Amina. Hapo Yesu atakapoita... atakusanya ngano ghalani.
@keziah1454 Жыл бұрын
I am not Adventist, but i imagine heaven will sound like this. Much love from Kenya
@TrizzahMbokw-tt9kx Жыл бұрын
the feeling is heaven 😊😌
@andrewkibor9581 Жыл бұрын
And that's not the best part... The better part is that we may not be able to fully capture how it will be then and odds are that it will be much better.
@juliusosoroomwoyo884811 ай бұрын
Thanks You can become one through prayer
@tomonyancha63019 ай бұрын
He tells us that eye had not seen nor ear heard, neither hath it entered into the heart of man the things which God hath prepared for those that love Him. @@andrewkibor9581
@jacktanjackson6434Ай бұрын
Bwana Yesu akufunulie yaliyo mapenzi yake upate kumjua na kwa nguvu na uweza wa Roho wake Bwana akusadikishe upate kumkiri ya kwamba Yesu ni Mwokozi
@kahematv548 Жыл бұрын
Ngoja tuendelee kubarikiwa
@samwelgwitaba6454 Жыл бұрын
kiukwel now kirumba SDA choir MUNGU amewainua mnoo kwenye uimbaj had nataman nirud Mwanza@last 2015,, daaah mubarkiwe watumish wa BABA
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Barikiwa sana Samwel, Karibu Mwanza
@samwelgwitaba6454 Жыл бұрын
@@kirumbaadventistchoirkac6823 🙏🙏nitakarbia tenaa naiman hvyo mtumishi,, bt MUNGU aendelee kuwainua milele zote
@ruckiadadi7998 Жыл бұрын
Sauti zinasikika vyombo ni vingi vinapigwa ki ustadi huyo mtt naye ana sauti nzuri ki ujumla mbarikiwe sana sana
@studionaradachannel-2peter128 Жыл бұрын
TUNAWAPENDA SANA @KIRUMBA SDA CHOIR BARIKIWA MILELE tuna wa miss sana, Producer from Hallelujah Family Choir-Rwanda
@sylvestermavanza1154 Жыл бұрын
Niliwahi kutamani kuwa na uimbaji wa viwango hivi nchini kwetu na katika kanisa letu. Matamanio yangu yamefikiwa. This is just a wonderful rendition. Mbarikiwe sana.
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Barikiwa zaidi Elder, Endelea kuiombea hii kazi
@josephsebastian-km5mg11 ай бұрын
Mungu atukuzwe
@LenaAst-lj8dg9 ай бұрын
Дорогие братья и сестри во Христе Ви благословени Славя Христа Прошу вас молитесь за Украину Благодарим вас🇺🇦❤️🙏
@user-cherringpage5 ай бұрын
Да поможет вам Господь
@millionaire_mentor_ndobandola4 ай бұрын
I pray for UKRAINE
@kirumbaadventistchoirkac68234 ай бұрын
We are praying for Ukraine 🇺🇦
@actormtewele2260 Жыл бұрын
BWANA Yesu asifiwe sana. Huu ndiyo Muziki wetu sisi Waadventista Wasabato. Midundo ya Rock, Jazz, Reggae, Blues kwa aina yake ni UPAGANI MKUBWA. Sisi tumepewa ujumbe Maalum kabisa kwa sayari hii ya Dunia, Ujumbe wa Malaika wa Tatu. Hatutakiwi kuimba nyimbo zikiwa na Muziki wa Kidunia.
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Endelea kubarikiwa, share na jirani yako pia.
@LuhanyaMipawantobi-pj1iu Жыл бұрын
Kwani kunamziki wakimbinguni hapa dunian!!! Ila nyie!!!
@dannysengata22984 ай бұрын
Hiyo wanayo piga hapo niaina gani ya mziki kama wewe unajua
@actormtewele22603 ай бұрын
@@dannysengata2298 Ndugu yangu acha kwanza kula Nguruwe ndiyo utaelewa.
