumu wa hii miundo mbinu. Pia ajiri wardens wa reli kila mahali.
@Selemlaki132Ай бұрын
Hao inafaa itungwe Sheria ya kunyonga
@sonarahashim5329Ай бұрын
Wataiba camera kwanza
@MasaweMasawe-r5bАй бұрын
Camera zitazimwa tuu
@MichaelBruno-zy8ffАй бұрын
Serikari inawachekea waalifu sana piga adhabu kubwa Kama kifungo Cha miaka 10+
@charlesmayilla2926Ай бұрын
Tatizo la namna hii lazima tuwe na mitazamo ya aina zote,1 kuhujumu miundo mbinu 2 kukosa elimu ya kutosha 3 kuwa na taskforce investigator team kufuatilia kwa kina nani yuko nyuma ya hawa wahujumu
@HajiKlein-so1rkАй бұрын
Mimi nawachukia hao jamaa fungeni camera hiyo ni hasara pia inahatalisha maisha ya watu
@BarakaKusalulaАй бұрын
Hao ni wahujumu Uchumi pigeni risasi hao watu mbona mnawachekea hovyo hovyo😏😏😏
@rahabnkya8276Ай бұрын
Kiukweli ni uchungu ulioje, mi ninatamani kupanda treni kwani sijawahi, Sasa kama Hawa JAMAAANI wa vyuma chakavu si waonee watoto wetu hurumaaa mana hawapanda treni hizo kwa miaka na miaka IJAYO. Ni shidaaaaa tupu.
@fredgongaАй бұрын
Inchi hii inahitaji Uzalendo ufundishwe toka chekechea, china unyongwa tu
@clevermngao7565Ай бұрын
Wanyongwe tu na wanyongwe tena!!
@barneymunuo5659Ай бұрын
Kamata piga risasi chain nzima mnalalamika nini serikali mbona wapinzani mnajua namna ya kuwadhibiti 😢
@bwagizoselemani8434Ай бұрын
Wanajesh wapo weng sana huko makambin waambien waweke ulinz wa kutosha maana wapo tu nnch hii haina vita wapen kaz hiyo wapige kaz
@Ovely956Ай бұрын
Toweni ruksa bhna tukiwaona tuwafanye nn 😢
@justardzelphine6526Ай бұрын
Serikali inashirikiana na hivi viwanda ujangiri! Serikali wanajua! Polisi wako busy na siasa na kura, basi
@saynabmohammed6263Ай бұрын
Sawa kabisa ipo sahihi
@ErnestJosephatАй бұрын
HIYO TRENI SIPANDI KABISAAA!!NAONA INATAKA KUUWA WATU KWA KINAVHOENDELEA
@rockygappi1018Ай бұрын
😂😂😂...wala usipande kapande tu unachotaka kupanda lakini nacho chaweza kukutoa roho
@GodfreyIslaelАй бұрын
Unapanda unaenda wapi acha ushamba
@ErnestJosephatАй бұрын
@@GodfreyIslael NGUDAMBWA WAMEAMKA😂
@ErnestJosephatАй бұрын
@@rockygappi1018 NGUDAMBWA WANGU UMEAMKA😂😂
@rockygappi1018Ай бұрын
@ErnestJosephat Mashigamvwa upoo??😂😂😂 Kapande guta au pawa tila za kijijini kwenu ulizozizoea zikutoe roho mwana hizaya mkubwa mpinga maendeleo 😂😂😂
@kalumunakalumuna7403Ай бұрын
Wakikamatwa hao wahalifu wafungwe maisha na adhabu nzito.
@DavidSemu-gu6wpАй бұрын
TRC mnafanya biashara nzuri sana na yenye faida kubwa, vipi mshindwe kuweka mifumo imara ya kiulinzi kama electric fance etc vinginevyo mtapoteza wateja ambao tayari wanaridhika na huduma fanyeni utafiti juu ya ulinzi mna maadui wengi mlio wanyanganya biashara zao.
@RedemptaJorojickАй бұрын
Kwa mwandishi makubwa KILA MMOJA TURUDISHE UZARENDO WA KWELI
@AnethElias-s9rАй бұрын
Muweke camera zakutosha
@bellam.vyampi5528Ай бұрын
Pelekeni sheria bungeni ya kuruhusu wanaotekeleza hujuma hizo,wapigwe risasi mala moja.
