Morison our hero, timu nzima imecheza ikiwa na umakini, ujasiri na kujiamini kwa ahali ya juu- Hongereni sana mashabiki wenzangu na poleni sana Yanga
@ferouzmasoud48702 жыл бұрын
Asantee Sanaa chama langu la Simba 🙏 point tatu muhmu tunatinga ROBO fainali kibabe zaidiiii 🦁❤️
@khalidbalala77532 жыл бұрын
Azam TV wajifunze hapa kwa good quality ya video iliyovutwa highlights maridadi kabisa...I love Simba well play players and technical bench/ head coach
@rashidsanga36232 жыл бұрын
Morison man of the match
@yasinpawa75552 жыл бұрын
Mimi ni Yanga kwelikweli kakini simba inaheshimisha Taifa,yaani katika vitu vilivyotupa Heshima Taifa ili ni John Pombe Magufuri,na Simba sports Club..😋😋😋😋😋😋😋😋
@sophiakadege13182 жыл бұрын
Saf kabisa
@G-JMK692 жыл бұрын
Huwezi kuwa yanga weweeee 😄😄
@yasinpawa75552 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆umejuaje kwani?????kweli uganga sio kazi,ni kucheza na akili za mteja tuh.
@yasinpawa75552 жыл бұрын
@@G-JMK69 umejuaje kweli kaI ya uganga ni rahisi,sana ni kucheza na Akili za mteja tuh.🙂🙂🙂🙂🙂😎😎😎😎
@emmanuelnyalali14442 жыл бұрын
Hahaha wewe mbinguni moja kwa moja
@swaleheismail462 жыл бұрын
Huyu mwamba akitangazaga kwa uwezo wake Allah simba huwa inaxhindaga bravo saana broh
@tausshasani20642 жыл бұрын
Pamoja
@oscarmugalla11312 жыл бұрын
Tanzanian support level is high love you fans
@mr.romancer91602 жыл бұрын
Mimi mkenya lakini huyu jamaa anayegawa pass anaupiga mwingi sana👏
@hamisilutungu72932 жыл бұрын
Huyo anaitwa BM3 au Benard Morison au mwite wakil msomi...😄😄😄
@ismaelkessy82192 жыл бұрын
Simba sports club next level....... Ramadhan mubarak Wanamsimbazi
@edwardalexander56212 жыл бұрын
Mac muga
@sahimsahimu69042 жыл бұрын
Asalam alaykum ahsante mungu shukran simba mungu awajalie mfke mbali mtufurahishe shabik zenu Ameen
@hamisilutungu72932 жыл бұрын
Waleykum msalaam Aaamin...
@tungumichael66792 жыл бұрын
Mh hakuna haja ya kuwajulisha nahisi wameona kwa macho yao sasa zamu yao je wataweza kuzuia maji kufuata mkondo?
@stanleybuberwa2322 жыл бұрын
Amen
@krishkhoja11312 жыл бұрын
Kama unaamini simba 2022 Moto🔥zaidi gonga like hapa 💪💪 🦁❤️
@saheelameir43132 жыл бұрын
Tusiwache kufunga Ramadhan ni lazima kwa Waumini. Ramadhan kareem
@swaleheismail462 жыл бұрын
Ramadhan Mubarak to all Tanzanian people
@starlonejadamskp82242 жыл бұрын
🔥🦁🔥💓 Ramadhan Khareem
@maryjkiosa33802 жыл бұрын
Morrison on fire 🔥🔥🙌
@shalifmbalale79662 жыл бұрын
BM3 on fire🔥Morrison
@lyovajr.7682 жыл бұрын
Man of de Match BM3
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Jifunze quran kwa hukmu kuswali kwa vitendo gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojli
@elizabethmajaliwa51892 жыл бұрын
Morrison Kama Morrison 🔥
@mbtlforofficesolution49262 жыл бұрын
Morrison ni level nyingine nakumbuka Oscar Oscar mchambuzi anamuelewa Morrison
@mrjkbreezy95612 жыл бұрын
Simba ime funga magori mazuri sna yaaan hakuna cha kubisha wala lwama yyt ile simba iko vizur
@luluray21152 жыл бұрын
Next level
@betterjoshua89882 жыл бұрын
Ahsante Mungu 🙏 Simba weeeee 💪💕😅😅😅
@elishamgaya63052 жыл бұрын
We're Simba🦁🦁🦁♥️♥️💪🏾