@phyniacerungu5368 Жыл бұрын
Hivi ndivyo kanisa langu hufanya..... Kirumba you are very serious. Hiki ndicho kwaya zote za kiadventista zapaswa kufanya. Mbarikiwe mnoooooo......nasubiri full episod nibarikiwe zaidi. Kirumba you are the Best🔥👏👏
Sasa huu ni muziki🔥🔥 najifunza mengi toka kweny wapendwa Mzidi kumwimbia Bwana
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amina mtumishi
@actormtewele2260 Жыл бұрын
BWANA yuko upande wetu. Tutashinda Kwa msaada wa Bwana. Ule Muziki wa Kipagani unaong'ang'aniwa na baadhi yetu Tena ajabu wengine ni viongozi utakoma Kwa Jina la Yesu.
@iddysarya1880 Жыл бұрын
Bwana azidi kuwabariki kwa huduma hii makini ya uimbaji mzuri
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen
@maureenotieno6506 Жыл бұрын
Watching from Kenya wauuuuw this is good music to God be glory
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen Amen, be blessed..
@obirinaom9611 Жыл бұрын
My mom uses to sing to us this song every Friday night preparing for our sabbath,long live mama,such bring ur sweet memories jinsi ulivyonilea❤❤❤❤❤
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Oh Amen Amen.
@GuelordGuelord-wp9nl11 ай бұрын
Glory glory glory to the lamb. Helo, my name's guelord, I'm Adventist from Drc. I'm always amazed and blessed by this sound. May God bless you more. MUBARIKIWE
@kirumbaadventistchoirkac682311 ай бұрын
Amen
@enockonyango8180 Жыл бұрын
i wish to be in this congregation one day and watch this choir sing three nyimbo za Kristo. NZK 38 (Nasifu Shani ya Mungu), NZK 143 (Naamini) and NZK 14(Nitembee nawe)
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Halleluiah, Karibu sana ndugu. We will be blessed too.
@veranyanchama1772 Жыл бұрын
Ombi langu mwaka huu ni...nipate nafsi ya kushuhudia njisi mnavyo imba kanisani mwenu. Kila wakati naskia nyimbo mnazo imba nabarikiwa.
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Karibu sana Vera
@jobisoe9423 Жыл бұрын
Ukifunga safari, remind me tuandamane pamoja
@japhetleo9879 Жыл бұрын
mbarikiwe
@joycehaule9717 Жыл бұрын
Hakika wimbo umejaa UTUKUFU WA MUNGU ALIYE HAI.......
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana nikiwa Dubai Bwana awabariki sana msonge mbele kwa kazi ya Mungu 🙏
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amina
@VictoriaJuma-dw7im2 ай бұрын
Kwa sasa naimba kwaya ndogo sana hapa kijijini kwetu ila natamani siku moja tuimbe kama hivi So i trust one day tutamsifu Mungu zaidi ya hapaa Mwanza ndo kwetu karibu kigoma nawapenda kirumba❤❤❤
@pheniasuyiringiye3090 Жыл бұрын
Munapendeza sana. Nawafuwatiliya kutoka Rwanda
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen brethren
@eunicepaul3157 Жыл бұрын
Watching frm Nairobi,this ia so sweety..Kirumna Never give up songa songa mbele...be blessed...wapiga vyombo b blessed most so touched ❤
@elijahmarube707311 ай бұрын
my best song ever, i love that song, i feel blessed
@mulokya93cdr44 Жыл бұрын
Gaither music band ya ki africa ,,,hongera Sana mmeni bariki kabisa 🙏🙏🙏
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
We are humbled, Endelea kuombea kundi hili. Mungu Pekee Akainuliwe. Barikiwa.
@prestonmichokinyakebako27111 ай бұрын
Lovely::The Kirumbas.. Feel blessed in Jesus'Name.