@henrysangiwa1731Ай бұрын
Wekeni camera
@AmaniMathodАй бұрын
HAPA WEKENI SHERIA MWIZI AKIKAMATWA AUWAWE HAPO HAPO....ANGE KUWA MAGUFULI ANGEWEKA SHERIA KALI SANA....HAPO POLISI MSIWE NA HULUMA....
@LASTBORN-MEDIAАй бұрын
msitusingizie😢 ni nyani afande😂
@latenitepianoАй бұрын
😳 Tangu lini karne hii ya sasa nchi ina jenga reli ya njia moja, halafu itegemee ku hudumia nchi nyingi za jirani kwa njia moja? Really 🤔😏?
@edwardlesian9318Ай бұрын
Why Arusha unazingua sasa
@peterdamas1606Ай бұрын
Ulinzi ufanywe pia kwa herocopter Mara kwa mara
@yordanyona8663Ай бұрын
Camera Muhimu sana
@eddechriss2664Ай бұрын
Serikali acheni kulalamika bhana kila kitu kipo chini yenu iweje vitu vidogovidogo km hvi mnashindwa ku control
@brayanjames9953Ай бұрын
Wapewe wanajeshi walinde uwone ita kaaaaa miaka 100
@anthonygikuriАй бұрын
Kwa Watanzania mpaka siku ajali itokee ndiyo utaona kila mtu anaaanza kulalamika....
@matukutajuma156Ай бұрын
MAGUFULI ANGEKUWA HAI SIJUI ANGECHUKUWA HATUWA GANI KWA HAO WAHUJUMU!! 😢
@HansTobias-n8qАй бұрын
Acha😢mambo laana watakae kamatwa na wao wakatwe mikono one time ili iwe mfano kwa wengine
@SelemaniMndai-ox8dyАй бұрын
Sio kukwata mikoni. Unatoboa macho
@Soud-js8mcАй бұрын
Wafuateni hao wanainunua tia ndani
@mathossecuritycompanyltd6306Ай бұрын
Iwekwe Sheria Kali,akikamatwa mtu hapo apigwe lisasi, lakin ukiweka Maneno bila hatua, binadam hawajali lazima uweke Sheria ya kuhofisha
@davidwalalason7630Ай бұрын
Sio uhujumu, ni njaa wako nayo na suluhisho na muangalilie nafasi za kazi
@SophiaAthumani-ri4luАй бұрын
Naomba kikosi Polisi kisambaazwe kwenye hiyo Miundombinu na la pili ikitokea amekamatwa mwizi sheria iwe kifungo na kufilisiwa kwa pamoja ili iwe fundisho kwa wengine.
@arnold9406Ай бұрын
Laana inatoka Kwa maji ya chumvi yakichanganwa na kinyei cha ngombe. Dawa ya hao wezi ni kuchinjwa Tu.
@am2323tzeАй бұрын
Wakamateni na waende jela maisha au wanyongwe. Hao ni wanyama si binadamu
@Kan-q6l1nАй бұрын
Naomba Watanzania kwa hili tushirikiane kufichua waharifu wa miundombinu hii. Na serikali acheni huruma. Tandika risasi adharani wakifa wawili adharani mtaona kama kuna mtu atajaribu tena.
@johnssaimon450Ай бұрын
Angekuwepo mzee magufuri wasingesogelea hata kugusa hiyo leri,aibu sana hiii
@SelemaniMndai-ox8dyАй бұрын
Umeonaeeee Tatizo msimamo mkari anaekamata ataje mmoja baada ya mwingine na azabu Kari hazarani akuna atakae subutu
@SophiaAthumani-ri4luАй бұрын
Hawa watu watasababisha abiria kuogopa kupanda treni ambayo wengi tuliifurahia jamani wadhibitiwe haraka.
@MAGARITanzaniaАй бұрын
Atakae numua waya ya SGR afilisiwe
@kaminambehoАй бұрын
Wekeni sheria akikamatwa anapigwa risasi mbele ya watu ili wajue kama nikifanya hivi nitakufa
@ghottaman2570Ай бұрын
Mama onyesha show kidogo kua kama mjomba kiduku, piga Risasi azarani tena pare Uwanja wa Uhuru, watakuja kuhua watu ajari yake iyo chombo aina majerui sijui wangapi akuna wote kifo, kwa sisi wa mjini mbaka Nyumba twende.
