KHUTBA YA IJUMAA MASJID RAYYAN KILIFI #khutba #darsa #islamlecture #jamiamosque #fadhakkir #kilificounty
Пікірлер: 50
@SharifaSalim-cc5dgАй бұрын
Jman mm Nina shida kubwa sana sana sana n huyu shekh atakaenisaidia kumpta bas namuombea kwa Allah amjalie noor katk dunia na akhera
@fadhakkirchannelАй бұрын
Una shida gani?
@sierabravo8482 күн бұрын
@@fadhakkirchannel assalam aleikum mm naomba namba ya mwalimu ama principle wa shule mahitaji kuongea nae
@KadeejaKadeeja-ej4buАй бұрын
Mashallah alhamdulillah uwa nikisikiliza mawaidha napata falaja Allah akuzidishie kila la kheri inshallah ❤
@AliMohamed-pj1sb2 ай бұрын
Barakkah ALLAH fiyk
@hawajibril77511 ай бұрын
Masha allah.nimefaidika Nakuombea mema katika hii dunia na keaho akhera
@busaleh54942 ай бұрын
Allah tunamuomba utujaalie tusimamie uaminifu na ukweli...
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Allah yarabi ebu tujirekebishe kutunza upendo na kutunza siri za majumbani🎉🎉🎉 kujishusha kwa waume ili watoto wapate kiigizo chema
@AminaDodios-ml2lv8 ай бұрын
Ma sha Allah mawaidha mazuri
@Nasirdwin4 күн бұрын
Mashallah
@ZainabMasoud-in5ph8 ай бұрын
Allah akulipe kheri zaidi dunia na kesho akheraaaaa
@ZainabMasoud-in5ph8 ай бұрын
Allah akulipe kheri zaidi duniani na kesho akheraaa
@rahmaali9163 ай бұрын
Baraka llah fiik
@halimamuketi673817 күн бұрын
Allah akupe kila la lenye heir akuepushie kila lenye shari
@abdikafarabdi20212 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@abdikafarabdi20212 ай бұрын
S.c.w❤❤❤❤
@naadiyahuda116111 ай бұрын
Mashallah tabaraka Allah Shukran jazakallahu kheir sheikh Hassan kwa kutupa nasaha Juu ya uwaminifu kwa kweli ni jambo ambalo twatakiwa tulipe kibao Miele.
@rostamhamis437410 ай бұрын
Masha Allah
@user-ts8im5fz8h3 ай бұрын
Rizki Yake Kwa Allah
@farhiyanoor651610 ай бұрын
❤❤🎉
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Allah ukiwa na rizki isikufanye chanzo cha kuona wenzako sio chochote wala lolote
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Isitoshe huwezi jua aliekujia nyumbani kwako ni mtu mbaya sasa ❤❤❤kumpakwako ile rizki kutia mdomoni nikinga yako wewe na ndomaaana tunaambiwa hakikisha akikujieni mja nyumbani mwenu usiache aondoke bila kutia rizki mdomoni na unaambiwa kama huna rizki ya kumpa mpe hata maji ya kunywa takbiriiii huuu ni mtihani mkubwa kwa wale waja wachoyo
@abcmnbb2610 Жыл бұрын
Sheikh shukran mungu akupe afya njema
@user-ts8im5fz8h3 ай бұрын
Sheik shukran mungu akupe afiya njema
@HamuzaHabibu4 ай бұрын
Shukran sana ustadh❤
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Allah ukiwa unarizki mola mtukufu kakujaaalia rizki ya kutosha usiridhike kula bila kujali mafukara mayatima kunacwasio jiweza wakikutokeeni basi usisite kumsaidia au kimsitiri mwenzio huwenda kumsaidia kwako huwenda allah akakuengeza maradufu
@ahmedsoudathman508811 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh hassan
@abdikafarabdi20212 ай бұрын
Barka allah fiik
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Allah hakika rizki nipopote na rizki ya mja ipo mikononi mwa mtu
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
❤❤ mashallah
@omanmuscatmus21558 ай бұрын
Manshaallah tabakaall Allah akuifadhi shekhe 😍
@Sidrasidra6364 ай бұрын
Masha Allah ❤
@HamuzaHabibu4 ай бұрын
Shuran sheikh❤
@mariammohamedahmed424311 ай бұрын
Masha Allah jazakallah kher
@omarramadhan18293 ай бұрын
Barakallahfq shekh wetu
@user-fc4vl8zi4r3 ай бұрын
Mashaallah ❤
@nismaali29825 ай бұрын
Maashallah Tabarak Allah ❤❤🤲🤲
@UmmuUmayr337 ай бұрын
Jazakaallahu hayrah
@shebanishebe786611 ай бұрын
Sheikh shukran sana, mungu akuzidishie umri
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Allah kingine anapo kujieni mja nyumbani kwenu hakikisha akitoka asiondoke bila kumpa chochote hata kama ni chakula huwezi jua kakuletea rizki ila kwa uvhoyo wako utabaki hatakama ulikuwa unakula unaficha sw
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Allah naomba niongeee hata kama nipo nje ya mada kwakuwa sisi wa mama ❤️ ♥️ 💖 tumezidi a tumekuwa nichanzo cha ugomvanishi ktk familia 💖 ❤️ 💙
@hadijamandanje618911 ай бұрын
Umepata mume mwenye ihsani wewe ungefahamu wanawake wanavyoishi majumbani huku ingewaonea huruma wanaume maana utashindwa kujua kwa dhuluma wanazofanyiwa wanawake Kama Allah hajaamua kuwasamehe itakuwaje!!!
@adnanmwakulombaabdi50179 ай бұрын
Hili ni swala muhim sana. Mustaqbal wa jamii una tegemea ndoa njema ambayo inatoa matunda mema - yaani watoto. Na hapa lawama ziko kila upande - kwa waume na pia kwa wake. In shaa Allah tuweni na ikhlas katika maswala haya ya jamii. Na kujua kila mmoja ana jukumu la kufanikisha Mahusiano mema.
@halimamfaume192511 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@hamedyahya9291 Жыл бұрын
Subhana llah kweli kabisa Masha allah
@AbdallahSowa24 күн бұрын
Uishi maisha malef shehe letu😮
@McChikampunda5411 Жыл бұрын
Asalamu lekhumu
@AminaDodios-ml2lv8 ай бұрын
Ma sha Allah mawaidha mazuri
@ZainabMasoud-in5ph8 ай бұрын
Allah akulipe kheri zaidi dunia na kesho akheraaaaa.....