@mariawamok780011 ай бұрын
You just blessed my soul at the end of the Sabbath day, God bless you. Please pass by Kenya. This is soo Uplifting.
@kahematv548 Жыл бұрын
Ki ukwel mnajua. Mungu awabariki sana.
@estherbernard5373 Жыл бұрын
Kazi nzuri Mungu azidi kuwa nanyi
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Barikiwa zaidi kaka
@tabbymwethya45606 ай бұрын
This is one of most loved vocals on earth,much love from 🇰🇪
@dreamsuccess7187 Жыл бұрын
Kwa kweli, mmeubuni vema huu wimbo, na mmeimba vizuri sana, na kuiongezea thamani ngano. Huu mngeimba siku ya meza ya bwana, Kila mtu angefanya toba ya kweli. Na familia ya Pr.Manyonyi mmepatia sana, na Grace Sagati namuona hapo.Amekosekana Chief Mujaya, Mungu amlinde hadi asubuhi njema.
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Barikiwa sana,
@chiragiabel Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki sana Kirumba Adventist Choir. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen mtumishi Ubarikiwe pia kwa kazi mmefanya.
@machagejr Жыл бұрын
Barikiwa Abel na wenzako kwa kazi yenu bora
@chiragiabel Жыл бұрын
@@kirumbaadventistchoirkac6823 Amen Amen
@chiragiabel Жыл бұрын
@@machagejr Amen Amen
@favourlotoom2391 Жыл бұрын
What a wonderful ministration my heavenly brethrens,thank you am blessed. Be blessed richly.
@janeakoth46603 ай бұрын
Hallelujah..For we have such a high priest interceeding for us.Glory to God.Iistened to the song more than twice...watching from Finland.
@judithisaya016 Жыл бұрын
Mnanibariki sana watu wa Baba.Mavazi,uimbaji na vyombo vinanifanya niitafakari siku ile kuu ya kumwana Yesu akitupeleka kwa Baba Mbinguni
@kevinchirchir9713 Жыл бұрын
Reverence in here is majestic..... Blessed sabbath experience brethren
@BenardCharles-il6bx Жыл бұрын
Mungu azidi kuwatumia vyema music umetulia
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen
@Temekesdachoirtanzania Жыл бұрын
Ndg zangu Kirumba, Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki sana. Kazi yenu ni nzuri sana na inapendeza sana na inavutia sana. Na mzidi kuendelea na kuendelea katika kutimiza malengo yenu na hasa kumtangaza Kristo kwa njia hii ya uimbaji Amina.
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen watumishi wenzetu. Bwna Awabariki na tunashukuru Sana kwa maneno haya. Barikiweni.
@jameschambua97254 ай бұрын
Siku moja fanyeni kolabo la nguvu kwa utukufu wake Mungu alafu mtukutanishe pale uwanja wa taifa Dar ili historia iandikwe kwetu Manzese SDA tunao El Sha Dai kwaya tunaimba pia aina hii aisee
@NiceGeoge8 ай бұрын
Mungu aendelee kuwabariki hakika
@faithmaranga8044Ай бұрын
Amina nabarikiwa sana❤❤❤napenda vile muziki umepangwa,barikiwa sana Kirumba Mungu na azidi kiwatumia🙏🙏🙏
@jennifernyagara4327Ай бұрын
Hakika itakuwa siku ya kutisha kwa wale wasiomkubali Kristo sasa. Mbarikiwe sana waiimbaji wa Kirumba kwa kazi nzuri ❤
@sharonanunda5501 Жыл бұрын
You sing so well if I was there I would join the choir. God bless you.