@mariapialakanje34462 жыл бұрын
Asante Baba kwa zawadi ya ushindi huu mnono kabisaa .Mabai manne Robo final iliyojaaa Furaha sana
@snsonlinetv84322 жыл бұрын
Jezi zimewaponza simba akiona jezi za njano anahis kama anacheza na utopolo 😂😂😂
@kulwashabani66872 жыл бұрын
Uhakika
@gikadotv21482 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🤣
@maulidsheni68782 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@pienciapetro38502 жыл бұрын
Kwer kabisa 😂😂😃😃😃
@el-eloheisrael93062 жыл бұрын
𝐓𝐇𝐈𝐒 𝐈𝐒 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁
@jonasibraysoni18592 жыл бұрын
morrsson ataftiwe ulinz nadhan yy ndo man of the match
@rosemahenge90712 жыл бұрын
Morisson ni balaa sana coach aendelee kumwamini
@CodeBrandCinema Жыл бұрын
Hussein Boli ..hongera kaka
@SwamadSoloka4 ай бұрын
Simba 💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏
@fumbukashangwe31732 жыл бұрын
Hongera kwa Watanzania we zangu,Hongera simabaa
@MISUFINI_CHRISTIAN_CENTER_TV2 жыл бұрын
morsson ni man of the match
@danielarseno90252 жыл бұрын
Hongereni sana Wana simba
@noelapeter60912 жыл бұрын
This is simba 🔥🔥🔥🔥😍😍😍
@mkaliwavideo2 жыл бұрын
Asante mungu 🙏🙏🙏 kwa tim yang
@adilyofredy21432 жыл бұрын
Mugalu the machine
@rajybrown45322 жыл бұрын
Mimi ni mkenya lakini huyu Morrison ni fundi sanaaaaa
@makkamakka9171 Жыл бұрын
Kwel Simba ni raha tuuu❤❤❤
@deustutu11622 жыл бұрын
Saf sana Morrison and all players Simba
@Simbaa3422 жыл бұрын
Arba bin sufur 🔥🔥😁
@josephifanda56262 жыл бұрын
Good
@jimmypeter27752 жыл бұрын
I like 4G! Thimba oyeeee!
@swaleheismail462 жыл бұрын
Aliyesikia mtangazaji akisema taifa liko katika mikono salama
@barakadandrysoka68522 жыл бұрын
Simba nguvu moja wow what a goal 😘😘😘
@nyereresadiraolekanunga39262 жыл бұрын
Asante mungu kwa kutusaidia tupat ushindi ya mabao 4 kwahiyo tumewashinda kwa bao 1
@alloycejames52852 жыл бұрын
Simba is on fire...
@SideboyMnyamwezi-q6k Жыл бұрын
Mm ni simba yanga atamkisemaje mutabki kutuheshim simba kumbuken ile miaka yanyuma kule kunakua vizuri lakn mnajisahaulisha unya mwingi❤
@TzsNatureWithJameelFar2 жыл бұрын
ongera simba mujitahidi muibebe hio muilete nchini yanga fan
@timboxlee9192 жыл бұрын
Simba Raha, JPM aliahidi kujenga uwanja kwa watanzania,Rip JPM
@konshazikonsha61802 жыл бұрын
Unacheza na Mnyama Kwa Mkapa Harafu Unavaa Jenzi Ya Njano Unategemea Ninii? Alie Washauri Mungu Anamuonaa!!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣
@mamulucas91692 жыл бұрын
Kabis
@woltermosha8382 жыл бұрын
Huyo zacharien Adebayor yukwap😂😂😂😂
@mariapialakanje34462 жыл бұрын
Bernad jmn mipira ya nje ni hatari sana wahooo hongera sana Bernad chris mugalu .Hakika dah
@untouchboymsafi17882 жыл бұрын
Ahsante mungu🙏
@kijanawakisouth8382 жыл бұрын
Naam
@andrewshustle13312 жыл бұрын
THIS IS #SIMBA BROTHER!!!!!
@geraldtarimo73792 жыл бұрын
kucheka kupokezana hongera watani
@hamisitza56982 жыл бұрын
From new York
@FRANSKALITUSI49372 жыл бұрын
Nakubr Sana
@halimajuma23402 жыл бұрын
Yn cjawh kujut kuixhangilia simba lov yuu cham lang
@laurynlyatuu69282 жыл бұрын
This is SIMBAAAAAAAAAAA.........
