"UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA UTAKUA HURU NA HAKI " GUMBO

  Рет қаралды 29

Majimaji Digital

Majimaji Digital

Күн бұрын

Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma imetoa maelekezo kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27,2024 huku wakieleza namna walivyojipanga kuhakikisha uchaguzi huo unakuwa wa huru na haki.
Akizungumza na waaandishi wa habari katika ukumbi wa halmashauri ya
wilaya ya songea, Msimamizi wa uchaguzi wa uchaguzi wa serikali za
mitaa katika halmashauri hiyo Bi Elizabeth Gumbo,amesema zoezi la
kuandikisha wapiga kura litafanyika oktoba 11 mpaka oktoba 20,2024 hivyo wananchi watakao kuwa na sifa wajitokeze kujiandikisha katika vituo vilivyowekwa.
Pia ametoa rai kwa wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa kuchukua
fomu za kugombea ambazo zitatolewa bure katika ofisi za vijiji na vitongoji kuanzia novemba 1,2024.
Kwa upande wake Reginadi Lema, ambaye ni mjumbe wa kamati ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa amebainisha sifa za mgombea na mpiga kura kwa mujibu wa sheria na kanuni za uchaguzi zilizowekwa ambapo miongoni mwa sifa hizo ni pamoja na kuwa na uraia wa
Tanzania ,awe na uwezo wa kusoma na kuandika lugha ya kiswahili na kingereza,awe na akili timamu,awe na umri wa miaka 18 nakuendelea.
#songea #tamisemi #uchaguzimkuu #habari #news

Пікірлер
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Интернет мошенник
40:13
ASTANATV Movie
Рет қаралды 540 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 19 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 1,5 МЛН
Gavana wa Nakuru Susan Kihika azomewa na waombolezaji
2:59
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 91 М.
Rais Kikwete azindua Barabara ya Songea - Namtumbo Mkoa wa Ruvuma
4:34
Zadie Smith on Populists, Frauds and Flip Phones
1:12:03
New York Times Podcasts
Рет қаралды 22 М.
Building Our Equitable E-Mobility Future Webinar
59:43
Drawdown Georgia
Рет қаралды 2,7 М.
Зу-зу Күлпаш 2. Интернет мошенник
40:13
ASTANATV Movie
Рет қаралды 540 М.