UBALOZI WA MAREKANI WATOA TAMKO KUHUSU AFANDE SELE "HATUKUBALIANI NA UJUMBE WA WIMBO LAKINI..."

  Рет қаралды 132,561

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 161
@sadickkunambi7675
@sadickkunambi7675 2 жыл бұрын
Hata hvyo wengine tunafurah ujumbe umefika big up afande sele over 🔥🔥
@abdullahjuma3926
@abdullahjuma3926 2 жыл бұрын
Ni sahihi kabisa marekani ni Taifa kubwa na linatimia ukubwa wake kwa maamuzi ambayo wengi hawayapendi na kudai hua anafanya kwa faida yake ila huaingizia either NATO au UGAIDI, mifano ipo mingi haihitaji hata tochi ni kweupe. Hatupendi kusema sababu hayatuhusu lkn wajue watu wanaelewa ila hakuna la kufanya au wa kumwambia. Kwetu ni rahisi wao kuja na kuamua lkn kwao kwenda tu mtihani. Lisemwalo lipo na linaonekana ndani ya Africa na nje pia.
@thulanimashaba8491
@thulanimashaba8491 2 жыл бұрын
Truth always pains.kila kitu kwenye nyimbo hiyo ni Kuntu.Paza sauti juu Afande,Tell them true those Beast
@wilsonnzowa3620
@wilsonnzowa3620 2 жыл бұрын
Salute Afande sele
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 жыл бұрын
Big up Afande Sele, The truth always pain. Let me say again Big up Afande Sele.
@hawaomary2782
@hawaomary2782 2 жыл бұрын
Unaitwaje
@allympota8274
@allympota8274 2 жыл бұрын
Truth ya nini wewe ucha Uzwazwa na Ufinyu wa akili sisi hao jamaa tunawajegemea kwa Mambo mengi sana yani hata Mwanao akiugua Malaria ujue anatibiwa kwa Msaada wa watu wa Marekani sasa unapo mnunia mtoa Misaada wa Nchi yako unaonekana Bogus...! Hii Nchi Matahira mko wengi sana.. 🙄🙄
@sadickkunambi7675
@sadickkunambi7675 2 жыл бұрын
@@allympota8274 ww ndio lobo kabisa ndio tunapata misaada si kwa taamaa zetu tu haya mbona wao wanaua imekaaje hapo
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 жыл бұрын
@@allympota8274 we utakuwa hamnazo kabisa, kwani utegemezi si umeutaka we mwenyewe kwa sababu ya upeo wenu mdogo wa kufikiri. Bakini vivyo hivyo watumwa nyie kwa sababu mmekaririshwa wanawasaidia misaada ili hali wakipatacho kwetu ni kikubwa kuliko wanachokupa dorobo wewe.
@afterx3172
@afterx3172 2 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba afande kapiga kwenye mshono
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@florameza1028
@florameza1028 2 жыл бұрын
Mwacheni ninyi mmezidi kuingilia mambo ya nchi nyingine
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 2 жыл бұрын
fikiria mwanamume ambaye anakipato kidogo kuliko mkewe, u adhani huyo mwanamume atakuwa huru!!??? c utakuwa anatukanwa kama mtoto wa darasa la pili!!!!
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 2 жыл бұрын
ndivyo zilivyo nchi zetu za kiafrika, nchi zote za afrika zinategemea msaada kutoka marekani! mtu anayekupa msaada anaweza kukuamru lolote na ukatii make usipotii utanyimwa msaada!!
@victorjames3730
@victorjames3730 2 жыл бұрын
Aliyekosolewa hana shida ila linch letu sasa
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 2 жыл бұрын
Message send ndiyo waache hizi mambo za kuingilia mambo ya nchi za wenzake
@richardmasanja6163
@richardmasanja6163 2 жыл бұрын
Kaka hongera sana kaka
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 жыл бұрын
Eeh!! anatakiwa awe na tahadhali sana hao watu ni wajanja sana wanaweza wakaonyesha kwa hadhala kuwa wanakubaliana na wewe kuwakosoa halafu wakakushughulikia kwa njia za siri wanazoziju wao🤭🤭🤭
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Kbs hawashindwi ilo dk 0 tu mda mwingine ukijiona huna nguvu zozote kama serikal yake ipo kimyaaa haijasema kitu juu ya kinachoendelea sembuse wewe kula yako ya shida acha mengine yapite tu
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Tena wachawi sana hao 🤓
@daimavlog
@daimavlog 2 жыл бұрын
Wana mambo mengi ya maana zaidi ya upuuzi huu.