@priscahoduya8898 Жыл бұрын
Happy Sabbath from Kagwa SDA church kendubay ❤
@eliabjosiah5294 Жыл бұрын
Utukufu kwa Bwana!! ❤❤❤
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Aminaaaa
@elizabethgodfreytondo3052 Жыл бұрын
Mungu awabariki waimbaji hakika tumebarikiwa na wimbo huu
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen
@charlesbabag1424 Жыл бұрын
Huwa natamani sana kuabudu siku moja hili kanisa Mungu awabariki sana wajoli wa baba
@NeemaWillison-tn2oy3 ай бұрын
Kwenye season two nyimbo zote ziko vizuli na zimeimbwa vizuli pia Nakubaliana na pr Mbwambo ya kwamba tuchague wimbo kisha tuimbe kuna huu wimbo na ule wa usinipite mokozi nimezichagua na naziimba Bwana awabariki sana KAC nawapenda sana wapenzi mnafanya roho yangu inaburudika na kumtukuza Bwana kwa njia ya uimbaji ombi langu Bwana siku moja animutanishe nanyi ili tumtukuze kwa pamoja 🤝🙏🙏
@kirumbaadventistchoirkac68233 ай бұрын
Amina karibu Sana Mungu akubariki kwa kusikiliza kazi zetu na ikipendeza sikumoja tujumuike katika ibada nzuri ya kusifu Jina lake kwa njia ya uimbaji
@NeemaWillison-tn2oy3 ай бұрын
@@kirumbaadventistchoirkac6823 Asante sana nitakaribia 🤝
@isayambetwa6564 Жыл бұрын
Utamu tu wamuziki Bwana awabariki sana
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen
@SamsonKalendi-u6i8 ай бұрын
Kambale kalendi samson kutoka Congo butembo ,hakika nimebarikiwa sana kwenye wimbo huu
@paulsamuel6265 Жыл бұрын
Mungu awabariki Kwa huduma ya viwango na ubora,huku ndiko kumtukuza Bwana inavyostahili kwa ustadi na kiroho
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen, Ubarikiwe pia
@trizafrances4304 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Mimi nitakuwa ngano ktk Jina la yesu
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen
@edmundrusseta7408 Жыл бұрын
Kitengo cha instruments mmenibariki sana ❤
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amina, Endelea kufuatilia.
@Njengahhum Жыл бұрын
wimbo ulio na ujumbe wa kufanya nyoyo zimrejelee mwenyezi
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen
@amonidafa9665 Жыл бұрын
Nasi tusio waamini tumebarikiwa pia ... Popote na Yesu nitakwenda
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen, Bwana Akubariki na Karibu sana
@ernestmakale7038 Жыл бұрын
Tunabarikiwa sana kwa wimbo na uimbaji wa Mbinguni tukingali hapa duniani tuna kula na kushiba habari njema ya wokovu. Muende mbali katika kufikisha habari njema kwa ulimwengu ili yesu arejee mapema
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@benduke80499 ай бұрын
Am listening your songs from Nairobi and kwa ukweli, Mimi nimeona mkono wa Mungu katika Maisha yangu.
@zilperatieno5722 Жыл бұрын
Huu wimbo umeimbwa kwa kicho Sana, barikiweni Sana Kirumba. Showers of blessing be upon you.
@HarindintwariDavid2 ай бұрын
Thanks a lot we are together with you where in Rwanda we are, God Bless you all👏👏👏
@jafarimukama4701 Жыл бұрын
Awa wapiga vyombo ni balaaa na nusu
@donnky7 ай бұрын
Je rends gloire au Créateur et sollicite de Son trône Sa bénédiction non seulement pour les membres de l'église, mais aussi pour la zone où habite ce peuple magnifique. J'écris ces lignes depuis Haïti.
@mongetantale71456 ай бұрын
May God bless you dear friend
@jeanhategue-zs5iu Жыл бұрын
Que Dieu soit loué pour la louange pour kirumba allez y loin
@nipaelmnzava5319 Жыл бұрын
Nitashindaje hukumuni siku ya kihama Niombi langu kwa Bwana niwe ngano safi. Mungu atusaidie kuishi maisha ya usafi na utakatifu ili tuweze kusimama mbele zake siku ya hukumu. Am so much touched with the song tunajifunza makubwa kutoka kwenu @KirumbaSdaChoir Mungu awabariki katika kazi kubwa mnayoifanya nyinyi ni hazina kubwa Mungu ametukuzwa tumeuhisi uwepo wake katika mioyo yetu kupitia wimbo huu. Tunawaombea utumishi uliotukuka tunapoendelea kumngoja Kristo Bwana wetu anayekuja hivi karibuni sana.