@BradothAdmАй бұрын
Serikali uweke ulinzi mkali na atakae bainika ufungwe maisha pamoja na kulipa garama ya uharibifu alio ufanya ni jambo lisilo vumilika watu wanapata wepesi wa safari hawataki maendeleo
@kibbysaidi7813Ай бұрын
I wish mambo yangekuwa rahisi hivyo. Jaribu kufikiria nje ya box la maneno hayo. Kumbuka mwanzo tuliambiwa ni ngedere na bundi. Sasa limezuka la uhujumu. Kila treni likisimama mwanzo hatukupewa sababu...je walishindwa kusema ni wizi wa nyaya. Juzi tumeambiwa umeme ulikatika grid ya taifa na mikoa kadhaa ilikosa umeme...je ni huo huo wizi wa nyaya? Hakika tunaloambiwa sio ukweli kamili...
@Tanzaniayangu-g8vАй бұрын
Hawa wanaofanya hivi hakuna haja ya kuwahurumia wakikamatwa ni kulipa faini na kufungwa.
@storytownTvАй бұрын
Shida inaanzia serikalini ,hamna heshima na nidhamu wenyew mnategemea wananchi watakuwa na nidhamu mbona kwa Magufuli nidhamu ilikuwepo hata wananchi walikuwa wanaofu yakufanya uhalifu
@abubakarbonda653Ай бұрын
kwa kweli ni mtihani mkubwa
@focusmalam2924Ай бұрын
Piga risasi mshaonya vyakutosha,Ingekua hamjaonya tungewalaumu,Lazma onyo kali lifanyike
@michaelsimon4707Ай бұрын
Wanaoharibu miundo mbinu ya taifa wanyongwe haina haja ya kuwa na huruma nao
@johnmwambire619823 күн бұрын
Wakenya wanaharibu miundo mbinu yetu kwa sababu ya wivu
@roberttarimo4956Ай бұрын
Kifungo cha miaka 30, acheni maneno
@carolicarlos8699Ай бұрын
Hii imewauzi sana wa tz embu hili jambo lifanywe haraka kuwekewa Adhabu kubwa na mtu akishikwa awekwe adharani na adhabu iwe ya haraka kwa ajili ya wengine
@latifalayla9990Ай бұрын
Ebu usiongee issue ya huruma pls. Mmemkamata mtu huyo hukumu ni hapo kw hapo Hakuna huruma km yy asivyokuwa na huruma.
@EliasJakobo-j9iАй бұрын
Kwel kbx huu ni ujinga yaan mtu anaiba ama kuhalib mfumo ambao anajua atagalim maisha ya watu
@Aziz-p6sАй бұрын
Mnabembeleza. Hamko sirias
@bashirbaruan3969Ай бұрын
Rais lazima awe mkali kwa watendaji
@kabhikachambala3392Ай бұрын
Kuna watu ni washamba sana kwenye jamii.
@suleimanjokoroАй бұрын
Tuwe makini pia na majirani zetu,wanaweza kutumia njia hiyo kutuhujumu,kuna nchi jirani inakonda sana na sgr ya Tz(ingawa si wote).
@SylvesterKameoАй бұрын
Wizi sasa ni janga la kitaifa! Wamefanya mazoezi kwenye kuiba kura wakafanikiwa, sasa wamehamia kwenye nyaya za SGR! Zote ni hujuma. Kweli mdharau mwiba guu huota tende!
@Ndu-wa.uroony2Ай бұрын
Mbona nyinyi pia kwa ulafi mnaiba mabilioni ya miradi?
@SakinaValyАй бұрын
Ukiitwa utaeleza???
@geeva99Ай бұрын
Alice nunua na aliyeuza death penalty
@benimlisa6056Ай бұрын
Shika awo wote wekeni ndani...
@julianagowele9163Ай бұрын
Kabisa
@tumainielmaruwa3148Ай бұрын
Dawa yakudhibiti huu wizi nikila anaye husika na huu wizi kitu jeshi la polisi wanamfanyia akirudi anakuwa anawakanya wenzake yaani aone kaburi hili hapa alafu arudi duniani. Watanzania hatuwezi ishi kwa wizi wizi ni laana kwa kizazi
@allymohamed2724Ай бұрын
SHERIA TU HAPO. KIFUNGO CHA MAISHA, BILA MSAMAHA. GHARAMA SIO TATIZO, TATIZO NI MAISHA YA WATU.
@DismasMaturineАй бұрын
Zifungwe camera wakikamatwa wanyongwe , kweli watu hawana huruma
@godlovemasamakibatandu2092Ай бұрын
Sheria zenu hizo mtakitumia na polisi wenu kupeleka watu hivyo vitu na kuwakamata kuwabambikizia kesi.