TUZUNGUMZE USALAMA MTANDAONI

  Рет қаралды 46

Mtangazaji

Mtangazaji

Күн бұрын

‪@Mtangazaji‬ #Usalamamtandao #cybersecurity #yusuphkileo
Oktoba ya kila mwaka ni mwezi wa maadhimisho ya kampeni ya Uelewa kuhusu Usalama wa Mtandao, kampeni iliyoanzishwa nchini Marekani ikiwa na lengo pia la kuhamasisha Usalama wa Mtandaoni.
Weka salama Ulimwengu ni Kauli mbiu ya mwaka huu ili kutukumbusha kwamba kuna njia rahisi za kujilinda, familia yako,biashara yako na taifa lako dhidi ya vitisho vya mtandaoni.
Takwimu za mtandao wa SoSafe za Agosti 4 mwaka 2023 zinaonesha kuwa Gharama ya kila mwaka ya kimataifa ya uhalifu wa mtandaoni Duniani inatabiriwa kufikia $8 trilioni kila mwaka katika 2023.
Ikikadiriwa kuwa Miaka mitano ijayo itakuwa na ongezeko la 15% la gharama za uhalifu mtandao kufikia trilioni 10.5 ifikapo 2025.
Asilimia 80 ya uhalifu wa mtandaoni unaoripotiwa kwa ujumla unachangiwa na mashambulizi ya hadaa katika sekta ya teknolojia.
Yusufu Kileo ni Mbobezi wa Masuala ya Usalama Mtandaoni.

Пікірлер
Businesses Can be Started Without any Licenses in Kerala.
29:54
Madhu Bhaskaran
Рет қаралды 526 М.
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 31 МЛН
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
SaaS Optimimation for CFOs
3:21
Insight APAC
Рет қаралды 2
Genius Network Presents: Brian Tracy, How To Build A Great Business
1:00:00
Covert Surveillance - Vehicle Techniques - Expert Tips
51:08
Master Surveillant
Рет қаралды 7 М.
5 Things Never Share With Anyone - Myles Munroe Motivation
31:30
Motivation Insights
Рет қаралды 385 М.