UBUYU WA BIASHARA KILO MOJA

  Рет қаралды 24,944

Mziwanda Bakers

Mziwanda Bakers

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@queentz8314
@queentz8314 3 жыл бұрын
Wawoooooo thank you very much. unakipaji cha kufundisha very simple way na kueleweka Mashaalah Mashaalah Mashaalah
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
🙏🤲🤲
@FatumaMtanga-i5z
@FatumaMtanga-i5z Ай бұрын
Uko vizur dada kwenye ufundishaj binafsi nimependa na nimeelewa
@angelmariaotieno2253
@angelmariaotieno2253 2 жыл бұрын
Mziwanda napenda Sana mapishi yako, you are very smart
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
😘🥰🥰
@hamisimwalimu8555
@hamisimwalimu8555 2 ай бұрын
Asante sana madam Mungu akujaalie
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 ай бұрын
Ameen
@simonkofia7517
@simonkofia7517 3 жыл бұрын
Hello...nmefuatilia vzr sana jnc ambavyo unafanya,,bnafc niseme uko vzr kusmma Kama mwl...pia naomba unisaidie orodha ya materials/vitu vinavyohtajka na hatua zake Yan 1,2,3....ili tufanye KAZI nzur zaidi... ahsantee na MUNGU akfanikishe katka elimu hiyo..barikiwa Sana.
@furahasikawa
@furahasikawa 2 ай бұрын
Jaman mm sjaelewa unga wa ubuyu napataje
@mercyambuka9214
@mercyambuka9214 3 жыл бұрын
WOW,I have waited for this recipe .Thanks
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Hope you will give me feedback
@mercyambuka9214
@mercyambuka9214 3 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 yes I will.
@mariacappelletti3323
@mariacappelletti3323 4 ай бұрын
Barikiwa sana kwa somo kwa wiki sikosi 50000 asante dada
@RehemaSaid-m6g
@RehemaSaid-m6g Ай бұрын
Yaani hapo kwenye kugandamana tupeane maujuzi nyee
@fatmaabuu4982
@fatmaabuu4982 3 жыл бұрын
Nice Mashaalla hv lengo la kuuweka kweny plastic bag kabla ya kuupack kwa vifuko nn mantic yke ?
@MarryMponzi-r4d
@MarryMponzi-r4d Жыл бұрын
Waooo mtam san
@emaSilupumbwe
@emaSilupumbwe 2 ай бұрын
Me. Nataka kijifunza zaid kutengeneza ubuyu dada
@tatukilito9721
@tatukilito9721 Жыл бұрын
Unga wa mabuyu unautoa wapi?
@joinanganunga6985
@joinanganunga6985 5 ай бұрын
Hongera sana
@rukiahussein7446
@rukiahussein7446 3 жыл бұрын
Ma sha Allah,nitajaribu kupika
@annakadamanja2196
@annakadamanja2196 2 жыл бұрын
Mziwanda samahani naomba kuuliza swali ubuyu kilo 5 sukari kiasi gani inatumika ??
@AbdallaMiraji
@AbdallaMiraji 22 күн бұрын
Thans
@AshuraMussa-j5y
@AshuraMussa-j5y 5 ай бұрын
Naomba dada kilo mbili na nus sukali kiasi gan
@maryayo7309
@maryayo7309 3 жыл бұрын
Kazi nzuri naomba no zako
@evelynebiduga9626
@evelynebiduga9626 5 ай бұрын
Maji lita moja na nusu hadi mbili
@reyfantakhamis1354
@reyfantakhamis1354 2 жыл бұрын
Hongera dada mi nakosa kila ck namwaga ubuyu
@glorymushi3954
@glorymushi3954 4 ай бұрын
Usimwage uzia wanafunzi
@Georges.Kitchen
@Georges.Kitchen 3 жыл бұрын
More love my sister ❣️😋❣️
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
🥰
@evelynebiduga9626
@evelynebiduga9626 3 жыл бұрын
Asante sana dear kwa kuzidi kutupatia maujuzi! Mimi ni miongoni mwa wanaofuatilia darasa lako hapa KZbin, naomba kujua kama kwa vipimo hivyo vya 1/4kg ya sukari na 1kg ya ubuyu, ubuyu utakuwa mtamu kweli kuvutia wateja? Mimi ninataka kupika 2 na 1/4 (sado moja) ya ubuyu kwa 1kg ya sukari, je nitakuwa sawa? Nimeona wengine wanatumia vipimo kwa uwiano sawa (1kg sukari kwa 1kg ubuyu), nisaidie maana kesho nataka kuingia kwenye matendo (kutengeza)! Asante sana sana🙏🙏🙏🙏
@Jastus100
@Jastus100 3 жыл бұрын
Nina swali sawa na lako ,je umepata majibu M?
@evelynebiduga9626
@evelynebiduga9626 3 жыл бұрын
@@Jastus100 sijapata ila mimi nimeanza kupika sado moja ya ubuyu wa mbegu, sukari kilo 2 na unga wa ubuyu kilo moja kasoro na ubuyu unatoka super😋
@Jastus100
@Jastus100 3 жыл бұрын
@@evelynebiduga9626 sado ya ubuyu ni kama kilo gani eti
@evelynebiduga9626
@evelynebiduga9626 3 жыл бұрын
@@Jastus100 kama utapimiwa vizuri ni kilo mbili na robo la ni kilo mbili kamili ambayo huku niliko sado ni shs. 2000/= , na ya unga wa ubuyu ambao haujachekechwa ni 3000/=
@Jastus100
@Jastus100 3 жыл бұрын