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru 2 жыл бұрын
Hao wanafuatilia kila kitu ktk nch ya Africa na kwengine hawajalala sio sisi watu wanahujumu wanaangalia tu
@philemonmartine7317
@philemonmartine7317 2 жыл бұрын
Safi kamanda unewakilisha vizur platoon Yetu✊
@mtaftajtzrsd7466
@mtaftajtzrsd7466 2 жыл бұрын
yupo sahih anapoongeRea ukwer hakuna ambacho hajasema cha kwer
@Dantaata
@Dantaata 2 жыл бұрын
nyimbo nimeidaownload mapema kabla hawajaifuta ,, Marekani ni mizinguo kweli
@JeronimoSimon65
@JeronimoSimon65 2 жыл бұрын
Bado ipo KZbin
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
Inaitwaje?
@JeronimoSimon65
@JeronimoSimon65 2 жыл бұрын
@@saimonijonas4356 BILA MAREKANI
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 2 жыл бұрын
Ikiwezekana muungu apige pigo marekani wabKi raiya u mali za kijeshi zipotee watutesa sana allah yupamoja nasi
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 2 жыл бұрын
Watanzania tutakua wajinga Kama utamuzuia huyu jamaaa wamarekani wabaya sana
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Lazima kuzuia! Jamaa mmoja hawezi kuchafua diplomatic relations!
@deusrobart8181
@deusrobart8181 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 unakatwa naiyo diplomasia yako😚😚😚
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
sasa hiyo democracy iliyo kuja na samia ipo wapo ?
@sanisani5266
@sanisani5266 2 жыл бұрын
Nchi zawatu zinausiana vipi kwanza muanze kwenu jamani vitu vingine vya kujitakia
@zahirurumidis4301
@zahirurumidis4301 2 жыл бұрын
Wimbo ni nzur sana
@fednandnews2240
@fednandnews2240 2 жыл бұрын
Afande yupo sawa Acheni kutetea shetan
@roviykamage5423
@roviykamage5423 2 жыл бұрын
limewakuna afante yuko sahihi marekani ni adui wa dunia hasa africa
@Allystor
@Allystor 2 жыл бұрын
Ukweli mtupu let the Beast cry
@king-size8114
@king-size8114 2 жыл бұрын
Mmmhh
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 2 жыл бұрын
Sasa hawataki nini??kwani ni uongo??
@georgekessy2343
@georgekessy2343 2 жыл бұрын
Uhuru wa kujieleza mchungu ukweli unaposemwaaa
@annakisiga889
@annakisiga889 2 жыл бұрын
Hangaya naye ndo kaenda marekan mama anatuuza kabisa Waz wazi ila mwisho wake upo jom pumzika Kwa Aman baba
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 2 жыл бұрын
😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣ukweli mchungu lakini pia
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 2 жыл бұрын
Jaman
@manilabonalumanula1014
@manilabonalumanula1014 2 жыл бұрын
Mtunzi aliyebobea angetumia neno linalowakilisha nchi bila kuitaja. Kuna msanii alinifurahisha alipoulizwa swali kwa nini anamchora Raisi? Yeye alijibu kuwa hamchori raisi lakini yeye anachora Uraisi
@daudmaikomwakapoma213
@daudmaikomwakapoma213 2 жыл бұрын
Ili kufikisha ujumbe na ukawa na uhakika kwamba umefika basi nenda moja kwa moja saizi kupitia wimbo huo hata mtoto wa darasa la nne ataelewa bila wasiwasi uoga ndo unafanya kupindisha maneno ukaonekana et mwanafasihi
@siloomar7699
@siloomar7699 2 жыл бұрын
Kweli marekani wanazngua
@casablancastudioarusha775
@casablancastudioarusha775 2 жыл бұрын
Naona wameingilia hadi wimbo wa Afande Sele halafu wanakataa wanachoambiwa
@youtub8320
@youtub8320 2 жыл бұрын
Wanao ona jambo hili sio poa kwa sele tujuane
@boblatino3899
@boblatino3899 2 жыл бұрын
Africa tumechelewa sana
@MWAKIPESA
@MWAKIPESA 2 жыл бұрын
Ukweli bado utaishi tu
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
kaombeni VISA sasa kama hamtopigwa na chini kwa vitu kama hivi
@ibrahimbabangida2796
@ibrahimbabangida2796 2 жыл бұрын
Watu kweli tumerugwaaaa
@aginessmgaza9899
@aginessmgaza9899 2 жыл бұрын
Duh
@ramazecha2877
@ramazecha2877 2 жыл бұрын
Ukweli unauma afande sele alisema ukweli
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 жыл бұрын
Uhuru wa maoni
@kingmwaxoh6420
@kingmwaxoh6420 2 жыл бұрын
anadhani akiimba ivyoo ndo marekani watabadilika, its impossible
@shugakombo9683
@shugakombo9683 2 жыл бұрын
Kwani niuongo ?
