Asante Ewe Mwenyezi Mungu.hongereni sana Simba Sports Club.
@rashidomary6322 жыл бұрын
Hongera pia kwa kuanza kumshukuru Mungu kwani ndio mfanyaji
@FRANSKALITUSI49372 жыл бұрын
Very nice SIMBA SC
@mariapialakanje34462 жыл бұрын
Safi simba mmeutawala mpira asilimia nyingi sana simba nguvu moja
@scarmkadinalitopic77662 жыл бұрын
SIMBA THE BEST TEAM IN EASTERN AFRICA
@edsonjonas2292 жыл бұрын
Safi sana Kanoute bonge la mtama hahaha
@mariapialakanje34462 жыл бұрын
Dah saccko ni hatari sana huyu goli zuri sana asante sana saccko Simba nguvu moja
@agustine73 Жыл бұрын
Simba we are happy
@omarcarlos45952 жыл бұрын
Simba always make us happy for their fighting to win
@andulilemwakihabha20482 жыл бұрын
SIMBA 🦁 nguvu 💪🏻❤️
@mamulucas91692 жыл бұрын
Simbaaaa ❤️ u
@keffajacob89522 жыл бұрын
safi kanoute..piga mitama hao ngiri wa moroco...offside inaonekana wazi bila vra...pumbavu....walitoboa miguu ya babu zetu nakuwafunga nyororo hao ngiri mwitu...ni wagimvi mno.💪
@Yu-jr9uf2 жыл бұрын
Umekaririshwa darasani sio😁😁
@georgegosbert64072 жыл бұрын
High light yenu ya Ajabu Mnashindwa pangilia matukio ya kupost Ovyo kabisa
@mussaalan62022 жыл бұрын
Naomba mungu atujalie tim yetu ifike mbal ss hatushindan ili tujitambe hapan ila tunataka kukuz taifa letu la Tanzania nawaombea pia hat wenzetu wanao jitamba tayal wamechukua kombe wajitaid kam ss
@phibijuilus77482 жыл бұрын
safi sana sakho
@massoudsultan61492 жыл бұрын
Correct
@robertjuma30402 жыл бұрын
Chama la wana
@munaahmed84992 жыл бұрын
Nihame simba yng ili iweje sasa maan naipenda hadi naona hasira yaan simba hata ifungwe goli 100 siezi iwacha naipenda mno
@snsonlinetv84322 жыл бұрын
Tupo wengi ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@munaahmed84992 жыл бұрын
@@snsonlinetv8432 umeonaaeeeee♥️♥️♥️
@snsonlinetv84322 жыл бұрын
@@munaahmed8499 sanaaaa
@munaahmed84992 жыл бұрын
@@snsonlinetv8432 Tatizo Simba raha bhna
@rostermay91922 жыл бұрын
Gd
@shabanimkwayu83392 жыл бұрын
Au
@safariscbsi73562 жыл бұрын
Sijui kama kutakuwepo na adhabu ya kinidhamu dhihi ya Berkane. Kuna wachezaji na mafias kama kumi hivi wanastahili kuadhibiwa. Lakini sababu ni waarabu..... sidhani. CAF yapaswa kumaliza ubaguzi wa asili ya rangi.
@athumanbalozi97482 жыл бұрын
Saana
@saidfaraji25242 жыл бұрын
Safi Sana refa
@demask3423Ай бұрын
Mtangazaji kapoa kama uji wa mgonjwa
@azizamihungo96592 жыл бұрын
Kafungwa Berkane lkn Cha ajabu wanaoteseka na kuumia Ni mashoga fc aka Mapokezi fc
@sarafinapeter31632 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂wamorocco wa huku wanateseka
@elimbotothomas16042 жыл бұрын
Kushinda washinde Simba lakini wamtaje Yanga hapo vipi
@mariapialakanje34462 жыл бұрын
Goli moja kama magoli kumi hivi hatuna haja ya kufunga lingine linatosha hilo goli bora Sfrica nzima
@immamtui50672 жыл бұрын
Simba nihatari
@gaudenciaiganja77372 жыл бұрын
Kweli Tanzania hatutafika mbali kwenye mpira gori la Simba ni Offside ikiwa Wachezaji wawili wa Simba wamezidi angalieni hii sio sifa nzr na kwa jins hii inakuwa ningumu inchi Kutoboa. Kweli pesa sabuni ya Roho.