@@evelynebiduga9626 nashukuru sana sorry kwa maswali mengi , naomba kujua hivi unalipa vizuri?
@salhangoya2552
@salhangoya2552 2 жыл бұрын
Napenda SoMo lako dada
@mankamchomvu4732
@mankamchomvu4732 3 жыл бұрын
Naomba tufundishe na kashata za ubuyu
@LAILAT.ALLYHAMIS
@LAILAT.ALLYHAMIS 2 ай бұрын
Me nauliza eti jinsi ya kutengeneza ubuyu kilo 2 unatumia xukali kiasi Gani na maji kiaxi ganiii
@carolineowino5091
@carolineowino5091 2 ай бұрын
asante na tazama kutoka Kenya nilijaribu lakini nilipomaliza nilibaki na ubuyu powder mingi sana kwenye bakuli , naweza zifanyia nini?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 ай бұрын
Icecream zake nzuri sana Pia unaweza kuutumia next time Uwekee sukari ya unga ,unafaa kuulamba
@carolineowino5091
@carolineowino5091 2 ай бұрын
@@mziwandabakers8297 iliobaki sio unga ule hauna Rangi ila ilio na Rangi ya red na ni chembechembe
@pillymantage9127
@pillymantage9127 3 жыл бұрын
Nimekuelew Asante sana
@mdeteally165
@mdeteally165 2 жыл бұрын
Mimi.nikipika.baada.muda.kidogo.unakua.mgumu.naomba.kipimo.cha.maji.kwa.lita
@zulfatdidas369
@zulfatdidas369 3 жыл бұрын
Tuekee recipes dad Yan natak nijarb 🥰🥰
@hildalucas8482
@hildalucas8482 3 жыл бұрын
Tuwekee na mafunzo ya pilipili
@abelthomas7521
@abelthomas7521 3 жыл бұрын
Vipimo vya ubuyu wa biashara
@hellenomar2177
@hellenomar2177 3 жыл бұрын
Jamani mwenzenu nikitengeneza ubuyu ukikaa kidogo uko kama unavunda, nimekosea wapi? naomba jibu,
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Utakuwa unazidisha maji pia shira haivi vizuri
@tausishabani263
@tausishabani263 3 жыл бұрын
Hujaacha Shira ijivute umewahisha kuepua
@elinajoram4738
@elinajoram4738 2 жыл бұрын
Shira nini dada
@mitchellwambui5289
@mitchellwambui5289 2 жыл бұрын
Sukari ukisha chemka na maji
@wamboedna
@wamboedna 3 жыл бұрын
Watu wa Kenya 🇰🇪 where can i buy ubuyu
@mitchellwambui5289
@mitchellwambui5289 2 жыл бұрын
Eastleigh
@jeanmariehakizimanahakizim7212
@jeanmariehakizimanahakizim7212 4 ай бұрын
uo unga tutaupataje bandugu mbona tunauhitaji saaana.
@zawadidagamra4106
@zawadidagamra4106 3 жыл бұрын
Thanks, kunijuza nitajaribu.
@reyfantakhamis1354
@reyfantakhamis1354 2 жыл бұрын
Sijui vipimo nahisi
@luandanchimbi1127
@luandanchimbi1127 2 жыл бұрын
naomba namba yako please
@NaesaSaasita-zs4rp
@NaesaSaasita-zs4rp 10 ай бұрын
Me wangu mbn unanatana kdg lkn
@PATRICKIDAUDI318
@PATRICKIDAUDI318 3 жыл бұрын
Samahani dada naomba nikusumbuwe kidogo
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Ndio nakusikiliza kaka
@annamarry2033
@annamarry2033 3 жыл бұрын
Hivi Kama sina Radha naweza kutumia nini mbadala wake ili ubuyu uwe mtamu
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Hiliki
@annamarry2033
@annamarry2033 3 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 Asante dear Mungu akubariki
@aminakiboma8537
@aminakiboma8537 3 жыл бұрын
Nimejifunza kitu ubarikiwe kwa ku share nasi this video
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Amiin
@catherinefelix1471
@catherinefelix1471 Жыл бұрын
Tatzo linakuwa Nini mtu kupika ubuyu haukauki
@aishanjagi4351
@aishanjagi4351 Жыл бұрын
Hi , i made mabuyu i kilo, sukari 1kg, maji1ltr, lakini imekuwa kama ugali hata baada ya kuicha masaa kumi na sita. Nitayafanyia nini ndio ikauke
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Pole huo hauwezi kukauka ubuyu unakaukia jikoni ndio uzuri wake
@dorothymbise3427
@dorothymbise3427 3 ай бұрын
Unga uliweka?😊​@@mziwandabakers8297
JINSI YA KUTENGENEZA UBUYU MTAMU WA ZANZIBAR
15:27
keki plus
Рет қаралды 38 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 123 МЛН
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 69 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 58 МЛН
Kashata za ubuyu #neemashaaban  #neemashaaban
5:03
Neema Shaaban
Рет қаралды 8 М.
JINSI YA KUPIKA UBUYU WA BABU ISSA WA MAZIWA
10:58
SUNRISE TZ
Рет қаралды 7 М.
Jinsi MADHABAHU inavyotenda kazi katika maisha yako || PASTOR GEORGE MUKABWA || 23/06/2024
3:05:35
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 51 М.