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 2 жыл бұрын
Polen sana
@hajichazy2643
@hajichazy2643 2 жыл бұрын
Go sele
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
BROH AFANDE SELE YUPO FACT
@kissirymaroah3547
@kissirymaroah3547 2 жыл бұрын
Yupo fact ndo nini??🤔
@rashidkambi4584
@rashidkambi4584 2 жыл бұрын
Yan mepelekea mpk niutafute huo wimbo japo sikuwa na mudi
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 2 жыл бұрын
Watakupa kesi ya Ugaidi au wa madawa ya kulevya.
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 жыл бұрын
Go selee😂😂😂
@mussalameck2166
@mussalameck2166 2 жыл бұрын
Duuh jamaha amekiki kwa kasi kweli mana adi nje watamfatilia sasa
@inocentlema5574
@inocentlema5574 7 ай бұрын
Wanajua kiswahili kumbe
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 2 жыл бұрын
Kweli marekani Ni tatizo duniani
@emmanuelnjelekela6299
@emmanuelnjelekela6299 2 жыл бұрын
Wayafanyayo wa america ni nafuu kuliko yaliofanywa na waajemi wajeruman warumi na waotman dunian so hata America ikiondoka jua lazma Dola jingine litawale dunia haiwez kuwa sawa hata skumoja nyie mnajisumbua tu
@yusramadhani149
@yusramadhani149 2 жыл бұрын
Nauza mashuka ya kigoma nipo dar mbezi ya kimara
@matridachatila6839
@matridachatila6839 2 жыл бұрын
Namwisho wao unakalibia Russiaaaaaaa
@khadijaabdallah1649
@khadijaabdallah1649 2 жыл бұрын
Afande sele
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Ukweli unauma ila ujumbe umefika
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Mbabe hatishiwi nyau. Achaneni na mbabe
@ericksagara1719
@ericksagara1719 2 жыл бұрын
Huo wimbo ndo wameubust ili usikilizwe zaidi
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 2 жыл бұрын
Huyu anapotea sasa zama hiz unapuliziwa sumu ya hewa Kwisha unatajaje jina la inchi nyingne hivyo ww
@shaibusalim8348
@shaibusalim8348 2 жыл бұрын
Kaka kuna watu hawana hofu ya kifo wanajua dunio mapito tu
@silverman6930
@silverman6930 2 жыл бұрын
Free democracy not in Tanzania 🇬🇧
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
na ndio tunaambiwa hivi democracy imerudi chini ya anae itwa mama samia , sasa hiki ni nini 🤣🤣🤣
@immamwandolela6851
@immamwandolela6851 2 жыл бұрын
Ao mashoga lazima waukatae wimbo wa afande sere sikawachana mwacheni afande sere awachane
@bugybuster5788
@bugybuster5788 2 жыл бұрын
Ukweli.unaumaa.ila mmarekani sio madicteta
@fredylomayani8376
@fredylomayani8376 Жыл бұрын
Mwacheni afandesele anasema ukweli acheni kumwabudu mmarekani
@ninixvean4156
@ninixvean4156 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@amenyemwansile6919
@amenyemwansile6919 2 жыл бұрын
Daah kweli bangi mbaya
@petermtey5508
@petermtey5508 2 жыл бұрын
Hata aliyemchongea ni mtanzania mwenzake
@alfarsialfarsi2754
@alfarsialfarsi2754 2 жыл бұрын
Nakumbuka digidigi ya daimond wakaz alisema anaonekana ampendi mondi
@bugybuster5788
@bugybuster5788 2 жыл бұрын
Bado umtetee muafrika mwezako kweli wew juha
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 2 жыл бұрын
Imepenya iyo
@petermlundwa6399
@petermlundwa6399 2 жыл бұрын
Mpaka embassy wanapenda kiki
@ntegrity277
@ntegrity277 2 жыл бұрын
HII NA TAKATAKA BHANGI NA AKILI NDIGO
@fredylomayani8376
@fredylomayani8376 Жыл бұрын
Avande sele nikiumbe kidogo mno lakini anakili kubwa kuliko matembo makubwa lini tutajitegemea 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 2 жыл бұрын
Mbona wao wasanii wa kwao wanatukana mpaka maraisi wao
@saydusaydu98
@saydusaydu98 2 жыл бұрын
Ujumbe umefika kaka
@lucamatiku1532
@lucamatiku1532 2 жыл бұрын
Ingekuwa bongo tayar angekuwa kituo Cha polisi Kwa kesi ya uchochezi au kuvuruga amani
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Ndio msana wa 2kutoka Africa numb lack dube
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Mbona mimi sijausikia huo wimbo wake
@opiyowilson3640
@opiyowilson3640 2 жыл бұрын
Sb is playing with live wire.