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen mtumishi, barikiwa sana na kama lilivyo tamanio letu hakikisha tunakutana katika meza ya kioo pamoja
@jafarimukama4701 Жыл бұрын
Inayokuja tufanye nitakuwepo❤
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Aminaa
@janechemweno4754 Жыл бұрын
Kirumba choir be blessed,asante kwa wimbo nzuri nimebarikiwa .
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amina
@DenyoObwago5 ай бұрын
This is how we should sing for worship, clean music, nice instruments tremendous people's, may our heavenly God bless you.
@vicmatzy7 ай бұрын
I love the music, one day I will find myself listening this music live from kirumba adventist church.
@cloudjest5268 Жыл бұрын
Mmepiga hatua nyingi mbele Kirumba, ni mwaka wa 10 toka niondoke hapo, nimefurahi kuwaona tena ktk muonekano mpya na kanisa jipya. Mungu atukuzwe ktk hili.Wengi nimewasahau majina lkn hawa nimewakumbuka; Lenard, mwimbishaji Pascal, Binti Sagati, Msafiri Paul, Daudi Masika. Mungu atukuzwe.
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen, karibu sana
@franknahurira63353 ай бұрын
If you watch this gospel song very carefully, you prove yourself that heaven is there. May God bless you my neighbour Brothers and Sisters from Kenya . Watching you live from Japan.
@johnstephano6486 Жыл бұрын
Amen. Nice video and music.
@dyagombwajustinantimba42576 ай бұрын
Mbarikiwe kirumba SDA church kwa kitubariki
@luckymtsweniseoke45146 ай бұрын
I wish u all come to South Africa n Bless us with dis song. I listen to it over n over
@dorisnangay Жыл бұрын
KAC huu Wimbo unesogeza wengi kwa Yesu.Kutafakari uwepo wa Mungu maishani mwetu
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amina shangaz Doris
@rademaadema7595Ай бұрын
Wanakirumba thanks a lot for always elevating our spirits to another level of worship and praise you bring so much joy to my soul whenever I listen to your songs mubarikiwe sana na huduma yenu mungu azidi kuwatumia
@mireillekasela35015 күн бұрын
C'est super, depuis la drc 🇨🇩
@franknahurira63353 ай бұрын
My God what unique voice does this beautiful girl has who has eye glasses who is singing alone!!! Watching this beautiful choir live from Japan. Glory be to God Amen.
@naetwemyombo60419 ай бұрын
May u Keep on Praising God Like this forever.Be Bless u Kirumba Choir.
@previneyoung8290 Жыл бұрын
Nyasae ogwethu yawa
@estherbernard5373 Жыл бұрын
Mungu tufundishe kuhesabu siku zetu ili siku ya hukumu tuwe ngano
@johnstephano6486 Жыл бұрын
Imekaa vizuri sana hii.
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@tmmonlinetv9813 Жыл бұрын
Naamia kirumba
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Karibuu
@danielzengo Жыл бұрын
Kiukweli hymnal festival season II hasa wimbo huu mmeuimba kwa kicho sana. Pia wapiga picha au video production imefanya kazi yake kwa ufanisi sana. Makosa kwenye season zilizopita mmeyafanyia kazi vizuri. Naomba marekebisho haya ya sauti na picha myafanye hata kwenye live stream za ibada. Mimi nafuatilia sana ibada yenu nikiwa ughaibuni USA.