@ZumrahIdrissa-j6lАй бұрын
Hii mechi ina1.2M hatal
@faririchi562 жыл бұрын
Next level 🔥
@ommyg24242 жыл бұрын
Woyooo mnyamaa
@abdallaameir31532 жыл бұрын
Kilichowachongea hao ni njano tu hamna kingine
@mustafanamtonya222 жыл бұрын
Simbaaaaaaa 🔥🔥🔥nguvu moja
@geraldsanzala81192 жыл бұрын
Kushinda rakhaa Sana ila kibao kikichange laaaaahsashaaaa waskia kulia shekheeee. Morison Nakubari saana kwa assist za kufa mtu
@afropanorama47302 жыл бұрын
mnyama unyamani pamoja sana🔥🔥🔥
@hamisilutungu72932 жыл бұрын
Hapo wangekua utoh na Mugalu ndio mayele ungesikia uje Arusha uchukue ng'ombe...😂😂😂😂😂
@maulidsheni68782 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@josephjohn70032 жыл бұрын
Hahahahaa
@barikikimaro91652 жыл бұрын
Kwakweli morisoni akitulia anajua sana boli safi kabisa
@leusimileta63452 жыл бұрын
good job
@josephedwine59992 жыл бұрын
🦁🦁🦁🦁
@allyjamshidi15142 жыл бұрын
One team one dream
@danielmlaponi92352 жыл бұрын
Mtangazaji Jau kweli🤪😁😁
@abuusaidy57592 жыл бұрын
Tuwekee Full kabisa
@ROMTV52 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@mohamedmustafa88362 жыл бұрын
Safi sana chama langu ssc
@robertpaul28412 жыл бұрын
Simba kazenmwendo mpovizuli Sana by Robert paul
@zunnahmohammed47192 жыл бұрын
Morrison fundi kabisa
@shukranijoel45672 жыл бұрын
Simba on fireeeeeee
@zakariamartin3980 Жыл бұрын
Simba nguvu moja
@great1fromza2342 жыл бұрын
Orlando Pirates vs Simba sc🕯🕯for quater finals!
@calvishkgatle72772 жыл бұрын
orlando pirates will win 🤞
@latifapeter59312 жыл бұрын
hawaaamini macho yaooooooooooo
@josephnyagaww51162 жыл бұрын
asante mungu
@haridyhillaryndembo78482 жыл бұрын
TUNAFUNGUA KESI TENA YA MORRISON CAS HAIWEZEKANI KIPAJI TUKITAFUTE SISI ALAFU NYIE MFAIDIKE😂😂 HONGERENI WATANI
SIMBA KAWATOWA WAWILI KWA JIWE MOJA GENDER MARIY NA MEMOSA 🤣🤣🤣🤣🤣 SIMBA MTEMI KWELI NIGER KILIO ABIDJAN KILIO MASKINI MEMOSA NA POENTS ZAO 9 SAFARI
@bensonkomba9022 жыл бұрын
Great performance ♥️♥️
@noelswai26602 жыл бұрын
Simba inamuhitaji saana mugalu mechi za kimataifa
@mohammedslim97472 жыл бұрын
Yani katika mtuu hafai huyo
@geraldlyimo28592 жыл бұрын
Yanga tunampeleka tena
@issaali76692 жыл бұрын
Nilizungumza kuhusiana na 4G. Mtangazaji bwana
@musichealsTz2 жыл бұрын
Nimeona mwanga wa vitochi kw baadhi ya wachezaji wakimulikwa, mashabiki wa Bongo waache ufala wa kuiga igaaaaa
@sakinamwakanyamale55112 жыл бұрын
Inatakiwa uige kinachokuoa mafanikio! Sio kama wale!
@emanuelgavile35032 жыл бұрын
Kuiga jambo zuri si mbaya
@musichealsTz2 жыл бұрын
@@njehematata9713 kana niumaje sasa, hapa nilipo hadi kadi ya uanachama wa simba sport club ninayo, ndio ujue kuwa sipo hapa kiushabi Bali palipo na ukweli lazima usemwee..
@musichealsTz2 жыл бұрын
@@emanuelgavile3503 hakuna uziri wowote hapo, by the way very soon utakuja sikia shirikisho la mpira litalaani hivi vitendo