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 жыл бұрын
Naenda kuishi Iran,Korea kaskazini na Cuba vinara wa kupambana na Marekan
@lovegodmaurice2601
@lovegodmaurice2601 2 жыл бұрын
Nenda north korea uone wanavyoishi am sure one day ukiona bendera ya tanzania utalia na kusema tanzania ni heaven
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 жыл бұрын
@@lovegodmaurice2601 Nakushukuru kwa Elimu uliyoitoa maana wengine hutujuhi vizuri changamoto za kimataifa michango mingine ni bora liende, Mungu akubariki kwa Elimu uliyoitoa.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Hao wa ubalozi kila mtu jasusi wanachokisema huwa hawamaanishi kabisaaa, ni Putin na Taliban wajua nini Marekani wanazungumza
@petercostakisoka
@petercostakisoka 2 жыл бұрын
Imefika kwa wakuu
@hasanipoy3976
@hasanipoy3976 2 жыл бұрын
Acha utoto marekani ndo hijisumbuwe na uyo utoto
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 2 жыл бұрын
Afande Sele tafadhali usije kuiingiza Tanzania kwenye matatizo, Acha Ujinga, Usichokeze America ni mambo ingine ile.
@ujimansylivanus944
@ujimansylivanus944 2 жыл бұрын
Unaishi arafu unaogopa kifo
@abdullahjuma3926
@abdullahjuma3926 2 жыл бұрын
Wacha woga wewe Amerika ni watu kama sisi waambiwe ukweli wapunguze. Putin ameeleza kila kitu na imesambaa dunia nzima yote anayoyafanya Amerika. Au mkubwa hakosei na tajiri habishwi?
@winterkasela9033
@winterkasela9033 2 жыл бұрын
Wakati wa trump viongozi wetu walikua salama lakini baada ya yeye kuondolewa marekani akaingia mwingine katuulia Wagufuli Wetu
@fjafrica62
@fjafrica62 2 жыл бұрын
hili jamaa sijui lilivuta nini
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 2 жыл бұрын
Si ndio uhuru wa kujieleza sasa wanalalamikia nini ukionaivyo afande sele amewagusa papaya mashoga hao yaan kapiga pale pale pamoja afande sele mzalendo
@benisobenjamin1373
@benisobenjamin1373 2 жыл бұрын
Kama ni uhuru wa kujieleza kwaio wao wasitumie uhuru kuongea muongee nyinyi tu ?
@yohanalukanga6263
@yohanalukanga6263 2 жыл бұрын
Wachokozeni hao watu kwani wamekuja kukuingilia ww kwenye nchi yako
@Baba-JJ
@Baba-JJ 2 жыл бұрын
Yaani unatumia mtandao wa Wamarekani (KZbin) kuachia ngoma "BILA MAREKANI" halafu unashangaa Marekani kuingilia mambo ya nchi nyingine. Kwahiyo anashindwa kujua ni kwasababu nchi zimeruhusu Marekani kuwa sehemu ya maisha yao kama yeye alivyoruhusu kutumia mtandao wa Wamarekani KZbin kuwa sehemu ya maisha yake na kuachia ngoma zake huko. Serikali zinajihusisha na Marekani kwa ukubwa wake (LARGE SCALE), na yeye kama Afande Sele anajihusisha na Marekani kwa kwa udogo wake (SMALL SCALE) lakini kwa uhalisia hakuna tofauti.
@RommyCareMovies
@RommyCareMovies 2 жыл бұрын
Non sense
@muktazimbuyu6569
@muktazimbuyu6569 2 жыл бұрын
Huyu jamaa awe makini huo mziki ni mwningine
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
Sikupend Mimi wewe,ktk Wasanii ambao siwapendi wewe ni Mmoja wapo kwa hakika nakuchukia sana,Mimi kwa hakika Nipo Wete Pemba
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 2 жыл бұрын
Kwani Amekwambia yeye Anakupenda? Kwanini unahangaika na mtu Ambae hakujui na Wala Hamjuani?? Wewe Una Maisha Yako na Yeye Ana Maisha Yake.....Chunga Sana Ndugu Na Jaribu kukemea km wewe ni Mkristo au Kufanya ibada ya swala 5 ili Mwenyezi Mungu Akuondolee hii Roho Ya keshetani Zidi Ya kuwachukia Watu Usio Wajuwa...Na Ukisikia Dalili Za Uchawi basi ujue ndio hizi sasa
@silvertv8083
@silvertv8083 2 жыл бұрын
We nawe mse*ge
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
Said Hassan hata ukimchukia haikusaidii chochote...tunawajua sana chiki ni jadi yenu!!!