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Barikiwa Fares
@winifridamwasyika5031 Жыл бұрын
Hongereni sana , Ila mapambo na Pico , na mitindo ya kunyoa, itawafelisha siku ya kiama
@edmundrusseta7408 Жыл бұрын
@@winifridamwasyika5031 Sawa Mungu😂
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
@@edmundrusseta7408😂😂
@francisca84gaidoni61 Жыл бұрын
Safina radio
@kosseytz893 Жыл бұрын
Amen amen, nimebarikiwa kupita maelezo na huu wimbo. Bwana azidi kuwabariki sana watumishi
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen, barikiwa
@MrYegonable9 ай бұрын
Very great performance. Exceptionally done. Well blessed on this sabbath.
@AthumaniMsomi Жыл бұрын
Hivi ndiivyo wakristo wote wanatakiwa kumwimbia Mungu
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@LugongaDickson Жыл бұрын
Mpangilio mzuri wa sauti, mavazi mungu awabariki sana
@cephaspeterson2583 Жыл бұрын
kazi nzur sana KAC nimeanza kufatilia toka nikiwa mdogo ni zaidi ya miaka 20 sasa still mziki wenu uko vizur, i can imagine hiyo heaven song itakuwa je. nimebarikiwa sana
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amina
@judithisaya016 Жыл бұрын
Kila nikichoka na kusikiliza wimbo huu naona nguvu ya Mungu ndani ya nafsi yangu ikinigusa na kunifariji.Mbarikiwe saana wana na mabinti wa Baba
@kirumbaadventistchoirkac68237 ай бұрын
Amen
@mussarogers Жыл бұрын
Mbarikiwe sana na mzidi kwenda mbali zaidi. Nimebarikiwa sana na kazi hii na ikawabadilishe watu wwngine na wokovu ukapatikane kwao. Amina
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen sana mtumishi
@yusuphkilinda8921 Жыл бұрын
Amina sana namuona kaka Philip ktk guiter hahaha safi sana
@KobaliJunior Жыл бұрын
So amazing...kuna faida kuwekeza kwa muziki!!!
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen
@naomimatayo2456 Жыл бұрын
blessings watoto wa Mungu nyinmb nzr sn
@magilendatulu4223 Жыл бұрын
Barikiwa
@mongetantale7145 Жыл бұрын
Aminaaa afisaaa
@NeemaShababi-nu8dr9 ай бұрын
Hadi machozi yuyo dada amejitoa kwelikweli.
@finestford007 Жыл бұрын
your church service is higher aisee. mbarikiwe
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen
@BarakaZacharia-x8e Жыл бұрын
Mnanipa raha sana kirumba,,,MUNGU awatunze sana,,🙏🙏🙏
@terrenceandrew7917 ай бұрын
Mbona hamkusema kuna wimbo namna huu mzuri hivi? Tulivu sana na ujumbe unafika neno kwa neno. Hakuna distraction kwenye instruments kuzuia ujumbe usipenye. The meaning of Gospel Music. May God bless each one of you that sang or contributed anything to this place.
@eliasharuni3477 Жыл бұрын
Mnafanya kazi kubwa sana watu wa Mungu songeni mbele by mwl Elias maduh
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amina mtumishi
@wilsonkitaa1054 Жыл бұрын
Kama akili zilizochafuliwa na dhambia na shida za dunia hii, zinaweza kutengeneza Good music🎶 namna hii, sijui itakuwaje Mbinguni. Sitaki kukosa Mbingu kwa kweli Itakuwa ni furaha kuu
@kirumbaadventistchoirkac6823 Жыл бұрын
Amen, Barikiwa sana
@simonbundala6382 Жыл бұрын
Hakika Mungu aendelee kutangazwa na kuinuliwa kwa uinjilisti wa nyimbo. Wimbo ni mzuri na umejaa ujumbe wenye tafakari muhimu juu ya maisha yetu ya kila siku sambamba na hatima ya maisha yetu yajayo. Mungu asiwapungukie Wana Kirumba.