@emmanuelsimon97212 жыл бұрын
Hujui mpira elewa kwanza maana ya offside we utopolo
@prosperjuma9052 жыл бұрын
Mpira haukelekea kwa kagere ambaye alikuwa offside. Ulipita pembeni yake. Endapo angekuwa kapasiwa kagere au mpira umeelekea kwa kagere hapo ingekuwa offside. Ndio maana limechaguliwa kuwa goli bora la wiki
@deniccgabriel61532 жыл бұрын
Kanuuti ajui mpira mission umuhim wake jamaa anaboa sana
@bonnycostacosta73392 жыл бұрын
Nguvu mojaaaaa
@mariapialakanje34462 жыл бұрын
Nyie waarabu acheni upuuxi mkifungwa mfungwe kbisaas mkubli tu
@habasutatu12332 жыл бұрын
Mbona siku hizi baraka.mpenja hatangazi. Mechi za Simba kimataifa
@marthawillium99202 жыл бұрын
Atakuwa keshafigisuliwa.Waja hawapendi mtu asifiwe,hutafuta sbb ya kumshusha.Mabunio mengn Ni kwamba huenda alionesha kbur kwa waajiri maana sometimes mafanikio huleta jeur
@richardkayuguyugumasalu25942 жыл бұрын
Azam hawarushi matangazo ya caf
@lungusii2 жыл бұрын
SIMBA RUDISHENI GOLI LA RS BERKANE , HILI NI GOLI SAHIHI KABISA REFER NI KILAZA.
@donedaddy45612 жыл бұрын
Kajifunze mpira kwanz
@mamaj31202 жыл бұрын
kilaza we usie jua mpira
@abiboseleman16492 жыл бұрын
Kwaiyo nyie mlichokiona kwenye hii mechi nishoot lá Morrison tuu
@shamilashamila48412 жыл бұрын
Dl
@rukizaseba57412 жыл бұрын
Ebwana nyie bado kbsa tv 3
@gloryenock94732 жыл бұрын
Ila morson uache uchoyo ambapo huwezi kufunga toa asist na denis tumepigwa na kitu kizito kiukweli
@jemamahenge72052 жыл бұрын
Morrison acha uchoyo ona sasa tumekosa gori la wazi baada umpe kagere!
@stevemwana57482 жыл бұрын
wamebebwa watu wawili kwenye box
@jackisonmagera42712 жыл бұрын
Kawasaidie kbeba
@jackisonmagera42712 жыл бұрын
Wanafungwa wengne mnabaki mnaumia bongo
@manenoagrey15192 жыл бұрын
🐱🐱🐱🐱🐱🐒🐒🐒🐒🐒
@omarmindhir37342 жыл бұрын
Offside
@mariapialakanje34462 жыл бұрын
Simba wameupiga mwingi sana mnabahati mngefungwa nyingi sana nyie
@isackkiteve59752 жыл бұрын
Huyu mtangazaji anapunguza radha
@eliyamloy34902 жыл бұрын
Mimi mpira sikuuangalia ila hiyo ya Berkane ni offside ya wazi kabisa hawastahili kulalamika hiyo ni offside kabisa
@elimbotothomas16042 жыл бұрын
Embu angalia vizuri alienda funga katoka wapi
@byerajoel39652 жыл бұрын
Sakho ni hatar
@deniccgabriel61532 жыл бұрын
KANOUTI ajui mpira anaboa Sana sijui mlimpenda nini
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Hujawai kucheza mpira wewe acha mbwembwe
@mansourjuma37312 жыл бұрын
Ila KANOUTE kitendo alicho kifanya ni cha kishamba sana na kinge tu cost cha kushukuru ni kwmba Referee hakuliona tukio lile🙆♂️
@cathybranma62752 жыл бұрын
Kanote anatakiwa ajue kucontrol hasira zake ....lasivyo Ipo cku japo ciombei ataigharmu team