@elizabethmwafongo7829
@elizabethmwafongo7829 2 жыл бұрын
Akimpenda mama yake tu inatosha
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@elizabethmwafongo7829 uyo anaesema anamchukia mtu amemuumba yeye??? We mpemba chuki ni jadi yenu wala sishangai
@charlzlomo9219
@charlzlomo9219 2 жыл бұрын
Bangi mbaya sana,kwa wakati wa Vita ya ukrene na urusi unatoa ujumbe Kama huu duniani maana yake ukrene andelee kuangamizwa,
@nzogelamussa2585
@nzogelamussa2585 2 жыл бұрын
viongozi wa Tanzania wajinga marekani kakubali wao kwani waufungie wimbo unasema ukweli
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 2 жыл бұрын
Uwoga tu kwasababu tumehalalisha kuwa omba omba lakin angekuwa mwamba wetu naona angeupongeza na angetoa hela ya video.
@zuberimohamedi255
@zuberimohamedi255 2 жыл бұрын
Afande ujumbe umefika,weka mashairi mengine
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 жыл бұрын
Moja ya taifa ambalo litakuja kusambaratika na kuwa dhalili duniani ni marekani ni muda tu haujafika lkn marekani itasambaratika tu
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 2 жыл бұрын
Tutaishije bila marekani?Taifa kubwa ilo
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
@@josephmuchiri3180 akili ya kitumwa hii 😇
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
ikisambaratika na mwisho wa kiama utakuwa umetasha taradadi kwani hata taifa litakalo inuka zidi ya marekani halitatawala kwa mda mrefu Kama ilivyo tawala marekani.
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 2 жыл бұрын
@@georgekimasaofficial1629 Israel taifa la mungu lipo
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
@@josephmuchiri3180 lipo ndiyo na linalindwa na marekani maana ukiligusa taifa Hilo umemgusa mmarekani pia utambuwe wataalam wa kutengeneza silaa hapo marekani niwa yahudi.so marekani ndiye anatawala dunia mpaka Sasa ila badae litainuka taifa lingine ambalo litakuja kuipiku marekani na taifa Hilo litaanza Vita na Israel na mziki huu utakuwa mkubwa kwani mataifa yote likiwemo Hilo taifa kubwa yataungana na mataifa mengine duniani kuipiga Israeli hapo ndipo isaraeli watakimbilia ktk bonde la halimagedoni hapo Yesu atashuka kuwa okoa baada ya kichapo.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
😁😁
@charlzlomo9219
@charlzlomo9219 2 жыл бұрын
kusingekuwa na vita tungekuelewa kwa sasa bangi zimekutuma asilimia100% lengo lako kuigombanisha afrika mashariki na marekani ,wakati unajua dunia inazuni kwa Vita inaoendelea,
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 2 жыл бұрын
Upumbavu wa mtu mweusi.
@mangashajunior242
@mangashajunior242 2 жыл бұрын
Bang bang tupu.
@abdallhmohd2259
@abdallhmohd2259 2 жыл бұрын
Koplo sele Sasa unataka kuamsha walolala kuwa Malkini na hao watu
@psuccess9624
@psuccess9624 2 жыл бұрын
Tazama Diamond Platnumz alichokisema juu ya Afande Sele na nyimbo yake iliyo trend sanaa Ulimwenguni kote👉🏻👉🏻👉🏻👉🏻👉🏻👉🏻👉🏻👉🏻👉🏻 kzbin.info/www/bejne/aKOupZqgrdmXodE
@saimonfelix7380
@saimonfelix7380 2 жыл бұрын
Hata hivyo ajiandae kisaikolojia siku za usoni kuanza kupewa vikesi vya kijinga kijinga aongeze umakini
@jumaabdallah3495
@jumaabdallah3495 2 жыл бұрын
Afande tulia! Utatusababishia matatizo si vnaona maafande wenzio huko ukraine
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 49 МЛН
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 841 М.
Ukiwa na Passport ya TZ, Unaweza kuingia nchi hizi bila Visa
4:34
Sudi Mnette azungumza na  msanii Afande Sele
19:31
DW Kiswahili
Рет қаралды 4,8 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 540 М.
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 49 МЛН