Рет қаралды 41
Tunatambua unatumia mafuta na gesi kila siku kama chanzo cha nishati. Tunatambua kuwa kuna mambo kedekede ungependa kufahamu ili matumizi ya vyanzo hivi vya nishati yawe bora na kwa usalama.
TUULIZE sisi na tutakujuza kwa uzuri.
Tuma swali lako kupitia namba +255 733 212 200 hivi sasa.